sekta

Sekta is a village in the Imphal East district of Manipur, India. Sekta Archaeological Living Museum is situated in the village.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Prof. Kamuzora: Sekta binafsi haiwezi kuvumilia mabomba yanayovuja ni wakati wa sekta binafsi kusimamia mamlaka za maji

    “Tuna Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anayeelewa umuhimu wa sekta binafsi” Msomi na mchambuzi wa sera za kiuchumi, Aurelia Kamuzora amesema changamoto ya upotevu wa maji na uchakavu wa miundombinu nchini inaweza kupungua kwa kiwango kikubwa iwapo sekta binafsi itapewa nafasi kubwa zaidi katika...
  2. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sera ya ushuru sifuri ya China yafungua fursa kwa sekta ya kahawa ya nchini Kenya

    Kuanzia Mei Mosi, 2026, China itaanza kutekeleza sera ya ushuru sifuri kwa bidhaa zinazotoka nchi 53 za Afrika zenye uhusiano wa kidiplomasia na China. Sera hii inachukuliwa kama fursa muhimu kwa nchi za Afrika kuingia katika soko kubwa la China kwa kuleta bidhaa zao za kipekee na za ubora wa...
  3. JamiiForums Tanzania Tuzo ya WIMA (Women in Management Africa) yatambua mchango wa Dkt Upendo Matotola katika Sekta ya Milki

    Mkurugenzi wa Milki Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt Upendo Matotola, ameibuka mshindi miongoni mwa washindi wa Tuzo ya WIMA (Women in Management Africa) kwa mwaka 2026, kutokana na mchango wake mkubwa katika kukuza na kuimarisha sekta ya milki nchini. Tuzo hiyo ni ushahidi...
  4. JamiiForums Tanzania WIMA yatambua Mchango wa Dkt. Upendo katika Sekta Milki

    Mkurugenzi wa Milki Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Upendo Matotola, ameibuka mshindi miongoni mwa washindi wa Tuzo ya WIMA (Women in Management Africa) kwa mwaka 2026, kutokana na mchango wake mkubwa katika kukuza na kuimarisha sekta ya milki nchini. Tuzo hiyo ni ushahidi wa...
  5. JamiiForums Tanzania Kumbe hadi kwenye sekta hii wakenya wametuacha mbali? Imeniuma sana

    Baada ya kwenda home kusalimia kwenye moja ya mkoa wa kaskazini, nikasema nikatembee kwa siku 7 upande wa kenya, Nikaanzia taveta then nikaenda Voi,kimana then leitoktok. Nilichogundua wanawake wa kikenya wazuri sana, kuanzia ladha, muonekano,kuvaa na mengineyo. Kwanza hawapendi kujichubua...
  6. JamiiForums Tanzania SI KWELI John Heche nikiteuliwa kuwa CAG nitashauri sekta zenye hasara kufanya kazi bila usimamizi

    Kumekuwepo na machapisho kadhaa yanayosambazwa kwenye kurasa mbalimbali za mitandao ya kijamii hususani facebook kufuatia kauli ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, John Heche, alipozungumza na vyombo vya habari. Mojawapo ya machapisho hayo linadai kuwa amesema:
  7. JamiiForums Tanzania Sasa hivi kila sekta ngumu kutoboa ilikuwa rahisi 2012 kuja 2022

    Sasa hivi wanaofanikiwa ni wale walio kwenye mfumo tu mambo yamebadilika sasa ni kama kila deal halilipi.ukija kwenye biashara ya nguo watu wana maduka kibao mitaani wengine ku clear mzigo wanauza mpaka Jean's 5000, Ukija kwenye content creator washakuwa wengi ma simu ya mkopo kibao,ukija...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania yaandika Historia mpya kwenye Sekta ya Reli!

    Kuanzishwa kwa uundaji na ukarabati wa vichwa vya treni za MGR (Meter Gauge Railway) nchini ni hatua kubwa kwa maendeleo ya Shirika la Reli Tanzania (TRC) na Taifa kwa ujumla. Kiteknolojia Hatua hii inaashiria mwanzo wa kujitegemea kiteknolojia. Tanzania inaanza kujenga uwezo wa ndani wa...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Suala la mtu kula kwa urefu wa kamba yake lifanyie kwenye ajira za serikalini, ukijaribu sekta binafsi utanyongwa kwa urefu wa hiyo kamba yako!

    Kwa ujumla inajulikana Watanzania wengi sio waaminifu unapowaajiri kazi. Tena wana ukosefu wa uaminifu wa kijinga sana. Unakuta umeajiri watu ambao walisota muda mrefu bila kazi, huenda hata wengine ni ndugu zako. Kisha wanatumia hiyo ajira kuiba hadi wanaifilisi biashara au kampuni...
  10. JamiiForums Tanzania Paul Makonda atangaza Wizara yake imetenga Bilioni 50 ili kuwawezesha vijana wanaojihusisha na sekta ya ubunifu

    Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imetenga mfuko wenye Sh50 bilioni kwa ajili ya kuwawezesha vijana wanaojihusisha na sekta ya ubunifu nchini, hatua inayolenga kukuza uchumi wa ubunifu na kutoa fursa zaidi za kiuchumi kwa vijana. Akizungumza jijini Arusha jana Machi...
  11. JamiiForums Tanzania Ninadhani RC Mtambi anatakiwa ajifunze zaidi kuhusu sekta ya utalii inavyofanya kazi

