serikali

  1. JamiiForums Tanzania Kati ya elimu na afya kipi kitolewe bure na serikali?

    Elimu na Afya ni huduma muhimu sana katika jamii,ila nina uhakika kwamba moja wapo ni muhimu zaidi hivyo inapaswa kutolewa bure. Nakusanya data kwa kazi maalumu ya kiutafiti,naomba nisaidie kufanya voting kulingana na mtazamo wako. Baada ya polling hii nitakuja na muendelezo ili utimiza adhma...
  2. JamiiForums Tanzania Nchi 10 Afrika zenye deni dogo zaidi la Serikali katikati ya Mwaka 2024

    Top 10 African countries with the smallest government debt mid-2024 Maintaining a low government debt is critical for African countries seeking to stimulate economic growth, raise living standards, and attract international investment. Countries with low debt loads gain from currency stability...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mtaa zilivyofanyika kwenya mechi ya Simba Vs Yanga

    Mashabiki wa mpira wa miguu waliamua kutumia mabango mbalimbali wakati wa mchezo wa Simba na Yanga kupata picha za ukumbusho nje ya Uwanja wa Benjamini Mkapa ambazo zimetumika pia kutangaza uchaguzi wa Serikali za Mtaa. Mashabiki wa Simba na Yanga wametumia mchezo wa Derby ya Kariakoo leo...
  4. JamiiForums Tanzania Mchengelwa uongeze siku za kuandisha daftari la Serikali za Mitaa, Yanga na Simba zimeathiri zoezi

    Mh. Mchengelewa bila shaka ni mzima wa afya njema. Nakuomba uongeze siku za kujiandikisha kwa sbb zifuatazo: 1. Kuepo kwa figisu nyingi za kuandikishaji sehemu mbalilmbali. 2. Yanga na simba zimeathiri zoezi zima la kuandikisha watu wote wameenda kuangalia mpira wa simba na yanga, cha...
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa Serikali; zoezi la kutafasiri sheria zote kwa lugha ya Kiswahili kukamilika mwezi Novemba.

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali amesema kuwa zoezi lililo kuwa linaendelea la kuzitafasiri sheria mbalimbali kutoka lugha ya Kiingereza kwenda kwenye lugha ya Kiswahili zoezi hilo litakamilika Mwezi Novemba mwaka huu 2024. Sisi wananchi tunaipongeza Wizara ya Katiba kwa kazi nzuri inayo ifanya...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali ilitangaza nafasi 726, walioitwa 45 (Medical officer II)

    Mwezi July 2024 serikali ilitangaza nafasi 726 za madaktari daraja la II , cha ajabu jana /juzi imetangaza madaktari wanaotakiwa kwenda kuchukua barua 45 tu. Je serikali inafahusika ina maelezo yoyote ya ziada? Haiwezekani nafasi 726 zitangazqe na wapatikane 45 tu. Wengi wanashindwa kuelewa...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Iran yawanyonga hadharani wafungwa 92 ndani ya siku 17, ni wastani wa wafungwa 5 kila siku, watetezi haki za binadamu walaani

    Wadau hamjamboni nyote? Hiyo ndiyo Hali halisi huko Iran Kila siku wafungwa 5 wananyongwa Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Iran executes 92 prisoners in 17 days, rights groups say 2 hours ago Share At least 92 prisoners have been executed in Iran since the start of October, averaging...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali kutoa bilioni 3.5 kujenga barabara ya lami Milola

    Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa amesema Serikali imepeleka fedha za ujenzi wa barabara mkoani Lindi na amemwagiza Meneja wa TANROADS wa mkoa huo, Mhandisi Emil Silas Zengo ahakikishe barabara ya Kata ya Milola inawekwa lami mapema iwezekanavyo.Waziri Mkuu ametoa agizo hilo jioni ya siku...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Tunaoidai serikali tusipige kura na familia zetu

    Habarini, Napendekeza wale wote tunaoidai serikali ya Tanzania tusijiandikishe na kupiga kura ili kufikisha hisia zetu kwa serikali kuwa hatukubaliani nayo kuwa hsina fedha za kulipa madeni yetu tunatoidai ila inapesa za kuendesha shughuli za uchaguzi. Ninaidai serikali zaidi ya Tshs. 500mln...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hongera Serikali kwa kusitisha usaili wa Walimu: Tunashauri utaratibu wa zamani utumike kwa kupangwa vituo na TAMISEMI

    Ni mbumbumbu tu anayeweza kuamini kuwa usaili ndio wenye uwezo wa kutupatia walimu bora!! Usaili unasaidia tu kuondoa wengine na kubakiza wachache kulingana na nafasi zilizopo!! Utaratibu wa usaili haufai kabisa kwa taaluma ya ualimu na afya. Utaratibu wa zamani wa TAMISEMI kuwapangia walimu na...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali Kuwezesha Vifaa vya Uongezaji Thamani Madini ya Vito na Sonara kwa Vijana Wahitimu wa Kituo cha Jimolojia (TGC)

