serikali

  1. Hii Serikali imefeli kwenye usalama

    Niwe mkweli serikali ya CCM Chini ya Rais Samiah imefeli kwenye suala la Usalama kabisa. Kwa Sasa inteligensia ya Polisi ipo Chini kabisa. Uhalifu unafanyika na Wala polisi hawana taarifa ya uhalifu huo na hata ukiwapelekea taarifa hawaufanyii kazi. Kwa mfano kifo Cha Samwaja huko Singida. Mtu...
  2. B

    Serikali boresheni mfumo wa kidigitali kupokea maoni ya watu kuhusu masuala mbalimbali yanayoihusu nchi yao

    Ni jambo lisilopingika kwamba watu wote wenye maono kuhusu wapi tuipeleke Tanzania hawawezi kupewa dhamana ya uongozi au ufanya maamuzi.Hii ni kwa sababu nafasi za uteuzi au uwakilishi ni chache na wananchi tupo wengi. Binafsi nimeitafuta muda mrefu fursa ya kuwa mwakilishi wa wananchi au...
  3. PreGE2025 CCM ikiweka mgombea yoyote itashinda kiti cha Urais, uchaguzi kufanyika ni kuweka ushahidi wa zoezi kwani tume ya uchaguzi na katiba vinawabeba wao

    Nimeona harakati za watu kujitangaza kwamba watagombea urais, nachoweza kuwaambia ni kwamba kwa tume hii ya uchaguzi na katiba hii iliyozeeka! CCM inahitaji tu mgombea wa aina yoyote kama ushahidi kwamba tulifanya kampeni! Lakini ni kutupotezea tu rasilimali pesa kuingiza team kufanya kampeni...
  4. L

    Serikali iwape wananchi mafunzo na uwezeshi kwa kilimo cha umwagiliaji

    Jamn kwa jua hili Tunaomba serikali iwape wananchi mafunzo na uwezeshi kwa kilimo cha umwagiliaji maana hali c hali
  5. Serikali huu ndio muda wa kuzibua na kujenga mitaro pamoja na kukarabati barabara mbovu, msisubiri mvua zifike muanze visingizio na maigizo

    Wakuu salam, Kila ikifika kipindi cha mvua ndio serikali huwa inashtuka kuanza kukarabati mitaro na njia na hapo ni baada ya kuwa mvua iliyoshinda siku mmoja imefanya mitaro ifurike na baadhi ya barabara kushindwa kufikika baada ya maji kujaa. Pia soma: KERO - Shukran DAWASA kurekebisha...
  6. S

    SERIKALI ITUPIE JICHO WIZARA TATU:-KILIMO, MADINI NA NISHATI ROSTAM AZIZ YUMO.

    Umakini unahitajika wizara Tatu, upigaji wa Rostam Aziz na kutumia picha alizopiga na Rais kutisha wawekezaji wazawa. (1). Wizara ya Kilimo, wizara hii sitashangaa na sikushangaa sakata la sukari na makarate ya kugawa vibali vya kuagiza Sukari na kampuni za simu, stationery nk Waziri wa kilimo...
  7. K

    Kuhamishwa kwa Wamisai Ngorongoro, tumechelewa lakini tumpongeze Rais Samia. Tujifunze Canada na tusahihishe

    Ni muda muafaka wa kumpongeza Rais Samia kwa kuwahamisha Wamasai na wakazi wengine ndani ya hifadhi ya Ngorongoro kulingana na maamuzi kama hayo yaliyowahi kufanyika Canada na Marekani. Tarehe 20 ya mwezi wa 7 kila mwaka nchini Canada wanasherehea ' National Park Day" sherehe ambayo Wacanada...
  8. Ngorongoro ni haki ya wamaasai, serikali msijitoe akili.

    Wamasai ni watu! Wamasai ni watanzania, wamasai ni waafrika na wamasai ni ndugu zetu! Nilipokuwa mdogo miaka ya 80 nilipata bahati kubwa ya kuzunguka na mzee haswa nyakati za likizo tukitembelea maeneo mbali, nilipata uzoefu wa kuona Maisha ya watanzania wenzangu, na hii ilinifanya kujifunza...
  9. I

    Maajabu ya Serikali ya CCM kujifungulia kesi, kujitetea mahakamani na kujihukumu

    Hiki ndicho kilichotokea huko Arusha kwa serikali kupitia Wakili Peter Njau kujifungulia kesi ya kupinga amri ya Waziri kufuta vijiji Ngorongoro kwa kutumia jina la mtu Isaya Ole Posi ambaye amekanusha kuhusika na kufungua kesi hiyo na kujisikiliza mahakamani na kujiwekea zuio! Hakika Serikali...
  10. Hivi ni kwanini Serikali ya Mama Samia inatumia nguvu kubwa kuwaondoa Wamasai Ngorongoro?

