sehemu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwanaharakati asema Matukio ya Ubakaji nchini Sudan imekuwa sehemu ya maisha

    Hala Al-Karib ambaye ni Mkurugenzi wa Taasisi ya SIHA inayojihusisha kutetea Haki za Wanawake Barani Afrika amesema Asilimia 70 ya matukio yaliyorekodiwa ya Unyanyasaji wa Kijinsia ni Ubakaji wa Magenge Anasema hali hiyo imeongezeka hasa baada ya kuibuka kwa vita Aprili, 2023 Akizungumza na...
  2. Kumpa mtoto Chakula na Sehemu ya kuishi hiyo haitoshi wewe kuwa Baba au Mama

    Unapokuwa na Familia Usiseme Kazi yako ni kuwapa Chakula tu na Sehemu ya kulala. Unapoitwa Baba au Mama Lengo kubwa sio kumpa mtoto Chakula au Sehemu ya kulala , Maana kila mtu anaweza kufanya hivyo. Unapokuwa na Familia tenga Muda wa kumjenga mtoto wako kumpatia MAARIFA ya kumjenga Kama...
  3. Sehemu gani naweza kununua pikipiki aina ya yamaha Mwanza?

    Wakuu salama? Naomba kujua chimbo gani zuri naweza kupata pikipiki aina ya YAMAHA mkoa wa Mwanza. Nijue pia bei ya Pikipiki mpya na used. Nikipata mawasiliano ya muuzaji nitashukuru zaidi. Karibuni wakuu
  4. Mauaji Afrika Kusini: Amuua mwenzake, amkata Kichwa na kula viungo vya ndani sehemu ya tumbo

    Kwa Madiba kuna mambo, Jamaa amefanya kitendo cha kinyama sana kuutoa uhai wa mtu mwingine bila hata chembe ya huruma Muuaji alikua na bifu na Marehemu na alimfuata mpaka sehemu ya kazi kulianzisha, aliingia na visu viwili kimoja kikubwa na kingine kidogo kwaajili ya kutekeleza mauaji hayo...
  5. Natafuta Maduka, Vibanda vya Uwakala, Saluni na sehemu ya kuweka Donati zangu

    Habari Wakuu, Natafuta Maduka, Vibanda vya Uwakala, Saluni na sehemu za kuweka Donat zangu. Donati zangu zauza shilingi 100, nikiweka kwako nitakupa shilingi 20 kwa kila donati. Nipo Mabibo, Dar es Salaam
  6. M

    Natafuta sehemu inayouza mbwa (mnada wa mbwa): Sehemu ambayo mtu unafika na kuchagua mbwa unayemtaka kwa maeneo ya Dar es Salaam

    Ninatafuta sana sehemu ambako kuna kitu kama mnada wa mbwa. Sehemu ambayo watu hupeleka mbwa wao kuuza hapo na watu huenda hapo kununua mbwa. Yaani sehemu ambayo unakuta wauzaji mbalimbali wanauza mbwa aina mbalimbali ili uwe na nafasi ya kuchagua mbwa unayemtaka. Sehemu yenye ushindani pia...
  7. R

    Simbachawene asema wabunge wote ni sehemu ya mapungufu yanayotokea katika Serikali za Mitaa, apingwa vikali

    Issa Mtemvu akiwa anachangia hoja amesema ana kauli mbiu inayosema Kumtenganisha Rais, kumtenganisha Rais na Wezi, akisema yuko tayari kutofautiana na kauli ya Olesendek alisema "Kuwatenganisha Mawaziri na Wezi" akisema, Anaamini Makamisaa wamepelekwa kwenye Wizara ili wawasaidie Wabunge na...
  8. Ustaarabu na umakini unaweza kuipendezesha sehemu ndogo ya kuishi ikupatie mapumziko mazuri zuri

    Nchi zetu za Afrika zimejaliwa ardhi kubwa na ujenzi wetu wengi ni ujenzi usiopimwa. Mijjni uhaba wa ardhi umeshaonekana na kuna watu wanaoweza kubuni makazi ya watu wengi katika eneo dogo. Picha ni chumba kinachoweza kupangishwa na mtu asiye na familia, hiki chumba kinaweza kuwafaa hata...
  9. Kwanini Dar es Salaam kunapambazuka mapema kuliko sehemu nyingine nchini? 05:35hours

    Nimetoka nje muda huu, anga ni jeupe sana. Juzi nilikuwa Dodoma kushuhudia uuzwaji wa bandari zetu. Saa kumi na mbili na nusu ni giza totoro.
  10. Fahamu jinsi ya kutengeneza ndege ya kichawi, kwenda kokote Duniani

