sayansi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tume ya Sayansi Yampa Mkopo wa Milioni 100 Mbunifu wa Helikopta Ili aendeleze Teknolojia.

    My Take Kuwe na Mfuko maalumu wa kuwawezesha wabunifu tuu na WA link na research centres . Kuna mwingine kule Njombe ameishia la saba ila ametengwdza mfumo wa umeme. Tukienda hivi tuswapita Iran.Kukariri vya wengine huko madarasani ni ku endeleza ujinga...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo cha Sayansi ya Afya KAM college Kimara Korogwe Dar, es Salaam kinanyanyasa wafanyakazi wake

    Mmiliki wa chuo anawadharau waalimu na kutukana waalimu mbele ya wanafunzi jambo ambalo linapelekea waalimu kukosa sauti kwa wanafunzi. Mmiliki amegoma kulipa mishahara ya watumishi kwa mwezi wa July akidai hajafurahishwa na utendaji kazi japo yeye hakuwepo chuoni maana alisafiri. Jambo...
  3. JamiiForums Tanzania Data Science: Nguzo mpya ya maendeleo ya kiuchumi Tanzania na Duniani

    Katika karne ya 21, dunia imeingia katika enzi mpya ya kidijitali ambapo kila kitu kinategemea taarifa (data). Kila unapotumia simu yako, kufanya malipo ya kidijitali, kuvinjari mitandao ya kijamii, au hata kutazama video mtandaoni, unazalisha data. Data hii, ikiwa itachambuliwa vizuri, inaweza...
  4. JamiiForums Tanzania Je, kuuza ni kuongea sana… au ni sayansi ya kumshawishi mtu afanye uamuzi?

    Watu wengi huamini sales ni talent ya kuzaliwa nayo. Lakini ukweli ni kwamba watu wengi wanaofanikiwa kwenye biashara, freelancing, marketing, au online business wanajua namna ya kuongea, kushawishi, kusikiliza, na kufanya negotiation vizuri. Sales na negotiation ni skills zinazoweza kujifunzwa...
  5. JamiiForums Tanzania Majibu ya Sayansi kwa swali maarufu la Atheists. Kwanini hakuna uwezekano kwamba ulimwengu ulikwepogi tu milele. Vita kali dhidi ya Atheists Ep4

    ‎Atheists wengi wanaposikia hoja ya Mungu kama Muumba wa ulimwengu wanajibu haraka kwamba "Ulimwengu ulikuwepo milele hauhitaji muumba." ‎ ‎Jibu hilo linaonekana rahisi. Linaonekana la akili. Linaonekana kama njia nzuri ya kukimbia swali zito. ‎Lakini ni sayansi sio mimi P h a r a o h sayansi...
  6. JamiiForums Tanzania Hayawi, hayawi, yamekuwa! Teknolojia imethibitisha tena ukweli wa Biblia!

    Biblia ilitabiri zamani sana kuhusu siku tunazoishi leo. Katika Danieli 12:4 imeandikwa: “Lakini wewe, Ee Danieli, yafunge maneno haya, ukakitie mhuri kitabu, hata wakati wa mwisho. Wengi wataenda mbio huku na huko, na maarifa yataongezeka.” Unabii huo tumeona ukitimia waziwazi kwa macho yetu...
  7. JamiiForums Tanzania Habari za Mungu zilianzishwa na Waamini Mungu, Halafu wanaipa Sayansi mzigo wa kutoa uthibitisho wa habari ambazo haziku anzishwa na Sayansi

    Waamini Mungu walianzisha madai yao ya uwepo wa Mungu, Sasa badala wayathibitishe wao wenyewe. Wanataka Sayansi iwathibitishie. Kwani Sayansi ndio ilileta habari za huyo Mungu? Au ni nyie waamini huyo Mungu? Usiipe Sayansi mzigo wa kuthibitisha madai ambayo haija yaanzisha. Madai ni ya kwenu...
  8. JamiiForums Tanzania Vita ya Iran-Israel-USA inatukumbusha umuhimu wa kuwekeza kwenye sayansi na teknolojia

    Binafsi hii vita imenifanya nijisikitie mimi na Afrika kwa ujumla hasa nchi yangu ya Tanzania. Hii vita ni ya wababe wa sayansi na teknolojia. Yaani wanaopigana ni watu wenye akili nyingi za hatari huku wakiwa wako vizuri kiuchumi. Hii vita imetuonyesha jinsi gani nguvu ya sayansi na teknolojia...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Usaili wa Kozi za Sayansi Asilia(Natural Science) zinazotolewa CNMS pale UDOM Usitishwe au Upungue

    Kozi zinazotolewa CNMS hazina ajira moja kwa moja tofauti na kwenda kuwa Lecturer Chuoni. Mfano ni Bsc. Physics na Bsc. Biology. Unakuta mtu umebobea kwenye masomo magumu ya Sayansi bila kuwa na Future inayoleleweka. Serikali isiimize watu kusoma masomo ya Sayansi ikiwa wabobezi wa hayo...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini theory za uumbaji kwa mujibu wa dini zote mbili (ukristo na uislam), zipo tofauti saana na sayansi, historia?

