Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Novemba 18, 2025 akiwa katika hafla ya uapisho wa baraza la Mawaziri Ikulu Chamwino Dodoma ameshindwa kujua idadi ya wabunge ambao wapo katika Serikali yake
Ukishaitambua Serikali ni nini hakika hutaweza kuanza kuleta mawazo mgando.
Kona zote za nchi Serikali inafanya kazi, Sasa hivi serikali inaundwa kila kitu kitakuwa mahali pake. Vijana wa Gen Z watashangaa kuona babu zao wanawasaliti. Wataingizwa kwenye mkenge. Wazee wamekaa kwenye migawahawa...
Serikali tunaomba mzuie Carrot zinazotoka Kenya. Carrot hizi zinamuumiza sana mkulima.
Ni kama kumpambanisha mkulima wa Tz na Kenya kwenye soko tena la nyumbani.
Wakulima wengi wa nyumbani sio wakubwa na sio wa kulima maeneo makubwa.
Mtu anayelima robo acre na mtu anayelima acre hamsini...
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Njombe kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Sigrada Mligo, ametoa wito kwa taasisi zote za Serikali na umma mkoani Njombe kushirikiana naye ili kuharakisha maendeleo kwa wananchi.
Akizungumza mara baada ya kurejea mkoani humo, Sigrada amewashukuru...
Taarifa Kwa Umma na Vyombo vya Habari.
- Maridhiano hayawezi kuongozwa na watu ambao hawafahamu na/au wamegoma kutambua kiini cha machafuko yanayoendelea Tanganyika, nchini Tanzania.
- Tunawaonya watu binafsi, makundi, na wengine wanaojitokeza kushiriki katika kiinimacho cha maridhiano...
Waoneeni size yenu Chadema
Huko mnakokwenda sio
Hivi mnajua nguvu ya FBI na CIA, hao sio TISS inayotumwa na Mafweli na kuendeshwa na Abduli
Yaani Mwanajeshi kutoka USAF umkamate Tanzania Rorya akiwa na mabomu ya kurusha? 😃
Hivi mnaona hayo mabomu ya kurusha ni silaha kubwa na USAF?
Hayo mabomu...
Naona wengi wanasema eti yatakuwa ya Amani kwamba watashika mabango na kutembea tuuu mpaka ikulu bila kugusa mali ya mtu!!
Aiseee..
Kwanza tuelewe : maandamano ya amani nchi hii yanayokubalika labda yawe kwa ajili ya kumpongeza mama! Mfano ile kampeni ya mama asemewe!
Kinyume na hapo hakuna...
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Morogoro limeunga mkono agizo la Serikali ya Awamu ya Sita kutaka vyombo vya ulinzi na usalama kuchunguza vifo vilivyotokea baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29.
.
Sheikh wa Mkoa huo, Twaha Kilango, amesema uchunguzi wa haraka unahitajika ili...
bakwata
baraza kuu la waislamu tanzania (bakwata)
kuchunguza
mara
mauaji
mkoa wa morogoro
moja
morogoro
serikali
siku
uchaguzi
vurugu
vurugu siku ya uchaguzi
Friends and Our Enemies,
Kuna ajenda ya udini inaendelea chini chini na haikuanza leo dhidi ya Rais Samia,Ajenda hiyo ilijicha kwa muda mrefu sana lakini hivi sasa ni wazi kabisa imejionyesha ni nani alikuwa mastermind wa ajenda hiyo.
Kama sote tutakuwa na kumbu kumbu vinara wa uchochezi na...
Tanzania imeunga mkono ajenda zote muhimu zilizojadiliwa katika Mkutano wa Tisa wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR).
Makamu wa Rais, Balozi Dk Emmanuel Nchimbi alisema hayo wakati akimwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano huo uliofanyika...
Gen Z wamesema mjumbe yeyote atakayekubali uteuzi ni msaliti sawa na kushirikiana na wauaji, wawe wanambea na familia zao maana watawatembelea kwenye nyumba zao au biashara zao kama walivyowatembelea wasanii wasaliti.
Askofu Mbilu kutoka Lushoto Tanga wa Kanisa la KKKT ni miongoni mwa wajumbe...
Kuna kikundi unaweza kusema kina watu wengi ila kinawatu wachache sana ambao ukitaka kujua wanshindwa kurudisha majibu pale ukiwajibu hakuna respond kukuonesha huyu account ni mtumiaji .
Hii inafanywa kwenye mitandao ya kijamii pale watawalawa wachafu utashangaa wakikanusha unaona like nyingi...
Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru Ally, amesema kuwa dhana ya maridhiano ya kweli haiwezi kujengwa juu ya makubaliano ya kisiasa pekee, bali lazima iyatokane na wananchi kama msingi wa mamlaka ya nchi...
Bila Salamu.,
Nilitaka kuandika hili kama comment katika Uzi Fulani days ago but sikufanya hivyo Sababu niliogopa kwamba kwa kufanya hivyo nitaogopesha watu wanaotuma picha na videos,pili niliogopa kua kama Serikali haifanyi nilichofikiria basi nitakachosema ndio kitawapa mbinu na nini Cha...
Dunia yote inajua walisusa, wakagomea ku sign kanuni za uchaguzi walitegemea serikali itawabembeleza. Sasa hivi maisha yanaendelea, mpaka kufikia 2030 CHADEMA itakuwa imekufa.
Mfadhili mkuu w CHADEMA kila mtu amemuona, Tundu Lisu aliwahi kunukuliwa akisema aliwahi kukutana na kiongozi wa dini...
Anguko Kuu la CCM na Serikali yake halitotokana na jambo lingine lolote lile zaidi ya kukosa akili.
Kukosa kwao akili ndo kumesababisha wawapuuze Wananchi na madai yao ya ukweli kisha kukimbilia kuwateka, kuwaua na kuwapoteza hali iliyopelekea hasira za Wananchi kupanda na kufikia kikomo na...
Kila machafuko huwa ni fursa kwa watu. Hilo la mikono ya watu nitalisema siku nyingine, ila kuhusu maandamano na vurugu niseme tu kwamba nimeyashuhudia yote tokea yanaanza siku za kwanza sijasimuliwa: Vijana wanapigwa risasi na kukimbizwa hospitali nimeona, Kufukuzwa na magari ya jeshi nimeona...
Habari za humu, Kuna Jambo moja linashangaza sana, Hivi nini maana ya kiongozi? Bila shaka tunaelewa tofauti kati ya Boss/Mtawala na Kiongozi/Leader.
Kiongozi ni yule aliyetoka miongoni mwa watu wake ili aweze kuwaongoza na kushirikiana nao katika njia moja na uelekeo mmoja kwa pamoja na kwa...