sawa

SAWA is a Japanese singer-songwriter and DJ. In 2009, she signed onto Sony Music Entertainment Japan and joined its sublabel, Epic Records. In 2012, she switched to Bellwood Records and released her 6th mini-album, ソプラノレイン (Soprano Rain).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tuweke kumbukumbu sawa; Lissu alisema hatakuja kugombea

    Katika muendelezo wa jinsi mwanasiasa huyu alivo muongo: Pia soma > Ipo siku CHADEMA itamkumbuka Mbowe but itakuwa very late
  2. JamiiForums Tanzania Bila kumpigia magoti na kumtaka radhi huyu mwanamama, CHADEMA haitaweza kuwa sawa tena.

    Januari 5, 2011 haitakaa isahaulike kwa wapenda demokrasia wote duniani kwa kilichotokea Arusha. Maandamano ya CHADEMA yalizimwa kwa nguvu kubwa na jeshi la polisi hadi kutokea maafa ya watu kuumizwa na baadhi kupoteza maisha. Nakumbuka hiyo siku mimi nilikuwa natoka mizunguko yangu kufika posta...
  3. JamiiForums Tanzania Sawa Mbowe umemfanyia favours nyingi Lissu katika career yake lakininkumbuka ilipaswa afe kwa ajili ya chama, hiyo favour inazidiwa na ipi?

    Nimeona mahojiano ya kikeke na mbowe. Mbowe anasema amemfanyia mambo mengi ya kiutu ili kuboost safari ya mafanikio ya Lissu. Kana kwamba anasema lissu hapaswi kumfanyia hivi kwa maana yuko liable na msaada wake. But dude, this guy almost died for you and your people , hio yote bado haijalipa...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Republican, Democrats (USA), Conservative, Liberal na Liberal Democrats (Uingereza) havina ukomo wa uongozi sawa na Chadema

    Huko tulikoiga siasa hizi za vyama vingi huo ndio utaratibu wao. na wana sababu za msingi. Sababu hizo bado zina mashiko kwa Chadema. Msikilize Ansbert ngurumo https://www.youtube.com/watch?v=rL5qDn_RctU
  5. JamiiForums Tanzania Kwa sasa kumtetea Rais MAGUFULI (RIP) ni ngumu sana sawa na kuwatetea Single mother kulivyo na ugumu

    Mimi nilikuwa na mkubali sana jpm kwa 90% katika utendaji wake wote na hata kifo chake kinaniuma hadi leo. Mimi sio mtu wa siasa za hapa Tz Maana naona kabisa hii nchi hakuna chama cha upinzani kilicho serious. Siku mbili hizi Tangu kitabu cha kabendera kiachiwe naona jpm kafukuliwa huko aliko...
  6. JamiiForums Tanzania Hukajawahi kuwa na vita vya uchumi Tanzania, Historia iwekwe sawa

    Kuna watu wengi waliwahi kuaminishwa Tanzania iko au imewahi kuwa katika vita vya uchumi au inafanyiwa figisu za uchumi na majirani zake, mataifa ya nje na kampuni za kimataifa. Ukweli ni kwamba hatujawahi kuingia katika vita vya uchumi nchi hii. Mabishano na kutofautiana katika sera za uchumi...
  7. JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kondakta wa daladala kupiga kelele za kuita abiria? Au abiria hawajui wanakokwenda? Je abiria wanakuwa hawaoni usafiri? (vipofu)

    Je ni sahihi kondakta wa daladala kupiga kelele za kuita abiria? Au abiria hawajui wanakokwenda? Je abiria wanakuwa hawaoni usafiri? Hii tabia ya kondata kuita abiria na kutangaza vituo daladala zinakoelekea inanipa maswali mengi sana Huwa napata maswali makubwa matatu? 1: Abiria hawafahamu...
  8. JamiiForums Tanzania WhatsApp Business yangu ina-logout mara kwa mara, nifanyeje ikae sawa?

    WhatsApp business yangu kwa siku za hivi karibuni imekuwa ikinisumbua inakuw ina logout na kunisubirisha baada ya masaa 24 tena ndy niweze kujaribu kuingia tena, na yanapofika masaa 24 niki verify account inakubali inafunguka ila natumia ni ndani ya dk10 tu ina-logout tena, sas hii imekuwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa milioni 45 napata faida ya 500,000 baada ya siku14 ni sawa?

    Habari wakuu Kuna biashara nafanya ambayo mtaji waki ni milioni 45 lakini faida Yake napata laki tano ndani siku 14 Hadi mzingo unakua umeisha. Je hii nisahihi kuendelea kuifanya kwa faid la ya laki tano kwa mtani huo au napoteza muda? Ushauri wenu mtupe namchongo wabiashara za faida kubwa zaidi
  10. JamiiForums Tanzania Hivi vitabu kuvisoma kawaida ni sawa ila sio kwa kumjengea mtu imani ya Yesu Kristo

    vitabu vifuatavyo, wengine wanaita kanuni ya pili, wengine wanaviita apokrifa, nivitabu ambavyo unaweza kuvisoma tu kama kujifunza kitu fulani ambacho kinaweza kuwa kweli au sio kweli. kwa nini, kwa sababu huwezi kujifunza huko imani ya Yesu Kristo ambayo inatokana na uvuvio wa Roho Mtakatifu...
  11. JamiiForums Tanzania Kwenye Boksi la Kura, aliyemuweza Lissu ni Magufuli na hawa ndio walikuwa kwenye Mzani Sawa

    Hamjamboni wote! Magufuli ndiye mtu pekee ambaye alimpiga Lisu home and away. Yaani mtandaoni na kwenye Boksi la Kura. Kwa Sisi Watibeli wasema Kweli yote, tunasema Kiboko ya Lisu likuwa JPM kwenye suala la kupiga Kura Lakini Kiboko ya JPM alikuwa ni Lisu kwa upande wa siasa za majukwaani...
  12. JamiiForums Tanzania Mbowe sawa lakini siyo man of the hour.

