sera

"Que Sera, Sera (Whatever Will Be, Will Be)" is a song written by the team of Jay Livingston and Ray Evans that was first published in 1956. Doris Day introduced it in the Alfred Hitchcock film The Man Who Knew Too Much (1956), singing it as a cue to their onscreen kidnapped son. The three verses of the song progress through the life of the narrator—from childhood, through young adulthood and falling in love, to parenthood—and each asks "What will I be?" or "What lies ahead?" The chorus repeats the answer: "What will be, will be."
Day's recording of the song for Columbia Records made it to number two on the Billboard Hot 100 and number one in the UK Singles Chart. It came to be known as Day's signature song. The song in The Man Who Knew Too Much received the 1956 Academy Award for Best Original Song. It was the third Oscar in this category for Livingston and Evans, who previously won in 1948 and 1950. In 2004 it finished at number 48 in AFI's 100 Years...100 Songs survey of top tunes in American cinema.
It was a number-one hit in Australia for pop singer Normie Rowe in September 1965.
The song popularized the title expression "que sera, sera" as an English-language phrase indicating "cheerful fatalism", though its use in English dates back to at least the 16th century. Contrary to popular perception, the phrase is not Spanish in origin, and is ungrammatical in that language.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Sera ya Kutokuwa Upande: Nguvu ya Tanzania Kimataifa

    👉 Wapo baadhi ya wanaharakati uchwara waliokuwa wakitarajia kuona Dkt. Samia Suluhu Hassan akitumia lugha kali dhidi ya Marekani katika mahojiano yake ili kuonyesha upande anaouunga mkono. 👉 Kwa mtazamo wao, walidhani njia bora ya kuimarisha uhusiano na Urusi ni kuikosoa hadharani...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Sera ya ushuru sifuri ya China yapiga jeki mnyororo wa thamani wa maparachichi nchini Kenya

    Katika eneo la mashambani lililotanda rangi ya kijani katika Kaunti ya Murang'a katikati mwa Kenya, Jeff Ngigi Mburu alifurahia sana miparachichi yake aina ya Hass, huku akistarehe kwa upepo mwanana wa alasiri. Mkulima huyo kijana alifurahia kuzungumza na wafanyakazi kadhaa kutoka vijiji jirani...
  3. JamiiForums Tanzania Mbunge, Jesca Yuda Mbogo: Sera ya Matibabu bure haitufikii vyema wanawake, Unakwenda kujifungua unaambiwa utachangia matibabu

    Sera ya matibabu bure haitufikii vyema wanawake, kumwambia Mwanamke wa kijijini achangie 250,000 kwa ajili ya upasuaji, ni gharama kubwa sana hivyo wanawake wanaona bora wakajifungulie nyumbani Hayo ameyasema leo 12 Mei 2026, Bungeni Dodoma, wakati akichangia hoja bungeni kuhusu bajeti ya...
  4. JamiiForums Tanzania Ruto ameongelea sera ya uwekezaji na biashara, Mwenzake anaongelea kuchapa bakora wakosoaji

    Speech ya Rais Ruto ilikuwa safi kutoka Kwa mtu smart. Imejaa weledi, sera, taaluma na utashi wa maendeleo Hotuba ya Samia imejaa visasi na chuki Kwa wananchi Aibu naona zaidi Kwa michango ya wabunge waliotoa, ilikuwa ni pongeza na uchawa Mara Ruto ni mpenda watu, mara oooh yaani upumbavu tu...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Sera ya China ya Ushuru Sifuri ni fursa kubwa kwa nchi za Afrika

    Kuanzia Mei 1, sera ya China ya ushuru sifuri kwa nchi za Afrika itajumuisha bidhaa nyingi kutoka nchi za Afrika, ikionyesha mabadiliko makubwa katika mienendo ya biashara ya kimataifa. Sera hii inakuja katika wakati muhimu kwa uchumi wa Afrika, ambao unakabiliana na mashinikizo ya nje...
  6. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sera ya ushuru sifuri ya China yafungua fursa kwa sekta ya kahawa ya nchini Kenya

    Kuanzia Mei Mosi, 2026, China itaanza kutekeleza sera ya ushuru sifuri kwa bidhaa zinazotoka nchi 53 za Afrika zenye uhusiano wa kidiplomasia na China. Sera hii inachukuliwa kama fursa muhimu kwa nchi za Afrika kuingia katika soko kubwa la China kwa kuleta bidhaa zao za kipekee na za ubora wa...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Sera ya China ya ushuru sifuri kwa bidhaa za Afrika kuneemesha nchi za Afrika

    China kwa sasa inageuza soko lake kuwa chachu ya ushirikiano, hali ambayo inaonekana ni tofauti kabisa na nchi za magharibi ambazo zinatoa mapendekezo yanayoambatana na masharti kemkem. Nchi za Afrika zimekuwa zikijiuliza kwa muda mrefu, ya kwamba ni nani hasa anayefungua soko lao, kwa masharti...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Sera ya Ushuru Sifuri ni fursa pia ni kichocheo kwa Afrika

    Hivi karibuni, "Ushuru Sifuri wa China" imekuwa mada muhimu kwenye vyombo vya habari nchini Kenya. Watu mbalimbali, kuanzia Makamu wa Rais hadi wafanyabiashara, wanaipokea sera hiyo (itakayotekelezwa kuanzia Mei mosi, 2026) sio kwa kuikaribisha tu, bali kujipangia mikakati mipya. Sababu si tu...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha mvinyo cha Afrika Kusini kinalenga fursa za ukuaji chini ya sera ya China ya ushuru sifuri