    Habari wakuu, moja kwa moja kwenye mada. Kwanza naomba mtambue sitaki kuleta mtafaluku kwenye dini zenu, nataka kujua kama hili gape la tofauti kati ya uhalisia na maandiko yenu hamlioni?? Natamani niweke vifungu vya maandiko lakini uzi utakua mrefu sana na utaboa. Naomba leo tutumie kigezo cha...
  11. JamiiForums Tanzania UFADHILI WA SAMIA (SAMIA SCHOLARSHIP EXTENDED DS/AI+) KATIKA FANI ZA SAYANSI YA DATA, AKILI UNDE NA SAYANSI SHIRIKISHI

    Hellow , kuna yeyote alieomba huu ufadhili?mchakato upoje hadi Sasa?
  12. JamiiForums Tanzania Hofu ya kunuka Mdomo: Ni sayansi au kichaa?

    Naenda moja kwa moja kwenye lengo kuu. Ndugu yenu BICHWA KOMWE muda wote nina hofu sana na kunuka mdomo. Licha ya usafi mkali ninaopiga mpaka koromeo linaomba poo, lakini niko makini vibaya na mdomo. Kila wakati najinusa na kujipiga mouth wash. Kuna wakati nilifukuzwa na mama mwenye nyumba...
  13. JamiiForums Tanzania MAKALA YA SABA “JKT: Chuo cha Sayansi, Ubunifu na Uzalendo”

    Ndugu zangu, Kizazi cha taifa hakijengwi kwa silaha pekee. Hakijengwi pia kwa muziki wa starehe pekee. Kizazi cha taifa hujengwa kwa mafunzo ya uzalendo, sayansi, na ubunifu. Hapa ndipo JKT ilipaswa kusimama kama injini ya taifa. Tazameni ndugu zetu wa Burkina Faso, chini ya uongozi wa kijana...
  14. JamiiForums Tanzania Naweza kusoma nikiwa kazini Diploma za Sayansi kwa ufaulu huu kidato cha sita wa mwaka 2014?

    Habari za muda huu ndugu wana jukwaa. Niende moja kwa moja kwenye mada; nilihitimu kidato cha sita mwaka 2014 mchepuo wa PCM na kupata alama zifuatazo; Physics- D Chemistry- E Advanced Mathematics-E General Studies- D ( japo haina maana). Baada ya matokeo hayo yasiyoridhisha nikajikatia tamaa...
  15. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa sayansi ya vita na coup d'etat. Swali kwenu

    Kwema? Kwanini Captain Tesha alitoka mbele ya kadamnasi na kuzungumza mambo mazito vile huku akitaja baadhi ya wanasiasa kuwa wazuiliwe kukimbia nchi? Kwanini Captain Tesha alionya polisi watakazuia waandamanaji kuwa watakuja kuulizwa hapo baadaye? Lengo lake hasa la kutoka hadharani ni lipi...
  16. JamiiForums Tanzania Ila tusemeni Tu ukweli bila wivu mtu akisoma masomo ya sayansi halafu akawa Rais lazima TAIFA lipige hatua kimaendeleo

    Najua hii itawaumiza ambao mmesoma masomo ya Sanaa na biashara lakini ukweli masomo yenu tofauti na sayansi hayana foundation za kutafuta majibu kwa changamoto nyie NI watu wa negotiation Tu mambo ya diplomasia. Mifano ipo na tumeshuhudia baada ya hapo naombeni mnitajie viongozi wa sasa hasa wa...
  17. JamiiForums Tanzania JAMII CHAT: Uchawi ni sayansi ya kuunda miujiza au ni technique ya kufanya akili kuamini matokeo yametokana na miujiza?

    Karibuni:
  18. JamiiForums Tanzania TCU: Wahitimu wa vyuo 2024, fani za Biashara, Elimu na Sayansi za Jamii zaongoza kuwa na wahitimu wengi, matazizo ya kifedha sababu kukatisha masomo

    Wakuu, Katika pitapita zangu mtandaoni, nimepitia tovuti ya Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) nimekutana na takwimu hizi za wahitimu wa vyuo nchini kwa mwaka 2024 ambapo fani za Biashara, Elimu na Sayansi za Jamii zinaongoza kuwa na wahitimu wengi, Pia usawa wa kijinsia unaimarika kwani idadi...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza Sayansi inaweza kumgundu mtu mchawi

    Wahini siti nitaeleza elimu ya ndani sana. Vitu nitakavyo gusia ni 1. Mambo ya kidini (Kikiristo). Nitaongelea Mwili, Nafsi na Roho 2. Artificial Intelligence (AI) Technology na Machine Learning 3. Brain Computer Interface Technology (BCI) 3.Teknolojia ya BCI ya Kusoma na Kutafsiri Mawazo...
  20. JamiiForums Tanzania Vipi bado tuendelee kuuamini huu Upuuzi au tukubaliane tu kuwa Dunia ni Sayansi na kwamba tuheshimu tu Asili?

    Kuwa sijui.... 1. Ukiona Paka jike na dume wanatiana jua ni Uchuro ama utakufa au utapokea Msiba 2. Bundi akitua katika Paa la Nyumba yako jiandae Kufa au Kufiwa 3. Mbwa akibweka sana Usiku Kwako jua Wachawi wanapigana Angani Kwako hivyo utaamka Asubuhi ukiwa Mchovu kama umetoka Kulimishwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…