    Moja ya mambo ambayo huwa ni ngumu kwa mwanadamu, " ni kujua muda na nyakati sahihi kwenye kutofanya au kufanya aina Fulani ya mambo. Nyakati au muda Fulani uamua kifanyike kipi na kipi kisitendeke. Bahati mbaya binadamu wengi huwa hawajui wakati upi ( season) unafaa au haufai. Kwa kawaida...
  13. JamiiForums Tanzania Polisi anafanya kazi mbali na inapoishi familia yake. Askari Mgambo anatumwa kukamata watu wa mtaani kwake. Hii sio sawa hata kidogo....

    Good Morning my dear brothers and sisters out there. MGAMBO WANAOFANYA KAZI SAMBAMBA NA POLISI NJE YA MIJI MIKUBWA (DAR, MWANZA, ARUSHA, MBEYA) (1) Mgambo anakamata watu anaoishi nao mtaa mmoja. Polisi anakamata watu nje ya eneo analoishi yeye pamoja na familia yake. Hii ni nini kama sio...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa kuwa Wenje lazima atapita nafasi ya Makamu Mwenyekiti Chadema, hata Mbowe akijitoa sawa tu (japo hatajitoa), chama hakitatawalika

    Ndio hivyo. Baraza kuu lote let, akileta hoja inapigwa chini, na pale Wenje anabaki kama kiungo mchezeshaji. Haijaisha mpaka iishe, atapigiwa hata kura ya kutokuwa na imani
  15. S

    JamiiForums Tanzania Chadema kama ni sawa Mbowe kuendelea uenyekiti wanadamu wote tuna mapungufu, kwa nini si sawa CCM kuendelea kutawala maana vyama vyote vina mapungufu?

    Lojiki ya kufikiria ya Watanzania wenzengu mara nyingine inaniacha nashindwa kuwaelewa. Sielewi kwa nini suala la Mbowe na Lissu kugombea uenyekiti liwe jambo linalotishia uhai wa Chadema. Tukirudi nyuma, hatuwezi kusema Nyerere aliacha uongozi kwa sababu aliishiwa fikra sahihi na ghafla Mwinyi...
  16. JamiiForums Tanzania NJIA PEKEE YA KUJITENGA (AU KUWA SAWA) NA WANYONYAJI KUTOKA ULAYA NA MAREKANI NI KUFUATA NYAYO ZA CHINA NA URUSI

    Baada ya Shirika la ndege la Tanzania (ATCL) kupigwa marufuku kukanyaga anga la Ulaya, mimi binafsi nimefurahishwa na hoja nzuri za kizalendo zilizotolewa na Watanzania wengi. Wengi wao wanalaani na kulaumu njia za kinyonyaji za Umoja wa Ulaya (EU) pamoja n washirika wake. LAKINI mimi naona...
  17. JamiiForums Tanzania Njia pekee ya kujitenga (au kuwa sawa) na Wanyonyaji kutoka Ulaya na Marekani ni kufuata nyayo za China au Urusi

    Baada ya Shirika la ndege la Tanzania (ATCL) kupigwa marufuku kukanyaga anga la Ulaya, mimi binafsi nimefurahishwa na hoja nzuri za kizalendo zilizotolewa na Watanzania wengi. Wengi wao wanalaani na kulaumu njia za kinyonyaji za Umoja wa Ulaya (EU) pamoja n washirika wake. LAKINI mimi naona...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Hivi hii ni sawa.? Naomba munisaidie

    Niliwahi kuandika hapa juu ya kinachoendelea katika baraza la La Ardhi wilaya mwanza Nina Mambo mengi ambayo nitayaongea huko mbele baada ya kesi kuhukumiwa. Na ushahidi wetu uko kwenye sauti na message. Nitapenda viongozi wote wa selikari wanasheria. Mawaziri wote na kila kiongozi asikie...
  19. JamiiForums Tanzania Ni tahira pekee atakemea udikteta wa serikali juu ya wapinzani huku akiona ni sawa tu Mbowe kuwa mwenyekiti wa CHADEMA kwa zaidi ya miaka 20

    Kila siku wapinzani hasa wana CHADEMA huchukizwa pale viongozi wake wanapowekwa selo kwa makosa madogo madogo au kwa makosa ya kusingiziwa. Lakini si mara nyingi tukiona wapinzani wakilaani udikteta wa Mbowe kukaa kwenye kiti kwa zaidi ya miaka 20. Ina maana hakuna mtu mwingine mwenye maono au...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lisu ni sawa na Kisimati jini

    Tundu antipasi Lisu amekuwa mwiba na mkali kweli kweli kwenye siasa za Tanzania Ukali wake huo mpaka rais wa nchi mama Samia Suluhu Hassani akaamuru SIMBA mmoja machachari mbugani kuitwa jina la Tundu Lisu Kwa umachachari wake huo Tundu Lisu namfananisha na pombe kali inayoitwa "Kisimati Jini"...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…