serikali

  1. R

    JamiiForums Tanzania Adv. Madeleka: Hakuna Jaji anayeweza kuwa huru kama alikuwa msaidizi wa Rais. ~ 50% ya majaji walikuwa mawakili wa serikali. Hawawezi tenda haki

    Sikiliza shule ya haki with regard to our Judges. Huwezi kutenda haki kama uliteuliwa na Rais kuwa Jaji. Majaij duniani kote wanaomba kazi ya Ujaji kwa kupitia well regulated strict interview. Msikilize Peter Madeleka, Wakili
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kimataifa yanakwenda taratibu lakini yana madhara makubwa sana serikali zindukeni

    Haya mambo huenda taratibu sana lakini madhara ni makubwa Jumuia ya madola ilimtuma Chakwera viongozi wetu wakampiga siasa wakajua wamemtuliza kumbe aliandika hati chafu leo hii tunaona tamko la jumuia Najua kama kawaida yetu na serikali sikivu hii watakuja watu kede kede kuifokea...
  3. JamiiForums Tanzania Unafiki wa kisiasa unavyotukwamisha Watanzania kuwa Taifa bora, imara na serikali inayowajibika

    Habari za wakati huu wanabodi. Hiuu ni mtazamo wangu ambao ninaamini ni muhimu sana kwa muktadha wa sasa wa kijamii na kisiasa. Uzi huu umeandikwa kwa lugha ya staha, uchambuzi wa kina, na mtazamo wa kujenga ili kugusa kiini cha tatizo. MAJUKWAA YA GIZA: Namna Unafiki wa Kisiasa Unavyokwamisha...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania ina wananchi wazuri kupenda nchi yao ila imefanywa kuwa nyumba za watu wachache kuwa nchi yao

    Sio kwa ubaya ila mada hapa JF zinaangiwa mpaka kuna wataalamu wa lugha wanajitokeza kutafuta kiswahili ni sahihi jambo linaro sema ukweli. Kuna mikoa ambayo inapatikana gesi na mpaka sasa wanajeshi wapo wamejazana. Leo pale dodoma kuna uranium ya kutosha mshapeleka urusi. Kuna makahaa ya...
  5. JamiiForums Tanzania Ni muda wa kujitafakari kwa kina kama taifa sababu dalili sio nzuri haiwezekani GenZ na Millenials wote wasiipende serikali iliopo madarakani

    Jana nilikuwepo pale Mlimani City kwenye usiku wa Bongo fleva, audience ilikua ni vijana wa zamani (millenials) kwa wingi. Na hao hao ndio waliozomea pale Mwana FA alipoingiza mambo ya serikali. Ukiingia mtandaoni na mitaani utakuta GenZ hawaikubali kabisa serikali. Je tunaelekea wapi kama...
  6. JamiiForums Tanzania Wamemzomea Naibu Waziri wa habari, sanaa, utamaduni na michezo, Mwana FA alipotaja Serikali ya Awamu ya Sita, kwenye tamasha

    Aaaaaaah uyoooooooo aaaaaah shukaaaaaaaaa
  7. JamiiForums Tanzania Kwa nini msitenge budget kubwa kwenda kuweka miundombinu mizuri kwenye mitaa ya watu?

    Moja ya vitu tuko nyuma Watanzania ni miundombinu kwenye makazi ya watu. Yeah baadhi ya neighborhood serikali imejitahidi kuweka miundombinu lakini kwa asilimia kubwa bado sana Kwa nini msitenge budget kubwa kwenda kuweka miundombinu mizuri kwenye mitaa ya watu? Kila siku mitaa mipya inajengwa...
  8. JamiiForums Tanzania Chadema njaa tayari, wanagombea maokoto; wanadai ruzuku ya 500m kutoka serikali wasiyoitambua

    Taaayari!!!! Jamaa wamezimana maokoto, Heche kawazidi wenzake ujanja, kala tonetone na za wafadhili walioingiza fweza kwenye account yake binafsi. Na Mnyika anadai wapewe ruzuku ya sh. 500m serikalini, serikali ambayo wanasema ni haramu na hawaitambui. Heche hajui kwamba chadema ni saccos ya...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Kigaidi: Watanganyika Wameshuhudia Maana ya State Terrorism

    Natoa maana ya Serikali ya Kigaidi, ili kila mwenye akili timamu na mwenye uwezo wa kutafakari, aone, Serikali ya Tz inapungukiwa na nini ili kupata sifa ya kuitwa "Serikali ya Kigaidi": STATE TERRORISM: State terrorism refers to violent acts, threats, or intimidation committed by a government...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini binadamu atoze wenzake kodi kwenye ardhi ambayo wameikuta wote hapa duniani wakati hao watu hawaiitumii kwenye biashara ni makazi tu?

    Ardhi ni urithi wa dunia, mali ya asili ambayo haikuundwa na binadamu yeyote ila imekuwepo kwa vizazi vyote. Sasa ni kwa nini mtu anapaswa kulipa kodi kwa kipande cha ardhi ambacho hakitumii kwa biashara bali ni makazi yake binafsi na familia? Kodi ya jengo inaeleweka kwa sababu inahusisha na...
  11. JamiiForums Tanzania KERO Serikali naomba mlimalizie Daraja la Kimara mnahatarisha usalama wa wananchi

    Kazi iendelee Kwenu Serikali, mliyempa kandarasi ya kujenga dalaja hilo tajwa hapo juu naomba mumshupalie alimalizie, na kama mnalirekebisha ninyi wenyewe naomba mfanye haraka kulimalizia, limalizieni au lirekebisheni haraka Kama wewe ni mkazi wa Kimara utaelewa nazungumzia nn! Simu yangu...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini mission za kuiua na kuifuta CHADEMA kisiasa zinafeli na kwanini Serikali inaambulia chuki kutoka kwa Wananchi badala ya mafanikio?

