serikali

  1. JamiiForums Tanzania Mbunge: Serikali iwekeze kwenye miradi yenye tija

    Tunza Malapo (Viti Maalum) amesema Mkoani Mtwara Soko la Chuno limejengwa kwa Bilioni 5.5 katika eneo ambalo ni tofauti na mwelekeo wa watu wengi akieleza, "Unaweza kujiuliza aliyependekeza Soko lijengwe kule alikuwa anawaza kitu gani? Maana yake ni Bilioni 5.5 zimelala pale hazina tija" Aidha...
  2. JamiiForums Tanzania Tanganyika hatuna chetu kwenye mapato na usimamizi wa utalii Zanzibar, hili swala la Mnaijeria linakuwaje la muungano?

    Inakuwaje watu wa bara wanashadadia, kupambania na kuutetea ugali ambao hawana mgao wake. Kuna binti mnaijeria alikuja Zanzibar mwaka jana kusherekea birthday yake, she claims that angebakwa isingekuwa kusingizia ana ukimwi ila hata hivyo bado aliibiwa takribani milioni 2.4, alipoenda polisi...
  3. JamiiForums Tanzania Barua za Serikali za Mitaa zinazokubalika Sekretarieti ya Ajira kama utambulisho

    Wadau, Kutokana na huyu rafiki angu kutokuwa na Kitambulish cha aina yoyote nimeamua kumshauri aangalie na option ya kuomba barua kutoka Serikali yake ya mtaa anayoishi. Sasa wakuu naomba mwongozo kwa mtu aliyewahi kutumia hii option inakuwaje hyo barua na ni kweli utumishi wanakubali bila...
  4. JamiiForums Tanzania Salamu za pasaka kutoka katika taasisi za Serikali zinasikitisha

    .
  5. JamiiForums Tanzania Kama alipost picha za maiti na waliopigwa risasi huko Twitter lakini akajiunga na Serikali ya Umoja kwa ajili ya tumbo lake anafaa kweli huyu mtu?

    Alilalamika kuwa maelfu ya wapemba walipigwa risasi na wengi kuuawa baada ya uchaguzi wa Oktoba 2020. Lakini kwa jinsi navyopenda pesa na kulisha tumbo lake alisahau kuwa kurasa zake za twita zilijaa picha za wapemba waliopigwa risasi na kuuawa na akaunga umoja na aliodai ni wauaji. Sasa huyu...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Ajira za walimu: Serikali kuajiri kwa kuangalia kigezo Cha umri wa mwombaji na sio mwaka wa kuhitimu chuo

    Salaam! Baada ya serikali kutoa kibali Cha kuajiri walimu zaidi ya elfu 10, Kumekuwepo na mitazamo tofauti tofauti kuanzia bungeni Hadi mitaani kuhusu ni kigezo gani kitumike kuajiri walimu hao ili kuinua elimu nchini. Hivyo ni Bora serikali izingatie kigezo Cha umri wa mwombaji pasipo kujali...
  7. JamiiForums Tanzania CAG: Uwanja wa Ndege Chato ni mradi usio na faida

    Tulisema tukaitwa wapinzani tuna wivu. Sasa wenye mamlaka wa kusema wamesema. -- Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amesema gharama za ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Chato mkoani Geita zilizidi bajeti iliyotengwa kwa sababu ulifanyika bila upembuzi yakinifu...
  8. JamiiForums Tanzania Mgao mkali wa umeme waweza kutokea nchini. Serikali imejipanga?

    'Nimekamilisha ziara ya kuzunguka nchi nzima'. Picha niliyoiona ni ya uhaba mkubwa wa maji tiririka katika water bodies kama vile mito. Hili litaathiri kwa kiasi kikubwa kujaa kwa mabwawa ya kuzalisha umeme, kitu kitakachopelekea nchi kuingia kwenye giza kuu. Nishati ya umeme ni nishati...
  9. JamiiForums Tanzania Si wote ndani ya Serikali wanafurahia kunangwa Hayati

    Huo ndiwo ukweli. Wengi wao wapo hapo kwa namna moja ama nyingine kwa msaada wa Hayati hususani wana siasa. Pamoja na kwamba baadhi ya wateule walitenguliwa lakini ni imani yangu waliobaki wapo wasiofurahishwa na kunangwa kwa boss wao wa awali!
  10. JamiiForums Tanzania Ruby yenye thamani ya bil 276 ilisafirishwa kimagendo huko Dubai? Serikali haina taarifa ilifikaje

    Mbona hii ajabu sasa, madini ya pesa ndefu kama hii yalichimbwa hapa nchini kwetu na kusafirishwa Dubai bila mamlaka za serikali kufahamu? Utata rubi ya Tanzania inayopigwa mnada Dubai Utata rubi ya Tanzania inayopigwa mnada Dubai ====== Rare 8,400 carat rough ruby lands in Dubai for auction...
  11. JamiiForums Tanzania Je, Taasisi za Serikali hazina watumishi wenye Sifa hadi Wakurugenzi Wakuu Wateuliwe toka Nje ya Mfumo?

