serikali

  1. JamiiForums Tanzania CCM na Serikali Watanzania Wamewakosea Nini Hadi Kuamua Haya?.

    Ulimnofu. Asalaam alykhum. Bwana Yesu asifiwe. Kule DRC poleni kwa kuwakosa ndg waliofariki maji ziwa Kivu. Nisipoteze muda. Adani Group inaonekana ni kampuni imeundwa maalum si kutoa huduma ipasavyo nje ya nchi zawa kwao huko India. Nje ya India kampuni hilo halina tija na ufanisi kwenye...
  2. JamiiForums Tanzania Makonda anazungumzia Yesu kufa msalabani na damu yake kumtakasa katika mkutano wa Mchengerwa!

    Nimeona clip ya Mkuu wa mkoa wa Arusha akiwa anahutubia katika mkutano wa hadhara uliohudhuriwa na Waziri wa TAMISEMI, Mchengerwa akisema hajali kusemwa vyovyote na wanasiasa wengine kwa sababu pale msalabani Yesu alikufa akamwaga damu yake na akamtakasa, kwamba akisemwa anaitazama damu ya Yesu...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali yatumia Sh Milioni 500 kupata Kituo cha Afya Daraja la Kwanza Kijiji cha Ikondo Mkoani Njombe

    Kijiji cha Ikondo kilichopo Kata ya Ikondo kupata huduma za afya za daraja la kwanza baada ya Serikali kutoa milioni 500 kwa ajili ya ujenzi wa majengo ya matatu katika Kituo cha Afya cha Ikondo. Akizungumza Oktoba 04 2024 na Wananchi wa Kata ya Ikondo baada ya kuzindua kituo hicho Prof...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali yatoa maagizo kwa Maafisa Ustawi wa Jamii wa mikoa na halmashauri

    NAIBU Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-TAMISEMI (Miundombinu), Mhandisi Rogatus Mativila amewaagiza Maafisa Ustawi wa Jamii kuhakikisha wanahamasisha uanzishwaji wa vituo vya kulelea Watoto Wadogo Mchana vya Kijamii katika vijiji/mtaa na kuwasilisha taarifa hii ifikapo Januari 30, 2025. Mhandisi...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kodi ndio Damu ya Serikali

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kwa uchungu,hisia kali na msisitizo mkali sana.amesema ya kuwa Kodi ndio Damu ya serikali.ambapo kila Mtanzania anapaswa kulipa kodi. Hii maana yake nini watanzania wenzangu? Hii ni...
  6. JamiiForums Tanzania Nini cha kuzingatia ukitaka kununua gari kwa mtu (used)?

    Wakuu. Mbali na kuagiza gari kutoka nje ya nchi, au kununua showroom kuna option ya tatu ya kununua gari ambalo Mtanzania mwenzako analitumia. Hii inaweza kua njia salama zaidi lakini pia ya hatari zaidi usipokua makini. Sasa kuna vitu vya kuzingatia unavyotaka kununua, tutaviweka kwenye...
  7. JamiiForums Tanzania Tulienda shule kufanyaje kama hata hizi kazi za muda wanapewa watumishi wa serikali

    Je umuhimu wa Degree zetu upo wapi huku mtaani, tunasota na tunahangaika na mabahasha kutafuta ajira huku serikali ikiweka ahadi kede kede ambazo hazitekelezeki Haya hata hizi kazi mbalimbali za muda ambazo zingekuwa hata kifuta machozi kwetu Kwa kupunguza machungu ya kukaa mtaani bila ajira...
  8. JamiiForums Tanzania Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) yakemea vitendo vya utekaji, ukatili na mauaji yanayoendelea nchini

    Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) imekemea vitendo vya utekaji, ukatiili na mauaji yanayofanywa na genge la watu wasiojulikana na kulaani tukio la kuchukuliwa na kuuawa kikatili kwa kada wa Chadema, Ally Kibao. CCT ni Taasisi inayowakilisha Umoja wa Madhehebu ya Kikristo ya Kiprotestanti pia...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali yakabidhi gari la kubebea wagonjwa, litatoa huduma kwa wafungwa na mahabusu

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ally Senga Gugu leo amezindua na kukabidhi jumla ya magari 11 huku gari moja likiwa ni Gari la Kubebea Wagonjwa ambapo pia gari hilo litataoa huduma kwa wafungwa na mahabusu katika gereza la Ukonga na Magereza ya karibu. Katibu Mkuu amezindua na...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Mayahudi wa Iran walazimishwa na Serikali kuomboleza kifo cha hassan nasrallah kiongozi mkuu wa magaidi wa Hezbollah aliyeuawa na Israel

