serikali

  1. Watumishi wa umma tuache kelele, Serikali inatupenda sana

    Morning! Serikali inatupenda sana watumishi wa umma. Hebu vuta picha ni upendo kiasi gani serikali imefanya kwa watumishi wa umma. Ninaposema Serikali, namaanisha viongozi wakuu kuanzia Rais, mawaziri mpaka wabunge wamekubali hii neema ya kikokotoo iwe kwetu watumishi huku wao wako tayari...
  2. X

    SoC04 Serikali ilegeze kamba maeneo yafuatayo kuchochea kasi ya ukuaji uchumi nchini na kupunguza ugumu wa maisha kwa wananchi

    UTANGULIZI Toka Tanzania (Tanganyika na Zanzibar) kupata uhuru bado matatizo makuu ya nchi ni yale yale Ujinga, maradhi na umaskini, bado hakujawa na mikakati toshelevu yenye kuchochea mabadiliko chanya ya kasi kukabiliana na matatizo hayo na kulipeleka taifa mbele kiuchumi kwa kasi kama Mataifa...
  3. MUFTI MKUU WA OMAN: Tunaipongeza Serikali ya Tanzania kwa hatua nzuri iliyochukua ya kupiga marufuku USHOGA

    Allah atuongoze, hakika ushoga ni udhalili wa kupindukia.
  4. L

    David Kafulila ni hazina kwa Taifa letu, anapaswa kutumiwa vyema kwa maslahi mapana ya nchi

    Ndugu zangu Watanzania, Nimeendelea kumfuatilia na kufuatilia mahojiano mbalimbali ambayo amekuwa akifanya na ambayo amefanya kupitia vyombo vya habari kuelezea mambo mbalimbali kuanzia uchumi, uwekezaji, biashara na mengine mengi. Kila mtu pasipo kujali itikadi yake ya Kiasia au chama chake...
  5. Serikali ya Zimbabwe yaipa Leseni Starlink kutoa huduma za Intaneti

    Mamlaka ya Udhibiti wa Posta na Mawasiliano (POTRAZ) imeidhinisha leseni ya utoaji Huduma za Intaneti kwa kampuni ya #Starlink inayomilikiwa na Bilionea #ElonMusk Taarifa ya Rais Emmerson Mnangagwa imesema "Uamuzi huu unatarajiwa kuongeza miundombinu ya Mtandao wenye Kasi ya Juu na ya gharama...
  6. SoC04 Serikali iendane na mabadiliko ya dunia kwenye teknolojia

    1. Kwanza kabisa Mbinu au maono ambayo yatatumia zaidi ya miaka mitatu na kuendelea Ni Kuhakikisha SERIKALI inawarahisishia wanainchi Kwenye Upatikanaji wa maji na Ulipaji wake kupitia njia ya kisasa kuendana na kasi ya Dunia, Kulipia Maji kwa mita ambazo utalipia kabra mwananchi hajatumia Maji...
  7. Hii ni hali ya Rainbow Beach Serikali ya Mtaa safishen hili eneo limejuwa hatarishi kwa uchafu

    Kuwa uone mengi Hii ni sehemu ya Rainbow Mbezi Beach ambapo watu mbali mbalihuuja kupumzika na wengine hufanya mazoezi kukimbia magonjwa hatarishi Kwenu serikali za mitaa Mbezi Beach embu tuache siasa tusaidie kulisafisha na kutunza eneo letu hili la siku nyingi.
  8. H

    SoC04 Kilimo na ufugaji vinawezekana serikali ikiboresha mazingira

    Kumekuwa na dhana potofu hasa katika maswala ya kilimo na ufugaji kwamba vijana hawapendi kilimo na ufugaji vijana ni wavivu.mm niseme hata hao wanao sema vijana hawapendi kilimo na ufugaji nao ni wavivu Sana ajabu wao wenyewe wameajiliwa na mtu hyo wanae msimanga mvivu na hapendi kilimo na...
  9. N

    Wakulima wa Mpunga Mbalali, Mbeya Wadai Serikali Kutazama Upya Kodi za Kilimo

    Wakulima wa mbunge katika Wilaya ya Mbalali, Mkoa wa Mbeya, wa nyimbo na changamoto ya kodi na kodi ambazo zinatishia uhai wa shughuli zao za kilimo. Kwa mujibu wa malalamiko yao, mkulima huyu hutozwa malipo ya shilingi 50,000 kwa heka moja kwa ajili ya mifereji ya maji. Hata hivyo, hakuna...
  10. DOKEZO Mchele uliopakwa mafuta na athari kwa afya zetu, Serikali itoe tamko tujue usalama wetu

    Kumeingia wimbi la kuuziwa michele ambayo imepakwa mafuta hasa Dar es saalaam na Pwani, Je serikali kupitia wizara na taasisi zao hawajaliona hili? Je, ni mafuta gani hayo yanapakwa kwenye mchele ikiwa na lengo la kuufanya uonekane mzuri je, ni mafuta ya aina gani? Tunashuhudia kansa...
  11. SoC04 Ili kuinua uchumi wa Mtanzania mmoja mmoja

    Utangulizi: Ukifuatilia kwa umakini zaidi kuhusu Maendeleo ya Nchi nyingi zilizoendelea hapa Africa, America na hata Ulaya, Utagundua kabisa kuwa mambo mengi au vitu vingi ukiacha miundo mbinu iliyofanywa na serikali!, Vingi pia vya kuvutiaKama Hoteli kubwa, Shule, Viwanda Nk. vimefanywa na...
  12. Suluhisho la Kudumu la Kero Zote za Muungano, na Dawa ya Kutibu Sumu ya Ubaguzi wa Utanganyika na Uzanzibari ni Kuwa na Serikali Moja ya JMT?

