serikali

  1. JamiiForums Tanzania Katimba: Serikali Itawafikia Vijana Wapate Elimu ya Kudhibiti Maambukizi ya VVU

    KATIMBA: SERIKALI ITAWAFIKIA VIJANA WAPATE ELIMU YA KUDHIBITI MAAMBUKIZI YA VVU Naibu Waziri, Ofisi ya Rais – TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amesema Ofisi hiyo itaendelea kushirikiana na Ofisi ya Waziri Mkuu na wadau wa maendeleo kuhakikisha inawafikia vijana na kutoa Elimu ya tahadhari na...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali itenge siku maalum ya kitaifa kuadhimisha katiba ya nchi.

    Katiba ndio kitu kinachoweka muongozo wa nchi na jinsi ya watu kuhusiana katika taifa, kwa umuhimu huo serikali itenge siku maalumu(public holiday) ya kuadhimisha na kusheherekea katiba ya nchi yetu(constitutional day) kukuza uzalendo na utaifa wa taifa. Ni muhumu siku hiyo ikawa katikati ya...
  3. JamiiForums Tanzania shule nyingi za msingi zinachaji ada milioni kazaa ila zinazidiwa ubora wa miundombinu na ufundishaji na shule za msingi za serikali kama MiKONGENI

    huu ni ukweli mchungu. tazama mwenyewe video uone ubora wa shule hii ya msingi ya serikali wanaiita kayumba english medium. inayoitwa Mikongeni primary school iliyopo gongo la mboto dar kisha linganisha na private primary school iliyo jirani na unapoishi ilivyo ama shule ya private...
  4. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mama Maria Nyerere aitaka CCM kusimamia ipasavyo Serikali

    Mjane wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, Mama Maria Nyerere, amekitaka Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuendelea kutimiza wajibu wake wa kuzisimamia Serikali zake zote mbili ili kuhakikisha nchi inaendelea kuwa na uwezo wa kujitegemea, hasa katika kujilisha. Mama Maria ameyasema hayo...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali ya DRC, kuomba michango ya kusaidia jeshi lake.

    Tangazo hili, lilitolewa na kusainiwa na waziri wa fedha nchini DRC, akiwataka wananchi kuchangia fedha kwenye account zilizowekwa katika tangazo hilo, llengo likiwa ni kukusanya uwezo wa kulisaidia jeshi la serikali huko mwashariki mwa nchi, kutokana na alichokiita vita vya kukabiliana na uvamizi.
  6. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA kutoshiriki uchaguzi mkuu 2025 litakuwa ni pigo kubwa sana kwa Rais Samia Suluhu Hassan na serikali ya CCM kidiplomasia na kiutawala

    No reforms, no election ni mfupa mgumu sana kwa CCM kuelekea uchaguzi mkuu wa kitaifa October 2025. Kama serikali ya CCM italazimisha kufanya uchaguzi pasipo ushiriki wa chama kikuu cha upinzani Tanzania yaani CHADEMA basi litakuwa ni pigo kubwa sana kwa Rais Samia Suluhu Hassan kidiplomasia...
  7. JamiiForums Tanzania Makambako: Serikali ipunguze matuta ya barabarani yanachelewesha muda na kuharibu vyombo vya usafiri

    Mdau wa Maendeleo toka Halmashauri ya mji Makambako Mhema Oraph ameiomba serikali ipunguze matuta ya barabarani kwani yamekuwa yanachelewesha muda na kuharibu vyombo vya usafiri. Mhema ametoa ombi hilo kwa Waziri wa viwanda na biashara akiwa katika ziara yake ya kikazi mkoani Njombe ambapo pia...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa heshima na Tahadhima tunaiomba Serikali yetu sikivu ya JMT ianze kuipa muundo wa kiutumishi na mshahara Masters/PhD degree

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.........KAZI IENDELEE 🇹🇿 🇹🇿 Naanza na kuishukuru serikali yetu ya Awamu ya 6 chini ya Dr Samia Suluhu Hassan kwa kutujari Watumishi wa umma, na si Watumishi tu, bali makundi yote yameguswa chanya na serikali yetu, utaona ruzuku zimejaa kila Kona ya nchi, na...
  9. JamiiForums Tanzania Jinsi Panyabuku walivyofanya bure kazi ambayo serikali ilitenga dola millioni 1.2 ( Tsh Billioni 3.24 ) kwaajili ya kuifanya

    Huyu ni Panyabuku maji, anaishi kwenye maji na nchi kavu. Wakati mradi wa kujenga dimbwi la maji huko jamuhuri ya Czech ulikua umekwama kwa ajili ya vibali vya ujenzi kwa miaka 7, licha ya kupata ufadhili wa dola millioni 1.2 kukamilisha ujenzi huo siku moja watu wa maeneo hayo waliamka...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali inapaswa kuratibu madarasa ya kufundisha watoto wadogo dini kupitia mfumo rasmi wa elimu

