Wasalaam,
Wakuu, kuna jambo ambalo naamini tunapaswa kulijadili kwa uzito, hasa sisi wadau wa sekta ya utalii.
Tanzania tumebarikiwa kuwa na vivutio vya kiwango cha dunia kuanzia Serengeti, Ngorongoro, Kilimanjaro hadi Zanzibar. Lakini pamoja na utajiri huu, bado tunapaswa kujiuliza kama...
Ajira Mpya katika sekta ya Elimu katika Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti, tuliingia kazini na kuripoti Agosti lakini mpaka sasa tunakabiliwa na changamoto kubwa ya kutolipwa mshahara wetu wa mwezi wa nane pamoja na mwezi wa tisa.
Tulipojaribu kwenda kuulizia makao makuu ya halmashauri...
Anonymous
Thread
ajira mpya
halmashauri
mishahara
sektasekta ya elimu
septemba
serengeti
Msajili wa Kampuni nchini Kenya amefuta kampuni 440 kutoka kwenye rejista rasmi ya kampuni, hatua iliyogusa biashara katika sekta mbalimbali za uchumi.
Kwa mujibu wa Gazette Notice ya Oktoba 4, 2026, kampuni hizo zilivunjwa rasmi na majina yao kuondolewa kwenye Register of Companies chini ya...
DODOMA
Serikali imesema imeanza kuweka msisitizo zaidi katika sekta ya nyumba na maendeleo ya makazi ili kuimarisha upatikanaji makazi bora, salama na yenye kuzingatia mipango miji, sheria na viwango vya ujenzi nchini.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhandisi...
📌Ndani ya nchi aipendelea fursa, saaa mwelekeo ni hadi nje ya nchi.
📌Mwigulu asema amewasisitiza ishiriki kwenye mipango ya serikali
📌Yatengenezewa mazingira hadi Qatar, nia ni iwajibike Dira 2050
Bodi ya Tumbaku Tanzania (TTB) imekutanisha wadau wa Sekta ya Tumbaku nchini kwa lengo la kutafakari na kuweka mikakati ya utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 pamoja na Mpango Kabambe wa Kilimo wa mwaka 2050 (Agricultural Master Plan 2050 – AMP 2050).
Kikao hicho kimewakutanisha...
Sekta ya utalii nchini Tanzania ilifunga mwaka 2025 kwa mafanikio makubwa zaidi tangu kuanzishwa kwa Utafiti wa Wageni Wanaotoka Nje ya Nchi (International Visitors' Exit Survey) mnamo mwaka 2001. Kulingana na toleo la 25 la utafiti huo ilipokea wageni wa kimataifa 2,294,495 mnamo mwaka 2025...
Sr. Dkt. Sarah Kahumbya Deogratius, Mkurugenzi wa Hospitali ya Kardinali Rugambwa nchini Tanzania, ametajwa kuwa mpokeaji wa Tuzo ya Else Kröner Fresenius ya Ushirikiano wa Maendeleo katika Tiba kwa kutambua kazi yake ya kuimarisha utambuzi wa kifafa na utunzaji wa watoto wenye ulemavu.
Tuzo...
Na Dr. Zack, WAF- New York
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi amesema Tanzania imepunguza vifo vya akina mama kwa asilimia 80 ndani ya kipindi cha miaka saba chini ya uongozi thabiti wa Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan.
Mhe. Ndejembi amesema haya leo...
Bodi ya Kahawa Tanzania (TCB), kwa kushirikiana na Taasisi ya Misitu ya Ulaya (EFI) na kampuni ya sheria ya NexLaw Advocates mapema aeptemba 15 mwaka huu iliandaa warsha ya pili ya wadau.
Warsha hiyo ilikuwa sehemu ya jitihada zinazoendelea za kuimarisha utayari wa sekta ya kahawa nchini...
Katika majira ya joto ya mwaka huu, sehemu kubwa ya eneo la kaskazini mwa dunia ilikuwa na joto kali kiasi kwamba katika baadhi ya maeneo barabara ziliyeyuka, misitu iliwaka moto, watu walipoteza maisha na hata kuyumbisha baadhi ya mifumo ya nishati. Hali hii imekumbusha tena umuhimu wa...
Ili kukuza sekta ya uchumi na viwanda serikali ya Tanzania iondoe kabisa aina zote za ushuru na kodi katika kuagiza mashine mbalimbali zinazoagizwa china na kwingineko, hii itasaidia kustawisha sekta ya viwanda itakayo saidia kukuza uchumi na kuongeza ajira.
Balozi wa Tanzania nchini Algeria, Mobhare Matinyi, Septemba 7, 2026 amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Viwanda vya Dawa wa Algeria, Dkt. Wassim Kouidri, katika ofisi za wizara hiyo jijini Algiers.
Mazungumzo hayo yalihusu namna ya kuimarisha ushirikiano zaidi katika sekta ya viwanda...
Wafanyakazi wa taasisi binafsi ni km watoto yatima tu. Anzia utaratibu wa mifuko ya hifadhi za jamii(NSSF) wao wanakatwa 10% mwajiri anachangia 10%, PSSSF wafanyakazi wanakatwa 5% mwajiri(serikali) anachangia 15%.
Siku ya mafao mwajiriwa wa sekta binafsi anapewa 35% ya mkupuo wakati wa serikali...
abdul hafidh
biashara
binafsi
entebbe
hafidh ameir
hizi
ikulu
kujadili
matairi
mbili
mtoto
mtoto wa
mtoto wa rais
mtoto wa rais samia
na rais
nchi
rais
rais samia
rais wa uganda
samia
sektasekta binafsi
uganda
ujumbe
wake
SMALL MIND CREATE A GAP–LAKINI VISION KUBWA HUUNDA MFUMO UNAOFANYA KILA UPANDE USHINDE
Kama Mtanzania mwenzako, wacha nami nitie neno kwa kutumia kalamu ya wino wangu.
Nimesikiliza hoja.
Nimesoma maoni.
Nimeangalia reaction za watu waliokubaliana na waliopinga.
Na nimegundua kitu kimoja...
Makampuni hayatoi mikataba siku hizi,mtu unafanya kazi kama kibarua yaani unalipwa kwa siku.
Hakuna benefits zozote kama bima ya afya wala mifuko ya hifadhi.
Kwa makampuni yanayotoa mikataba ni kwamba wanatafuta kampuni nyingine ndio inakua kama imekuajiri.
Yaani unafanya kazi kampuni A...
Kutokana na kuongezeka kwa kasi ya uwekezaji katika shughuli za kuongeza thamani madini nchini na kujifungamanisha kwake na sekta nyingine za uchumi, Sekta ya Madini imeendelea kuweka msingi madhubuti wa kufikia malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 inayolenga kujenga uchumi wa Dola...
Changamoto ya salary scale kwenye mashirika yanayofanya kazi sekta binafsi baadhi Yao wanalipa mshahara mdogo ambao hauendani na salary scale iliyowekwa na Serikali na ni ajira za mkataba.
Hata pale wanapohuisha mkataba mpya badala ya mshahara kuongezeka, unaweza ukabaki pale pale angali...
Anonymous
Thread
binafsi
changamoto
mshahara
sektasekta binafsi
serikali
viwango
viwango vya mshahara