serikali

  1. JamiiForums Tanzania Serikali Yaanza Ufungaji Camera Magerezani

    Serikali imeanza Ufungaji wa Kamera maalumu(CCTV) katika maeneo mbalimbali yanayozunguka magereza lengo ikiwa ni Uboreshaji wa Huduma za ulinzi na usalama pamoja na kwenda na dhana nzima ya sayansi na teknolojia katika utoaji na ufuatiliaji wa huduma kwa wadau mbalimbali wanaoshilikiana na Jeshi...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali kwanini isijenge majengo mazuri mikoa au wilaya kuliko kuyajaza mikoa iliyojengeka kama Dar, Pwani, Arusha, Dodoma?

    Kwa sababu uzuri mikoa hiyo iko karibu na Dar hivyo wageni wakishuka Dar ni rahisi kuifikia Kwa mfano likajengwa tower pale Kilwa kuna athari gani ilihali wageni wangependa pia kutembelea mji wa Kilwa ama Lindi pia panafikika kirahisi au mfano Singida na Dodoma iko karibu, kwanini tusijenge pia...
  3. JamiiForums Tanzania Sakata la Makonda: Mpaka sasa Samia hana CCM, hana wananchi, hana serikali

    Samia kupitia CCM aliweka katibu mwenezi laghai kwa wananchi kwa jina Makonda, wakamwamini, baadae alamuondoa, wananchi hawamuelewi, na CCM hawamuelewi, amekuwa akiitukana serikali kila leo, lwa hiyo Baraza zima la mawaziri na serikali inamuona katumwa na Samia, uongozi mkuu wa ccm hauko na...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Ushahidi wathibitisha Serikali ya Iran kuipatia Hamas shs 500,000,000,000 ili kufadhili shughuli zake za kigaidi

    Wadau hamjamboni? Hatimaye siri zimetoka hadharani Ushahidi mpya umepatikana unaothibitisha kuwa Serikali ya Iran ndiyo mfadhili Mkuu wa magaidi wa Hamas na hadi kufikia Oktoba 7, 2023 walikuwa wamewapatia magaidi hao shs 500.000.000.000 sawa na Dola million 222 Mungu ibariki Israel Taarifa...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali: Watu 28 wamepoteza Maisha kutokana na mvua Morogoro, nyumba 1,035 zimebomolewa

  6. JamiiForums Tanzania Kama Azam inaonesha channel za Startimes, kwanini Serikali isiangalie hili suala ili kutunza mazingira na kuepusha gharama kwa watanzania?

    Baadhi ya mikoa Azam Antenna ilipotea hewani. Na Visimbusi hivyo vya Azam vikawa vinaonyesha Channel za Startimes. Waelewa tatizo ni Error code 69. Sasa kama ilivyofanyika kwenye simu kwamba simu zote zitumie type C. Kwanini serikali isiangalie hili suala na kuruhusu watanzania kulipia...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mubashara Clouds FM: Tundu Lissu, Zitto Kabwe wakichambua Tume Huru ya Uchaguzi

    Tundu Lissu yuko mubashara Clouds FM, akichambua kuhusu Tume hii ya uchaguzi. Atakuwepo hadi saa 3 asubuhi, wapo na Zitto Kabwe na Onesmo Ole Ngurumwa. Tusikilize uchambuzi makini.
  8. JamiiForums Tanzania Kahawa ni moja ya nyara za Serikali

    Nani mmiliki wa kahawa Tanganyika? Serikali au mkulima? Kwa nini Serikali inatumia nguvu nyingi sana kuzuia wakulima kwenda kuuza kahawa yao Uganda, mahali wanakoamini kuwa watapata faida nzuri? Serikali ya Tanganyika inaionea Uganda wivu? Serikali haitaki raia wake "watajirike"? Ni mbinu za...
  9. JamiiForums Tanzania Makonda adaiwa kukataa nyumba ye Serikali, inasemekana anaishi Hoteli ya Nyota 5

    Kwa hali hii, tutafika? Anaandika Martin Maranja Masese kwenye Mtandao wa X Rais Samia Suluhu Hassan, inawezekanaje BASHITE tangu amefika Arusha anaishi Gran Meliá Hotel, full board ($469) kwa usiku mmoja. Hii ni Sh1.3 milioni. Leo atakuwa ametumia Sh5.2 milioni (malazi). Anatembea na msafara...
  10. JamiiForums Tanzania Taasisi zote za Serikali zijitoe katika mtandao wa Twitter X

    Hili wazo limenijia kitambo ila nilikuwa bado sijapata msukumo wa kuliwasilisha. Kuna kipindi mtandao wa Twitter ulikuwa ni uwanja unaoheshimika, ukijaa malumbano ya kisiasa na kijamii na kuna kundi fulani la raia ilikuwa imejikita kule katika kukosoa na "kuirekebisha" serikali. Ikafika wakati...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Serikali inatumia gharama kubwa sana kutunza pesa zake zilipo kwa watu hasa noti

