serikali

  1. JamiiForums Tanzania Kiongozi anasimama anasema foleni inasababishwa na magari machafu yasiyo na AC

    Leo nilikutana na clip moja ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Chalamila. Katika clip hiyo Chalamila anasema moja ya sababu inayosababisha foleni zisiishe ni uwepo wa magari yenye namba A, na mengine ambayo ni machafu na hayana AC (kiyoyozi). Halafu bado mna matumaini ya kuletewa maendeleo na...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali iingilie kati, homa ya nguruwe inafirisi wafugaji

    Kwa sasa mkoa wa Mwanza unakabiliwa na mlipuko mkubwa wa homa ya nguruwe. Ugonjwa huu umesababisha hasara kubwa kwa wafugaji wengi – mabanda mengi yamesafishwa na nguruwe kufa kwa wingi. Kutokana na hali hiyo, sisi kama Chief Farm tumechukua tahadhari kali za kibaiolojia (biosecurity measures)...
  3. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wizi kwenye malipo ya cash hospitali za serikali (imetokea Amana)

    Kuna tabia mbaya inayofanywa na watumishi wa hospitali za umma. Wakigundua mgonjwa (hasa wa kulazwa) anatumia cash na yupo kwenye hali mbaya, huwa wanawanunulisha ndugu madawa mengi ambayo mgonjwa hatoyatumia. Kwa sababu ni ngumu kwa watu kujua, huwa wanalipia dawa nyingi na kuzikabidhi...
  4. JamiiForums Tanzania Chawa Philosopy: Serikali Awamu ya 6 inaweza kutoa tamko la kupiga marufuku kuwashangilia au kuwaenzi wastaafu wenye utumishi uliotukuka!

    Siyo siri, serikali ya Awamu ya 6 ina matatizo ya kukubalika na jamii. Sitaingia katika sababu za kufikia hapo. Lakini wakati wa msiba wa baba Yetu Cardinali Pengo, imejidhihirisha wazi kuwa watu wanajua viongozi wanao wapenda. Kwa kushangiliwa kwa upendo na bashasha kubwa Mpango, Makamu wa...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali kuufunga Uwanja wa Benjamin Mkapa kupisha ukarabati kuelekea AFCON 2027

    Kwani ukarabati wa Lupaso utaisha lini? Tangu mwaka 2023 Serikali iliposaini mkataba wa Bilioni 30 mpaka leo bado mambo hayaeleweki. Serikali imetangaza kuwa Uwanja wa Benjamin Mkapa utafungwa kwa ajili ya ukarabati wa mwisho kuanzia mwezi huu (Machi, 2026) ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Jamii ya Wairan waishio Afrika Kusini wataka serikali ya Ayatollah iondolewe madarakani

    Operesheni ya "Lion Roar" inapoanza leo, tarehe 28 Februari, tunazungumza sio tu kama wanajamii wa Iran nchini Afrika Kusini, bali kama wana na mabinti wa taifa la kale ambalo historia yake inafungamana na ile ya Israeli. Katika wakati huu mtakatifu wa Purimu, wakati Wayahudi ulimwenguni kote...
  7. JamiiForums Tanzania Hii Serikali nimeikubali. Nchimbi tu ndo haiwezi hii kasi ya wenzie

    Ukikoswa koswa kuchambwa na samia unaangukia kwa mwigulu. Huyu anachamba balaa kama dada yake tu. Naona anayetia Doa ni Nchimbi huyu naona anaongea kwa utulivu mkubwa sana Samia ni kiboko kwa kuchamba anakuchamba mpaka unakufa. Ukija Dar unakutana na Chalama naye mchambaji hawa nasikia wanakaa...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Natumai Tanzania imejifunza kwa Iran, hakuna serikali iliyo na haki ya kuua wananchi wake

    Hata kama ni Sovereignty state. Ayatollah Khamenei na serikali yake ya Islamic Republic of Iran walionywa kwa muda mrefu kama tunavyoonya sisi, he ordered 'shoot to kill' thousands of Iranian people, leo wamekula kichwa ndani ya masaa 2 tu baada ya vita kuanza. Serikali ya Tanzania imeonywa...
  9. O

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari vya serikali ya Iran vinaripoti kwamba binti wa Khamenei ameuawawa.

    Vyombo vya habari vya serikali ya Iran vimeripoti kwamba binti yake Khamenei, mkwe wake wa kiume, mjukuu wake na mkwe wake wa kike wameuawa. Kwa mujibu wa taarifa za awali, vifo hivyo vinadaiwa kutokea kufuatia mashambulizi ya hivi karibuni yaliyoripotiwa kulenga makazi yake. Hata hivyo, maelezo...
  10. JamiiForums Tanzania Watumishi wapya wa serikali wanakaribishwa kwenye utumishi kwa kuambiwa wakawe wafanyabiashara

    Kwa siku za hivi karibuni nimekutana na video kadhaa za Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka akiwa katika warsha ya kuwakaribisha watumishi wapya wa umma. Cha kushangaza, video hizo zimejaa mafunzo kwa watumishi hao jinsi gani wanaweza kuwa wafanyabiashara na wakulima. Sijaona mafunzo ya...
  11. JamiiForums Tanzania KERO Kwanini ofisi nyingi za serikali mtandao haujawahi kuwa sawa?

