serikali

  1. JamiiForums Tanzania Bungeni: Bajeti Kuu ya Serikali Mwaka wa Fedha 2021/22

    Bajeti ni makadirio ya mapato na matumizi ya serikali Leo Bungeni Dodoma, Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba anatarajiwa kuisoma bajeti ya serikali ya mwaka wa fedha 2021/22
  2. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Uchumi wa Tanzania umekua licha ya mlipuko wa COVID-19. Deni la Serikali ni himilivu

    Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesema licha ya mlipuko wa COVID19, Tanzania ni miongoni mwa Nchi chache zilizokuwa na ukuaji wa Uchumi chanya kwa mwaka 2020. Amesema Pato la Taifa la Tanzania lilikua kwa 4.8% na sekta zilizochangia kwa kiasi kikubwa katika ukuaji ni Ujenzi, Habari na...
  3. JamiiForums Tanzania Baada ya serikali kupunguza bei ya kuunganishiwa umeme kuwa Tsh 27,000 Mkoa wa Kilimanjaro ofisi ya Tanesco mkoa yakabiliwa na upungufu " Surveyor"

    Baada ya Serikali kupunguza kulipia umeme Hadi 27,000 tanesco kwenye baadhi ya mikoa ,limeibuka tatizo la kukoseka kwa watumishi wanaojulikana kama ' surveyor, mfano kule Kilimanjaro ofisi ya tanesco mkoa ,kuna surveyor wawili, anaohudumia ofisi ya mkoa . Hii imechangia kuongezeka kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Orodha ya bidhaa ambazo Serikali inatakiwa izizuie kuingia nchini

    Binafsi naamini ukosefu wa ajira unasababishwa na kujilemaza na kuruhusu nchi iagize nje kila aina ya takataka, kuna aina za bidhaa iwapo zitakosekeana Vijana automatically watajifunza namna ya kutengeneza na kujipatia ajira na kipato, na wala sio bidhaa za ulazima kwamba zikikosekana nchi...
  5. JamiiForums Tanzania Namibia: Upinzani wakosoa makubaliano ya Serikali na Ujerumani kuhusu mauaji ya kimbari

    Wanasiasa wa Upinzani Nchini humo wameikosoa kitendo cha Serikali kuingia makubaliano na Ujerumani kuhusu mauaji ya kimbari wakati wa Ukoloni, ambapo Taifa hilo liliomba msamaha na kuahidi Dola za Marekani Bilioni 1.3 Wameishutumu Serikali kwa kuwaweka kando wao pamoja na Jamii zilizoathiriwa...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Bei za mabati na saruji juu, Serikali ipo wapi?

    Kuna nini viwandani? kama uzalishaji umepungua Serikali iruhusu vifaa vya ujenzi kama bati na saruji kutoka nje kuingizwa nchini. Bati za Simba Dumu zilizokuwa zikiuzwa bundle 1 bati 16 shilingi 325,000/= hadi kufikia juzi bei ilikuwa imefika shilingi 400,000/= kwa bundle 1 la bati za simba...
  7. 4

    JamiiForums Tanzania Serikali ya awamu ya tano iliharibiwa na chuma ulete?

    Mungu mwema sana kwangu, pia mwema kwa WanaJF wote, na niwasalim katika yeye mwenye uwezo juu ya kila kitu alicho kiumba Niende kwenye mada, ambayo ni fupi mno maana yaitaji majibu ili mnisadie. Mwendazake na serikali yake ilikua inasema kwamba inakusanya mapato Mara dufu ya serikali zote...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Serikali angalieni maslahi ya kada nyingine pia, si kila kitu Polisi tu. Kuna Walimu, Madaktari nk

    Nimesoma mahali, serikali ina mpango wa kutoa viwanja vya ujenzi wa nyumba binafsi kwa askari polisi ili wasifedheheke pindi wanapostaafu. Rai yangu ni kwamba hili liende kwa watumishi wote isiwe kwa polisi tu. Hainiingi akili kuwa askari anaelipwa mshahara, posho ya shiling 300,000/, pesa ya...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali yapiga marufuku wanunuzi kukopa pamba za wakulima

    Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema Mnunuzi yeyote anapochukua Pamba katika Chama cha Msingi, ni lazima Mkulima awe amelipwa ndani ya muda usiozidi saa 48, na watakaoenda kinyume watafutiwa Leseni. Kauli yake imekuja baada ya Mbunge Robert Maboto kuhoji ni kwa namna gani Wizara...
  10. JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Tuliyajua, Hatukuyajua lakini hilo zaidi ya tatizo

    TULIYAJUA, HATUKUYAJUA, HILI NI ZAIDI YA TATIZO. Kesi iko mahakamani, sitaki kusema yaliyomo ya kesi hiyo. Najipa haki ya kusema jambo zima kwa ujumla wake. Siku Rais Samia alipochukua ofisi nilipendekeza Mwongozo wa Kuongoza Kipindi cha Mpito wa awamu mbili, yaani kutoka ya 5 kwenda ya 6...
  11. JamiiForums Tanzania Ni muda muafaka kwa sasa Serikali iajiri Manesi, Wahasibu na wataalamu wa manunuzi kwa shule zote za umma

