Picha lina anza mhadhiri wa UDOM anakamatwa na vyombo vya dola kisha kushtakiwa kwa kosa la ugaidi. Je huyo mhadhiri ametenda kosa la ugaidi? Mimi sio mwanasheria ila najua kuwa this case is Res Sub Judice, and therefore very little to comment about that. Hukumu ya Mahakama ndio itakayo tupa...
Kosa limeshatokea Kwa watumishi wake kuleta madhara yasiyo tarajiwa.
USHAURI ;
1. Serikali ishiriki kikamilifu katika hatua zote stahiki Kwa kutoa ushirikiano Kwa wazazi.
Ingawa serikali Haina kosa kabisa ( haijathibitika kosa ni la wahanga au watumishi wake)
2. Hekima,busara na uvumilvu...
Watanzania ,ninaleta kwenu wazo la kuwa na Serikali ya Umoja wa Kitaifa kwenye Katiba mpya.Ninapendekeza kwamba chama cha siasa au mgombea binafsi atakayepata kura kuanzia Asilimia Kumi (10%) kiwe ndani ya Serikali.
Hii itasaidia kuondoa mtindo tulio nao sasa wa mshindi kuchukua vyote hata kama...
Ndugu Watanzania!
Nchi yetu imeingia katika dimbwi la matope na kinyesi. Tanzania inatuhumiwa kupeleka watu kwenda kusaidia kupora Uchaguzi wa Zambia kumsadia Hakainde Hichilema anayesadikika kuwa ameshindwa Uchaguzi ili aapishwewa kuwa Rais wa Zambia kwa muhula mwingine.
Mgombea wa upinzani...
Kiongozi wa upinzani Zambia mh. Brian Muntayala Mundubile, ni vizuri akawa mtulivu na akaheshimu demokrasia na maamuzi huru ya wananchi wa jamuhuri ya Zambia kwa kumchagua tena Rais Hakainde Hichilema.
Hakuna haja ya kusingizia waTanzania, wakati wananchi wa Zambia kwa uhuru, haki na utashi wao...
Changamoto ya salary scale kwenye mashirika yanayofanya kazi sekta binafsi baadhi Yao wanalipa mshahara mdogo ambao hauendani na salary scale iliyowekwa na Serikali na ni ajira za mkataba.
Hata pale wanapohuisha mkataba mpya badala ya mshahara kuongezeka, unaweza ukabaki pale pale angali...
Anonymous
Thread
binafsi
changamoto
mshahara
sekta
sekta binafsi
serikali
viwango
viwango vya mshahara
Serikali imeona njia pekee ya kupambana na upinzani ni kuwapa lesi za ugaidi na uhaini nadhani wana hamu sana na ugaidi wenyewe na inaonekana wanautamani sana
Kuna viashiria vinapelekea niamini kuwa huyu bilionea wa Simba huenda ni tapeli.
1. Alishawahi kusema kuwa ameinunua timu ya Simba na ndiyo kitu cha thamani anacho miliki. Ikumbukwe kuwa HAJAWAHI kukanusha kauli hii.
2. Interview ya Mh. Murtaza Mangungu aliyofanya na Crown FM alidai kuwa kuna...
Hili ni kero kubwa sana kwa wananchi, kwa sababu simu za ofisi za Serikali zinapaswa kuwa moja ya njia rahisi za mwananchi kupata huduma bila kulazimika kufika ofisini.
Tatizo linapojitokeza kwamba namba za landline za Halmashauri, Manispaa, Majiji na mashirika ya umma hazipatikani, hazipigi...
Seneta wa Nyandarua John Methu ameisukuma serikali ya Rais William Ruto kutoa hesabu kamili ya utendaji wake tangu ilipoingia madarakani mwaka 2022.
Methu amesema serikali haipaswi kupuuza ukosoaji kutoka kwa aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua kwa kumkumbusha tu kuwa aliwahi kuwa sehemu ya...
Miaka ya 1800 katikati mskaburu wa Afrika Kusini waliunda taifa lao la Orange Free State. Wakakaa na kupanga mikakati ya nchi. Wakaona moja ya njia ya uhakika kupata pesa ni kupitia kodi kwenye pombe. Pombe ni madawa ya kulevya yenye faida sana.
Basi wakapiga marufuku import ya pombe ili...
12 August 2026
Tanzania Yafungua Soko la Dhamana za Serikali kwa Wawekezaji wa Kimataifa
Tanzania relaxes forex rules to draw foreigners to bonds. 'The reform aims to broaden access to the government-securities market
Benefits of Investing in Government Securities
Treasury bills and Treasury...
Wakili William Maduhu akizungumza leo tarehe 12 Agosti 2026 wakati Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo chini ya Mwenyekiti wake Abdul Nondo inapoadhimisha Siku ya Vijana Duniani kwa kufanya Kongamano katika Ukumbi wa Mrina, Dar es Salaam.
Wakuu wa jukwaa hili,
Mkutano wa tarehe 10 Agosti 2026 kati ya Rais Samia Suluhu Hassan na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) huko Dodoma haupaswi kuchukuliwa kama kikao cha kawaida cha kunywa chai na kupiga picha za tabasamu za Ikulu. Huu ni mkutano uliogusa donda ndugu la taifa letu...
Nimeshangaa sana kuna shule za mjini mpaka miaka hii wanafunzi bado wanapeleka kuni za kupikia na wanafanyishwa kazi za kufagia mavumbi asubuhi shuleni.
Shule ya msingi niliyosoma ilikuwa na ujinga wa kututuma mbolea na maua bila kujali kama 99% ya wanafunzi hawakuwa wafugaji wala wenye bustani...
Baadhi ya kero hizo ni kama ifuatavyo:
1. Wafanyakazi kubebwa na roli kwenda na kutoka kazini.
2. Mfanyakazi akilalamika juu ya kutotemdewa haki anatishiwa kufukuzwa kazi.
3. Mazingira ya eneo la kulia chakula ni mabovu na chakula hakina ubora wa kutosha na hawana wataalamu wa upishi wala bwana...
Nikisikiliza kauli zao hawa watu, wamekosa hekima kabisa, serikali imejaa wajinga na wajivuni, na hakuna yeyote mwenye viashiria vya hekima ya kiuongozi kati yao na hasa kwa wale waongeaji ongeaji juu ya hili
Msisahau mnapo kuwa mnaongea hizo kejeli zenu dhidi ya yale mliyo wafanyia...
Chadema ina orodha ndeeefu ya watu wasioonekana waliotekwa na serikali. Yaani kwa mujibu wa chadema kila asiyeonekana nyumbani kwao ametekwa na serikali, lakini huyu mama alitoroka mwenyewe usiku na kwenda Kenya na kurudu mwenyewe baada ya miaka 42 kupita. Hata polisi wetu hawakujua alienda wapi...
Ili kupata cheti cha kuzaliwa kupitia mfumo wa eRITA, unatakiwa kulipa Sh20,000, kisha kwenda RITA kuchukua cheti.
Wiki hii nilifika RITA Chalinze DC kuchukua cheti cha mtoto. Baada ya kuchapisha cheti, mhudumu alikifanyia lamination na kuniambia nilipie Sh1,000 kwa ajili ya huduma hiyo...