    Kumekuwa na kufeli kwa mission nyingi za kukiondoa Chama cha Demokrasia na Maendeleo katika uso wa siasa zetu, majaribio yote yameishia kuwa kituko cha awamu husika, propaganda za kitoto dhidi ukomavu mkubwa wa kisiasa ambao jamii yetu inao kwa sasa zimeisha kuwa chuki dhidi ya serikali. Baada...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini watu hawataki kulipia huduma za kuzaa na kwanini Serikali inakubali huu ujinga?

    Kwa nini wanawake wanaozaa huwa hawataki kulipa huduma za hospitali za kuzalishwa? Sababu hasa za watu kutaka huduma za kuzaa kuwa bure ni zipi? Kwa nini utake watu wagharamikie kuzaa kwako?
  14. E

    JamiiForums Tanzania Serikali Ishughulikie Malalamiko ya Wanaoitisha Maandamano, Sio Kupambana Nao

    Tishio la maandamano la hivi karibuni la Julai 7, 2026, limeibua mjadala mpana na mzito nchini kuhusu namna bora ambayo Serikali inapaswa kukabiliana na changamoto za kisiasa na kijamii zinazochochea wananchi na wanaharakati kutangaza maandamano. Badala ya kuwekeza nguvu nyingi na mabilioni ya...
  15. JamiiForums Tanzania Wiki iliyopita niliingia kwenye ofisi moja ya serikali, huyo ofisa aliyekuwa hapo aliponiona akaanza kutabasamu na kunikaribisha kwa bashasha

    Wiki iliyopita niliingia kwenye ofisi moja ya serikali, huyo ofisa aliyekuwa hapo aliponiona akaanza kutabasamu na kunikaribisha kwa bashasha. Nikajua ni uchangamfu tu, nilipoketi ndiyo akaniambia "nakufahamu, huwa nakuona mtandaoni". Badala ya kunihudumia, akaanza kuniuliza, nawezaje kuishi...
  16. JamiiForums Tanzania Wazungu wanakubari makosa na kujifunza ndio maana wanazidi kutumia uwezo wetu kwa serikali mbovu za afrika kutokubari makosa

    Ni jinsi gani Africa imekuwa sehemu ya majaribio ya kila aina bila wao kujifahamu. Mzungu anaweza kukosea ila anaweza kukuacha na kujifunza alichokosea. USA kutimiza miaka 250 mpaka taifa kufika pale ila walijifunza makosa na mpaka sasa ni taifa kubwa. Afrika ijawahi kujifunza makosa ndio...
  17. JamiiForums Tanzania Je wananchi hawaiamini serikali licha ya kuambiwa waendelee na shughuli zao lakini wengi wameogopa?

    Siku imeisha! Tayari imeingia siku ya jumatano. Serikali ilitoa hakikisho kwamba wananchi waendelee na shughuli zao siku ya Jana 7/7. Kwani vyombo vya Dola vitafanya kazi yake ya kulinda na kuhakikisha kunakuwa na utulivu. Lakini ajabu ni kuwa kwa sehemu kubwa biashara nyingi katika majiji...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Wameigeuza 7/7 kutoka kuwa Siku ya Maonesho ya Biashara Mpaka Kuwa ya Maonesho ya Silaha. 8/8 Nayo Wataigeuza?

    Tanzagiza inabadilika kwa speed ya ajabu kupindukia! Watanzagiza walizoea kuiona siku ya 7/7 kuwa siku ya maonesho ya biashara, ghafla imebadilishwa na kuwa siku ya maonesho ya silaha, huku wahusika wakuu wakiwa ni wauaji wanaotumika kudhulumu haki za watanzagiza. Bila shaka wanaowatumia...
  19. M

    JamiiForums Tanzania 7/7 hakuna watu, Serikali imefanikiwa kuyaua maonesho kwa kutengeneza hofu isiyo na sababu, wafanyabiashara wanalia

    Serikali imefanikiwa kutengeneza hofu isiyo na sababu kwa kujaza maaskari kwenye maadhimisho ya 7/7 bila sababu ya msingi kwa kuwa maandamano yaliyopangwa hayakuwa yamesemwa kama yatakuwa ya barabarani au ya watu kulala ndani, huenda yalikua ya kulala ndio maana sehemu kubwa wamelala na kuua...
  20. JamiiForums Tanzania Wazo kwa Serikali ya Tanzania: Tuwe na Kitengo cha Kitaifa cha Kupokea Changamoto za Wananchi

    Wazo kwa Serikali ya Tanzania: Tuwe na App Moja ya Kitaifa ya Kuripoti Changamoto za Wananchi Teknolojia imebadilisha namna serikali nyingi duniani zinavyowahudumia wananchi. Nchi kama Indonesia imefanikiwa kupitia mfumo wa SP4N-LAPOR!, ambapo mwananchi anaweza kuripoti changamoto yoyote na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…