sawa

SAWA is a Japanese singer-songwriter and DJ. In 2009, she signed onto Sony Music Entertainment Japan and joined its sublabel, Epic Records. In 2012, she switched to Bellwood Records and released her 6th mini-album, ソプラノレイン (Soprano Rain).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Watutsi ni watu wenye tamaa ya ukuu sawa tamaa ya fisi kula

    Ndugu zangu wabantu na wale mbari za wachache katika eneo letu la maziwa makuu tujihadhari na hawa jamaa mbari ya kitutsi. Watanzania hua wanaogopa kuzungumza chochote kwa msingi wa kikabila au kimbari. Sisi kwa asili yetu tuna umoja sana. Ila katika dhana hiyo tunafeli kuchambua vema tatizo...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini busara isitumike kuweka sawa hali hii?

    1. Tunachangamoto ya kibiashara baina yetu na malawi, inashindikana vipi kuweka hali hiyo sawa ? Sio busara kabisa kukomoana ili hali wanaoumia ni wenye mazao na maskini. 2. Kesi za mahakamani zinazoendelea kama mahakama ni chombo huru kwa nini kinaingiliwa na vyombo vingine ? 3. Bunge sasa...
  3. U

    JamiiForums Tanzania TANESCO kuuzia wananchi nguzo ni sawa?

    Habari ndugu zangu wana jamii forum.Kuna hii ishu ya kununua nguzo za Tanesco kwa ajili ya kuunganishiwa umeme? Maswali yangu ni kama ifuatavyo. 1.Je kuna sheria inayowaruhusu kuwauzia nguzo wananchi?? 2.Kama mwananchi amenunua nguzo ni sawa kuwa mali ya Tanesco?? 3.Kwa nini wanawaungia watu...
  4. JamiiForums Tanzania Kuwaona Stellenbosch Vs Simba ni Rand 30 sawa na Shilingi 4500 tu

    Stellenbosch hawana mbambamba wanataka watu wajae uwanjani. Kiingilio mchezo wao dhidi ya Simba ni Buku Nne Mia Tano ya pesa madafu. Mchezo huo utapigwa katika dimba bora la kisasa la Moses Madiba jijini Durban. Simba tujiandae kisaikolojia, kazi itakuwa ngumu japo tutapita
  5. JamiiForums Tanzania John Mrema, sawa Tume Iko sahihi, kinachokuwasha nini? CHADEMA haingii uchaguzin bila Mabadiliko, hatuna Mpango huo !!.

    Mbona kama wee Mrema na Genge lako ndio mmeumia Kwa CHADEMA kutokusaini? CHADEMA ingeutaka uchaguzi huo , pasingekuweponna NORENE na Ingesaini Kanuni za TUME. Kinachokuuma nini?? Kwamba Unafurahi Msimamo wa Tume? Au Unatumia Kwa Msimamo wa CHADEMA ??. Kama kugombea, Hamia CCM, utagombea pia !!
  6. JamiiForums Tanzania Mbongo akikuambia nisubiri kidogo elewa kabisa hapo usubiri saa moja ama zaidi

    Haya maneno ukiambiwa tu wee jua kabisa kama una kazi unaweza kuta unafanya endelea nayo kabisa. Imagine mtu yupo zaidi ya km20 una mpigia simu halafu anakuambia dk 0 niko hapo au dk 5 nyingi nishatia nanga hapo mkuu aisee wewe kunywa chai yako vizuri maana utasubiri zaidi ya lisaa nk. Ukija...
  7. JamiiForums Tanzania Ulishawahi tuma message ndefu yenye maumivu makali ukajibiwa " SAWA ". Ulichukuwa uamuzi gani?

    Ulishawahi tuma message ndefu yenye maumivu makali ukajibiwa " SAWA ". Ulichukuwa uamuzi gani?
  8. JamiiForums Tanzania Si sawa ndugu kufanya msiba wa Careen kama fursa

    Caren alikuwa muigizaji na Kwa bahati mbaya alipata umauti alipokuwa akitibiwa huko India Tunamtakia pumziko la MILELE Imezuka kasumba mitandao, watu wanaojiita ndugu zake ku post content kwenye mitandao ya tik tok, Instagram, Facebook n.k Wakionyesha umahiri wao wa kulia na kuja kupost Hivi...
  9. 4

    JamiiForums Tanzania Lissu anatakiwa kutoka alipo mara moja na sio ombi la kibinadam bali ni amri kuu kutoka kwa Mungu

    Leo sina salam , ila natambua uwepo wenu wanaJF . Kwenye mada na husika na mada tajwa hapo juu . Mh Lissu anatakiwa kutoka alipo mara moja na sio ombi la kibinadam bali ni amri kuu toka kwake alieumba mbingu na dunia period ,asema Bwana. Haiwezekani ulale kitanda kizuri ila mwana wa Mungu...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Ukilinganisha na nchi tulizokuwa sawa kiuchumi wakati tunapata uhuru tunastahili kuhurumiwa.