    Binafsi ninaona RC Mtambi kuna mambo hajui kuhusu utalii na jinsi gani hii sekta ina umuhimu kwa taifa hili. Hizi amri zake zinagusa mambo mengi sana kitaifa na kimataifa. Sio kauli za kidiplomasia.
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ahadi hewa ya Utekelezaji wa Muundo wa Utumishi kwa Sekta ya Afya (Kada ya Uuguzi na Ukunga) kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026

    JE ILIKUWA NI AHADI HEWA YA KUPITISHWA NA KUANZA UTEKELEZAJI WA MUUNDO WA UTUMISHI KWA SEKTA YA AFYA (KADA YA UUGUZI NA UKUNGA) KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026 ILIYOTOLEWA NA OFISI YA RAIS – MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA MWEZI MEI 2025? Habari, Kwa masikitiko makubwa napenda...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ripoti maalum ya sekta zinazoongoza kwa ufujaji na matumizi mabovu ya pesa za vijana wa Kitanzania

    1)Idara ya uzinzi Ni sekta namba Moja Ambayo ,imeonekana Kuwa na matumizi mabovu mno ya Fedha ,vijana wamekengeuka ,Wanahonga sana michepuko na girlfriends ukilinganisha na bei Elekezi. Kijana anaamua kujilipua kuingia mahusiano yenye gharama kubwa sana kwasababu ya kupagawishwa na shepu na...
  14. JamiiForums Tanzania Je, una jambo lolote linalohusu mifumo ya Serikali au sekta binafsi lakini hujui uanze wapi au ufanyeje?

    Je, una jambo lolote linalohusu mifumo ya Serikali au sekta binafsi lakini hujui uanze wapi au ufanyeje? Je, unajiuliza ni nani wa kumuamini akusaidie kutekeleza majukumu muhimu ya kibiashara au binafsi kwa niaba yako? Jibu ni Amicable Group Holdings Limited. Ni kampuni iliyosajiliwa kisheria...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Jinsi Porojo za wanasiasa zinavyoharibu Sekta ya Afya nchini

    Kumekua na kukithili kwa porojo za kisiasa juu ya sekta ya afya nchini, hali inayopelekea huduma kuendelea kuwa duni na zisizoridhisha. Jambo moja wapo ni hili la kupitiwa na kubadilishwa kwa miundo ya kimshahara katika sekta ya afya,, jambo hili kila Waziri anaepewa dhamana kuongoza wizara ya...
  16. J

    JamiiForums Tanzania RC Mtaka adai Wakinga, Wapemba, Wanyantuzu, Waha, na Wachaga, ndio vinara wa sekta binafsi Tanzania.

    ..RC Mtaka anadai Kariakoo haiwezi ku-survive bila ya uwepo wa Wakinga. ..sikiliza mahojiano yake hapa chini. https://www.youtube.com/watch?v=USgtsZ6LwvY
  17. L

    JamiiForums Tanzania Makumbusho ya kijiolojia yaliyojengwa na China yachochea ukuaji wa sekta ya utalii nchini Tanzania

    China ni nchi kubwa inayoendelea ambayo imekuwa ikisaidia nchi nyingine zinazoendelea, zikiwemo za Afrika, kufikia maendeleo kulingana na mazingira halisi ya nchi husika. Juhudi hizo za China zinaonekana katika maeneo mbalimbali ikiwemo sekta ya kilimo, afya, uchumi na biashara, na ujenzi wa...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Njia madhubuti ya kupunguza tatizo la ajira Tanzania ni kwa kuweka nguvu zaidi kwenye sekta binafsi

    Uimarishaji wa Sekta Binafsi: Sekta binafsi ndio chanzo kikuu cha ajira katika nchi nyingi duniani. Mfano, nchini Kenya, serikali imewekeza katika kuimarisha mazingira ya biashara kwa sekta binafsi kupitia mpango wa Big Four Agenda, ambapo viwanda vya ndani vimepewa kipaumbele. Tanzania pia...
  19. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mtandao wa kifamilia ulivyoteka sekta ya uingizaji wa magari Japan - Tanzania

    Katika hali inayoashiria mtandao wa fedha haramu, familia moja yenye uhusiano wa karibu na vigogo nchini Tanzania inadaiwa kuteka mfumo mzima wa uagizaji wa magari ya mtumba kutoka Japan, na kuelekeza mabilioni ya fedha za Serikali katika mifuko yao, huku kukiwa na mgongano mkubwa wa kimaslahi...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Wabongo bado sana kwenye biashara ya usafirishaji na uchukuzi

    Ninaunga mkono kwa 100% serikali kubinafsisha kwa wazungu, waarabu au hata wachina shughuli zote za usafirishaji na uchukuzi. Reli, bandari, mabasi na kwingine kote kunakohusiana WABINAFSISHE. Sisi wazawa hatuwezi hizo kazi. Ufanisi mdogo sana. Nimeandika baada ya kushindwa kuvumilia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…