segerea

Segerea is an administrative ward in the Ilala District of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 75,821.

View More On Wikipedia.org
  1. Mbunge Agnesta Kaiza: Jimboni kwangu Segerea, mvua zikinyesha barabara nyingi hazipitiki

    https://www.youtube.com/watch?v=4q282jxs_3E Mbunge wa Jimbo la Segerea, Agnesta Lambert Kaiza, kupitia tiketi ya Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), amesema kuwa katika jimbo lake bado kuna kero kubwa ya barabara, hususan za ndani. Ameeleza kuwa mvua zinaponyesha, njia nyingi hazipitiki...
  2. Leo wazee wa kazi nimewaona Segerea na wako full combat na bunduki juu je kuna nn?

    Wakuu leo mda siyo mrefu wazee wa kazi wapo mtaani kwetu wako full commbat sijui kuna ishu gani aisee nauliza tuu
  3. R

    GE2025 Agnesta: Kwa miaka kumi Segerea ni kama haikuwa na Mbunge

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Segerea kupitia CHAUMMA, Agnesta Kaiza, ametambua changamoto kubwa zinazowakabili wakazi wa kata ya Kisukuru ikiwemo ukosefu wa maji safi na salama pamoja na ubovu wa miundombinu ya barabara Akizungumza katika muendelezo wa kampeni zake, Agnesta amesema hali hiyo...
  4. GE2025 Agnesta Kaiza: Rais Mama Samia alisema mimi kama mwanamke lazima nimtue mwanamke wa kata ya Kisulu ndoo kichwani kwa kumpelekea maji

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Segerea kupitia CHAUMMA, Agnesta Kaiza, ametambua changamoto kubwa zinazowakabili wakazi wa kata ya Kisukuru ikiwemo ukosefu wa maji safi na salama pamoja na ubovu wa miundombinu ya barabara. Akizungumza katika muendelezo wa kampeni zake, Agnesta amesema hali hiyo...
  5. GE2025 Agnesta Kaiza: Wananchi wa Segerea naombeni mnijaribu kwa miaka 5

    wanaosema mpo tayari kunipa miaka mitano tena ya majaribio, nijaribuni kwa miaka mitano mimi na Shukuru (mgombea Udiwani kata ya Minazi mirefu) ni kwa sababu sisi tunaamini changamoto za wananchi wa Miti mirefu zinapaswa kutangulia maslahi yetu yanapaswa kufuata nyuma" Hayo ameyasema Agnesta...
  6. GE2025 Jimbo la Segerea Dar es salaam tunaelekea kudanganywa tena Oktoba 2025 kwenye Ubunge

    Binafsi nimekuwa najiuliza sana, nchi nzima hii kila jimbo huwa linawakilishwa bungeni na mbunge ambae anaeleza shida za jimboni kwake na kupata utatuzi. Huku Tabata nimeambiwa tupo ndani ya jimbo la Segerea, sasa nikauliza, mbona huu ubovu wa kutisha wa barabara huku Tabata, tena Dar es...
  7. GE2025 VIDEO: Kimenuka Segerea, Ngumi zimepigwa, Wana-CCM wadaiwa kutaka kutoana Roho

    Wakuu! Kuna video inayoenea mtandaoni ikidaiwa kuonyesha vurugu katika Jimbo la Segerea, ambapo inadaiwa ngumi zimepigwa na wana-CCM.
  8. GE2025 Wagombea ubunge, udiwani Segerea wakijinadi mbele ya wajumbe

    Wagombea Ubunge na udiwani katika Jimbo la Segerea kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Agosti 2, 2025 walipoitwa mbele ya wajumbe Kata ya Kiwalani kwa ajili ya kutambulishwa kabla ya kuwaomba kupigiwa kura Agosti 4, 2025. Jimbo hilo lina jumla ya wagombea saba.
  9. KERO Hali mbaya ya barabara ya Segerea-Tabata

    Barabara ya Segerea-Tabata, ambayo ni miongoni mwa njia muhimu za mawasiliano katika Jiji la Dar es Salaam, imegeuka kuwa chanzo kikubwa cha usumbufu na kero kwa maelfu ya watumiaji wake wa kila siku. Ni jambo la kushangaza na la kusikitisha kuona ukarabati unaofanyika kuwa wa muda mfupi, wa...
  10. Nyumba Inapangishwa Tabata Segerea

    Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa. Mahali: Tabata Segerea, Dar es salaam. Sifa za Nyumba: •Iko mita chache kutoka barabara ya segerea. •Ina master bedroom, Choo cha ndani, jiko, Sebule na sehemu ya chakula. •Iko ndani ya uzio yenye sehemu kubwa ya kuegesha magari. •Ina bustani ndogo...
  11. PreGE2025 Rose Mayemba: Tumetoka Keko, Lissu hayupo na Magereza hawajui alipo