    Najiuliza sana ni kwa nini viongozi wetu wanajiskia fahari katika mazingira ambayo walipaswa kujionea aibu. Maana tuna nchi nyingi sana ambazo miaka ya 60 na 70 nilikuwa nyuma yetu kiuchumi lakini Leo ziko mbali sana. Kukaa kutwa mnasifiana sijui ni kwa lipi!?
  11. JamiiForums Tanzania Ukikusanya nchi nane (8) za Afrika Mashariki hazifikii GDP ya nchi ndogo kabisa ka Singapore

    Ukikusanya haya majinga manane(8) ya Afrika Mashariki ●Tanzania ●Kenya ●Uganda ●Rwanda ●Burundi ●Somalia ●D.R.C ●South Sudan Yote kwa pamoja hayafikii GDP ya kanchi kadogo kabisa ka Singapore. Mind you Singapore ina jumla ya ukubwa wa 735km² na population isiyozidi 6Mln wakati haya majinga...
  12. JamiiForums Tanzania Kwenye Ufunuo wa Yohana na kauli maarufu: “I am the Alpha and the Omega.” Kuna kitu hakipo sawa wakristo njoeni

    Hivi unajua kwamba Yesu hakuwahi kusema maneno haya hadharani alipokuwa hai? Haya maneno yanapatikana kwenye kitabu cha Ufunuo maono aliyodai kuyaona mtu mmoja aitwaye Yohana, miaka kama 60 baada ya Yesu kuondoka duniani. Na huyu Yohana? Hakujitambulisha wazi. Wasomi wa Biblia wamekuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Mshtakiwa asema Bado AKILI YAKE HAIPO SAWA. Inaweza FYATUKA MUDA WOWOTE kesi ISIENDELEE

    Hapa kisheria wanasheria mnadhani mwanasheria wa mshtakiwa nakusudia nini? Mpango hapa ni nini?
  14. J

    JamiiForums Tanzania Je, ni Sawa Kuvaa Hereni

    Je, ni Sawa Kuvaa Hereni Maandiko yanavyosema kuhusu kuvaa hereni. Kitabu cha Hosea 2:13 Kitabu cha Hosea kinasema: “Nami nitamwadhibu kwa sababu ya siku za Mabaali, aliowafukizia uvumba; hapo alipojipamba kwa pete masikioni mwake, na kwa vito, asema BWANA”. Kitabu cha Waefeso 4:14 Tuzingatie...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Shabiby line "mguu sawa" safari za Dar-Tanga, haijawahi tokea

    Katika hali ya kutanua ukubwa wa biashara ya usafirishaji Tanzania, Kampuni ya Mabasi ya Shabiby Line inaanzisha ruti mpya za Dar-Tanga, Tanga-Dar. Kwa mujibu wa taarifa za uhakika, Mei mwaka huu (mwezi ujao), Shabiby Line rasmi yataanza safari za kutoka Dar es Salaam kwenda Tanga na kurudi Dar...
  16. JamiiForums Tanzania Rafah yaendelea kuwekwa sawa baada ya amri ya wakazi wote kuondoka huko

    Majeshi ya israel yaendelea na operation zao kuisafisha Rafah hapo wakiyaangamiza Mahandaki yaliyokuwa yanatumika na magaidi wa Hamas. Rafah sasa hivi itakuwa chini ya israel.
  17. JamiiForums Tanzania Chungu ila ni dawa

    NUSU FAINALI CAF CC 🏆 . 🇹🇿 SIMBA SC 🆚 STELLENBOSCH 🇿🇦 YANGA VS STAND UNITED CRDB CONFEDERATION ROBO FAINALI KUPANGA NI KUCHAGUA 🏃🏃🏃🏃 mm yanga damu ila nahamia simba
  18. JamiiForums Tanzania Je, chaguzi zetu ziko sawa?.

    Mijadala vyuo vikuu imetoweka, vyuo vikuu vyetu sasa ni sehemu ya kuzalisha vibarua na machawa badala ya fikra. Mhitimu akipewa nafasi ya aina yoyote iwe kazi, uongozi hata ubunge yeye kwake ni kibarua kwaajili ya kulea wanawe tu basi. Hivyo kazi yake itakuwa kusifu, kusifu, kusifu na kujishusha...
  19. JamiiForums Tanzania Je, chaguzi zetu ziko sawa?.

    Mijadala vyuo vikuu imetoweka, vyuo vikuu vyetu sasa ni sehemu ya kuzalisha vibarua na machawa badala ya fikra. Mhitimu akipewa nafasi ya aina yoyote iwe kazi, uongozi hata ubunge yeye kwake ni kibarua kwaajili ya kulea wanawe tu basi. Hivyo kazi yake itakuwa kusifu, kusifu, kusifu na kujishusha...
  20. JamiiForums Tanzania Kama 95% Hamasa + 5%Ufundi wa Uwanjani = Kuvuka Nusu Fainali ya CAFCC Keshokutwa sawa na niwatakieni Kila la Kheri

    Washamba na Wapumbavu wa Sayansi ya Mpira tuendeleeni tu Kudanganywa na Kuaminishwa ili Tuwatajirishe J'5 Oky?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…