sawa

SAWA is a Japanese singer-songwriter and DJ. In 2009, she signed onto Sony Music Entertainment Japan and joined its sublabel, Epic Records. In 2012, she switched to Bellwood Records and released her 6th mini-album, ソプラノレイン (Soprano Rain).

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania {Inadaiwa ni mkewe}: Kwanini mtu amchape hivi Mke wake? Hi si sawa na haikubaliki

    Wakati watu wakipiga kelele kuhusu adhabu ya viboko shuleni mtu anaamua kukata fimbo anamcharaza mke wake, kwanini lakini. Hii sawa, nimekwazika sana
  2. JamiiForums Tanzania Je hili lipo sawa muwekezaji kutoa sharti la namna hii?

    𝐃𝐀𝐍𝐆𝐎𝐓𝐄 𝐖𝐀𝐍𝐓𝐒 𝐏𝐑𝐎𝐓𝐄𝐂𝐓𝐈𝐎𝐍 | 🛢 𝗔𝗹𝗶𝗸𝗼 𝗗𝗮𝗻𝗴𝗼𝘁𝗲 wants to build a mega oil refinery in Lamu. But there's a catch: They want government protection first. Dangote wants govt to block cheap imported fuel so his Lamu refinery can survive. No company will build for 5+ years if imports can undercut them...
  3. JamiiForums Tanzania Kamati ya Wamiliki wa Nyumba Sinza: Tumeazimia kusitisha ushiriki wetu kwa muda katika Mradi wa Sinza

    Kamati ya Wamiliki wa Nyumba Sinza inaendelea kusisitiza kuwa haipingi maendeleo wala uendelezaji wa eneo la Sinza. Hata hivyo, tunaamini mchakato huu unapaswa kufanyika kwa kuzingatia sheria, taratibu na mawasiliano rasmi. Baada ya Waziri kutangaza kuwa mchakato wa awali umefutwa na kwamba...
  4. JamiiForums Tanzania Mangungu na Magori waweka mambo sawa Simba, wasitisha Mvutano wa Baraza la Wadhamini

    Bodi ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba imefikia uamuzi wa kusimamisha kwa muda masuala na matukio yote yaliyokuwa yakiendelea kuhusiana na Baraza la Wadhamini la klabu hiyo, ili kutoa fursa kwa uongozi kuangazia maandalizi ya msimu mpya wa mashindano. Uamuzi huo umefikiwa katika kikao cha Bodi...
  5. JamiiForums Tanzania Enyi CHADEMA, Mauaji ya Okt 29 ya CCM, ni sawa na Mauaji ya Kenya 2007 yaliyozaa Katiba Mpya. Komaeni, Pambaneni, Samia na CCM watabana ila Wataachia

    Hatuhitaji Tena Mauaji mengine kuleta KATIBA na Mabadiliko katika NCHI hii, hata hivo ikilazimu Maandamano, tútaandamana kwa kua ni HAKI. Hamna mahali popote pale DUNIANI, Kiongozi akaua watu wake siku za Uchaguzi kwa Maelefu vile, alafu akabaki salama na akatawala na Dunia ikamchekea, Hamnaaaa...
  6. JamiiForums Tanzania Usd 1 sawa lita 40 petrol.Tujadiliane kama East Africa

    Nchi za East africa zingekuwa na akili mpaka ile Sudani ya Kaskazini nayo kuwa na mafuta .Umoja huu ungekuwa nchi zenye nguvu na matajiri wa kutisha kwa kila rasilimali. Leo Libya iliyochukua miaka 15 vita inaanza kuwa Dubai mpya ya watu wenye kujiwekea maisha mazuri na nguvu kubwa 2026.
  7. JamiiForums Tanzania Video mtoto mdogo akipigana na mama yake, wazi chapa kavukavu

    NYUMBA ambayo baba si msemaji, au NYUMBA ambayo mwanamke ndio msemaji wa mwisho Huwa na anguko. Huwa nawaelewa wanawake ambao hutafuta hata mwanaume lofa tu kikubwa awepo nyumbani ili NYUMBA isikose mwanaume ndani faida ni nyingi sana. Nimemkumbuka yule Binti alie kua akiishi na mama yake...
  8. JamiiForums Tanzania Sawa Kikwete waweza kuwa huongozi nchi kwa remote ya Zanzibar lakini vetting ya 2015 itakutafuna

    Kikwete ulizingua Mwaka 2015 baada ya kulazimisha Kato amchague Samia kama Mgombea mwenza, Tetesi zipo ambazo zingine hatuna ushahidi nao kwamba ondoa kete namba moja ili iliyokakaribu itimbe KINGI, mnaocheza draft mnaelewa kete ya KINGI ina nguvu gani, kila kete ikaayo njiani inapita nayo...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Misheni iliwekwa sawa mipango ikaparanganyika sasa tunakwenda nayo kwa namna yeyote

    Mipango ilipangwa kwa umakini wa hali ya juu kwanza kabisa ndani ya chama tuliweza kuwadhibiti makada wakorofi ambao wangeweza kuvuruga tukachapisha fomu moja kelele zilivuma lkn hazikuwa na madhara yeyote Mpango wa pili ulikuwa dhidi ya upinzani hawa nso tungewacha tuu bila uthibiti...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Marekani wametusaidia Bil 2.6 baada ya Serikali yetu kuilipa kampuni ya Kimarekani ya lobbying Bil 8. Hii ni sawa?

