serious

Serious is an observational documentary series made by the BBC and broadcast as part of their children's programming. It encompasses Serious Jungle (2002), Serious Desert (2003), Serious Arctic (2005), Serious Amazon (2006), Serious Andes (2007), Serious Ocean (2008) and Serious Explorers (2011). Serious Ocean consisted of ten 30-minute episodes, while each previous series was six 30-minute episodes. In each series a group of eight 12- to 15-year-olds embark on an expedition to an extreme part of the world, in order to help wildlife or assist in environmental projects. The programmes have won numerous awards, among them honours from BAFTA and the Royal Television Society.
So far only Serious Amazon, Serious Ocean and Serious Andes have been aired in Australia, on ABC1 and ABC3.
The series has also been shown on Discovery Kids/The Hub, where five complete seasons have been shown. Slovenian television Kanal A has bought the rights to air Serious Amazon. The show airs Saturdays at 2:10 pm, under the title Vse o Amazonki (All About the Amazon).The Italian television network RAI in early 2009 aired Serious Jungle, Serious Desert, Serious Arctic, Serious Amazon, and Serious Andes.

View More On Wikipedia.org
  1. O

    Kenya Tuko Serious? Mtoto Anashare Choo na 99 Wengine Hadi NGO Iingilie

    Jamani hii nchi kuna kitu haiko sawa… Shining Hope for Communities wameingia ground kusaidia over 100,000 learners Nairobi informal settlements. Wanajenga ICT labs + toilets kwa shule kama Salama Primary School na Huruma Primary School. Lakini sasa sikia hii ➡️ Mtoto mmoja alikuwa anashare choo...
  2. E

    Ukimsikiliza huyu mzee unaona kabisa Nchi za Wenzetu watu wako serious na Masilahi ya Nchi zao

    Kweli anaizungumzia Nchi na kuijali kama familia yake , Afrika tuhubiri kwanza Uzalendo tuko nyuma sana . https://youtube.com/shorts/7bpZjoxy2Lg?is=zPTHUjErKG4H9MSd
  3. O

    Police Station Yavamiwa, G3 Guns Zaibwa Serious Security Concerns in Mumias West kakamega county

    Usiku wa Ijumaa, Musanda Police Station Mumias West, Kakamega County ilivamiwa na armed assailants. Watu sita waliokuwa wamepanda pikipiki mbili walifika kituoni wakidai motorbike imeibiwa, lakini muda mfupi baadaye wakafyatua risasi na kuanzisha vurugu. During the attack, police officers...
  4. Kaka yake Humphrey Polepole nadhani hayupo Serious ni wa kumpuuza kwa sasa

    Kama angekuwa amemkamata Mafwele sidhani kama mtu serious anamkamata na kumwachiai. Huo ni uongo wa mchana. Mtu ambaye amemteka ndugu yako au kamuua. Unamkata unamwachia? Yaani unaona adhabu yake ni hiyo kama ni kweli? Ni uongo. Aanze kuwa serious. Huyu bwana mdogo anaongea sana vitendo hamna...
  5. R

    Rais Samia unaitisha maridhiano wakati huo huo unambambikia kada wako mtiifu Godfrey Malisa kesi ya kubumba ya uhaini! Are you serious na maridhiano?

    Rais wangu, kwa heshima na taadhima kubwa, Unaonekana ni mzaha na dharau! Dhamira ya kweli na common sense tulitegemea watu wote wenye kesi za kubumba wawe huru ukianza na Lisu, angalau kwa mbali kuwa umeanza kubadirika! Utekaji, uuaji, upotezwaji, ulawiti, ufiraji, ubakaji bado uko pale...
  6. PostGE2025 Watanzania Naombeni tuuamini huu uongozi mpya wapo serious watatufikisha nchi ya ahadi

    Nimekaa nikatafakari nikaangalia Uwongozi huu mama Samia utatupeleka nchi ya ahadi wako serious hawaigizi kabisa pleas please Dec 9 tusiandamane tumpe mama mda nina Imani naye kubwa sana. Yaliyotokea ni mabaya sana ila Ameshajirekesha maana ndo mara yake ya kwanza so hakujua namna nzuri ya...
  7. Baada ya kufanyia Kazi masuala serious katika nchi yaliotupelekea vifo vya watu October 29 nyie bado Mnaendekeza propaganda?

    Nilifikiri kama taifa tumejifunza wapi tulipo kosea sasa kama Taifa tutakua serious kufanya reforms kila sehemu ambayo wananchi wamekua wakilalamikia kwamba sasa tunayafanyi kazi malalamiko ya wananchi yaliopelekea mauaji October 29...
  8. Kweli watanzania wapo serious jukwaa la mapenzi na sports yamedoda hatari watu wapo jukwaa la siasa na hoja mchanganyiko 24/7

    Kama mtu wa kufanya research ndogondogo hii hali inatisha kwakwel sio kawaida ya watanzania kabsa toka nizaliwe watanzania wao ni mpira na ngono tu lakini hali kwasasa ni tofaut Kwenye mitandao yote sio jamii forum tu Kote hali tete, mada za kiwaki zote hazna wachangiaji kabsa Kweli watu...
  9. I am seriously sick but for this let me write for the sake of Tanganyika… Watanganyika Mmelala mnoo tunajua mengi!

