serikali

  1. JamiiForums Tanzania Mawakili wa Serikali walaani Azimio la TLS

    Chama cha Mawakili wa Serikali (PBA) kimesema hatua zilizochukuliwa na viongozi wa Chama Cha Wanasheria Tanganyika (TLS) cha kuwataka mawakili wa kujitegemea kutoshiriki kwenye shughuli za utoaji wa msaada wa kisheria kwa wananchi ni kinyume cha sheria za nchi na miiko ya kazi za wanasheria...
  2. JamiiForums Tanzania Kiuhalisia manunuzi yote ya serikali nje ya nchi hayatumii hata senti moja ya kodi zetu

    Tuseme serikali inataka kununua v8 500, malipo yote yatafanyika kwa dola na sio tsh, na ili kuipata hio dola ni lazima uuze nje hakuna sehem ingine duniani unaweza kubadilisha tsh na dola zaidi ya nchini tu
  3. JamiiForums Tanzania Natural gas drilling na pipeline zinatakiwa zimilikiwe na serikali kama kweli tunataka kunufaika na gesi asilia tuliyokuwa nayo

    Tanzania kama nchi nyingi za Afrika tuna-experience kubwa sana ya kutonufaika na rasilimali tulizonazo kama nchi mfano ukienda kanda ya ziwa kuna migodi mikubwa ya dhahabu ila still kuna umaskini mkubwa sana eneo la kanda ya ziwa Nini-kifanyike ili kama nchi tunufaike na rasilimali hii ya gesi...
  4. JamiiForums Tanzania Bishop Gwajima je siku 10 hazijaisha? Acheni mikwara mbuzi kwa Serikali

    Ilikuwa tatehe 15 August, na leo ni tarehe 21 Septemba, zaidi ya siku 35.
  5. JamiiForums Tanzania Suala la ajira kwa wenye Diploma ya food science and technology limefikia wapi?

    Hivi ndugu zangu suala la ajira kwa upande wa Diploma ya food science and technology limefikia wap maana ni mda umepita tunaomba serikali iliangalie
  6. JamiiForums Tanzania Mabilioni yanayotumika kugawa magari na vifaa kwa Polisi wakati huu, je, Serikali inaboresha na maslahi yao pia?

    Siyo siri moja kati ya majeshi ambayo naweza kukiri imani yake kwa Wananchi wengi ni kama imepungua kwa kiasi kikubwa kutokana na matukio mbalimbali yanayowahusu nchini basi ni Jeshi la Polisi. Polisi wanahusiana na Wananchi moja kwa moja tofauti na majedhi mengine, inawezekana hiyo ikawa...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Wahamiaji 11 kutoka Marekani waishtaki Serikali ya Ghana kwa Kuzuiliwa kinyume cha Sheria

    Watu 11 waliorejeshwa nchini Ghana kutoka Marekani wameifungulia mashtaka serikali ya taifa hilo, kwa madai ya kuzuiliwa kinyume cha sheria. Wakili wao, Oliver-Barker Vormawor, ameiambia BBC kuwa wateja wake hawajavunja sheria yoyote ya Ghana, lakini walihifadhiwa kwenye kambi ya kijeshi bila...
  8. JamiiForums Tanzania Nchi za Magharib zitageukia kuongoza kimabavu na ubabe, na zimeshaanza

    Umoja na utulivu wa nchi za magharib zilitokana na iman zinazofanana kama Ukiristo, kua na adui mmoja kama ugaidi (islam), au kipindi cha uadui na Soviet Union. Hili lilifanya propaganda za utawala kuaminika na umma wote na wananchi wote kua na agenda moja. Kutokana na muingiliano wa kijamii (...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Simba watajifunza kwa maumivu makali ya kukosa ubingwa hadi 2030, siasa na serikali havikwepeki, kuna safari ngumu sana kwa simba

    N:B: Ngao ya jamii haihusiki 😁 Simba wametandikwa kihalali. Tupo Tanzania, hapa sio Malawi au Kenya, ukiwa na kampuni, biashara, taasisi, n.k. kuna vitu inakubidi uvifanye katika uwanja wa serikali na siasa ili mambo yaende hata vilabu vya mpira inabidi wavifanye hata kama haviwafurahishi...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Vijana waiomba Serikali wawape Uhuru wa sehemu wanazofanyia biashara ndogondogo

    Vijana wenye ujuzi wa kutengeteneza majiko kupitia vyuma chakavu, wamesema wanaiomba Serikali kuwawezesha katika ujuzi wao na kutowatoa maeneo wanayofanyia kazi. Vijana hao wamesema kutokana na elimu yao kuwa ya kawaida wanatumia ujuzi huo kujikimu kimaisha ikiwemo kusomesha watoto.
  11. JamiiForums Tanzania Kwa kilichotokea leo nashauri Serikali ipige marufuku masuala ya mipira nchini

