serikali

  1. JamiiForums Tanzania Je, wanaharakati wa Kenya na nchi Jirani watakuja tena kwaajili ya Kesi ya Lisu ili kuzidi kuitia ndimu na kuchafua serikali ya Tanzania?

    Habari za Leo! Tunajua kilichowakuta awamu ya Kwanza. Bado tunaendelea kushuhudia vijana wa Kenya wakitoa sumu kwa Mamlaka ya Tanzania hasahasa kumshambulia Rais wetu. Swali, je wanaharakati hao wataendelea kuja kushuhudia kesi ya Lisu ili kuzidi kuiharibu taswira ya nchi yetu kimataifa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHASO yaitaka serikali iache uoga iruhusu siasa vyuoni

    Akizungumza mbele ya Makamu Mwenyekiti John Heche, Mwenyekiti wa jumuiya ya wanafunzi wa CHADEMA vyuo na vyuo vikuu CHASO ameitaka serikali kuacha uoga wa kuzuia siasa vyuoni. Amekumbusha kuwa wapo viongozi mbalimbali waliojulikana kwa kupitia vyuo akataja mfano wa Jaji Joseph Warioba
  3. JamiiForums Tanzania Joseph Kabila adai Serikali ya DR Congo ni ya Kidikteta

    Siku chache baada ya Serikali ya DR Congo kuonesha nia ya kumfungulia mashtaka ya uhaini na makosa ya kivita pamoja na kumhusisha na Kundi la Waasi wa M23, Rais wa zamani wa Nchi hiyo, Joseph Kabila (53) amesema inachofanya Serikali ni utawala wa mabavu. Kabila amemkosoa Rais kwa kudhoofisha...
  4. JamiiForums Tanzania Ni uzalendo kufichua ufisadi na mafisadi ndani ya serikali.

    Sabato njema! Ni jukumu la wazalendo mahala popote walipo iwe ni watumishi wa serikali, viongozi wa serikali au raia wa kawaida. Jukumu namba moja la mzalendo ni kulinda nchi yake. Kulinda maslahi ya watanzania. Kufichua ufisadi na mafisadi ni sehenu ya kulinda Nchi na kulinda Maslahi ya...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi oral interview za serikali ni lazima kujibu maswali yote kwa ufasaha?

    Hivi wakubwa Hizi oral za serikali ni lazima kujibu maswali yote kwa ufasaha au ni kitu gani kingine huwa wanaangalia ili kuweza kukuita kazini?
  6. JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM imeji dhalilisha ndani ya Jumuia ya Afrika Mashariki na dunia nzima kwa 100%

    https://youtu.be/8KZulT0i1nk?si=OmucN8PMwbOADTlj Kwa unyama huu waliotendewa Wanasheria na Wanaharakati toka nchi za jirani zetu Kenya na Uganda kimeharibu kabisa uhusiano wa kidplomasia. Tujiulize: Kulikuwa na ulazima gani wa kuwakamata, kuwatesa na kuwa dhaliilisha kingono baadhi yao? Mtu ni...
  7. JamiiForums Tanzania Kichaka cha Amani chini ya Serikali ya CCM… yafaa kufyekwa- Miguna

    Kila kitu Utasikia wasituvurugie amani. Hiki Kichaka wakuu kinatakiwa kuondolewa. Hii sio amani bali ni Ulaji na ufisadi kwa utulivu.
  8. JamiiForums Tanzania Wana-JA niokoeni nitoke mnipe connection.

    Kwa heshima na taadhima kwenu Wana-JA Mungu ashukuriwe na mtaji wa pumzi ninapumua na afya njema ila swala la kiajira nimekwama nishapita kwenye jukwaa la ajira ila nimeona nije na hapa maana jukwaa hili lina nguvu sana kama mdogo wenu, kijana mwenzenu na kijana wenu nipo hapa kama tittle...
  9. JamiiForums Tanzania Kabla Hatujachelewa: Neno Langu kwa Serikali, Upinzani na Watanzania wote

    Tanzania imejengwa juu ya misingi thabiti ya amani, umoja, na mshikamano. Hii ndiyo sababu leo tunasafiri, tunasoma, tunafanya biashara, na tunaishi bila hofu ya vita wala machafuko – tofauti na mataifa mengine yanayoishi kwenye taharuki ya kila siku. Lakini katika kipindi hiki cha mvutano wa...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali kujenga daraja linalounganisha kijiji cha Gegero – Kilindi