    Thread hii, inatokana na baadhi ya teuzi za wakurugenzi wa TANESCO na MSD kutoka nje ya mfumo. Nina declare interest kwamba sina shida na teuzi ya MSD. Ni mmoja wa colleagues tuliyekuwa tukifanya naye kazi nje ya mfumo. Ninaamini anastahili, na ataweza. Tatizo linatokea hapa. 1. Hivi inakuwaje...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali haiongelei juu ya matumizi ya gesi yetu kupunguza matumizi ya mafuta?

    Hii gesi yetu kama ingekuwa iko Kenya wakenya wangetengeneza pesa nyingi sana. Wakenya wangekuwa Sasa hivi wanatuuzia gesi ya kupikia majumbani, gesi ya kutumia kwenye magari na viwandani, vifaa vya kuwezesha magari ya aina zote kutumia gesi asilia na kutusambazia vituo vya kujazia gesi kwenye...
  13. JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Filamu ya Royal Tour hazikutumika fedha za Watanzania

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amefanya mahojiano na Wasafi TV na hii ni sehemu ya nukuu zake kuhusu filamu ya Royal Tour ambayo inatarajiwa kuzinduliwa Aprili 18, 2022 Nchini Marekani: Sababu za Wamarekani kupewa tenda "Ile filamu uzinduzi wake ni Tarehe Aprili 18 na utafanyika mara...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali yatenga Tsh. Bilioni 10 ujenzi jengo la Kariakoo

    Serikali imetenga Tsh. bilioni 10 kwa ajili ya kuendeleza ujenzi wa soko jipya la Kariakoo na kukarabati soko kuu lililoungua moto Julai 2021 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Innocent Bashugwa amesema hayo wakati akiwasilisha makadirio ya mapato na...
  15. JamiiForums Tanzania TAMISEMI: Sheria ya serikali za mtaa, the urban planning act 2007 zimepitwa na wakati

    Kumekuwa na claim nyingi juu ya kupandishwa hadhi kwa vijijj, mitaa, na halmashauri kadhaa kutokana na kutimiza vigezo vya kupanda kadhi vilivoekwa na Sheria na kanuni zetu. Suala hili limechangiwa na kupitwa na wakati kwa Sheria mbalimbali zinazoongoza sekta hiyo. Hivyo Kuna uhitaji was wizara...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Je, mfumo wa TANEPS hauisadii Serikali?

    Je, huu mfumo wa manunuzi serikalini kupitia TANEPS hauisadii serikali. Ukisikiliza Ripoti ya CAG 2020/2021 unachoka kabisa, yaani kifaa ya mil 20 kinanunuliwa kwa mil 100 tender mfano ya kuongeza kina cha Bandari Tanga from bil 40 to bil 104. Serikali watumie to force account kupunguza...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali ya awamu ya Sita inaupiga mwingi...Sikia Video hii

    Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan imedhamiria. Tazama video hii
  18. JamiiForums Tanzania Kuna Umuhimu gani ikiwa mapendekezo ya CAG hayatekelezwi?

    Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za serikali kila mwaka wa fedha baada ya kutoa ripoti ya ukaguzi hutoa mapendekezo ili kuongeza ufanisi wa taasisi na kudhibiti upotevu wa fedha na mapato ya serikali. Hata hivyo mapendekezo machache hutekelezwa hali inayotia mashaka kwa nini CAG anaendelea kuwepo ikiwa...
  19. JamiiForums Tanzania Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) 2020/21

    Charles Kichere (CAG) Hii ndiyo ripoti kamili ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere kwa Mwaka wa Fedha 2020/21, imewekwa hadharani Jumanne Aprili 12, 2022. Baadhi ya mambo yaliyoguswa: Mashirika ya Umma kutopeleka michango Sh bilioni 129.33 Mashirika ya umma...
  20. JamiiForums Tanzania Mbunge: Serikali izingatie mambo yenye tija kwa Vijana

    Mbunge Judith Kapinga ametoa wito kwa Wizara inayosimamia masuala ya Vijana kusaidia Wizara nyingine kuona mambo yenye tija mwa Vijana Amesema masuala yanayohusu Vijana yanahitaji kuchukuliwa kwa tahadhari na umakini kwasababu changamoto ya Ajira ni kubwa Ameongeza, changamoto ya Ajira...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…