serikali

  1. JamiiForums Tanzania Bungeni: Kamati ya Bunge yazitaja sababu zinazopaisha bei ya mafuta

    Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini imetaja mambo matatu yanayochangia kupanda kwa bei ya mafuta ikiwemo uwezo mdogo wa maghala ya kupokelea na kuhifadhi mafuta nchini. Mwenyekiti wa kamati hiyo, Dustan Kitandula ameyasema hayo leo Jumanne Februari 15, 2022 wakati akiwasilisha taarifa ya...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini mtu kama mzazi wako yupo juu Serikalini, Waziri au Katibu Mkuu watu wanasema umepata kazi kwa ajili ya connection

    Mfano mkubwa Dr. Mwele, Kwa kweli watoto wa Mzee Malecela wana Akili. Sasa nimechoka kwa watu kusema mtu Huyu kapata Hii kazi kwa ajili ya mzee. Sasa Hivi head lines zote za Dr. Mwele ni mtoto aliyekuwa Waziri Mkuu. Dr. Mwele was bigger than her own father, she was not a politician.
  3. T

    JamiiForums Tanzania UDART acheni kubweteka! Mnatoa huduma za usafiri kwa kuringa sana. Serikali iruhusu makampuni binafsi waingize mabasi ili kuchochea ushindani

    Kampuni ya usafirishaji katika jiji la Dar-es-Salaam (UDART) maarufu kama mwendokasi inatakiwa ijitathmini utendaji wake mara moja kwani huduma ya usafiri wa mabasi haya ni kero kwa wananchi. Madereva wakifika katika vituo vyao vikubwa (terminal) badala ya kupakia abiria waliojazana kwenye...
  4. JamiiForums Tanzania Watumishi wengi wa Serikali hawana tija. Mishahara inapotea bure

    Unakuta mtumishi wa serikali anaingia kazini saa 2 asubuhi. Saa 3 anatoka kwenda mtaani kutafuta chai...anarudi ofisini saa 5 au 6 mchana. Anavuta muda ikifika saa 7 mchana anatoka kwenda kutafuta chakula cha mchana. Anarudi saa 8 mchana. Saa 9 huyo anaondoka zake. Ni watumishi wengi sana wa...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Jaji kufanya uchambuzi wa kurasa 1,500 ukaweza kutoa hukumu kwa siku mbili ni jambo lisilowezekana

    Mhe. Jaji amesema tarehe 18/02/2022 atatoa maamuzi kama watuhumiwa wana Kesi ya kujibu au la. Wakati huohuo ameeleza Kwamba karani wake ameshaandika page 1400+ na Kwamba anatakiwa kiutaratibu Jaji anapaswa kusoma nakutoa maamuzi ni facts zipi zinahitajika kuprove kama Kuna kesi ya kujibu au la...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali: Hatujasaini EPA, Msimamo wetu uko palepale

    Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara imekanusha suala linaloendelea mtandaoni kuwa serikali imepitisha Economic Partnership Agreement(EPA) ambayo imetajwa na wasomi wengi kuwa itasababisha Tanzania kupoteza mapato yanayotokana na Importations kwa takribani 71% in the long run Wizara imesema...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali imeshikwa pabaya sana kesi ya Mbowe na wenzake

    Hii kesi serikali ilijiaminisha hatari, Sirro akatangazia dunia kuwa wanao ushaidi wa kutosha wa kumtia hatiani Mbowe, Tena akataja wanao mashaidi 24. Walidhani wataendesha kesi gizani, ndo maana mwanzoni walikuwa wanakataza watu wasiingie mahakamani. ASP Kingai alifikia hatua ya kumwambia Mbowe...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kuna Mbunge nimemsikia mjengoni akiomba Serikali iajiri wanaojitolea. Hii haikubaliki

    Mnaenda kututengenezea mazingira gani? binafsi mimi niseme ni baba wa mtoto mmoja, pia ninatunza familia wazazi wangu wananitegemea mimi, kipindi nimemaliza chuo niliamua kujitolea lakini hali ikawa mbaya nilikuwa napewa elfu 30 kwa mwezi, familia yangu ile na wazazi niwape majukumu...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Serikali mkiweka siasa Ngorongoro hamtapata suluhisho

    Nawashauri Serikali wakiweka Siasa kwenye swala hili la Ngorongoro hii mbuga baada ya miaka itakuwa tatizo. Kuwahamisha wamassai kule ni lazima kama wana nia njema. Waziri mkuu ameweka siasa zaidi. Tunaongelea watu pekee wakati tatizo kubwa ni mifugo karibu 1M. Waandishi wa habari wametenda haki...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali imebariki gharama hizi za matibabu?