    SERIKALI KUWEZESHA VIFAA VYA UONGEZAJI THAMANI MADINI YA VITO NA USONARA KWA VIJANA WAHITIMU WA KITUO CHA JIMOLOJIA (TGC) ● Ni utekelezaji wa Programu ya Mining For a Brighter Tomorrow (MBT) ⚫️ Wizara ya Madini kuwapatia vifaa kwa lengo la kujiajiri ● Kuwajengea Uwezo wa masoko na...
  12. JamiiForums Tanzania LGE2024 Wanu Hafidh Ameir (Mtoto wa Rais Samia) Ajiandikisha Daftari la Wapiga Kura wa Serikali za Mitaa

    MHE. WANU HAFIDH AMEIR AJIANDIKISHA DAFTARI LA WAPIGA KURA WA SERIKALI ZA MITAA Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) na Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Mhe. Wanu Hafidh Ameir amejiandikisha katika Daftari la Wapiga Kura wa Serikali za Mitaa linaloendelea nchi nzima tangu...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali ihakikishe madereva wanaoendesha mabasi usiku wanapata muda wa kutosha kupumzika.

    Sera zinazosimamia masuala ya usalama barabarani zimeweka Sheria na kanuni za kufuatwa. Uendeshaji magari ya abiria una Sheria na kanuni zake. Mojawapo ni dereva wa Magari ya abiria anatakiwa awe na utimamu wa mwili na akili wakati wote aendeshapo magari. Nilikuwa naongea na dereva mmoja wa...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania Yalaumiwa kwa Ukiukwaji wa Haki za Binadamu Kabla ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Shirika la kimataifa la haki za binadamu, Human Rights Watch, limetoa wito kwa serikali ya Tanzania kuchukua hatua za haraka kurekebisha hali inayozidi kuzorota ya haki za binadamu nchini, kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe 27 Novemba 2024. Kwa mujibu wa ripoti...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Kwa mwitikio huu hafifu wa wananchi kujiandikisha, Serikali wana la kujifunza!

    Zikiwa zimebaki siku chache kufanyika uchaguzi wa viongozi wa serikali za mitaa, ni wananchi wachache sana ambao wamejitokeza kwenda kujiandikisha. Nilipojaribu kuwahamasisha wakajiandikishe, nilisikitishwa na nilichoambiwa. 1. Wananchi wengi miongoni mwa niliowauliza wanatambua umuhimu wa...
  16. JamiiForums Tanzania LGE2024 Amos Makalla ajiandikisha kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mikocheni

    Katibu wa NEC-Itikadi Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Amos Makalla, leo Oktoba 16 ameshiriki zoezi la kujiandikisha kwenye daftari la wakaazi kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Zoezi hilo limefanyika katika Ofisi ya Serikali za Mitaa TPDC, Kata ya Mikocheni, Wilaya...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Muda wa kujiandikisha uchaguzi wa serikali za mitaa kuongezwa?

    Zoezi linasuasua Hadi aibu! Licha ya viongozi wa kiserikali na wale wa kisiasa kuhamasisha watu wajitokeze lakini wamegonga mwamba. Watu ni kama wamepigwa ganzi hawana shauku Wala hamu na zoezi Hilo. Nikama wamesusa au wamekata tamaa. Uzuri ni kuwa wenye dhamana wamekiri zoezi kusuasua. Na...
  18. K

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Malalamiko yanayoendelea kwenye zoezi la uandikishaji majina uchaguzi wa Serikali za Mitaa yanatisha

    Kuna zoezi linaloendelea kwa ajili ya uandikishaji wa daftari la wapiga kura wa Serikali za Mitaa. Kila mahali kuna malalamiko dhidi ya waandikishaji wa zoezi hili wakikipendelea Chama fulani. Malalmiko ya Dodoma Jiji ndiyo funga kazi. Kuna vijiwe vinaandikisha watu hewa na hakuna...
  19. JamiiForums Tanzania LGE2024 Tujitokeze kujiandikisha uchaguzi Serikali za Mitaa

    Ndugu zangu, wanajamii Forum TUJITOKEZE kwenye kujiandikisha daftari la wapiga kura serikali za mitaa na vijiji. Kwani Halichukui muda mwingi .. Majina yako matatu, miaka yako... Sahihi yako tu. Dakika moja tu unakuwa umeondoka.
  20. JamiiForums Tanzania Tatizo la Ajali za Barabarani Litatumaliza Watanzania. Je, Kweli Serikali Haiwezi Kufanya Kitu?

    Tatizo la ajali za barabarani linazidi kuitafuna taifa la Tanzania na kuwaacha wananchi wakiwa kwenye misiba mizito ya wapendwa wao, pamoja na na simanzi zisizoisha, ni jambo hilo ndilo limenifanya nitakari kwa kina kuhusu ni nini haswa huwa kinawafanya waliokabidhiwa ofisi za umma kuwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…