sawa

SAWA is a Japanese singer-songwriter and DJ. In 2009, she signed onto Sony Music Entertainment Japan and joined its sublabel, Epic Records. In 2012, she switched to Bellwood Records and released her 6th mini-album, ソプラノレイン (Soprano Rain).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ismael Sawadogo ni mnyama!

    timu atokayo ni Difaâ El Jadida Morocco. Umri: Feb 28, 1996 (26) Uraia: Burkina Faso Nafasi: kiungo mkabaji
  2. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Masharti ya mikopo yameikumba Tanzania, kupata mkopo sharti Makamu wa Rais atokee upinzani

    Asanteni wazungu juu yahili, naombea liwe ni kweli. Tulikuwa watoto mpaka tunataka kuzeeka, hatujawahi kuona nafuu ya maisha chini ya serikali inayoongozwa na ccm miaka zaidi ya 60. Maji tu yamewashinda, umeme ndio usiseme, suala la afya ni jambo la anasa kwetu, ukiuumwa na huna pesa, hata...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kanizawadia nusu lita ya asali na elfu 50 siku ya birthday yangu. Nimempiga chini kwa kasi ya 5G

    Kuna "mchovu" mmoja siku ya birthday yangu kaniletea asali nusu lita na sh elfu 50. Hivi huyu ananionaje kwanza? Nimevunja rasmi mahusiano kuanzia siku hiyo (nimempiga chini kwa kasi ya 5G). Mm sipendi ubabaifu. Watu wanazawadiwa magari yeye ananizawadia nusu lita ya asali na sh elfu 50...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi ni sawa wife material kuwa fundi kiasi hiki?

    Salaaam... Kwanza kabisa niwe mkweli tu mie nimechakata sana hawa watoto, ila kuna dem mmoja nlikutana nae mtaani nikiwa likizo miaka ya nyuma kdg ), tukazoeana na ndo nikawa nna mpango aje awe mzazi mwenzangu (sio ndoa aisee, kuzaa nae tu tulee hadi tutakapochokana). Nlimchagua yeye kwa sababu...
  5. JamiiForums Tanzania Kinachoniuma kwa Feitoto ni sawa na mpenzi wako akubwage aende kwa mtu anayekuzidi kila kitu

    Kwa mwenye akili unamwambia hongera Sana. Unamtia na moyo na ikiwezekana Basi unajikausha Kama huoni vile. Lkn wanachokifanya Yanga Ni sawa na kulalama tu. Mtu mmempeleka kula miwa Morogoro pre season kweli. Mmemtembeza kwa miguu wee. Muheshimuni Sasa Yuko mamtoni anapata kila anachostalili...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Sakata la Feitoto linaenda kuwa sawa na la Morisson Yanga

    Sioni jipya kwa uongozi wa Yanga juu ya Feitoto kuendelea chezea Yanga. Huyu sio mchezaji wetu tena mimi ningefurahi kua Yanga wangesema tu tumeachana na fei tuangalie mbele mbona tupo vizuri na wachezaji wetu. Fei juzi kachezea team ya visiwani hata kama friend match ila kavaa uzi mwekundu na...
  7. JamiiForums Tanzania Saido mmoja ni sawa na foward nzima ya Yanga

    Uwezo wa Saido hauhitaji uchambuzi mwiiiiiiiingi. Sitaki kujiba kazi ya kuchambua, kama unataka uchambuzi chambua mwenyewe. Mimi nakuwekea sinema tu. Kwa wewe ambaye hukumuona jana basi jionee, maana unaweza kupotoshwa na haters. Ukiangalia kwa jicho lisilo na husda utakubaliana na mimi kuwa...
  8. JamiiForums Tanzania YOM HAKIPPUR: Wanachokifanya WACHAGA DECEMBER ni Sawa na walichofanya WAISRAEL siku ya kumi ya mwezi KISLEU

    Mwenyezi Mungu aliwaelekeza mara moja kwa mwaka Waisrael wakutane katika mkutaniko na familia zao kupatana nae. Hii ilikuwa ni Siku ya kusameheana. Ilikuwa ni Siku ya kuanza upya na Mungu wao. Wayahudi walisafiri popote walipokuwa duniani na kurudi kwao kwa ajili ya tukio hilo. Siku hiyo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kuweka kumbukumbu sawa kuhusu kutokumjali mke wangu na kumsababishia kuchepuka

    Kabla sijaanza, tafadhali nawaomba sana moderators msiuhamishie huu uzi kwenye ule uzi wa member anaechepuka na mke wangu, nawaomba sana kwani nataka kuweka kumbukumbu sawa kwa watu wote humu. Kuna member humu ndani ameanzisha uzi juu ya kuchepuka na mke wa mtu, na pia akatoa ushauri kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Sawa mmeichoka CCM, je mbadala wao mna waamini!?

