serikali

  1. Kipenzi Changu

    Serikali ya Samia inanuka rushwa: Orodha ya Idara zinazoona zina haki ya kupewa rushwa

    Awamu ya Magufuli kidogo watumishi wa serikali walishaanza kuogopa. Nidhamu na customer care ilikuwepo kwa kiwango fulani. Kwa hiki nampongeza Magufuli. Awamu hii ya sita hali inatisha. Ofisi za umma zinanuia uvundo wa rushwa. Kuanzia boss mpaka msaidizi wa ofisi wote wanaweza kirushwa-rushwa...
  2. C

    Ugumu wa mawasiliano, Taasisi na Ofisi za Serikali

    Ni bahati mbaya sana kuona mawasiliano mengi ya Ofisi na Taasisi za Umma zitumii namba za simu walizoweka katika mtandao hasa za TTCL. Simu nyingi hazipatikani kwa kuwa hazijalipiwa hivyo kuleta usumbufu mkubwa sana kwa mtu mwenye kuhitaji huduma katika Taasisi husika. Kama namba...
  3. ChoiceVariable

    Tetesi: Saudi Arabia yapewa haki ya umiliki na uendeshaji wa bandari ya Bagamoyo kama sehemu ya mradi wa East Gate

    Eneo la uwekezaji la Bagamoyo iliwepo Bandari limepata mwekezaji Mpya ambae ataliendeleza, kampuni ya SADC kutoka Saudi Arabia baada ya China na Oman Kushindwa Kuendeleza. Pia soma Serikali yafufua mchakato ujenzi Bandari ya Bagamoyo Swali ni Je mfupa ulimshinda fisi, saizi utatekelezeka...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    Serikali kuweka siku ya jumamosi kuwa siku ya Usaili ni kuwakosea Haki Wahitimu waumini wa kisabato

    Serikali kuweka siku ya jumamosi kuwa siku ya Usaili ni kuwakosea HAKI Wahitimu waumini wa kisabato. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Sabato Njema. (itikia Njema Sana). Wahitimu wa kisabato wanasikitika baada ya baadhi Yao kukosa kwenda kwenye Usaili kutokana na siku iliyowekwa kwaajili ya...
  5. Waufukweni

    Sakata la bandari ya Bagamoyo kuuzwa kwa Waarabu latua Bungeni. Prof. Kitila asema Serikali haijaingia makubaliano yoyote ya uwekezaji

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo ajibu sakata la Bandari ya Bagamoyo. Asema Serikali haijaingia makubaliano yoyote ya uwekezaji Soma: Ubalozi Wa Saudi Arabia Nchini Tanzania Watoa Maelezo ya Kina juu ya Upotoshaji unaoendelea Mitandaoni "Serikali ipo...
  6. Blasio Kachuchu

    Barrick yachangia shilingi trilioni 3.6 pato la Serikali kwa kipindi cha miaka 4

    Meneja wa Barrick nchini, Dk.Melkiory Ngido akitoa taarifa ya utendaji wa Barrick na Twiga kwenye kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini. Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini Dkt. Mathayo David akifuatilia taarifa katika mkutano huo Kampuni ya Uchimbaji...
  7. upupu255

    Waziri wa Fedha apendekeza nyongeza ya Tsh. bilioni 945.7 kwenye bajeti ya serikali ya 2024/25. Pesa za Kampeni zinatafutwa?

    Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba apendekeza nyongeza ya TSh bilioni 945.7 kwenye Bajeti Kuu ya Serikali ya 2024/25 kutoka kwenye ile ya awali ya Trilioni 49.3 iliyowasilisha Bungeni Juni 13,2024. Soma: Waziri Mwigulu awasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025
  8. O

    Kuna uhusiano gani kati ya kula pesa ya serikali na kunenepa ovyo

    Samaleykum, Hawa jamaa zetu hasa wa umri wa kuanzia 26 mpaka 35, hiyo miili mikubwa na mavitambi yasiyoeleweka mnavipata vipi haraka haraka, na ni juzi tu mmetoka shule mkiwa wembamba kama rula, yaani mtu mnafanya kazi sawa, dili za hapa na pale mnapiga wote fresh, lakin mwenzako anafutuka tu...
  9. U

    Serikali ya Lebanon yapiga marufuku ndege za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kutua uwanja wa ndege Beirut, maelfu ya abiria wakwama kusafiri

    Wadau hamjamboni nyote? Kumekuchaa Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Dozens of Lebanese nationals have been stranded at the international airport in Tehran since this morning after Lebanese aviation authorities informed the Iranian Mahar Air airline that its flight to Beirut would not be...
  10. Just Pray

    PreGE2025 Serikali TAMISEMI yaahidi kuchangia zaidi ya Milioni 600 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa kituo cha Afya cha Ukumbi Kilolo, Iringa

