senegal

Senegal ( (listen); French: Sénégal; Wolof: Senegaal), officially the Republic of Senegal (French: République du Sénégal; Wolof: Réewum Senegaal), is a country in West Africa. Senegal is bordered by Mauritania in the north, Mali to the east, Guinea to the southeast, and Guinea-Bissau to the southwest. Senegal nearly surrounds The Gambia, a country occupying a narrow sliver of land along the banks of the Gambia River, which separates Senegal's southern region of Casamance from the rest of the country. Senegal also shares a maritime border with Cape Verde. Senegal's economic and political capital is Dakar.It is a unitary presidential republic and is the western-most country in Afro-Eurasia. It owes its name to the Senegal River, which borders it to the east and north. Senegal covers a land area of almost 197,000 square kilometres (76,000 sq mi) and has a population of around 16 million. The state was formed as part of the independence of French West Africa from French colonial rule. Because of this history, the official language is French. Like other post-colonial African states, the country includes a wide mix of ethnic and linguistic communities, with the largest being the Wolof, Fula, and Serer people, and the Wolof and French languages acting as lingua francas.
Senegal is classified as a heavily indebted poor country, with a relatively low Human Development Index. Most of the population is on the coast and works in agriculture or other food industries. Other major industries include mining, tourism and services. The climate is typically Sahelian, though there is a rainy season.
Senegal is a member state of the African Union, the United Nations, the Economic Community of West African States (ECOWAS), and the Community of Sahel-Saharan States.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais wa Senegal atoa msamaha kwa Mwandishi wa Habari Rene Capain Bassene aliyekuwa amehukumiwa kifungo cha Maisha jela

    Rais wa Senegal ametoa msamaha kwa mwandishi wa habari, Rene Capain Bassene, aliyekuwa amehukumiwa kifungo cha maisha jela kuhusiana na mauaji ya watu 14 yaliyotokea mwaka 2018 katika mkoa wa Casamance. Mnamo Januari 2018, watu 14 waliokuwa wakikata mbao (loggers) walivamiwa na kuuawa katika...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Senegal: Aliyetimuliwa Uwaziri Mkuu achaguliwa kuwa Spika wa Bunge

    Bunge la Senegal limemchagua Waziri Mkuu wa zamani, Ousmane Sonko, kuwa Spika mpya. Hatua hii inaweza kumpa jukwaa lenye nguvu kubwa la kutoa upinzani kwa Rais Bassirou Diomaye Faye. Spika wa zamani wa bunge hilo, El Malick Ndiaye, alijiuzulu Mei 24, 2026 hatua ambayo wachambuzi wa mambo...
  3. JamiiForums Tanzania Rais FAYE wa Senegal Amemfukuza Kazi Waziri Mkuu Wake Kisa Kugombea Madaraka.Hawa ni Kama Mbowe na Lisu.Ukiwa mjinga Utatumikishwa na Wanasiasa.

    Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye, siku ya Ijumaa amemfuta kazi Waziri Mkuu Ousmane Sonko na kuvunja serikali, kwa mujibu wa taarifa iliyosomwa kupitia shirika la utangazaji la kitaifa, RTS. Tangazo hilo linakuja baada ya miezi kadhaa ya mivutano inayoongezeka kati ya washirika hao wawili...
  4. JamiiForums Tanzania Senegal: Mwisho wa "Ndoa" ya Kisiasa? Rais Diomaye Faye amtimua kazi Waziri Mkuu Ousmane Sonko na kuvunja serikali

    Jana, tarehe 22 Mei 2026, ulimwengu wa siasa za Afrika Magharibi umeshuhudia mtikisiko mzito baada ya Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye, kumfuta kazi Waziri Mkuu wake, Ousmane Sonko, na kuivunja Serikali yote. Uamuzi huu, uliosomwa kupitia televisheni ya taifa na Katibu Mkuu wa Kiongozi...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Senegal waliokamatwa kwenye vurugu za AFCON 2025 Morocco wakana mashtaka

    Mashabiki 18 wa soka wa Senegal waliowekwa jela kwa kosa la kuingia uwanjani wakati wa fainali ya fujo ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) kule Rabat mwezi Januari 2026, wamekana kuhusika na kosa lolote. Awali Februari 2026, mahakama nchini Morocco iliwahukumu mashabiki hao kifungo cha...
  6. J

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Timu ya taifa ya Senegal imepeleka kombe la AFCON jeshini, baada ya CAF kutangaza kuipoka ubingwa wake na kuipa Morocco

    Naomba kupata msaada wa ufafanuzi
  7. JamiiForums Tanzania CAF President Patrice Motsepe Defends Decision to Strip Senegal of AFCON Title

    Patrice Motsepe, President of the Confederation of African Football, has defended the decision to strip Senegal of the AFCON title following their walkout during the final. The incident has sparked debate across the football community about discipline, sportsmanship, and the enforcement of...
  8. JamiiForums Tanzania Haturudishi kombe medali wala pesa zao wasahau-Shirikisho la Senegal

    Senegal imekataa kukabidhi kombe na medali za AFCON 2025. Shirikisho la Soka la Senegal (FSF) limesema kuwa kombe hilo “halitatoka nchini” na lina mpango wa kupinga uamuzi wa CAF. Maafisa wa shirikisho hilo wanasisitiza kuwa mapambano bado hayajaisha, huku baadhi ya wachezaji wakichapisha...
  9. JamiiForums Tanzania Senegal imeapa kukata rufaa ya uamuzi wa CAF kuwapoka ubingwa wa AFCON 2025