    Huu ujumbe niliuandika na kumpa mtu mashuhuri auchalaze sehemu Ila ame delay nauleta mwenyewe Ni week ya 3 sasa am sick ila na recover Naandika kwa umakini Uzi usifutwe au ukawaletea matatizo JF Inashangaza kuona kwa level ya kutokuwaamini Watanganyika, kuna baadhi ya Viongozi hasa wa Jeshi...
  10. M

    Taifa tunalipoteza hivihivi kwa kufanya mzaha kwenye mambo ya msingi

    Walionywa hawakusikia, waliulizwa mambo serious wakatoa majibu mepesi. Wanaambiwa nchi inaibiwa wanatoa majibu ya kejeri na kuudhi, wakadiriki hadi kujitungia sheria za kulipa mafao wake wa wenza ilihali wamama wajawawazito wanakufa mahospitalini kwa kukosa huduma bora za afya, watoto hawana...
  11. N

    GE2025 Mange Kimambi na Maria Sarungi mpo serious kweli?

    Hi Nimesikiliza sana mazungumzo ya mitandaoni ya Mange kimambi na Maria Sarungi wakihamasisha kuwa tutoke kwa wingi tena tujitahidi sana na wala tusiogope . NAJIULIZA YAFUATAYO? 1. Maria Sarungi wewe ni jasiri kweli mbona hukuja kumzika baba yako? Si ungeingia ukishikwa uwe na watu wa vyombo...
  12. Msiwe serious sana na kazi ni muda wa mapumziko ofisini

  13. Jimmy Mafufu, Stivin Mangele, Mbona hamumjibu Captain Tesha? Jitokezeni mjue vizuri tuko serious !!

    Wakuu Mama sianaupiga Mwingi? Jitokezeni Wakuuu ,au nyie Hamlindwi?? 🤣🤣
  14. Nahitaji Mwanamke wa kuoa Serious

    Habari kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nahitaji mke wa kuoa. Nilishakua na mahusiano huko nyuma ila kuna mambo yalitokea mengi tukaachana ila sijawahi kuoa wala sina Mtoto. Ukiwa interested karibu Sifa zangu ELIMU: Degree. Kazi: Network administrator Umri: 33 Location: Dar Rangi: Black...
  15. JF-Expert members - mnaujua ukweli huu? Maneno yote tunayosema na kuandika, Mungu anayarekodi. This is serious!

    Mada hii ni maalum kwa ajili ya JF-Expert members. Kuanzia leo, tambua kuwa maneno unayo-post humu, licha ya kuhifadhiwa na servers za JF, yanatunzwa pia kwenye "servers" za mbinguni. Yesu mwenyewe alisema, “Lakini nawaambia, katika siku ya hukumu watu watatoa maelezo kuhusu kila neno walilonena...
  16. WASOMI HAPA VIPI? WALE WAJUVI WA LUGHA KAOMBENI KAZI HESLB; kwa haya makosa ya kawaida ni wazi Taasisi haipo serious.

    No greetings kwa Leo, Nina hasira sana! Nadhani dhana ya utumishi wa umma iendane na uwezo. Unaweza ukasema ni kosa dogo lakini Kuna watu wamepewa madeni yasiyo Yao kwa uzembe wa namna hii. Kosa dogo nyuma au mbele yake Kuna kosa kubwa. Hii ni kuhusu image ya Taasisi kufanya makosa ya kawaida...
  17. N

    Natafuta mke nipo serious

    Natafuta mke aliye tayari aje dm .vigezo awe mcha mungu .mweupe mwenye shape nzuri asiwe mlevi
  18. GE2025 Hivi kweli Babu Tale ni wa kuongoza Kura za maoni?

    Ni kama vile wananchi hawako serious na maisha yao! Mimi nitoe Rai tu kwa waliopo kwenye mifumo pigeni kadri mnavyoweza msionee huruma wajinga wasiojitambua Ujinga ni laana
  19. Ni lini Watanganyika tutakuwa serious na kuungana?

    Hivi mnajua Zanzibar afya ni bure? Lakini bara mtu akifa muhimbili maiti yake Kama inadaiwa inakamatwa? Hivi mnajua Zanzibar chuo kikuu hakuna watu wanakosa mkopo? Hivi mnajua Mzanzibar anaweza kuja Tanganyika mpaka kigoma kule akapata ardhi na kujenga na kununua mashamba ya kilimo? Lakini...
  20. Nataka mke aliye serious wakuoa mimi ni mtumishi wa private sector nipo wilaya za Dodoma njoo inbox mchumba

    Nataka mke wa kuoa mm ni mwanaume wa miaka 40 nahitaji mwanamke yoyote ambaye yupo tayari na yupo serious kuoana au kuwa MARAFIKI aje inbox awe tayar kupima HIV nipo online karibu sana, nnapoishi kutoka mjini Dodoma mpaka nilipo ni elfu 5 karibu sana
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…