    Chini ya mwanga hafifu wa mwanzoni mwa majira ya mpukutiko katika Kizio cha Kusini, mistari ya chupa inasikika kwa utulivu katika Kiwanda cha Mvinyo cha Diemersdal huko Cape Town Afrika Kusini. Msimu wa mavuno ndio kwanza umemalizika, na kuacha safu za mizabibu zikiwa zimechumwa zabibu zake...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wilaya ya Mbinga Mkurugenzi anaenda kinyume na Sera ya Elimu, analazimisha Wanafunzi wasome masomo yote

    Wilaya ya Mbinga Mkurugenzi amelazimisha shule zote za Sekondari kuanzia Mwaka 2025 kuwa Kidato cha kwanza wanatakiwa kusoma masomo yote bila kujali wameyachagua au la, kitu ambacho ni kinyume na Mtaala wa Elimu wa 2014 ulioboreshwa wa 2023. Mtaala huo wa sasa unawataka wanafunzi kusoma masomo...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mwananchi: Tofauti za vyama ziachwe, viongozi wanaponadi sera waachane na kauli za kutugawa

  12. B

    JamiiForums Tanzania Sera ya ukuzaji vipaji vya mpira Tanzania

    PROJECT PROPOSAL YA KITAIFA **KAMPENI YA KITAIFA: “TUINUE VIPAJI KWA TAIFA LETU NA MAENDELEO YETU”** Wizara Husika: Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1. UTANGULIZI WA KIMKAKATI Tanzania ni taifa lenye idadi kubwa ya watoto na vijana wenye vipaji vikubwa vya...
  13. JamiiForums Tanzania Samia: Tumeboresha sera zetu kuvutia uwekezaji zaidi Tanzania

    Rais Samia Suluhu Hassan, jana usiku alishiriki katika uzinduzi wa Global Africa Investment Summit (GAIS) uliofanyika jijini Dubai, hatua inayolenga kuimarisha nafasi ya Afrika katika kuvutia uwekezaji wa kimataifa unaozingatia uhalisia wa kifedha na mipango ya muda mrefu. Akihutubia mkutano...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Kimya katika Sera ya Marekani kwa Afrika: misaada kama chombo cha kuhudumia mkakati wa taifa

    Katika mwaka mmoja uliopita tangu Donald Trump kurejea Ikulu ya White House, sera ya Marekani kwa Afrika imeanza kubadilika kimya kimya. Barua ya ndani ya mkuu wa Idara inayoshughulikia mambo ya Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani Nick Checker, iliyovuja hivi karibuni, ilifichua...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri Makonda anzisha sera ya mitandao mbadala wa instagram na tiktok Tanzania

    Najua hili unaliweza bila shaka ili tuondokane na utegemezi wa kibeberu.Tujifunze kwa wachina
  16. L

    JamiiForums Tanzania Sera ya kuwepo kwa China Moja inasisitizwa wakati wa ziara ya Waziri wa Mambo ya Nje wa China barani Afrika

    Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Bw. Wang Yi, amemaliza ziara yake ya mwaka mpya barani Afrika, kitu ambacho ni sehemu ya desturi ya miaka 36 sasa ya Waziri wa Mambo ya Nje wa China kufanya ziara ya kwanza barani Afrika kila mwaka mpya unapoanza. Moja kati ya mambo aliyofanya akiwa ziarani...
  17. JamiiForums Tanzania Wapinzani hawa ambao sera yao kubwa ni kudandia kila jambo linalotokea wakiingia Ikulu naacha kazi

    Nenda mtaani uliza ni chama gani kikubwa cha upinzani Tanzania utajibiwa ni CHADEMA. Uliza tena ni ipi sera yao kubwa kwa sasa, huwezi kupata jibu. Unfortunately hata ukiuliza kwa member na viongozi wa CHADEMA kuwa sera kubwa ya chama chenu ni nini hawana majibu. Wiki iliyopita Trump...
  18. JamiiForums Tanzania Nchi Zenye kutumia Ubabe kulinda Mipaka yake na Maeneo Jirani, hata kama Nchi Jirani haitaki kulindwa italindwa tu

    The Monroe Doctrine sio dhana ya kipekee tu kwa Taifa la Marekani. Kwa wasiofahamu Monroe Doctrine ni sera inayokataza Mataifa ya kigeni hasa ulaya na kwingineko wasipeleke au kusogelea Nchi zozote zilizoko katika mabara ya America kusini na America kaskazini. Na nchi yoyote itakayojaribu...
  19. JamiiForums Tanzania Ni ipi sera ya CHADEMA kwa sasa baada ya No Reforms, No Election (NRNE)?

    Uchaguzi ushaisha na mambo yanaendelea je chadema kwa sasa wana sera gani ambayo hata leo mwenyekiti wao akitoka watatamba nayo kwenye mikutano ya hadhara? Siasa siasani karibuni wanachadema mtujuze sisi ambao hatuna vyama
  20. JamiiForums Tanzania Huu ni muda muafaka wa kuja na Sera mpya ya ulinzi dhidi ya uvamizi wa kikoloni!

    Toka kabla ya Uhuru mababu zetu walipambana dhidi ya mikakati na madhila yaliyoletwa na mabeberu kuja kutawala na kubeba mali na rasilimali zetu kwa njia za kibabe au ulaghai. Somo nililojifunza ni kuwa kwao wao mabeberu kuchukua au kunyang'anya rasilimali zetu ili wao na vizazi vyao waweze...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…