    WAKATI baadhi ya watu wakiepuka kabisa mijadala kuhusu uchawi na kutilia shaka kuwepo kwake kwa sababu ya jamii zetu kupokea imani ya Kikristo, na imani ya Kiislamu, wengine tunaendelea kutafiti mambo hayo kinaga ubaga. Miongoni mwa vielelezo vinavyopatikana huko ni kwamba uchawi ni elimu ya...
  11. Anayedaiwa kumwingizia Panga mkewe sehemu za siri akamatwa

    Jeshi la Polisi Mkoani Mtwara linamshikilia mkazi wa Kijiji cha Makong’onda, wilayani Masasi, Mkoa wa Mtwara, akituhumiwa kumpiga mkewe kisha kumuingizia panga sehemu za siri (njia ya haja kubwa) na kumsababishia majeraha. Akizungumza na waandishi wa habari leo Oktoba 14, 2023; Kamanda wa...
  12. W

    Hivi kunyonyana sehemu za siri kumetokeaje tokeaje? Kuna historia gani?

    Wenye ujuzi mnisaidie kuelewa hii kitu jamani. Ni nini historia yake? Ilikuaje yaani? Mbona imekuwa shida hivi? Na joto lote hili watu wananyonyana tu. Kuna maumbile tofauti tofauti yenye tabia tofauti; watu wanamung'unya chumvi tu. Pamoja na madaktari kusema kuwa maumbile ya kike yana kawaida...
  13. M

    Sasa kama bandari ya Ujiji hairidhishi sisi nyie kama sehemu ya CCM si muifanye iridhishe. Poor Act Wazalendo

  14. Chimbuko la Majina ya Kimara Dar Es salaam

    1. KIMARA BARUTI Ukiwa unatoka Ubungo kabla ya Kikifikia hiki kituo cha mwendo kasi cha "KIMARA BARUTI" Kuna barabara upande wa kulia inaingia Kwenda Msewe na inatokea mpaka University of Dar es salaam Katika hiyo barabara kama umbali wa mita 400 tu. Palikuwa na eneo ya kiwacha cha Cement...
  15. Namna gani unaiba mademu wakali wakiwa na wanaume zao mabishoo sehemu za viwanja./Bata

    Haya maisha ni burudani kuna wanaume masharobaro akili finyu anakuja sehemu za bata huku ana pesa mbuzi kama elfu50 tu then anavimba, anamleta demu huku haja exhaust fully likes za demu kwenye mitoko wao wanadhani Heineken na savanna ndio kila kitu. Sasa mimi silaha yangu kuu huwa ni kula...
  16. R

    Anayejua inakouzwa mizani midogo ya digital (Bathroom scales) Sehemu za Kariakoo

    Wakuu naomba msaada wenu. Natafuta mzani mdogo wa battery wa kupima uzito kwa ajili ya mgogwa kwa jina la kibiashara inaitwa bathroom scale. Tafadhali nisaidie kunijulisha ni maduka yapo ya nauza hizo bidhaa hapa Kariakoo au hapa Dar es Salaam.
  17. Maisha ya kijijini na Maisha ya Sehemu au mitaa ya kijijini hayana utofauti wowote.

    Personally ukiyatazama Maisha ya uswahilini huwezi yatofautisha na Maisha ya kijijini. Mfano Tandika Bidhaa zipo bei Rahisi Sana Kuanzia soko la sterio na masoko mengine. Mzunguko wa hela , uswahilini pesa haizunguki Sana labda bidhaa za chakula. Warembo wa huku ni wale ambao hawana...
  18. Kama kuoa ni raha basi tusiwaone na michepuko sehemu za starehe na kwenye Magest

    Mawakala wa kampeni ya kuoa na ndoa ni raha, tafadhari jiheshimuni sana, endapo kuoa ni raha na ndoa pia ni raha basi tunawaonya iwe ni marufuku tusiwaone kwenye sehemu zetu za bata na kwenye Magest mkiwa na michepuko. Hio mizunguko tuwaone mkiwacna wake zenu wa ndoa. Sauti iwafikie popote...
  19. Je, umeme unokatwa nchini na Tanesco wajumuisha ofisi zote nyeti, balozi na sehemu zingine kama Oysterbay? Au ni kwa watanzania wa hali ya chini tu?

    Kero ya kukatwa umeme na Tanesco imekuwa kubwa na sasa umeme wakatwa nchi nzima katika mikoa mbalimbali. Lakini ningependa kufahamu kama umeme huu wakatwa katika sehemu zote nyeti, ofisi za kibalozi, viwandani, maeneo ya uzunguni na katika makazi ya watu muhimu katika nchi hii? Je, umeme huo...
  20. Fundi Magari, natafuta sehemu ya kufanyia kazi

    Habari wakuu,. Mimi ni fundi wa gari ndogo nipo Dar es Salaam natafuta sehemu ya kufanyia kazi. Nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…