    Wakuu, Kwa hili vibe nililoona mitaani leo. Mabanda ya mpira kujaa, kila mtu kuongelea mpira status na mitandao yote kuzungumzia kuhusu mpira nadhani ifike muda CCM ifute kabisa masuala ya mipira Watu wanatakiwa wafocus na masuala ya kimaendeleo kama kilimo, uvuvi na ufugaji. Haiwezekani...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Lissu hataachiliwa na mahakama wala serikali, bali Mama mwenyewe au sisi wenyewe tukiamua

    Tunafeli hapa: 1. Nani asiyejua Lissu ni mwanzo wa mwisho wa wahuni? Kumbe anaachiliwa vipi ili aje kuwatia wao majaribuni? 2. Anapigwa vipi mwenzetu bila hatia hadharani tukishudia kama kuku wa kideli? 3. Vipi wanachaguliwa hawa wanaopigwa huku tukiangalia tu? Pia soma: GE2025 - Kuelekea...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Taasisi za Umma, Polisi na watumishi wa Umma mmefanya kosa gani hadi mfunge sehemu ya comments?

    Wakuu, Teknolojia imeleta mabadiliko makubwa sana ikiwemo kwenye mawasiliano ikiwemo Web 2 ambayo inarahisisha watu kuchangamana na kutoa maoni yao katika mambo kadha wa kadha. Kupitia maendeleo haya tunategemea kuona wananchi wakitoa maoni yao kwa uhuru na kushiriki katika mijadala mbalimbali...
  14. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Chonde chonde Serikali ya Awamu ya Sita, mtaleta machafuko nchini

    Kwa hali ya kisiasa ilivyo kwa sasa, amani nchini itatoweka 1. Viongozi wa vyama vya upinzani vyenye kuonesha kuungwa na jamii (km CHADEMA na ACT-Wazalendo) wanawekewa vipingamizi visivyo na misingi, na kuekelea wapiga kura, wanaowaunga mkono, kutokushiriki Uchaguzi Mkuu, kinyume na haki yao...
  15. JamiiForums Tanzania Ukweli ni upi kuhusu Serikali ya awamu ya sita?

    Nawaita hapa wote. Wadau wa CCM , wadau wa vyama vya upinzani, wasio na vyama na watu wengine. Maneno mtaani ni mengi kuhusu Serikali ya awamu ya sita. Yanasemwa mengi kuihusu ikiwemo ufisadi unaofanywa na Rais , familia yake pamoja na watu wa karibu yake. Lakini haya husemwa kila awamu...
  16. JamiiForums Tanzania Jinsi ambavyo watu wanajaribu Kuibagaza Yanga. Serikali iingilie kati suala hili. Hii ni Team ya Chama

    Huu ujinga serikali ikemee. Yanga ni team ya Taifa. Kwa nini watu watumike kuibagaza na kuibananga namna hii? Hili shoga limevaa jersey ya Yanga linfurahia kama ambavyo huwa yanavaa za CCM.
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Nchimbi: Serikali itatenga TSh. 200 Bilioni kwa vijana na wajasiriamali ndani ya siku 100 za kwanza

    Mgombea Mwenza wa CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi, amesema iwapo CCM itashinda uchaguzi wa mwezi October, Serikali ya Chama hicho itatenga shilingi Bilioni 200 na kuzitoa kama mikopo ya Vijana na Wajasiriamali Nchini. Nchimbi amesema sambamba na hilo, pia watarasimisha shughuli za Wajasiriamali...
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Chama Cha Wanasheria wa Serikali: Hakuna Anayeijua Sheria Kuliko Wakili wa Serikali

    Rais wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA), Bavoo Junus, amewaonya wananchi kuepuka kujadili masuala ya kisheria bila kuwa na uelewa wa kutosha, akisema kitendo hicho kinasababisha upotoshaji unaoweza kudhoofisha imani ya jamii kwa taasisi za sheria. Akizungumza leo Ijumaa, Septemba...
  19. JamiiForums Tanzania PRESS CARD kwa Mwandishi wa Habari: Itolewe na Serikali au Mwajiri?

    Nimekutana na hili andiko, naona mtoa hoja ana hoja: Na Ndimara Tegambwage Je, katika mazingira ya uandishi wa habari; yale ya ukusanyaji taarifa kwa ajili ya kuandaa habari au andiko la kuwasilisha katika chombo cha mawasiliano; bado kuna sababu au haja kwa Serikali kuendelea kutoa...
  20. JamiiForums Tanzania Milioni 1.7 imetolewa kwenye account yangu ya CRDB, nawasiliana nao hawanipi majibu

    Taingia juzi akaunti yangu kwenye benki ya CRDB imepunguzwa balance kiasi cha Milioni 1.7. Cha kushangaza sijawahi fanya huo muamala. Nimejaribu kuandika email CRDB hawajajibu. Nimewasiliana kupitia pages zao za Social Media hawajajibu. Leo ni siku ya 3 kiasi hicho hakijarudi na nikiomba Bank...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…