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Iranian Jews compelled to mourn Nasrallah's death amid oppressive climate Oct 1, 2024, 16:43 GMT+1 Updated Oct 2, 2024, 08:01 GMT+1 Jews in Iran are being pressured by the authorities to publicly mourn the death of Hezbollah...
  11. JamiiForums Tanzania LGE2024 Tundu Lissu: Kachukueni fomu mapema, msisubiri tarehe 1 itakula kwenu "Tuwe Wajeuri, Watu Jeuri Watashinda Uchaguzi”

    Tundu Lissu awafunda watia nia wa nafasi ya Uongozi kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa akiwa Jimboni Kibamba katika Semina iliyofanyika Kata ya Kawe na kuwataka kutofanya makosa ambayo yatasababisha kupoteza kwenye Uchaguzi unaotarajiwa kufanyika hivi karibuni. Lissu amewataka Watia nia...
  12. JamiiForums Tanzania LGE2024 Nimesanuka, mitaa yote niliyokaa Viongozi wa Serikali za Mitaa ni Wazee, kwanini Wanawake na Vijana hatuzishobokei nafasi hizi?

    Salaaam Wakurungwa, Katika harakati zangu za mtu mweusi nimejikuta nikiishi mitaa isiyopungua mitano katika mikoa tofauti tofauti. Harakati zangu zimenifanya kila nikihamia mtaa niwatafute viongozi wa Serikali za Mitaa kupata huduma mbalimbali. Kautafiti kangu kwa mitaa yote niliyopita ofisi...
  13. JamiiForums Tanzania LGE2024 Morogoro: Matukio yaliyojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024

    Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Morogoro. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kushiriki na wengine. Ramani ya Mkoa wa Morogoro HISTORIA YA MKOA WA MOROGORO Morogoro ni mji uliopo...
  14. JamiiForums Tanzania LGE2024 Pwani: Matukio yaliyojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024

    Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Pwani. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kushiriki na wengine. Ramani ya Mkoa wa Pwani Historia ya mkoa wa Pwani Kabla ya uhuru mkoa wa Pwani ulikuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Kivuli cha Mfalme Daudi Kwenye Biblia katika Serikali ya Samia

    Freem Mbowe, kama kiongozi wa upinzani nchini Tanzania, anaweza kuhusishwa na Mfalme Daudi wa Biblia kwa njia kadhaa. Mfalme Daudi anajulikana kwa uongozi wake wa busara, ujasiri, na uwezo wa kuunganisha watu kwa malengo ya pamoja. Katika muktadha wa kisasa wa siasa za Tanzania, Mbowe...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali itupie macho Ofisi ya Utumishi Karagwe

    Kuna tatizo kubwa Kwa Afisa Utumishi wa HALMASHAURI ya KARAGWE hasa katika suala la kuhudumia watumishi. Inajulikana kuwa Serikali kupitia wizara ya Utumishi wa Umma imetoa nafasi Kwa watumishi Kwa ambao wanahitaji kuhama ili kufuata wenza wao, waombe uhamisho ila kwa Karagwe, Afisa Utumishi...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali ione hii huko Wilayani Rungwe mkoani Mbeya

    Habari ndugu zangu Wana jamiiforums Leo katika pita pita zangu nimekutana na hili tukio Wilayani Rungwe mkoa wa Mbeya katika Kata ya Kyimo. Tunaiomba serikali kuliona hili.
  18. JamiiForums Tanzania Ado Shaibu: Nimeambiwa bado kuna matukio ya Watoto kupotea na vifo pia Kanda ya Ziwa, hatutakiwi kukaa kimya

    Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu ametuma tena Salamu kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan kulitazama suala la kupotea kwa Watoto kwa umakini zaidi. Ado ameyasema hayo wakati anahutubia Wananchi wa Jimbo la Mbogwe Mkoani Geita, Septemba 29, 2024. Amesema...
  19. JamiiForums Tanzania Rabia Aeleza Mafanikio ya CCM na Serikali kwa Wanadiaspora wa Uingereza

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Ndg. Rabia Abdalla Hamid, amekutana na Wanadiaspora na wanachama wa CCM nchini Uingereza tarehe 28 Septemba, 2024. Lengo la kukutana lilikuwa kuimarisha uhusiano baina ya Wanadiaspora, Chama Cha Mapinduzi na...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Mkandarasi wa barabara ya Mbeya mjini inayokwenda kwenda Zambia amesusa kutokana na kutolipwa na serikali?

    Wakuu, weekend hii nimeingia Mbeya kwa ku-drive toka Dar, na nikashangaa sana kukuta maendeleo kidogo sana ya ujenzi wa hii barabara ya kwenda Tunduma hadi Zambia toka nitembelee hapa miezi minne iliyopita. Nimeuliza wenyeji kwa nini kasi ya ujenzi wa barabara hii uko chini kiasi hiki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…