Sisi Wakazi wa Kahama kiukweli tunayo kero ya barabara kutokuwa na ubora mzuri hali ambayo imekuwa ikitupa shida kwenye kutekeleza majukumu yetu.
Barabara za mjini takribani kote ni changamoto, mashimo mashimo kila kona jambo ambalo linahatarisha usalama wa vyombo vyetu kuharibika mara kwa...
Mitambo ya kuzuia ghasia za uchaguzi wa raisi mwaka 2025 iliyonunuliwa na Serikali inatisha sana, vyama pinzani vitakapoleta vurugu vitaishia pabaya
Vyama pinzani mkiwemo CHADEMA na vinginevyo nendeni pole pole ndugu zangu kwasababu mitambo ya kupambana na vurugu iliyomwagwa Jeshi la Polisi ni...
Nchi hii imebarikiwa sana na huu ndo ukweli halisi, Si mbunga za wanyama, ardhi zenye rutuba, mito, mistu maziwa, Bahari na madini vyote hivi vinapatikana Tanzania achilia mbali ambavyo sijataja kama ges na makaa ya mawe na vingine vingi.
Wakuu kuna vitu serikali inawafanyia wananchi wake...
Anayebisha aende hapo Zanzibar nauli ni ndogo tu kwenda na kurudi. Unakwenda asubuhi mchana unafanya tafiti zako jioni unarudi
Huduma zote za afya hasa zile za msingi au zile za umuhimu zaidi Zanzibar ni bure kabisa.
Zanzibar mwanamke anapokwenda zahanati, kituo cha afya au hospitalini...
Huku vijijini tumevuna mahindi
Mahindi yapo mengi mno.
Wakulima hatuna wanunuzi wa mazao haya ya mahindi, Sasa tunavuna na msimu wa kupanda unaanza tunapanda tukiwa na mahindi mengi ndani
Tunawekeza pesa, nguvu na muda kulima ila tukivuna tunakosa bei na hata wateja wa bei ndogo hatuwaoni...
Kichwa chahusika.
wanajamvi, serikali kwa ujumla na watu wa haki za binadamu, tumuunge mkono raisi trump kwa kupinga ushoga na usagaji, tuone hao wa haki za binadamu watapitia wapi labda wakamuulize Trump kuwa anakandamiza haki za binadamu.
hivyo basi, mashoga na wasagaji wawe ni maadui...
Ifikapo mwaka 2030 Hadi 2035 vyombo vya usafiri vingi vitakuwa vinatumia UMEME hivyo utegemezi wa Kodi kupitia dizel na petrol kutakuwa si chanzo kizuri cha Kodi tena.
Na pia Serikali ipunguze kutoa leseni za petrol station badala yake watoe leseni ya vituo vya kuuzia gesi haswa kwa dar na na...
ACT Wazalendo imeguswa na uamuzi wa Serikali ya Marekani kusitisha kwa muda kwa mikopo na ruzuku za kusaidia huduma za afya duniani, hatua inayoweza kuathiri mamilioni ya Watanzania waliowekwa kwenye utegemezi wa huduma za afya zinazofadhiliwa na mashirika ya nje.
Tanzania, kama moja ya...
Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina amesema misamaha holela ya kodi katika bei za bidhaa ikiwemo biashara ya sukari imepelekea serikali kupoteza mapato na kwamba vitendo hivyo ni wizi kati ya wafanyabiashara na watumishi wa Serikali.
Mbunge huyo ameeleza kuwa inashangaza misamaha hiyo inayotolewa kwa...
Sawa na Ongezeko la Trillion 32.4 .
"katika mwaka 2020/2021 mashauri ya malimbikizo ya kodi za makinikia yaliamuliwa katika mahakama za rufani za kodi yenye thamani ya shilingi Trilioni 5.595 na mahakama kuagiza kufanyika mazungumzo kati ya Serikali na walipa kodi ambayo ni North Mara gold...
Mara nyingi nakutana na habari za kisiasa zinazosemwa na David Kafulila, nijuavyo huyu ni mteule wa Rais asimamie taasisi ya serikali, nijuavyo hawa wateule ni tofauti na na Mawaziri ambao wanaanza kuwa na koti la ubunge yaani uanasiasa.
Hawa wa taasisi za umma si wanasiasa na kanuni za...
▪️Ampongeza Rais Samia kwa kwa maono ya kukuza sekta ya Madini
▪️Avutiwa na aonesha utayari wa kusaidia VISION 2030
Naibu katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa(UN)
Mhe Amina Mohamed ameipongeza serikali ya Tanzania chini ya uongozi wa Mh. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa mkakati wa kufanya...
Tuorodheshe hapa mashirika na taasisi pamoja na miradi inayofadhilwa na serikali ya Marekani ambayo itaathirika moja kwa moja na uamuzi wa serikali ya Marekani chini ya Donald Trump wa kusitisha ufadhili iwe ni kupitia shirika la misaada la Marekani (USAID Tanzania) au vinginenyo.
Soma Pia...
"Mimi nimesoma Skuli ya Kajificheni darasa la kwanza na tulikuwa tunakaa kwenye boksi, darasa la pili tulipewa mabao tukakaa bao moja tunakaa watu watatu. Siyo mbali na miaka iliyopita lakini leo mtoto wa Skuli binafsi na mtoto wa Skuli ya Serikali wanakaa sawa na baadhi ya Skuli binafsi ziko...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema wanafunzi wa shule na vyuo pia wanatakiwa kusomea nyumbani kesho tarehe 27 na keshokutwa 28, Januari 2025, kutokana na kufungwa kwa barabara nyingi za jiji la Dar es Salaam...
Kigamboni ni eneo potential ambalo kama serikali ikiamua kutengeneza conference facility ya kimataifa, itaondoa kero ya kufanyia mikutano katikati ya jiji na kuathiri shughuli za kijamii.
Kigamboni ni mini Zanzibar na I na utulivu mkubwa na beach safi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.