    Shirikisho la Soka la Senegal (FSF) limethibitisha kupokea uamuzi uliotolewa na Kamati ya Rufaa ya CAF kuhusu kupokwa ubingwa wa Kombe la Mataifa la Afrika 2025 FSF imepinga rasmi uamuzi huo ambao wanaona hauna msingi wa kisheria, upo kiholela na hauna uwiano. FSF inaamini kuna Ukiukaji...
  10. JamiiForums Tanzania Nimefurahishwa na maamuzi ya CAF kumvua ubingwa Senegal

    Senegali walifanya tukio la aibu mbele ya wageni na dunia nzima. Wakati mpira wa Afrika ukianza kuimarika na kutazamwa na watu wote dunia wao Senegal hawakuona hilo na wala hawakuweza kufikiri nini kinafuata. Mpira ni biashara na hatima za maelfu ya watu unawezaje kufanya blander kama ile...
  11. JamiiForums Tanzania Senegal wamevuliwa Ubingwa wa AFCON

    https://www.thecitizen.co.tz/tanzania/sports/football/senegal-stripped-of-afcon-title-after-morocco-win-appeal-5394742
  12. JamiiForums Tanzania Senegal wapokwa ubingwa wa AFCON 2025 na CAF, apewa Morocco

    Morocco imetawazwa kuwa mabingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika la 2025 baada ya uamuzi mzito siku ya Jumanne kueleza kuwa ushindi wa bao 1-0 wa Senegal kwenye fainali umebatilishwa. Senegal ilikuwa imeshinda mechi hiyo huku Pape Gueye akifunga bao la ushindi katika muda wa nyongeza, lakini...
  13. JamiiForums Tanzania Senegal PM proposes tougher anti-LGBT law, doubling prison terms

    Senegal’s Prime Minister Ousmane Sonko has introduced a new bill that would significantly increase penalties for same-sex relations, raising the maximum prison sentence to 10 years. The proposed legislation was sent to parliament this week after cabinet approval, following a wave of recent...
  14. W

    JamiiForums Tanzania CAF Yatoa adhabu nzito kwa Senegal & Morocco baada ya Fainali ya AFCON 2025

    Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetoa adhabu kali na zisizo za kawaida dhidi ya Senegal na Morocco kufuatia ukiukwaji wa nidhamu uliotokea katika fainali ya AFCON 2025. Senegal imepigwa faini ya jumla ya dola za Marekani 615,000, ikijumuisha dola 300,000 kwa utovu wa nidhamu wa mashabiki, dola...
  15. JamiiForums Tanzania Nauliza tu hivi wale wachezaji waliopiga picha na mama zao tu baada ya ushindi wa Senegal, baba zao wanakuwaga wapi?

    SISEMI KWA UBAYA, nauliza tu. Kuna picha zinazotrend: wachezaji wa Senegal wakiwa na mama zao wameshika bendera. Haitoshi, hadi tuzo ya Ballon d’Or, Hakimi kaenda na mama yake. Hata Dembélé yuko na mama yake kwenye tuzo. Sasa najiuliza: Je, baba zao wamekufa? au ndiyo wameamua kuwa “kimya” tu...
  16. JamiiForums Tanzania Rais wa Senegal akiwa na wake zake katika hafla ya kupokea kombe la AFCON

    Hii ni picha kutoka Ikulu ya Senegal. Rais wa nchi hiyo akiwa na wake zake wawili, wakipokea kombe la AFCON baada ya timu ya taifa ya nchi hiyo kutwaa taji hilo.
  17. JamiiForums Tanzania Wengi wanaomlaumu kocha wa SENEGAL ni kundi liloweka mikeka(BETTING )na kumpa mwarabu

    Nimetuliza kichwa na kufuatilia mijadala kila kona hasa hapa bongo,naona kuna kundi la asilimia fulani humlaumu kocha kwa kitendo cha kutaka/kutoa timu uwanjani. Ila kwa utafiti wangu kidogo nimegundua wengi waliweka mikeka na kumpa mwarabu,hivyo baada ya mazonge ya mchezo basi wao shutuma zao...
  18. JamiiForums Tanzania Senegal: Serikali yawatunuku vyeo vya juu Kocha na wachezaji wa timu ya Taifa

    Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye amemtunuku Kocha Mkuu wa timu ya taifa, Pape Thiaw pamoja na wachezaji wa ‘Simba wa Teranga’ kwa kuwapa hadhi ya ‘Commander of the National Order of the Lion’, heshima ya juu ya kitaifa inayotolewa kwa watu waliotoa mchango mkubwa kwa taifa lao. Tuzo hiyo...
  19. JamiiForums Tanzania Isingekuwa hawa vijana hawa, Senegal isingeshinda AFCON

    Hawa vijana wa kigalatia ndo sababu ya kipekee kuwezesha timu ya mpira ya taifa Senegal kuishinda Morocco kwenye Fainali za Afcon na kutwaa kombe. Vijana hao wagalatia ni Eduardo Mendy (kipa) Nicholas Jackson (Mshambualiaji), Antoinne Mendy (kiungo) na Ismail Jakobs (beki). Siku hiyo ya...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa ubaguzi huu bila Senegal kufanya hivi sisi Wafrika, Sisi Weusi tungepata shida sana. Wametuheshimisha.

    Hawa Morocco huwa wao wapo Kimakosa Afrika. Wanadharau sana na kutuona sisi ndugu zao si wa maana. Jana waliumia sana. Senegal kwa kweli Mungu wetu amewasimamia vyema kabisa. Ile dharau ambayo tungeipata sisi? Mungu tu ndo anajua. Najua sisi Waarabu wa Mchambawimba, Makunduuchi hatujapendezwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…