    Daily na waambia hapa Muda ni mwalimu mzuri sana mpaka tunafika 2030 Mungu atuweke ndo watu wataanza kushangaa kwamba pamoja na baadhi ya CCM wenye misimamo mikali huwa hata Chama kiteteleke vipi hawakimbii kwingine ? Ni kwasababu huko kwingine ni mzaha hakuna nia ya dhati ya kumkomboa Mtanzania...
  11. JamiiForums Tanzania Kocha wa KMC Mburundi Thierry Hitimana apimwe Akili upesi huenda hayuko sawa

    Kwenye Mchezo wa Jana ( Wenyeji wa Mechi ) walikuwa ni KMC ambao kwa sababu zao wenyewe waliamua Kuukimbia Uwanja wao wa Nyumbani wa Uhuru Mkoani Dar es Salaam na kuamua kuipeleka Mechi hii CCM Kirumba Mkoani Mwanza. Baada ya Utangulizi huu sasa GENTAMYCINE nawawekeeni Nukuu ya Kauli ya Kocha...
  12. JamiiForums Tanzania Kuhonga ni sawa na kutupa fedha ndani ya shimo refu lenye giza, utapoteza zaidi na zaidi

    Kuna shimo moja liko katika kijiji kimoja mkoani Lindi ambalo sio man made ila ni shimo ambalo hakuna mtu amewahi kuingia. Ni giza tupu, inasemekana ndilo Wajurumani walilitumia kuwatumbukiza watu waliokuwa wasumbufu kwenye utawala wao. Ni shimo refu sana kiasi kwamba hata anayekutumbukiza...
  13. JamiiForums Tanzania Kuweka picha ya profile tofauti na jinsia yako

    Habari za leo wadau... Hivi kwann unakuta member wa kiume ila kaweka picha ya kike & vice versa. lengo haswa ni nn? Na picha nazozungumzia hapa ni zile za kutega kama kiuno chenye shanga au dem kajibinua.. Hivi wakikufata dm kukutongoza utaona ni dharau? Najua kuna wengine ni matapeli huku wako...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Hunan waelekea kuwa na hadhi sawa na Guangzhou kwa nchi za Afrika

    Katika miaka ya hivi karibuni kumekuwa na msukumo mpya kwenye ushirikiano katika sekta ya kilimo kati ya China na nchi za Afrika. Kupitia majukwaa mbalimbali ya biashara ya China, kama vile maonesho ya uagizaji wa bidhaa ya China yanavyofanyika mjini Shanghai (CIIE), maonyesho ya bidhaa za...
  15. JamiiForums Tanzania Mwenye nyumba anataka apake rangi kabla mpangaji hajahama, hii ni sawa?

    Baada ya muda mrefu kuishi kibahili bahili licha ya kuajiriwa taasisi yenye mshahara na posho si haba, Rafiki yangu kaweza kukamilisha nyumba yake. Hapo majuzi alienda kumuaga mwenye nyumba kwamba nae amejenga na ni muda sasa umefika nae aende kuishi kwenye nyumba yake, Lengo lilikuwa ni kuaga...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Bosi Simba: Manzoki sawa, Bobosi hapana

    MENEJA wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally amefichua ni kweli kuna mipango inafanyika kumhusu Cesar Lobi Manzoki raia wa DR Congo, lakini akaweka wazi kuwa mpaka sasa hakuna lolote kati yao na Bobosi Byaluhanga raia wa Uganda. Manzoki na Bobosi wamekuwa kwenye rada za Simba tangu...
  17. JamiiForums Tanzania Yote sawa

    Si ni life.. Nyakati kama hizi wapo wanaelekea kulala au wamelala tayari.. Wengine wamelala kama panga, Wengine wapo na wapenzi wao wanapasha vitanda joto. Wengine baridi inagonga kama walinzi. Wengine wapo kwenye hotline bring talking with their babies. Wengine wanamsikiliza diva the...
  18. JamiiForums Tanzania Tabia hii kwenye vituo vya kutoa huduma za afya haipo sawa

    Habarini, Kuna tabia imejengeka kwenye vituo vya kutolea huduma ya afya (hospitali, zahanati, vituo vya afya) ambapo mteja baada ya kumaliza kuhudumiwa, analazimika kuacha karatasi ambayo ina taarifa za msingi kuhusu mgonjwa husika. Karatasi hiyo inakuwa na taarifa za aina ya vipimo na majibu...
  19. JamiiForums Tanzania Ni sawa mwanafunzi kamaliza form 6 hajui hata kuandika "hello world" ila anategemea kusomea computer science / engineering kutamfanya awe nondo ?

    Maeneo ya kazini huwa kuna madogo wa chuoni hapa nafahamiana nao wakiniletea kazi za viti, vitanda, meza, n.k. Sasa mwezi uliopita kwenye pirika pirika za vyuo kufungua katika story za hapa na pale kuna madogo walikuwa wanapiga story za ku code, kuna mwenzao alikuwa kamaliza certificate kaingia...
  20. JamiiForums Tanzania Mwaka unaisha, kama vijana yafaa kuwekana sawa. Tunahitaji kuanza upya

    Mwaka unaelekea mwisho, ila kama ndugu/Jamii moja basi tunastahili kushauriana baadhi ya vitu, ili walau mwaka ujao tuuanze tukiwa na mentality mpya kwenye baadhi ya mambo. Maisha ni magumu, na tunalalamika kuwa ni magumu, lakini approach zetu kwenye baadhi ya mambo ndio huwa zinaongeza ugumu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…