serikali

  1. Asilimia kubwa ya Wasanii Kenya wako na Wananchi, hii ni Kinyume na wasanii wa nchi ya wakujikomba(Tanzania)

    Bongo sidhani kama kuna msanii au wanasanii wanao weza kusimama na Wananchi, hawa ni ndio watu wanaingoza kwa uchawa nchi hii na still bado huwa tuna wapapatikia mbaya mno.kiwango cha uchawa wa wasanii hata raia wakawaida hawakifikii. Mimi nisha acha kushabikia aina yoyote ya msanii Chawa hapa...
  2. R

    Ndugu Mwigulu, VAT ikishushwa Kwa 2%, Serikali haitapata HASARA ya bil 600 Bali itaongeza idadi ya walipa kodi!!!

    Salaam, Shalom!! Sina ugomvi binafsi na Ndugu Mwigulu, ugomvi wangu ni juu ya Elimu ya Uchumi na maamuzi ya mtu huyu mwenye kibri ajiitaye msomi kuliko wasomi wengine. HIZI HAPA FAIDA ZA KUPUNGUZA KODI HASA KWA WATU WA KIPATO CHA KATI NA WA KIPATO CHA CHINI. 1. BIASHARA ZILIZOKUFA ZITAFUFUKA...
  3. Napendekeza mikopo yote inayokopwa na serikali itumike kulipa madeni, na makusanyo yote ya Kodi yatumike kwenye bajeti

    Namna pekee itayoweza kutuamsha kama nchi toka usingizini ni kujiuliza maswali kadhaa… 1.) Tanganyika inakopa jumla ya Trillion ngapi kwa mwaka? 2.) Tanganyika inalipa madeni Trillion ngapi kwa mwaka? 3.) Tanganyika inakusanya mapato ya ndani Trillion ngapi kwa mwaka? Majibu 1.) Tangu 2021...
  4. W

    Nigeria kusitisha matumizi ya Plastiki katika ofisi za Serikali

    Nigeria imetangaza kusitisha matumizi ya plastiki leo Juni 27, 2024 katika ofisi za serikali kama hatua ya awali kabla ya kusitiza matumizi ya kitaifa kuanza Januari 2025 Kulingana na tafiti zilizofanyika na Shirika la (US Agency for International Development) zinaonyesha kuwa Nigeria ni...
  5. M

    Wakati wafanyabiashara wakigoma, kwa nini wafanyakazi nao wasigomee mishahara midogo? Serikali haiongezi mishahara kwa kiburi.

    Hebu mjitafakari hasa walimu na watumishi wengine. Tgs A ni shilingi za kitanzania 330000 kwa njinsi maisha yalivyo magumu. Hii pesa mtu unaweza kutoboa kweli? Sukari bei juu, kodi ya pango juu, alafu mei mosi inapita patupu bila nyongeza ya mshahara. Wafanyabiashara wamegoma na...
  6. DOKEZO IGP ingilia kati kuhusu huyu Tapeli wa Dodoma Egron Rweyemamu aka Jenerali Mwamwega

    Habari, naomba nitoe taarifa kwa JWTZ ya kwamba Kuna mtu anajiita Generali Charles Mwamwega na kudanganya watu yeye ni makubwa jeshini na anafanya kazi kwenye ofisi ya Rais wa Zanzibar Ikulu. Ukienda pale ikulu Zanzibar hayupo mtu Kama huyo na ukienda kwenye data base ya JWTZ Hilo jina halipo...
  7. LHRC: Kuongezeka kwa Deni la Taifa kunaweza kuongeza ukali wa maisha, gharama za uendeshaji wa Serikali zipunguzwe

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimeeleza kwamba kuendelea kuongezeka kwa deni la Taifa kunaashiria kwamba ukali wa maisha unaweza kuongezeka ukisababishwa na kulipa deni hilo. Ili kupunguza makali hayo wanashauri "Ni maoni yetu kuwa , ni muhimu kwa Serikali kupunguza gharama za...
  8. Serikali na wafanyabiashara mmekubaliana nini kuhusu bidhaa 8?

    Nilimsikia Kitila Mkumbo akisema kuna bidhaa 8 wamekubaliana na wafanyabiashara kuziingiza kwenye mfumo bila ufafanuzi zaidi na leo nimemsikia tena Mwigilu akisema kuna bidhaa 8 ambazo wafanyabiashara wamekubaliana na serikali ziwe na bei elekezi. Hizo bidhaa ni zipi na serikali wamekubaliana...
  9. K

    SoC04 Serikali iwe na jicho la tatu katika biashara ya uingizaji wa bidhaa toka nje ya Tanzania

    Nashukuru sana kupata nafasi ya kushiriki kwenye Stories of change. Nimekuwa nikitoa maoni yangu kwenye mtandao wa X kwamba Serikali inaonaje kama ingeshusha ushuru wa kuagiza bidhaa toka nje ya Tanzania. Hapa namaanisha bidhaa kama magari, mashine na vifaa vyote vya kielectronic; bidhaa hizi...
  10. Waziri Mwigulu: Tukishusha 2% ya VAT tutapoteza Bilioni 600, Bajeti ya Serikali itaathirika

    "Moja ya hoja iliyokuwa inatolewa ni kushushwa kwa VAT kutoka 18% kwenda 12%, na mimi ningetamani iwe hata 10% lakini hatujaacha tu kuishusha sababu ya kiburi cha Wizara au Serikali tu imekataa, hatujashusha kwasababu kuna nambo mengi ya msingi tunatekeleza." "Ukishusha 2% ya VAT unapoteza...
  11. Unatarajia Mbunge wako leo atapiga Kura ya Ndio au Hapana kwenye Bajeti Kuu ya Serikali?