    Serikali imethibitisha kuwa inaendelea na hatua za awali kuelekea ujenzi wa daraja la kudumu linalounganisha Kijiji cha Negero katika Wilaya ya Kilindi, mkoani Tanga, ili kuboresha miundombinu na kuchochea shughuli za kiuchumi kwa wananchi wa eneo hilo. Akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la...
  11. JamiiForums Tanzania Kitu cha kushangaza mnafungia mtandao wa X ila bado mnatumia serikali kutangaza habari zenu kutumia VPN

    Hii mada sitaki kuunganishwa mods wa JF. Mnapenda kuhamisha mada ili kukosa nguvu ya ukweli. Wanayofanya serikali ya Tanzania kupitia CCM ni kama akili za watu wenye upeo mdogo sana. Wanafanya hivi ni kwamba mtandao wa X una nguvu kubwa ili mambo yao ya wasiojulikana ili wasijulikane. Mbona...
  12. JamiiForums Tanzania Zijue njia za kutakatisha Fedha zinazofanywa na Viongozi wa Umma na Serikali ( Wahalifu wa Kisiasa)

    1. Anaweka cha juu kwenye Kandarasi ya Mradi fulani au Ununuzi wa Vifaa. Akilipwa hicho cha juu anaenda haraka kununua mali mfano Shamba au Kiwanja au nyumba au hata hisa/ bond kwenye kampuni/ shirika fulani. Kwenye hili pia anaweza kufungua akaunti kwenye bank nje ya nchi na kuweka fedha hizo...
  13. JamiiForums Tanzania Al Jazeera yazidi kuikalia kooni serikali ya Rais Samia

    Heko tele ziende kwenye kituo cha Al Jazeera kwa kuendelea kuyamulika yanayoendelea Tanzania. Jana/ leo wamerusha habari za Boniface Mwangi kutekwa na kuteswa na vyombo vya usalama vya Tanzania. Kama bado haijatokew basi muda si mrefu itatokea. Serikali ya Samia itakuja kukifungia kituo cha...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali na TFF iangalie namna ya kuifidia Simba SC kwenye hili sakala la uwanja wa Benjamin Mkapa

    Baada ya shughuli za kupongezana na kunyoosheana vidole kuisha, nadhani kuna namna inabidi Simba SC ikae chini na Serikali pamoja na TFF waangalie namna ya kuifidia Simba kutokana na upotevu wa mapato yaliyotokana na kushindwa kuutumia uwanja wa Benjamin Mkapa katika hatua hizi za mwisho za...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Siku serikali inakapojua kutengenisha uwanja wa mpira na uwanja wa makongamano...Ndio uwanja wetu pitch itakapo dumu kwa muda mrefu kwa ubora ule ule

    Magari ya matent fuso,scania zinaingia ndani ya pitch kushusha tent Mashimo au vitu vizito vya kuwekea tent Watu mia n.k kukakaa kwenye pitch kwenye ujinga wa kungamano Yaani hata wakikarabati pitch haitadumu hta mwaka Moja....wenzetu viwanja vyao hata km Kuna MAKONGAMANO pitch Huwa marafuku...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kama akaunti za serikali zimedukuliwa, Je sisi raia akaunti zetu zipo salama?

    Nimefika mitaa fulani , nisipataje Kuna habari zikawa zinazungumzwa kijiwe cha fundi viatu mmoja maarufu. Kuwa akaunti nyeti za serikali ya Tanzania zilidukuliwa. Je sisi raia?
  17. JamiiForums Tanzania Serikali yangu itawawezesha wavuvi kununua meli kubwa za kisasa za kuvua samaki pwani ya bahari ya hindi

    Hii ni kuhakikisha tunanufaika na pwani ya bahari ya indi tofauti na sasa hatunufaiki nayo
  18. JamiiForums Tanzania Nanyumbu Yazalisha Dhahabu za Bilioni 1.28, Serikali Yahimiza Uchimbaji Endelevu

    NANYUMBU YAZALISHA DHAHABU ZA BILIONI 1.28, SERIKALI YAHIMIZA UCHIMBAJI ENDELEVU Wilaya ya Nanyumbu, mkoani Mtwara, imeanza kunufaika na rasilimali zake za madini baada ya Serikali kuthibitisha kuwa madini ya dhahabu yenye thamani ya shilingi bilioni 1.28 yamezalishwa wilayani humo katika...
  19. JamiiForums Tanzania Vijana wa Tanzania wana Maisha magumu sana, serikali iwe makini

    Picha inaongea jinsi ambavyo vijana hawana Nuru wala uhakika wa kesho yao.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…