sekretarieti ya ajira

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Waliofanya usaili wa LGA & MDA kupitia Sekretarieti ya Ajira 17/12/2025 walifeli wote?

    Kuna watu walifanya interview za LGA & MDA kupitia Sekretarieti ya ajira Serikalini 17/12/2025 oral ila hadi leo majibu hayajatoka hata kwa mtu mmoja. Tunachowaza ni kwamba walifeli wote au nini kinaendelea?
  2. Jamii Opportunities

    Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma yatangaza nafasi za kazi 17,710

    Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya na MDAs & LGAs anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 17,710 kama ilivyoainishwa katika tangazo hili; Ili kuweza kutazama nafasi zilizotangazwa pitia
  3. M

    Kwanini Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma wasipewe kusimamia zoezi la uchaguzi mkuu October

    Habari wakuu Kumekuwepo na viashiria vya kutokuaminiana mapema tu kabla ya uchaguzi mkuu,imefikia hatua baadhi ya vyama vya siasa kuamua kususa. Kwanini ili zoezi wasipewe hawa jamaa ili kutenda haki??? Ili taratibu zifuatwe na kupata wawakilishi halali. N:b Job seekers wanawajua vizuri hawa...
  4. M

    Sekretarieti ya ajira ilitoa mwongozo wa kujitolea Kwa nafasi za ualimu. Je, imefikia wapi mbona kimya?

    Kuna siku Serikali kupitia sekretarieti ya ajira katika utumishi wa Umma ilitoa mwongozo wa kujitolea Kwa nafasi za ualimu - ajira za kujitolea serikalini kuanza kutumika julai 2025. Je, imefikia wapi mbona kimya na hakuna kinachoendelea?
  5. B

    Oral nterview ya Uhasibu Sekretarieti ya Ajira

    Wakuu habari Naomba muongozo kwa mwenye uzoefu na Oral interview nafasi ya Mhasibu Utumishi anipe uzoefu na namna ya kujiandaa natanguliza shukurani kwenu
  6. Jerry001

    Sekretarieti ya Ajira acheni kuwawekea waomba ajira vigingi visivyo na sababu za msingi.

    Habari, Sekretarieti ya ajira mmeaminiwa kutangaza na kuendesha mchakato wa ajira kwa haki na usawa ili watanzania tuombe ajira za umma kupitia taasisi yenu. Mnapokuwa mnaweka vigezo ambavyo havina umuhimu mkubwa na kuzuia watu kufanya usaili ni kama kutuwekea vigingi tu tunaoomba hizo ajira...
  7. G

    Sekretarieti ya ajira: Kwa waombaji wote wa ualimu

    Happy mary Christmas to all Jobless teacher's waiting to be called for interview soon.
  8. M

    Sekretarieti ya Ajira tunaomba ufafanuzi kuhuzu Ajira za walimu tangazo linalosambaa mtandaoni kwamba wenye kadi ya ccm watapewa kipaumbele

    Nimeweka tangazo kama linavyosomeka namba zilizotumika ni namba za UVCCM dar es salaam . Inaonekana vijana walio uvccm watapewa kipaumbele kwenye hizo ajira Huu ni mchezo ambao haukabiliki haiwezekanu tukaungiza siasa kwenye Ajira . Kua UVCCM haiwezi kukupa uhakika was Ajira tunaomba haki...
  9. G

    Kwako Sekretarieti ya Ajira (Mwalimu )

    Mnachofanya sio poa mpaka tunene kwa lugha au? Au mpaka tupange mstari? Toeni mwafaka wa walimu sivyo mnasomewa kurjuani ya mzee magoma.
  10. Mrndumbarojl

    Sekretarieti ya Ajira ipitie tena na kurekebisha makosa kwa waombaji wenye sifa

    SEKRETARIATI IPITIE TENA NA KUREKEBISHA MAKOSA KWA WAOMBAJI WENYE SIFA Na Josephat H +255 656 480 968 Sekretarieti ya Ajira inastahili pongezi kwa uwazi wake katika mchakato wa kutangaza majina ya walimu wanaostahili kufanya usaili. Uwajibikaji na uwazi huu huongeza imani kwa taasisi, kwani...
  11. A

    KERO Sekretarieti ya Ajira waweke alama za ufaulu kabla ya mitihani

    Sekretarieti ya ajira katika utumishi wa umma inapaswa kuweka alama za ufaulu (passmark) kabla ya mitihani kufanyika. Hiki kimekuwa kilio cha watanzania wengi sana . Sekretarieti ya ajira katika utumishi wa umma wanaweka alama za ufaulu baada ya mitihani kufanyika, Kwanini wasitangaze alama za...
  12. mdesi

    Sekretarieti ya Ajira hii imekaaje?