    Nchi yetu inashuhudia tatizo kubwa la ukosefu wa ajira kwa sasa. Basi kutokana na shule nyingi za umma kuwa na idadi kubwa ya wanafunzi basi ni vyema kuajiri Manesi kwa ajili ya kutoa huduma ya dharura ya kitabibu kwa wanafunzi wanaopata matatizo ya afya, wahasibu kushughulikia suala zima la...
  12. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kushiriki kuhudhuria mkutano (hotuba) ya kiongozi wa Serikali

    Wanajamii Forum ________________ Ninaomba kama kuna mtu anaweza akawa na idea kuhusu namna ya kushiriki kikao, mkutano ama shughuli yoyote ya kiongozi wa kitaifa Mfano Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nk... Mfano kuna taarifa kuwa hivi...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Biashara haramu zenye kufadhiliwa na Mamlaka za Serikali

    Mabibi na mabwana sasa hii nikiwa mjini kurejea maskani tokea hija - kanda pendwa. Safarini vituko ni vingi tokea kwenye operation kukusanya 30,000/= @ gari hadi biashara haramu chini ya mamlaka za serikali alimradi kazi inaendelea. Operation kusanya pesa nilileta uzi kamili...
  14. JamiiForums Tanzania Israel: Serikali inayoweza kumtoa Benjamin Netanyahu madarakani kupigiwa kura Juni 13

    Bunge la Israeli limesema Kura juu ya Serikali mpya ambayo inaweza kumaliza Utawala wa miaka 12 wa Waziri Mkuu, Benjamin Netanyahu, itapigwa Juni 13, 2021. Kiongozi huyo aliyehudumu kwa muda mrefu zaidi Nchini Israeli (miaka 12) ameuita Muungano mpya kuwa ni udanganyifu wa karne. Ikiwa...
  15. JamiiForums Tanzania Marekani: Mitandao ya kijamii, tovuti za Serikali na vyombo vya habari zaathiriwa na kukatika kwa mtandao

    Multiple outages hit social media, government and news websites across the globe on Tuesday morning, with some reports pointing to a glitch at U.S.-based cloud computing services provider Fastly. Reuters could not immediately confirm the issue affecting the sites. Fastly said it was...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Serikali kutangaza zabuni ya kupeleka mawasiliano maeneo ya mipakani

    SERIKALI KUTANGAZA ZABUNI YA KUPELEKA MAWASILIANO MAENEO YA MIPAKANI Serikali kupitia Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) inatarajia kutangaza zabuni ya awamu ya sita yenye lengo la kupeleka mawasiliano katika kata 179 zenye vijiji 358 mradi unaolenga kupunguza changamoto ya mawasiliano kwa...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Mbatia achachamaa, ahoji Deni la Taifa limefikaje Tsh 71 trilioni? Ataka Serikali iombe radhi

    Mwenyekiti wa NCCR, Mageuzi Mh. Mbatia amehoji inakuwaje leo tunaambiwa deni la taifa limefika tsh 71 trilioni? Kwa miradi gani mbona hatuioni? Mbatia amedai mbona serikali ilikuwa inatuambia haikopi ila inatumia fedha zetu za ndani? Mbatia ameitaka serikali iombe radhi wananchi kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Tunaosimama na Sabaya hatuipingi Serikali, tunapambana dhidi ya dhuluma na uonevu kwa waliojitolea kupambania Taifa

    SABAYA FOR CHANGE (S4C) Another day, better than Yesterday. Katika simu na jumbe nyingi nilizopokea swali lililojirudia mara nyingi ni "Iwapo Sabaya anashtakiwa na Serikali, je nyinyi mliosimama kwa upande wa sabaya mmeamua kupambana na Serikali?" UFAFANUZI WA KWANZA: Well, Hatupambani na...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali iwalipe wakulima wa zao la korosho madeni ya mwaka 2018

    Nawasalimu kwa jina la JMT.. Kama kichwa kinavyojieleza. Kwanza nianze kwa kusema kwmba mimi sio mkulima wa zao hilo, lakini pia sio mwenyeji wa mikoa yenye umaarufu wa kilimo cha zao hilo. Hivyo naandika haya sio kwamba nina maslahi yangu, hapana..! Nimeona niwasemee wahusika kwani nina amini...
  20. JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Corona isiwe kwa wazembe kukusanya mapato ya Serikali

    Mbunge Luhaga Mpina ametahadharisha mlipuko wa COVID19 usiwe kinga kwa watu waliozembea kukusanya mapato ya Serikali kwa kisingizio cha Ugonjwa huo. Katika mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Fedha, Mbunge huyo amehoji namna Wizara hiyo inafuatilia ili kujiridhisha pale inapoambiwa sababu ni Virusi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…