    Hii issue ya Wamasai kuhamishwa kutoka kwenye makazi yao ya asili imepamba moto kwenye hii awamu. Mkoloni mwenyewe hakuwahi hata kuattempt kufanya hivyo na serikali za awamu zilizopita pia hazikujaribu kuwaondoa. Cha kushangaza awamu hii wanajaribu kwa kila mbinu na hali kuhakikisha kuwa...
  11. I

    Ili uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024 uwe wa haki, mambo kadhaa yanaweza kufanywa

    Ili uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka 2024 uwe wa haki, mambo kadhaa yanaweza kufanywa: 1. Uwazi na Uadilifu wa Mchakato wa Uchaguzi. Vyombo vinavyosimamia uchaguzi, kama Tume ya Taifa ya Uchaguzi, viwe na uwazi katika kuendesha mchakato wa uchaguzi kuanzia usajili wa wapiga kura, uteuzi...
  12. Serikali ifikirieni Mbagala, ipeni hadhi ya wilaya(Manispaa)

    Wilaya ya Temeke imekuwa kubwa Sasa ni muda mwafaka itengwe kama ilivyo Kinondoni ilizaa Ubungo, Ilala ikazaa Kigamboni, Sasa kwanini Temeke isitoe Manispaa mpya ya Mbagala ambayo inaweza kuchukua baadhi ya maneno ya Mkuranga kama vile Mwandege, Kisewe na Vikindu Mbagala imepanuka Kwa kasi...
  13. J

    Ulijifunza nini katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2014/2019? Unatarajia nini katika uchaguzi wa 2024?

    Tanzania inatarajia kufanya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 2024, je, utashiriki katika Kupiga Kura? Kama ndiyo/hapana kwanini? JamiiForums inakukaribisha kushiriki katika Mjadala utakaohusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Novemba 2024, utakaofanyika kupitia XSpaces, leo Agosti 22, 2024...
  14. Senegal: Serikali yaunda Tume ya kupitia upya Mikataba ya Mafuta na Gesi

    Tume hiyo Maalumu imeundwa na Waziri Mkuu, Ousmane Sonko na imepewa jukumu la kupitia upya Mikataba yote ambayo Serikali zilizopita zilisaini na Kampuni za Kimataifa. Timu ya Wajumbe inaundwa na Wataalamu wa Masuala ya Kodi, Sheria na Nishati ambapo jukumu lingine walilopewa ni kuhakiki...
  15. Serikali yasema imeweka mazingira mazuri kwa Wahandisi Wanawake kushiriki katika utekelezaji wa miradi

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali imeweka mazingira wezeshi kwa ajili ya kutoa fursa kwa Wahandisi Wanawake kushiriki kikamilifu utekelezaji wa miradi mbalimbali ya ujenzi na matengenezo ya barabara na madaraja nchini. Ameeleza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  16. Badala ya Kutangaza Makusanyo ya Kodi Serikali Itangaze Mauzo ya Bidhaa Nje ya Nchi Kila Mwisho wa Mwezi

    Taifa hili kuna eneo muhimu linafumbiwa macho hasa taarifa za Mauzo ya Bidhaa Nje ya Nchi. Ni vema Serikali hasa Wizara ya viwanda na biashara na msemaji wa ikulu pamoja na yule wa Serikali, waanze mara moja kuweka takwimu za Mauzo na pesa za kigeni kwenye mazao na bidhaa mbalimbali Kama...
  17. Shida ya mtandao inayoendelea nchini tatizo ni nini? Serikali mpo kimya kampuni za mitandao mpo kimya! Sasa nani ana majibu?

    Wakuu, Kumekuwa na shida ya mtandao karibu wiki sasa, saa nyingine ikifika usiku mtandao unakuwa chini sana na wakati mwingine hata siku nzima, unakuta mtandao unasumbua kweli na hii ni kwa mitandao yote, yaani Voda, Airtel ns mingine. Cha kushangaza shida hii ya mtandao inabagua baadhi ya...
  18. D

    Fanyeni kazi vijana hela zipo nje nje ukifanya kazi. Acheni ngonjera eti kuna serikali ya kuwajazia pesa mifukoni

    Vijana ni kama wamewehuka hasa kwa sasa wamebaki wanasubuli tu mwabukusi amesema nini leo ili iwe topic siku nzima Hawajui kuwa selikali inaweza kuamua kulifuta hata hili li TLS likizingua
  19. Majaliwa: Taasisi za serikali zinazodaiwa na TEMESA kukiona

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Lazaro Kilahala, kuwasilisha Ofisini kwake orodha ya Taasisi zote za Serikali zinazodaiwa na Wakala huo ili aweze kuwaandikia baraua ya kusisitiza kulipa madeni yao. Agizo hilo amelitoa leo, Agosti 20...
  20. Ni huduma ipi inayotolewa na Serikali ndani ya Jamii unaifurahia kwa asilimia kubwa?

    Huduma zinazotolewa na Taasisi,Idara,Mashirika,Wakala na kwingineko. Mimi binafsi katika utafiti wangu mdogo idara ya maji inajitahidi sana kutuma bili kwa wakati. Pamoja na watu wengi kulalamikia bili hizo kuwa zinakuwa na bei kubwa ukilinganisha na matumizi lakini wamepiga hatua kubwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…