    Ni kweli kuwa serikali imekuwa ikiongeza bajeti ya afya mwaka hadi mwaka. Ni kweli kuwa kutokana na serikali kuongeza bajeti ya afya, sasa tumeshuhudia Kila Wilaya imejengwa Hospitali ya Wilaya. Si tu kujenga hospital ya Wilaya, sasa nguvu kubwa imeelekezwa kwenye kujenga vituo vya afya katika...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Mfuko wa serikali wa kuwekeza

    SOVEREIGN WEALTH FUND Kwajina lengine huitwa social wealth fund. Huu ni mfuko wa serikali ambao husaidia kuepuka athari zinazo sababishwa na nchi kuwa na rasilimali kama mafuta, gas, madini nk Inshort, huu ni mfuko ambao husaidia kutunza pesa ambazo zinatokana na faida ya nchi kuwa na...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Ukiacha ubunge wa Halima Mdee na wenzake, hivi hata wabunge wa CCM ni halali na serikali hii pia ni halali?

    Sometimes tunapohiji uhalali wa kisheria wa ubunge wa Halima Mdee na wenzake 18, huwa najiuliza ina maana wabunge wa CCM waliopo Bungeni ni halali? Mimi naamini 2020 hatukuwa na uchaguzi, hivyo hata wabunge wa CCM na serikali nzima si vyombo au taasisi halali, kwahiyo kutegemea Spika atasema...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali kuhusu mikopo tunayopokea kutoka kwa wahisani

    Kukopa kutoka nje ni jambo jema sana ikiwa utatumia mkopo husika kutekeleza miradi ya maendeleo kwa manufaa ya wananchi. Tangu tupate uhuru 1961 mikopo tuliopata ni mabillioni ya dollar za Kimarekani. Tujiulize kuwa thamani ya mikopo hiyo na hatua ya maendeleo tuliopiga mpaka sasa inaoana...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Taasisi gani inatoa mikopo isiyo na Riba kwa wafanyakazi wa Serikali?

    Nikiwa kama muajiriwa wa serikali naomba kufahamu ni taasisi gani ya kifendha inatoa mikopo ya pesa isiyokuwa na RIBA kwa watumishi wa Serikali? Mwenye kufahamu naomba anifahamishe jinsi gani naweza kunufaika na huo mkopo.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Kama hali ndio hii huko Ngorongoro, basi Serikali ijitafakari upya kwani tunaweza pata hata laana kama Taifa

    Inaumiza, inasikitisha unless sio kweli. Jionee:
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mlioko Muhimbili Hospital tafadhali tupeni updates za mara kwa mara kwani tayari huku Mitaani Uchuro kwa Mgonjwa wa Serikali imeshaanza

    Halafu mnaoingia Kumuona Mgonjwa wa Serikali tafadhali mkiwa mnatoka acheni Kulia kwani mnatutisha wengine wenye Mioyo myepesi. Kwani nasikia hata wale mlioenda St. Thomas tarehe 14 Oktoba, mwaka 1999 na wale mlioenda kwa Mzena tarehe 17 Machi, 2021 mlifanya hivi hivi na baadae Majonzi yakaanza...
  17. JamiiForums Tanzania Ujana ni kama Moshi, ukitoka haurudi; Maendeleo ya taifa letu yanahitaji watu na watu wenyewe ni vijana

    Na. Sifael Essau Mpollo. Rais wa 32 wa Marekani Franklin Delano Roosevelt aliwahi kusema “We cannot always build a future for our youth, but we can always build our youth for the future.” Kwa tafsiri isiyo rasmi katika Kiswahili ni kwamba "Siku zote hatuwezi kujenga mustakabali wa vijana wetu...
  18. Z

    JamiiForums Tanzania Nchi hii acheni kudekeza Wamasai. Chukueni hatua kuwaondoa kiburi

    Wamasai wamedekezwa kwa miaka mingi kwa kisingizio cha kuwabadilisha; wapende shule, wapunguze mifugo, sijui bhla! bhla gani. Wamekuwa wasumbufu wanaojidai kutojua sheria za nchi kwa kisingizio eti ndivyo walivyo. Hawa wanajifanya na wametumia mwanya huo kundekeza ukabila na kujifanya wao ni...
  19. JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: Kuanzia sasa matibabu ya Joseph Haule(Prof. Jay) yatagharamiwa na Serikali

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema kuanzia sasa Serikali itagharamia matibabu ya aliyekuwa Mbunge wa Mikumi Joseph Haule Profesa J anayetibiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili hadi hapo atakaporuhusiwa kurudi nyumbani. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu alipofika Muhimbili leo...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Serikali: Ardhi ya Tanzania ni mali ya Umma siyo ya Kabila moja, Katiba imemkabidhi Rais wa JMT aisimamie

    Waziri wa Maliasili na Utalii Dr Damas Ndumbaro ametoa kauli ya serikali kuhusiana na mgogoro wa Ngorongoro. Dr Ndumbaro amesema ardhi ni mali ya Umma wa watanzania siyo mali ya kabila fulani na katiba ya JMT imempa Rais madaraka ya kuisimamia, kuiendeleza na kulipa fidia panapohitajika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…