serikali

  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Msigwa: Ningependa Tundu Lissu ashinde Uenyekiti CHADEMA kwa faida ya demokrasia ya Tanzania na hata kwa CCM yenyewe

    Mchungaji Msigwa ameeleza wazi kuwa anamuunga mkono Tundu Lissu katika kinyang’anyiro cha Uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Akizungumza kuhusu mwelekeo wa uchaguzi huo, amesema: "Mimi nam-support Tundu Lissu, ningependa ashinde, lakini ni matatizo yao hayo. Mimi, yeyote...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini ushukuru au uombe kujengewa Barabara, Shule au Kisima na Serikali kama kodi na Rasilimali zenu ndo zinazozalisha hiyo hela?

    Katika jamii yoyote inayotawaliwa kwa misingi ya haki na usawa, wananchi wanapaswa kuwa kiini cha mipango ya maendeleo ya taifa. Hata hivyo, hali imekuwa tofauti katika maeneo mengi ambapo wananchi wanalazimika kuandika barua, kuomba kwa wanasiasa au hata kuandamana ili kupata huduma za msingi...
  3. JamiiForums Tanzania Fainali ya CAFCC isipopigwa Taifa, Serikali itoke hadharani kuomba radhi

    Serikali isipumbaze watu ati wanahujumiwa na Morocco ambao wana ushawishi CAF Binafsi nasema hapana, uwanja wa Mkapa ni mbovu na hauna hadhi ya kutumika kucheza final ya shirikisho Toka 2023 huu uwanja ulifungiwa na kiasi cha billions 31 zilitokewa Kwa ajili ya ukarabati Fedha zote hizo...
  4. JamiiForums Tanzania Kukosa au kucheleweshwa huduma kila mara katika taasisi za serikali kwa sababu mtandao hakuna au uko chini ni jambo la hovyo sana

    Hakuna jambo linakera kama unafika katika taasisi fulani hasa za serikali na benki unaambiwa huwezi kupata huduma au huduma itachelewa kwa sababu sijui mtandao hakuna au uko chini, duniani huko kwa watu wenye akili sasa hivi wanafikiria kwenda kwenye network ya 6G sisi bado tunambwelambwa na...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali yazifungia laini 47,728 zilizosajiliwa kwa NIDA, kwa kuhusishwa na Uhalifu wa Kimtandao

    Serikali imebaini na kuzifungia laini za simu 47,728 pamoja na nambari za Kitambulisho cha Taifa (NIDA) 39,028 baada ya kugundulika kuwa zimehusika katika matukio ya uhalifu wa kimtandao na udanganyifu kwa njia ya mawasiliano. Hayo yameelezwa leo Ijumaa Mei 16, 2025 na Waziri wa Mawasiliano na...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mpina aivaa Serikali wajawazito na watoto kutozwa fedha za matibabu, Serikali yajibu

    Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amehoji kuhusu watoa huduma za afya katika hospitali za serikali kuwatoza fedha wanawake wajawazito na watoto chini ya miaka mitano, kinyume cha sheria na kuhoji waliruhusiwa na nani kufanya hayo? Swali hilo limejibiwa na Naibu Waziri wa Afya, Godwin Mollel...
  7. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Afya: Busara inatumika, Mgonjwa mwenye uwezo analipa Hospitali za Serikali

    Akijibu hoja za Wabunge walioeleza kuwa kuna Wajawazito wengi na Watoto chini ya umri wa miaka mitano wamekuwa wakilipiishwa fedha katika Hospitali za Serikali kinyume na maelekezo ya Serikali, Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema kuna wakati busara inatumika licha ya uwepo wa Sheria...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali usiingilie mpira mechi itapelekwa Rwanda

    Naona watu wasiowajua CAF vizuri inawaambia serikali ifanye udanganyifu Ili mechi isichezwe New Amani Nasema kama mnataka kujichanganya mkacheze mechi Kwa Kagame iambieni serikali itie ngumu hapo ki uhlisia jamaa wanajua chore kinachoendelea bongo
  9. JamiiForums Tanzania Syllabus ya shule za msingi za serikali na private inatakiwa iwe sawa na mtihani uwe mmoja kama ilivyo form four

    Nikiwa Rais shule zote ambazo zinafanya mitihani inayosimamiwa na baraza la mtihani necta kuanzia primary mtihani utakuwa ni wa lugha moja kama ni English wote ni English Sio sawa hata kidogo mtoto wa maskini anamaliza shule ya msingi hana msingi wa lugha ya kingereza ilihali watoto wa wenye...
  10. JamiiForums Tanzania Mwana FA: Fainali ya Simba dhidi ya RS Berkane itachezwa Benjamin Mkapa

    Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amesisitiza kuwa Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba SC na RS Berkane itachezwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, Mei 27, 2024 kwa kuwa Serikali imefanya jitihada mbalimbali za...
  11. JamiiForums Tanzania Semina kubwa Songea, Wajumbe zaidi ya 800 wa siasa na Serikali za Mitaa wafikiwa na Mama Samia Legal Aid

    Hii ndio Tanzania ya watu wote. https://www.youtube.com/live/CIfhuj_3bvM?si=hu0-rcS5CnzB9JT9
  12. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mwananidi: Serikali kuwasajili bodaboda rasmi kuwawezesha kiuchumi

    Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake Jinsia na Makundi Maalum Mwananidi Ali Khamis amesema Serikali imeanzisha mchakato wa kuwasajili madereva wa vyombo vya magurudumu mawili, maarufu kama bodaboda, katika mfumo maalum ili waingizwe katika utaratibu rasmi kwa ajili ya kuwawezesha...
  13. JamiiForums Tanzania Askari wawili wafariki kwa kupigwa na radi Simanjiro

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara Kamishna msaidizi Mwandamizi SACP Ahmed Makarani amethibitisha kufariki kwa Askari wawili wa Kikosi cha usalama barabarani, waliofariki kwa kupigwa na radi wakati wakiendelea na majukumu yao ya udhibiti wa usalama. Tukio hilo limetokea katika Mji Mdogo wa...
  14. JamiiForums Tanzania Je, Nchi za Ulaya zimepuuza Bunge la EU?: Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Czech zimetia saini Mkataba muhimu

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Czech zimetia saini Mkataba wa Kuondoa Utozaji Kodi ya Mapato Mara Mbili na Kuzuia Ukwepaji Kodi, hatua itakayosaidia kufungua uchumi wa nchi kwa kuvutia uwekezaji wa kimataifa na utawezesha wawekezaji na wafanyabiashara...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali Itaendelea Kutoa Mikopo kwa Vikundi vya Wanawake

    SERIKALI ITAENDELEA KUTOA MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE. Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amesema serikali kupitia Halmashauri za mkoa wa Mwanza inaendelea kutekeleza jukumu la utoaji wa mikopo kwa vikundi vya wanawake waliokidhi vigezo kwa kuzingatia Sheria, taratibu...
  16. JamiiForums Tanzania Wizara ya viwanda na biashara yataja mafanikio miaka minne ya serikali ya awamu ya sita

    Wizara ya Viwanda na Biashara imepata mafanikio makubwa katika maeneo mbalimbali yakiwemo uendelezaji wa miradi ya kielezo na kimkakati; upanuzi na ujenzi wa viwanda; uendelezaji wa teknolojia mbalimbali; atamizi na ubunifu; utafutaji wa masoko ya bidhaa za Tanzania ndani na nje ya nchi; ubora...
  17. JamiiForums Tanzania Ushauri/Ada kwa shule za serikali.

    Morning..... Nashauri tu serikali ingeweka ada kwa shule za serikali kuanzia shule za msingi na sekondari, kuliko ilivyo sasa pesa nyingi zinaenda kwa watu wachache tu na kujinufaisha wao binafsi na kushindana kucheza michezo ya upatu sehemu za kazi, Nashauri tu serikali iweke ada hata kwa...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM acheni kujihujumu wenyewe, acheni kukamata walipa kodi

    Hao mnaowakamata kwasababu za kisiasa ni walipa Kodi halali na TRA inawatambua!mkosoaji wa mitandaoni yeyote yule hawezi kukosoa bila kununua bando na hawezi kununua bando bila kufanya kazi,mnapomkamata maana yake mmepoteza mlipa Kodi na serikali itakosa mapato ya kumalizia miradi ya maendeleo...
  19. JamiiForums Tanzania Ujenzi DART Dar es Salaam, Serikali iko likizo?

    Siyo siri, ujenzi wa mradi wa Dar es salaam Rapid Transport(DART), una matatizo makubwa. Mkandarasi barabarani hana vifaa kabisa vya kukidhi kazi hizi kubwa. Kwa observation ya wazi ni kwamba mkandarasi mchina, kwanza hana uwezo. Pili linaloigusa Serikali moja kwa moja ni kwa nini mkandarasi...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali kuanzisha mfuko wa 'Samia Innovation Fund' wenye thamani ya Tsh. bilioni 2.3 kutoa mikopo nafuu kwa wabunifu

    Serikali inatarajia kuanza utekelezaji wa mfuko wa Ubunifu wa Samia “SAMIA Innovation Fund” wenye thamani ya Shilingi Bilioni 2.3 utakaotoa mikopo nafuu kwa wabunifu kwa lengo la kuendeleza na kubiasharisha ubunifu pamoja na kutoa fursa za ajira kwa watanzania kupitia kazi za ubunifu. Waziri wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…