    Wanabodi, Kama kawa, kila nipatapo fursa, ni mwendo wa Kwa Maslahi ya Taifa kwa kwenda mbele, mada ya leo ni mada muendelezo wa wiki iliyopita kuhusu hizi chokochoko zinazoendelea za kuuchokoa huu muungano wetu adimu na adhimu kwa hoja za kibaguzi za Utanganyika na Uzanzibari, ambapo wiki...
  13. Hatimaye Bunge lapata wafuasi na wafuatiliaji ambao ni vijana. Niipongeze serikali kwa jitihada hizo

    Vijana ndio nguvu kazi ya taifa, hivyo kuna umuhimu mkubwa wa serikali kuhakikisha kuwa nguvu hiyo ndiyo inayohusiswa kwa 100% ili mipango ya nchi ikae sawia Bunge la sasa si sawa na bunge la zamani. Bunge la miaka hiyo lilitazamwa sana na wazee huku vijana wa ovyo akiwamo mimi tulifuatilia...
  14. Tauhida Gallos Aitaka Serikali Kuwa na Mkakati Maalum Kunusuru Watoto Dhidi ya Migogoro ya Ndoa Nchini

    MHE. TAUHIDA GALLOS Aitaka Serikali Kuwa na Mkakati Maalum Kunusuru Watoto Dhidi ya Migogoro ya Ndoa Nchini "Wizara imeandaa muongozo wa Taifa wa uendeshaji, usimamizi na uratibu wa Mabaraza ya usuluhishi wa migogoro ya ndoa wa mwaka 2023, Mei ambao umebainisha afua ya kuwajengea wajumbe wa...
  15. F

    SoC04 Kujenga Miradi Imara Kukabiliana na Majanga ya Asili: Mikakati ya Wakandarasi Kupunguza Gharama za Serikali

    Katika miongo miwili ijayo, jukumu la wakandarasi katika kujenga miundombinu imara na endelevu itakuwa muhimu zaidi kuliko hapo awali, hasa linapokuja suala la kuzingatia majanga ya asili kama mafuriko. Kujenga miradi bora ambayo inaweza kustahimili majanga haya ni njia muhimu ya kuzuia serikali...
  16. KERO Responded Tabora – Uyui: Wananchi waliotakiwa kupisha Mradi wa SGR waomba Serikali isaidie walipwe fidia zao

    Wananchi wa Tambukareli, Kata ya Nsololo, Wilaya ya Uyui wanaiomba Serikali kutoa ufafanuzi juu ya malipo yao ya fidia kupisha ujenzi wa Reli ya Kisasa ya SGR, wakidai awali tathimini ilifanyika Machi 2023 na mpaka Mei 2024 hawajui hatima ya malipo yao. Wameyasema hayo wakati wakidai Sheria...
  17. A

    DOKEZO Nimefuatilia suala la matumizi ya Elimu Bila malipo kiukweli Serikali ifuatilie kwa kina, kuna kitu…

    Nashauri serikali iweke mifumo IMARA ili fedha za elimu bure zitumike Kama malengo yalivyo na siyo kuachia wakuu wa shule wazitumie tofauti na matakwa ya serikali. Baadhi ya shule zimekuwa tegemezi, fedha zikitoka hazijulikani zinatumika wapi, watoto karibia shule nzima wanakaa chini, ukarabati...
  18. SoC04 Serikali ifanye mabadiliko Elimu ya Vyuo vya Ufundi VETA: Electrical Installation, Electronics na Programmable Logic Controler (PLC) kiwe kitu kimoja

    Tunaona kuna wabunifu walishatokea ambao hawakuwa na elimu ya kutosha kuweza kuendeleza vipaji vyao. Hii italeta maendeleo makubwa sana kwa Elimu ya ufundi upande wa Engineering. Endapo kama serikali itafanya mabadiliko kwenye Elimu ya mafunzo ya ufundi wa Electrical Installation, Electronics...
  19. J

    JamiiForums yaendesha Mafunzo kwa Maafisa Mawasiliano wa Vitengo vya Serikali pamoja na TAKUKURU

    Mei 16 na 17 2024, JamiiForums iliendesha mafunzo ya siku mbili kwa Maafisa Mawasiliano wa Mikoa pamoja na Maafisa wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) yakilenga kuwajengea Uwezo katika nyanja mbalimbali ikiwemo Ulinzi wa Taarifa...
  20. S

    SoC04 Serikali ichukue hatua madhubuti kudhibiti utengenezaji na usambazaji wa pesa bandia

    Kumekuwa na utiriri wa pesa nyingi za bandia mtaani noti pamoja na sarafu za mia tano serikali inatakiwa kufanya yafuatayo ili kuondokana hali hii I) KUELIMISHA UMMA Uhamasishaji unatakiwa kufanyika ili kuwaelimisha wananchi jinsi ya kutambua pesa halisi na pesa bandia hii ni pamoja na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…