    Leo, Juni 26, 2024, Wabunge wa Tanzania wanatarajiwa kupiga kura ili kupitisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha ujao. Hii ni hatua muhimu katika mchakato wa kupanga na kugawa rasilimali za taifa kwa ajili ya miradi mbalimbali ya maendeleo na matumizi mengine ya serikali. Mchakato huu...
  12. T

    SoC04 Jinsi ya kuboresha mifumo ya kielektroniki katika manunuzi ya serikali ili kuondoa rushwa na ubadhirifu

    Kuboresha na kuimarisha mifumo ya kieletroniki ya manunuzi ya serikali ya Tanzania ni hatua muhimu katika kupambana na rushwa na ubadhirifu. Hapa nimeeleza baadhi ya njia za kufanya: Uwazi na Uwajibikaji Kuongeza uwazi kwa kutoa taarifa za manunuzi hadharani kupitia mifumo ya kieletroniki...
  13. Matinyi akabidhi Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikai kwa Makoba

    Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Bw. Thobias Makoba (kushoto) akikabidhiwa nyaraka na Bw. Mobhare Matinyi (aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali) wakati wa makabidhiano ya ofisi ambayo yamefanyika Juni 26, 2024 katika...
  14. Serikali imekaa kimya kuhusu matapeli wa mtandaoni

    SERIKALI YA ZANZIBAR IMEKAA KIMYA KUHUSU HAWA MATAPELI WA MTANDAONI HII NI HATARI KWA WATU WANAOTAKA KUFANYA BIASHARA ZANZIBAR KUONA MATAPELI @soknibike WEZI WANAKUMBATIWA NA SERIKALI SASA WANANCHI WOTE KUWENI MAKINI NA HAWA SOKONI BUKE TUNAOMBA JESHI LA POLISI ZANZIBAR LIWASHULIKIE...
  15. Serikali ya Kenya Yatangaza Hali ya Hatari (Civil Danger)Yaamrisha Rasmi Jeshi la kenya (KDF) Kuingia Mtaani na Kutuliza Raia Wanaofanya maandamano

    Hali ni mbaya Sana kwa Majirani.. Jeshi limeingia Rasmi mzigoni..
  16. Serikali yazuia mtandao wa X na TikTok, walazimika kutumia VPN ili kupata huduma kwenye mitandao hiyo

    Wakenya wengi waripoti shida ya kuweza kutumia mtandao wa X pamoja na TikTok. Hii ni baada ya mitandao hii kutumika zaidi kupanga harakati za maandamano na kuhamasishana kuunga mkono maandamano hayo.
  17. F

    Wabunge walioshirikiana na Luhaga Mpina kuihujumu serikali wakiwa ESPIRANCEE ni kina nani?

    Tetesi zimezagaa Luhaga Mpina hayupo mwenyewe na kuna kundi la wabunge walishirikiana naye kuandaa ile ripoti yake na bado wapo naye. Inadaiwa walikutana Dodoma eneo la Espirancee na kufanya kikao na kuandaa taarifa ile kwa Spika juu ya uongo wa Waziri Bashe. Wabunge hawa ni kina nani?
  18. Je, serikali inaenda kuruhusu Crypto-currency nchini?

    Kama mnavyojua katika Bajeti Kuu ya Serikali ya Mwaka wa Fedha 2024/25 kuna kodi kadhaa zimependekezwa ikiwemo kodi ya kwenye Digital Assets. Bunge limeshatoa wito kwa wadau kupeleka mapendekezo yao kwenye marekebisho ya sheria ya fedha ambayo inaenda kuleta hiyo kodi ya Amali za Kidigitali...
  19. A

    DOKEZO Serikali ichukue hatua haraka, miili inaokotwa mara kwa mara Pori la Vijibweni-Kigamboni, pia kuna matukio ya ubakaji

    Sisi Wananchi wa Kata ya vijibweni, Mtaa ya Kibene na nyingine zilizopo jirani na maeneo hayo (Dar es Salaam), kumekuwepo na matukio ya kuogofya na yanayotokea mfululizo ikiwemo kuokotwa kwa miili ya watu. Siku za hivi karibuni miili zaidi ya mitatu imekutwa kwenye eneo hilo kwa nyakati tofauti...
  20. L

    Serikali isiwabembeleze wafanyabiashara Kariakoo waacheni watafungua wenyewe

    Sawa nakubali Kariakoo ndio kitovu cha uchumi nchini, biashara zote nchini watu wanafungashia Kariakoo, mapato ya nchi kwa kiasi kikubwa yako kariakoo, nafahamu pia athari za kiuchumi endapo biashara zitafungwa pale kariakoo, lakini kwanini serikali iendelee kulea wapuuzi wanaokwepa kulipa kodi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…