    Ameandika Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA, Rose Mayemba: Tumetoka Gereza la Keko muda huu kwa ajili ya kutaka kumuona Mhe Lissu, Askari Magereza wametuambia hayupo, tumeuliza yuko wapi wamesema hata wao hawajui!. Sasa nani kamuondoa bila ruhusa ya Mahakama? Aliyemuondoa amempeleka wapi? Kwanini...
  12. Nicole joyberry apandishwa kizimbani, akosa dhamana apelekwa segerea

    Joyce Mbaga (32) maarufu kwa jina la (Nicole Berry) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni, Dar es Salaam mbele ya Hakimu Ramadhan Rugemalira kwa tuhuma za kupokea Shilingi milioni 185.5 kutoka kwa umma bila kibali kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BOT). Mbali na Berry...
  13. Plot4Sale Segerea: 1077 Sqm Ideal Plot For Sale - Dar

    • Direction: • Structure: • Facilities: • Ideal: • Plot Area: • Document: • Price: • Site visiting: . #InRealEstateWeConnect ☎💬 +255767157788 Mitandao ya Kijamii: @estatedealtz
  14. M

    Makaburi ya waislamu Segerea yanatoa funzo kubwa suala la kutunza ardhi. Serikali ikemee kujengea Makaburi yote

    Habari wadau. Binafsi ni mkristo. Ila nimependa sana utaratibu uliowekwa kwenye makaburi ya waislamu Tabata segerea. Kanuni yao namba moja ambayo inakataza kujengea kaburi ni nzuri sana.
  15. Garatwa: Emmanuel Ntobi, Henry Kileo, Boni Yai, Martin Maranja, Yericko Nyerere ni Vijana wanaomuunga mkono Mbowe kwa sababu ya Bia na Konyagi tu.

    Na; Garatwa Francis Wakati umma unaomuunga mkono Tundu Lissu ukiwaza zaidi juu ya kumpata Tundu Lissu awe M/Kiti wa CHADEMA ili Chama kiweze kuinuka tena na kutoka kwenye mifuko ya CCM na Dola yao walikokificha kwa manufaa yao. Wengine wanawaza zaidi kuhusu tumbo zao na wengine wanawaza kuhusu...
  16. Nimefanya uchunguzi kuanzia Kituo cha Mabasi Pugu mpaka Segerea nimegundua pete za ndoa vidoleni ni chache sana

    Nilikosa cha kufanya na bundle ilikuwa imekatika kwa simu, nikapata idea ya kuhesabu pete za ndoa vituoni na kusema kweli inaonesha wanaume wengi sana wana pete vituoni kuliko wanawake, katika kudadisi dadisi katika halmashauri ya ubongo wangu nikaja na majibu yafuatayo; 1. Wingi wa wanaume...
  17. LGE2024 Dar: CCM yashinda Segerea mitaa yote 61, na kupata jumla ya viongozi 366 wa Serikali za Mitaa

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepata ushindi mkubwa katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Jimbo la Segerea, ambapo kimevua ushindi katika mitaa yote 61 ya jimbo hilo. Vilevile, CCM kimeibuka kidedea kwa kupata wajumbe 122 wa viti maalum (wanawake) na 183 wa viti mchanganyiko. Hivyo, kwa...
  18. Boniface Jacob (Boni Yai): Salamu kutoka Segerea (Ujambazini)

    SALAMU KUTOKA UJAMBAZINI.. Najua ukisikia neno “ujambazini” lazima utashtuka kidogo. Nikutoe hofu neno kabisa. Neno ‘ujambazini’ ni jina la eneo kama ilivyo Posta, Masaki au Manzese. Nikupeleke sasa Ujambazini huko. Ujambazini ni Magharibi mwa Jiji la Dar es salaam, na kusini mwa Wilaya ya...
  19. V

    Viwanja vinauzwa Tabata Segerea

    Rejea kichwa cha habari apo juu kuna viwanja ambavyo vimekatwa vinauzwa vyenye Square mita 500 kila kimoja eneo ni zuri na viko karibu na shule ya secondary ya The new ambassador..kutoka viwanja vilipo mpaka kufika uwanja wa ndege wa JK nyerere ni dakika 5 tu..
  20. Pongezi kwa mbunge wa Segerea. Anapambana sana kwa ajili yetu

    Aisee maendeleo yanatembea kwa kasi sana. Nmeshuhudia maboresho mbali mbali ya barabara na madalaja ,mashule n.k Anaupiga mwingi Pongezi Mbunge wangu Bonna Ladislaus Kamoli
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…