    Video ya inayosambaa mitandaoni ya mwalimu wa madrasa huko Mbagala akiwapiga fimbo watoto wadogo ni mbaya sana. Hata hivyo ukisikiliza wanaochukua hiyo video wanasema siku nyingine huwa anawapiga mpaka hasira zake ziishe! Hii ni hatari kwa usalama wa hao watoto. Kwa kumuangalia tu huyo mwalimu...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali yatoa bilioni 2.5 kuendeleza ujenzi hospitali ya Dtk. Samia Muheza

    Serikali imeipatia hospital ya Dkt Samia Suluhu Hassan iliyopo wilayani Muheza kiasi cha sh. 2,570,164,000 fedha kuendeleza ujenzi wa hospitali hiyo pamoja na ununuzi wa vifaa tiba. Akikabidhi sehemu ya vifaa tiba vilivyotolewa na serikali Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali kujenga ukumbi wenye uwezo wa kubeba watu 5000 Arusha

    “Mikutano hii tunayoiona ni namna Rais alivyoamua kutekeleza Diplomasia na Rais alisema anataka kuifungua nchi na moja ya namna ya kuifungua nchi ni pamoja na mikutano hii. Na mikutano mikubwa ndio inayotangazwa zaidi lakini niseme mikutano midogo ya Kimataifa ambayo inafanyika Tanzania ni mingi...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Zanzibar: Serikali kufikisha huduma za afya kwenye visiwa vidogo

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali imedhamiria kumaliza matatizo ya kiafya wanayokabiliana nayo Wananchi wanaoishi katika Visiwa Vidogovidogo kwa kufikishwa katika matibabu kwa wakati ili kupunguza vifo vinavyoweza kuepukika ikiwemo vya...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Shinyanga: Ujenzi wa zahanati ambayo haujakamilika tangu 2012, wananchi waililia serikali ikamilishe ujenzi huo

    Wakazi wa Kijiji cha Bushimani kata ya Chambo Wilayani Kahama mkoani Shinyanga wameiomba Serikali kukamilisha ujenzi wa Boma la Zahanati walilolijenga kwa nguvu zao mwaka 2012 ili kuwaondolea adha ya kufuata huduma za Matibabu umbali wa kilomita 10. Veronica Michael na Elizabeth Mabula ni...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi wa Kijiji cha Mtyangimbole Halmashauri ya Madaba, waishukuru serikali kwa kuwajengea shule ya sekondari

    Wananchi wa Kijiji cha Mtyangimbole kata ya Mtyangimbole Halmashauri ya Madaba, wamemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kupitia Mbunge wa Jimbo la Madaba Joseph Kizito Mhagama, kwa kujenga shule ya sekondari katika eneo hilo ambayo imeondoa adha kubwa iliyokuwa ikiwakumba wanafunzi kulazimika...
  16. JamiiForums Tanzania Njia wanazotumia viongozi wa serikali kufanya ufisadi

    Viongozi wa serikali katika nchi nyingi za Dunia ya Tatu hutumia mbinu mbalimbali za kifisadi ili kuiba pesa za wananchi huku wakijifanya kuwa waadilifu na wenye dhamira ya maendeleo. Wanafanya hivi kwa kutumia mifumo rasmi ya serikali, udhaifu wa sheria, na mbinu za ujanja wa kiutawala. Hapa...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali kujenga uwanja mpya wa ndege Kagera

    Kufatia kuwepo kwa mahitaji makubwa ya uwanja mkubwa wa Ndege, mkuu wa Mkoa wa Kagera Hajat Fatma Mwassa amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameridhia kutoa fedha za ujenzi wa uwanja mpya wa Ndege katika maeneo ya Kyabajwa wilayani Missenyi. Akitoa taarifa hiyo kwenye kikao cha bodi...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali yazindua mpango wa matumizi ya ardhi kudhibiti migogoro kibiti

    Kijiji cha Mkupuka, kilichopo wilayani Kibiti, mkoani Pwani, ni miongoni mwa vijiji 57 vinavyonufaika na mpango wa matumizi ya ardhi, hatua inayolenga kudhibiti migogoro ya ardhi na kuboresha matumizi ya rasilimali hiyo. Mpango huo unatekelezwa na Serikali kupitia Tume ya Taifa ya Mipango ya...
  19. JamiiForums Tanzania Wazee wa Yanga waibuka sakata la mechi ya Singida, wamshukia Jemedari Said pamoja na baadhi ya viongozi wa Serikali wanao sapoti Simba

    Wazee wa Yanga waibuka sakata la mechi ya Singida, wamshukia Jemedari Said pamoja na baadhi ya viongozi wa Serikali wanao sapoti Simba "Kuna baadhi ya viongozi wa nchi wanasema Yanga ifungwe, sasa kwa hali hii Refa hawezi kuchezesha mpira" MPIRA”. Huyo ni moja ya mzee wa Yanga akiwalalamikia...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali imejenga Chumba cha kuhifadhia maiti hospitali ya wilaya Ikungi

    Dkt Bernard John Mtelemwa Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Wilaya ya Ikungi Serikali imejenga Chumba cha kuhifadhia maiti Ikungi Rais Samia ana mchango mkubwa katika kuboresha huduma za afya wilayani Ikungi. Uongozi wake umewezesha serikali kujenga chumba cha kuhifadhia maiti, hatua muhimu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…