    Serikali kupitia ofisi ya Rais, Tawala za mikoa na serikali za mitaa - TAMISEMI (Afya) imeahidi kuchangia zaidi ya Milioni 600 hadi kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa kituo cha Afya cha Ukumbi kilichopo Kata ya Ukumbi Wilaya ya Kilolo Mkoa wa Iringa. Ahadi hii imetolewa na Naibu Waziri wa ofisi...
  11. JanguKamaJangu

    Mussa Azzan Zungu: Serikali iangalie upya mikataba ya Wakandarasi wageni

    Naibu Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu ameishauri Serikali kuangalia mikaba na kusaidia Wakandarasi wazawa kupata nafasi pia katika miradi mbalimbali, ametoa ushauri huo kwa Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt.Festo Dugange wakati wa Bunge la 12 Mkutano wa 18 Kikao cha 13, leo Februari 13...
  12. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Wabunge waiomba Serikali kuwatumia watumishi walisimamishwa kazi USAID

    Serikali imeshauriwa kuwatumia wataalamu wa sekta ya afya waliokuwa wanatumika katika hospitali za umma lakini sasa hawatoi huduma zao kwa sababu ya ajira zao kusitishwa na Shirika la Kimataifa la Misaada la Marekani (USAID). Soma Pia: Trump asimamisha misaada kwa nchi nyingine kwa siku 90 ili...
  13. Ojuolegbha

    Serikali Imeendelea na Ujenzi wa Bwawa la Kidunda lililopo Wilaya ya Morogoro Vijijini mkoani Morogoro

    Serikali Imeendelea na Ujenzi wa Bwawa la Kidunda lililopo Wilaya ya Morogoro Vijijini mkoani Morogoro. Mradi huu ulikuwepo kwenye mipango ya maendeleo tangu Tanzania ilipopata Uhuru mwaka 1961 ambapo utekelezaji wake umeanza. Ujenzi utatekelezwa kwa gharama ya Sh. bilioni 336 ambapo hadi sasa...
  14. B

    Majina ya Kina John wamefanikiwa sana kuingia kwenye Siasa na Serikali Tanzania, nini siri ya jina John?

    1. John Kijazi 2. John Magufuli 3. John Heche 4. John Mnyika 5.John Kaijage 6. John Kitwanga 7............. Aliyepata hasara ni John Babptist tu. Kama una akina john wengine wataje
  15. Waufukweni

    Ajira 2,611 za Ualimu zatangazwa, huu sio mkakati wa CCM kuongeza wapiga kura?

    Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Mamlaka za Serikali za Mitaa (LGAs) anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi elfu mbili mia sita kumi na moja (2,611). Serikali ilitoa tangazo hilo Februari 10, 2025 huku kwa...
  16. P

    KUHAMA KITUO CHA KAZI KWA MASHIRIKA YA UMA YA SERIKALI

    Wakuu mimi niko Mamlaka ya maji nawafikiria sana TRA, TBS, eGA, TCRA na TANAPA ni ICT afisa, nataka nipambanie uhamisho kwenye hizi taasisi ni ICT afficer II-SOFTWARE DEVELOPER(WEB) hii taasisi haifanyi software development kabsa zote zinafanywa na eGA, naomba msaada wa kiufundi watalam ili...
  17. Mwachiluwi

    ZBC ni ya serikali au ya Dini ya kiislamu

    Naomba kufahamishwa ilo ZBC nani mmiliki na kama serikali tunajua kuwa serikali haina Dini why iwe imejikita kwenye dini? Tunaona TBC haijaegemea upande wowote zaidi ya upande wa serikali maudhui ya TBC sana sana kuonyenyesha miradi inayo endelea na mambo mengi ya serikali Lakini kwa ZBC...
  18. Waufukweni

    Wananchi Hai, Simanjiro na Arumeru wafunga barabara kwa saa nne waitaka Serikali kutatua changamoto

    Wananchi wa Kata ya Kia (Wilaya ya Hai, Kilimanjaro), Majengo (wilayani Arumeru, Arusha), na Naisinyai (wilayani Simanjiro, Manyara) wameandamana na kufunga barabara ya Mirerani hadi Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), wakishinikiza Serikali kutatua changamoto ya eneo korofi...
  19. Stephano Mgendanyi

    Serikali Yaainisha Mikakati ya Kuwawezesha Vijana Kushindana Kwenye Soko la Ajira

    BUNGE limeelezwa mikakati mitano inayofanywa na serikali katika kukabiliana na tatizo la ajira kwa vijana nchini na namna kumudu ushindani kwenye soko la ajira. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema hayo Februari 10, 2025...
  20. Jaya_lchemist

    Serikali ya Wezi, Taifa la Waliodanganywa by Jay Alchemist

    Serikali ya Wezi, Taifa la Waliodanganywa S01 Episodi 01 ********* Ni Alfajiri hapa Mwiki,Kasarani jijini Nairobi. Alfajiri hii ni kama zile alfajiri nyingine nyingi za mwaka. Alfajiri hii haifanani na zile alfajiri za mwezi Julai. Julai, mwezi ule kila mtu analalamika kuwa baridi kawa baridi...
Back
Top Bottom