    Hivi kwanini kusiwe na utaratibu mazuri wa namna ya kutunza cash za noti? Unakuta noti za elfu kumi, elfu moja, elfu mbili au elfu tano zinawekwa ovyo sana kwa kukunjwa kunjwa na watu kiasi ambacho Ile durability tunayoambiwa haipo tena. Nchi zilizoendele noti zote zipo electronically na hakuna...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali shirikisheni kampuni binafsi za ukaguzi za "Big Four" kudhibiti ukwepaji kodi

    Mnachotakiwa kufanya ni kila mwaka kuwapa kandarasi mmojawapo Big four wa audit ambao ni KPMG, E&Y, PWC au Delloite wafanye ukaguzi wa nje "External Audit" kwa wafanyabiashara wakubwa 1000 na wa wakati 1000 ambao mahesabu yao ya kodi tayari yameshapitishwa na TRA. Hao wafanyabiashara wakubwa na...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kwako Rais Samia, fupa la ukwepaji Kodi Kwa wafanyabiashara wape wanunuaji wamalizane nalo lakini Serikali iwahamasishe kwa gawio katika manunuzi

    Kwako Rais wa JMT Mhe.Samia Suluhu Hassan, ninakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe.Rais, kwa namna ya pekee pekee ninapenda kuchukua nafasi kukupongeza kwa kuwa kielelezo Cha safari ya mabadiliko makubwa kwenye nyanja mbalimbali katika Taifa letu na kubwa zaidi...
  14. JamiiForums Tanzania Sijaona viongozi wa Serikali wakiizungumzia Rufiji kama ilivyotokea sehemu nyingine zilizopata majanga

    Habari JF Kama ilivyo Kichwa Cha habari hapo Juu Roho inauma sana Sijaona Hata kiongozi mmoja mwenye nyazifa kubwa Kuizungumzia Rufiji, wakati huu mapango wa mafuriko kama kule Bwana la nyerere walifungulia maji ili kunusuri Kuta kubaomoka,vipi mbona Hakuna hata hamamatsu yoyote Kuhusu watu Wa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO na Serikali walipeni watu fidia wahamishwe Rufiji. Bwawa la Umeme ni muhimu. Kila Mtanzania achangie fidia kwa kuongezewa 1000 kwenye Luku

    Bwawa la umeme Rufiji ni muhimu sana kwa nchi nzima. hivyo tunapaswa wa Tanzania wote kulilinda bwawa lisibomoke kwa kuchangia pesa za fidia ya kuhamisha watu wote wa rufiji maana umeme tunautaka wote Tanzania nzima Hali ya rufiji ni mbaya. nawaza tu kwa nini serikali isiwahamishe wakazi...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa pole mafuriko ya Rufiji na Moro. Atoa maagizo haya mazito kwa BAKWATA na Serikali

    10 April 2024 MH. RAIS DR. SAMIA S. HASSAN MGENI RASMI BARAZA LA IDD 2024 RAIS SAMIA ATOA POLE MAFURIKO ya RUFIJI na MORO - ATOA MAAGIZO HAYA MAZITO KWA BAKWATA na SERIKALI https://m.youtube.com/watch?v=6UqmPgp6mtY Serikali ipo pamoja na wananchi wa Rufiji na maeneo ya mkoa wa Morogoro asema...
  17. JamiiForums Tanzania Ujue mgogoro kati ya Elon Musk na Serikali ya Brazil hadi Brazil kutishia kuwafunga wafanyakazi wa x (Twitter).

    Siku chache zilizopita kumeibuka mgogoro wa kimahusiano kati ya mmiliki wa mtandao wa X ama Twitter Bwana Elon Musk na Serikali ya Brazil. Mgogoro huo umepelekea serikali ya Brazil kupitia Jaji wa Mahakama Kuu Bwana Alexandra Morales kutishia kuwaweka ndani wafanyakazi wa X na kuipiga X fine...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali iache kuingiza siasa kwenye mengine

    Imekuwa kawaida sasa kwa serikali kuingiza siasa katika jambo linakalibia kufanikiwa au kufikiwa, tena viongozi wa kisiasa ndo wamekuwa mbele kudandia jambo. Mfano, tumeona sekta ya michezo vilabu vyetu pendwa vimevuja jasho mpaka wanafikia hatua fulani ambayo inaweza kuipa mafanikio klabu...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania inapaswa kuilinda sana nch ya Burundi

    MPANGO WA RWANDA KUITAWALA BURUNDI ILI KUINGIA KONGO KUPITIA ZIWA TANGANYIKA NA NAFASI YA SERIKALI YA TANZANIA KATIKA MEDALI ZA UJASUSI NA INTELIJENSIA UKANDA WA ZIWA TANGANYIKA BY LUGETE MUSSA LUGETE. "Ndugu Mheshimiwa Rais tunapaswa kuilinda Burundi kwa hali na mali ili isiangukie mikononi...
  20. JamiiForums Tanzania Mvua ilivyoharibu miundombinu ya Barabara Sumbawanga - Rukwa, Waziri Bashungwa atembelea

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Serikali imejipanga kuhakikisha inarejesha miundombinu ya barabara ya Kasansa - Muze - Mtowisa - Ilemba - Kaoze - Kilyamatundu (km 180) iliyoathiriwa kwa kiasi kikubwa na mvua zinazoendelea kunyesha maeneo tofauti tofauti nchini. Bashungwa ameeleza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…