sehemu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Al Fatah Ilipotembelea Maktaba Sehemu ya Tatu

    https://youtu.be/P1o9i3aSBUw?si=sl46f1N7qXlOe7Yb
  2. S

    Kocha Mpya Yanga: Lazima niende sehemu inayoendana na malengo yangu (saed ramovic sababu ya kujiuzuru)

    Ramovic alitangaza kujiuzulu nafasi yake kama kocha mkuu wa TS Galaxy kwenye televisheni baada ya timu yake kutoa sare ya 1-1 kwenye mchezo wa ligi Kuu msimu huu. Alipohojiwa na iDisk Times alisema kuwa anahitaji sehemu inayoendana na malengo yake kama kocha. "Ni lazima niende sehemu...
  3. Mwanamke auawa kwa kukatwa na Panga, akatwa titi, akatwa sehemu za Siri.

    Wana Jamvi nimeskia kwamba kule Tabora, Watu watatu wameuawa na kisha kuchomwa moto na wananchi wenye hasira kali wakituhumiwa kumuua Sagali masanja kwa kumkatakata na panga kisha kumkata titi la kushoto pamoja na sehemu za siri na kuondoka nazo tukio lililotokea kijiji cha Mahene Wilaya ya...
  4. Kuna sehemu ina vibaka wengi Dar Es Salaam kama Kiwalani?

    Huku kuna vibaka na wahuni aisee! Ukiwa mgeni hujulikani unaweza ukakabwa hata mbele ya wamama wakaanga sambusa na wakabaji wasifanywe kitu chochote. Kuna sehemu ya kuizidi Kiwalani kwa vibaka? Tushirikishe
  5. Al Fatah Ilipotembelea Maktaba Sehemu ya Pili

    https://youtu.be/T-yuovEhtwQ?si=A6xJADkt2L1dTQvk
  6. Nahitaji kujua sehemu ama taasisi zinazotoa mafunzo ya matumizi sahihi ya silaha

    Wakuu naomba anayefahamu taasisi zitoazo mafunzo ya matumizi ya silaha hasa binafsi kwa hapa Dar
  7. E

    Nahitaji kugawa sehemu ya uhuru wangu

    Mimi ni ME Umri 30+ Naishi -Dar es Salaam Kazi -Mjasiriamali Mwenye utayari Awe KE umri : 30< Elimu : kusoma na kuandika tu Makazi : Dar es Salaam Loading............
  8. Al Fatah Walipotembelea Maktaba Sehemu ya Kwanza

    https://youtu.be/9LoUUlaLxFA?si=ESZUqXGFchy9-ID7
  9. Huyu mama ni shujaa "kwani mume wangu akipiga sehemu lazima nijue?"

    https://www.facebook.com/reel/2040320036421591
  10. Sehemu za kuingilia Kigamboni; Kigamboni Ferry na Darajani kufungwe Camera kudhibiti uwezekano wa kuwa eneo la kihalifu

    Kulingana na matukio ambayo yameanza kujitokeza ya uhalifu nazishauri Mamlaka sasa ziwezeshe vifaa vya utambuzi kama Camera kwenye maeneo ya kuingilia kigamboni kwa maana ya Ferry na Daraja la Mwalimu Nyerere ili kwa kiasi kudhibiti matukio ambayo yameanza kujitokeza hasa ukizingatia kuwa...
  11. Tumepigwa, kila sehemu tumepigwa tukienda mpaka 2030 tutakuwa tumechakaa Sana

    Yaani tumepigwa kila sehemu Nyerere Bora tulimtambua Kama mjamaa Mwinyi alikuwa shamba la bibi lakini watu wote aliwapa fursa sawa kupitia ruksa. Mkapa akaja na kulipa madeni na utandawazi uchumi ukawa imara nakumbuka wakati wa mkapa change ya dollar ilikuwa 600. Akaja Kikwete maisha Bora...
  12. M

    Je, kuna namna yoyote serikali inaweza kuwarahishia Wamarekani Weusi wanaofika nchini, kuhamia, kufanya biashara au kama sehemu ya kustaafia?