    ..kichwa cha habari kinahusika. ..hivi ni akili kweli kulipa bil 8 kwa ajili ya vimisaada vya bil 2.6? ..au huu ni ulaji na upigaji wa watu fulani? ..halafu tunalalamika kwamba kuna Watanzania wanalipwa kuchoma nchi yao. ..badala ya kulipa bilioni 8 huko nje kwanini serikali isipande dau na...
  11. JamiiForums Tanzania Siku nilipogundua kukesha club si sawa kwangu

    Ilikua mkesha wa pasaka. Mwanangu Zombie akanicheki like always, Oyaa location wapi leo? Nikamwambia wewe tu mwanangu master plan. OK sawa man tutazama mbeya pazuri.. (at that time nilikuwa naishi mbeya). By that time nilikuwa nilisha break up na demu wangu, i just numbed the pain by parting...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi ni sawa kuzaa watoto kwa matarajio ya watakuja kukusaidia baadaye?

    Hivi hii slogan ya nazaa watoto waje kunisaidia imekaaje? Baadhi ya wazazi, hasa wale wa ukanda wa pwani nilikokulia mimi, utashangaa mzazi anazaa watoto wengi ambao wakati mwingine unaona kabisa uwezo wa kuwalea hana Ukimuuliza utasikia anasema: Tajiri na mali zake, maskini na wanawe Hapo...
  13. JamiiForums Tanzania Sipo Hapa kula mtu ila muelewe. Monthly payment yangu ni 4500$ Sawa na 12M kulingana na position Yangu na experience

    Nashangaa hasira za nini je mkijua meneja wangu anabeba 13,000$ kwa mwezi si ndo mtazimia? Kabla ya kunibisha angalia uhalisia Hiyo 4500$ ni pesa nje ya bonus na mengine! Per month nakunja not less than 18,000$ kulingana na nature ya kazi mshahara si mkubwa ila bonuses ndo nyingi sana , wajuba...
  14. JamiiForums Tanzania Ronaldo: Kubeba Euro 2016 kwangu ni sawa na World Cup tu

    Baada ya Portugal kutolewa na Spain kwenye World Cup 2026, Cristiano Ronaldo alisema Euro 2016 kwake ina uzito sawa na World Cup. “Watu wanaweza kusema chochote wanachotaka… lakini kwangu, kuipa Portugal Euro ilikuwa na uzito sawa na World Cup kwa hiyo, nina furaha.” alisikika "MBUZI" huyo.
  15. JamiiForums Tanzania JWTZ mmesikia na sauti iko sawa kabisa, kazi kwenu

    Wanaukumbi. JWTZ MMESIKIKA NA SAUTI IKO SAWA KABISA YAANI ..📌 JWTZ ambao wanaharakati hasa yule rais wa Hungary Maria Sarungi amekuwa anawahusisha na machafuko na njama za kupindua serikali wametoa kauli. JWTZ wametoa kauli nzito na ngumu sana kuwa " hawatalinda wanaofanya vurugu na...
  16. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali itusaidie Watumishi wa Kituo cha Afya Yombo Vituka, kuna mambo ya Uongozi hayapo sawa

    Mimi ni mmoja wa watumishi wa Kituo cha Afya Yombo Vituka, na ninaomba kufikisha kilio chetu kuhusu mazingira ya kazi ambayo kwa muda mrefu yamekuwa magumu kutokana na mwenendo wa katibu wa kituo chetu. Sisi watumishi tunafanya kazi kwa muda wa ziada (overtime), lakini malipo yake hayafanyiki...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi Ajira Mpya Kada ya Afya Halmashauri ya Mkalama Wamepewa Fedha za kujikimu Wakati Walimu ajira mpya hatujapewa hata Mia. Inaumaaa

    Watumishi wa ajira mpya wa kada ya afya katika Halmashauri ya Mkalama wamepewa fedha za kujikimu, lakini sisi walimu wa ajira mpya hadi sasa hatujapokea hata shilingi moja. Hali hii inakatisha tamaa na inazua maswali kuhusu usawa katika kuwahudumia watumishi wa umma. Tunaomba mamlaka husika...
  18. JamiiForums Tanzania Arusha Walking Fitness route Tuanze Mazoezi ya Kutembea Kila Weekend Ili Kuweka Mwili Sawa!.. waliopo Arusha tu

    Habari wanajf!!! Nimeamua kuanzisha group ili ili tuweze kufanya mazoezi ya kutembea pamoja kila siku ya weekend (Saturday na Sunday).
  19. JamiiForums Tanzania Je ni sawa na halali kuliita bunge hili la 2025-2030 Bunge Tukufu?

    Wote tunajua maana ya neno Tukufu kwamba ni kitu kisafi chenye hadhi ya utakatifu. Rais Benjamin William Mkapa alikataa asiitwe mtukufu rais kwakuwa alijua hadhi na upekee WA neno Hilo. Sasa swali langu ! Wote tunajua namna bunge hili lilivyoingia madarakani asilimia 99% ni mafia style na wizi...
  20. JamiiForums Tanzania Nimepewa maono, Sheikh Mwaipopo unafuata kama ilivyokuwa kwa Sheikh Majini

    Sheikh Mwaipopo, Tanzania ni Kubwa kuliko CCM, kuliko Samia na Genge lake !!. Sheikh Mwaipopo, Mungu kanipa Maono, ilikuwa usubiriwe Usimame mbele Kuta za MAHAKAMA ujibu Tuhuma za Harakari zako za Kigaidi. Sasa Mungu amenena nami, kama alivyonena na Manabii wake juu ya Wafalame waovu, UNAFUATA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…