    Ukitaka kushughulikia jambo lako lazima utenge takriban siku nzima, ni kuambiwa tu mtandao upo chini mara haupo sawa, tutafika kweli? Nachoka Mimi.
  12. JamiiForums Tanzania Dkt. Charles Msonde: Serikali imeongeza kasi ya kuimarisha usalama barabarani kupitia mafunzo ya kitaalam

    Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Dkt. Charles Msonde, amesema Serikali inaendelea kuchukua hatua za haraka katika kuimarisha usalama barabarani kwa kuboresha usanifu wa miundombinu, kuimarisha utekelezaji wa sheria, pamoja na kuwajengea uwezo wataalamu ili juhudi hizo ziweze kuleta matokeo...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kibwenzo cha Lissu hatimae kawapata Polisi, Wanasheria wa Serikali na Mashahidi wa Kificho!

  14. JamiiForums Tanzania Mkiambiwa kuwa hamna akili msiwe wabishi. Kila kukicha wanaharakati wenu wajinga wanazusha mambo halafu mnataka serikali itoe majibu

    Hakuna serikali ya kijinga namna hiyo. Mange Kimambi anazusha Mafwele kabakwa halafu anasema serikali ikanushe na Mafwele ajitokeze. Kigogo 2014 anazusha Rais kafa, mnafurahi na kujifariji. Mkiona kimya anatokea Lema na Maria Sarungi mjaa laana wanasema serikali iseme Rais yuko wapi. Anatokea...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya rufani ikikataa ushahidi wa 29 kwenye kesi ya Lisu mawakilii wa serikali wataumbuka lakini ikikubali wataumbuka zaidi, haki huinua Taifa

    Kazi anayofanya Lisu ni kubwa sana kuonyesha udhaifu ulioko kwenye Muhimili wa mahakama ni aibu tupu Kadri wanavyozidi kukaa na Lisu ndivyo wanavyozidi kuumbulia hadharani Ni kama wamepigwa upofu hawajui Nini waamue Ukimeza kaa la moto kivyovyote LAZIMA uumie , ukipandisha likuunguza ukimeza...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Msemaji mkuu wa kijeshi wa M23 aua na jeshi la serikali ya DRC

    Taarifa zinazotoka Kivu kaskazini,zinasema msemaji mkuu wa jeshi la M23 ameuawa katika shambulio la ndege zisizo na rubani. Inasemekana pia shambulio hilo,limemjeruhi kiongozi wa kundi hilo Gen Sultani Makenga. Wakati huo,baada ya raisi wa Angola kutoka kwenye uongozi wa African Union, ametuma...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali inaweza kutengeneza ajira nyingi kwa kujenga barabara za mawe na zege kwenye mitaa ya miji na majiji

    Moja ya sekta kubwa inayochangia GDP na kutoa ajira nyingi ni ujenzi. Nchi yetu, miji na majiji mengi yana barabara mbaya za mitaa. Tunaweza kuboresha barabara hizo kwa kutumia mafundi wa ndani, materials zote za ndani, bila kugusa forex yetu kwa kulipa wakandarasi wa nje na kununua vitu kama...
  18. JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa: Serikali imuachie mara moja na kumlipa fidia Tundu Lissu

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Chama cha Demokrasia na Maendeleo, kimetangaza kuwa Umoja wa Mataifa kupitia Kikundi Kazi chake kimetoa uamuzi unaoitaka Tanzania kumuachia huru mara moja na kulipa fidia Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa umma...
  19. JamiiForums Tanzania Tetesi: Askofu Mwamakula: Kuna Miili iliyoharibika zaidi ya 20, ilifukiwa eneo la MSAE, KIBAHA. Miili ilikuwa kwenye Viroba

    Hii Miili kwa Mujibu wa Mtoa taarifa, ilikua inatoa harufu Kali sanaaaa , maana yake Kama imefukiwa na Serikali, ni kwamba sehemu ilipokua miili hiii, Serikali haikua na uwezo wa kuihifadhi , Je Serikali inakoswa uwezo wa kuhifadhi miili ??? TAHARUKI YAZUKA BAADA YA MIILI MINGI ILIYOHARIBIKA...
  20. JamiiForums Tanzania Nanauka: Madereva Bodaboda, Bajaji wamepatiwa nafasi 300 za kazi, Dubai

    Waziri wa Maendeleo Ya Vijana Joel Nanauka amesema vijana wa kitanzania wanaofanya shughulia za udereva wa Bodaboda na Bajaj zaidi ya 300 wamepata nafasi ya kazi nchini Dubai ambapo baadhi yao wameshaanza kwenda. Lakini pia wapo vijana wengine wanaofanya kazi za ufundi wa nyumba, ufundi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…