    Kwa miaka 5 sasa, kumekuwa na wimbi kubwa sana la wamarekani weusi wanaokuja Tanzania, wengine kuhamia, wanaopenda kufanya biashara na wengine ni wazee wamechagua TZ kama sehemu ya kustaafia. Na hili wimbi nadhani lilikuwa kubwa baada ya dada mmoja anaigwa Traveling Sista kuja na kuanza...
  13. Israel Imesema Imetumia Sehemu Ndogo ya Uwezo Wake Kuishambulia Iran, Uwezo Kamili Itautumia Iran Ikijibu

    Jeshi la Israel limesema kuwa katika shambulio lake la Jumamosi dhidi ya vituo vya kijeshi vya Iran, ilitumia sehemu ndogo ya uwezo wake wa kijeshi, kuionya Iran, lakini uwezo wake kamili itautumia kama endapo Iran itajibu shambulio hilo: "Israel’s chief of the general staff, Herzi Halevi...
  14. M

    Uzi maalumu wa wazee wa machimboni, pori kwa pori ,visa na mikasa, hapa wapambanaji wataeleza mazonge waliyopitia sehemu mbalimbali,

    Kutokana na uzi wa mkuu Nikifa MkeWangu Asiolewe nimevutiwa kuanzisha hii maada ili watu wengine wajifunze kwenye hii maada kua watu wanapambana usiku na mchana, Upambanaji upo na watu wanapambana kufa na kupona ili waondokane na umaskini, Kwenye upambanaji kuna mambo mengi Sana masaibu...
  15. Sehemu Nzuri Kando ya Ziwa Victoria

    Wakuu Habari, Nahitaji Sehemu Nzuri Kando ya Ziwa Victoria ambapo Nitapata Vinywaji na Chakula kwa Affordable Prices NB: Yasiwe Mahoteli Makubwa Makubwa
  16. N

    Football Club Investments ni sehemu sahihi ya uwekezaji?

    Habari, nimeona taarifa nyingi sana na watu kujiunga katika uwekezaji wa kampuni inayoitwa F.I.C football Club Investments. Je, ni sehemu sahihi au ndo Kalynda mpya na Mr. Kuku Tena!
  17. Kasi ya Uhalifu Kawe na Mbezi Beach Mamlaka za Usalama chukueni hatua

    Jeshi la Polisi Napenda kutoa taarifa kuhusu eneo la Kawe na Mbezi Beach, maarufu kama "Makazi Mapya," ambalo limekuwa kimbilio la wahalifu. Eneo hili linatumika kama maficho ya wahalifu wanaovuta bangi na kuuza madawa ya kulevya. Aidha, kuna shughuli za uchimbaji wa mchanga zinazoendelea...
  18. Mahakama badala ya kutoa haki na hukumu inaelekeza sehemu nyingine ukaipate

    Mahakama ndiyo chombo cha mwisho kuamua ndiyo ama hapana.unakwenda mahakamani kutafuta haki halafu mahakama inaelekeza uende sehemu nyingine ndiyo itahukumu.mfano kesi ya CCM kutumia watoto ktk siasa.mahakama imenifikilisha sana.na huko walikoelekezwa ikaamue wana huo ubavu wa kuamua labda kama...
  19. Kusikiliza ni sehemu ya kujisaidia wewe na watu wengine pia

    Kama ilivyo kuongea ni tiba kwa muongeaji basi hata kusikiliza nako ni muhimu kwa kusaidia wengine na kujisaidia wewe pia Kuongea na kusikiliza ni mambo ambayo yote yana uzito wake na yana umuhimu wake,kwahiyo asitokee mtu akasema kuongea ni bora kuliko kusikiliza laa! Anafeli bali yote mawili...
  20. Naomba kujua Machimbo ya sehemu za kuchill pale posta, Vyakula na Vinywaji ni vya bei nafuu

    Nina jambo langu hapo Posta mpya naomba mtu mwenye kuyajua machimbo anipe area code. Asanteni
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…