    Wanajukwaa salaam! Kilicho nisukuma kuandika uzi huu ni baada ya kushuhudia vijana wengi wakikata tamaa na kujutia maamuzi yao ya kujiendeleza kielimu kwa kukosa haki za kuajiriwa serikalini. Kama tujuavyo, nafasi za kazi zote za serikali hutangazwa na huombwa kupitia mfumo wa sekretarieti ya...
  13. Utawala2025

    TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

    Habari. Hatimaye Tamisemi wametoa ajira za afya kupitia sektreatarieti ya ajira na utumishi wa umma. Kiuhalisia mambo yanaenda kuwa Magumu kadri miaka inavyoenda. Itabidi watu wafanye Interview. Karibuni kwa mjadala na kuwekeana sawa kwa tunaomba hizi ajira. Zipo kada mbalimbali nazo ni. 1...
  14. Brightly

    Je? Nikifaulu oral interview utumishi naweza kubaki database?

    Habari wanajf, kuna suala ambalo linanitatiza naomba wenye uelewa wanisaidie!! Iko Hivi Mimi nina Diploma ya Civil engineering (Civil technician) nikafanya Oral interview ya ( VOCATIONAL TEACHER II PLUMBING AND PIPE FITTINGS) ambayo ilihitaji mtu mwenye diploma ya civil nikafaulu ila kutokana...
  15. L

    Sekretarieti ya Ajira au Sekeseke la Ajira - Wanasiasa bhana!

    Yaani hadi Shirika la Posta limewagomea halitaki hii Taasisi iwatafutie wafanyakazi ujue siasa zimetawala. Toka aondoeke Daudi Xevier yaani hii Taasisi imekuwa ya kisiasa kabisa. Nimefuatilia kwa kina ajira wanapewa hata wale ambao hawakushiriki kabisa kwenye usaili - sababu ni eti ni mtoto wa...
  16. Brightly

    Miaka Zaidi ya 15 nikiwa darasani.

    Habari Wanajf nawasalimu kwa jina la jamhuri wa muungano wa Tanzania?.Bila kupoteza muda nimekuja kwenu ndugu zangu najua humu jf nitapata ushaurii utakaonisaidia maake naamini jf ni kisima Cha maarifa na pia inawezekana nikapata msaada...
  17. M

    Kero ya kuripoti kazini baada ya kupangiwa ajira na sekretarieti ya ajira, halafu unaambiwa urudi nyumbani mpaka upigiwe simu kuitwa!

    Inawezekanaje watu wapange utaratibu ambao siyo rafiki kwa waajiriwa wapya? Iko hivi: Ukipangiwa ajira na sekretarieti ya ajira kwa maana ya kufaulu usaili, unapewa barua ya kuripoti kazini ndani ya siku 14 vinginevyo nafasi yako atapewa mwingine! Hii inamfanya mwajiriwa atafute nauli hata kwa...
  18. H

    PSRS iendelee kuajiri au turudi kwa mashirika yaajiri tena kama ilivyokuwa awali?

    Leo mkuu wa nchi ambae ni Rais ameagiza na kuruhusu mashirika kuajiri watumishi wa umma moja kwa moja. Hii ina maana sasa hayo mashirika mfano TRA, TANESCO na mengine yaliokuwa yatumia PSRS sasa yamepewa ruhusa kuajiri tena bila kupitia PSRS. Maoni yangu hii haitokuwa vizuri. Sababu mwanzoni...
  19. Meneja Wa Makampuni

    Mwenye maswali yanayoulizwa kwenye paper ya written ya Assistant Tax Management officer huko sekretarieti ya Ajira yaweke hapa tujadilieni

    Mwenye maswali yanayoulizwa kwenye paper ya written ya Assistant Tax Management officer huko sekretarieti ya Ajira yaweke hapa tujadiliane.
  20. Meneja Wa Makampuni

    Sekretarieti ya ajira ondoeni kigezo cha cheti cha ERB kwa kozi za mafuta na gesi (petroleum) wekeni kigezo cha COMMON QUALIFICATION SYSTEM

    Kazi yoyote inayohusu mafuta na gesi (petroleum) watangazieni wote waliosomea mafuta na gesi na mwaite wote wafanye usaili atakayepita ndio huyohuyo. Kazi hizi ni: Production, Reservoir, Drilling, Petroleum, Exploration, Processing, Oil and Gas Operation, Quality Assurance and Control. Hizo...
Back
Top Bottom