saratani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. stakehigh

    Video hii inaonyesha jinsi saratani ya tezi dume huanza mpaka kukumaliza

    https://youtu.be/j9tJbO66lng
  2. Mafyangula

    Kusuka rasta/ ama nywele bandia kunaweza kukusababishia saratani?

    Wanawake na wanaume maana siku hizi hata wanaume nao wanasuka rasta kuna jambo muhimu sana la kulifahamu na kujifunza zaidi! Afya ni moja ya mtaji mkubwa sana katika maisha yetu ya kila siku bila kuwa na afya njema basi hilo ni tatizo ============ Je unajua kusuka rasta/ ama nywele bandia...
  3. Dalton elijah

    Matumizi ya Pemba Yanavyosababisha Mtindio wa Ubongo na Saratani

    Matumizi ya pemba yamebainika kuongeza hatari ya kupata maradhi ya saratani, pamoja na kuongeza uwezekano wa mtoto aliye tumboni kuzaliwa akiwa na mtindio wa ubongo. Hayo yameelezwa na Dkt. Joseph Mwanga, mhadhiri mwandamizi wa Afya ya Jamii kutoka Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi...
  4. BigTall

    Uongozi wa Taasisi ya Saratani Ocean Road na Wadau wa Sekta Binafsi wajadiliana kuhusu uboreshaji wa Tiba Utalii

    Uongozi wa Taasisi ya Saratani Ocean Road umesema kuwa umejipanga kuwa kitovu cha Tiba Utalii Africa, ambapo katika kurahisisha shughuli hiyo wamekutana na wadau wa sekta binafsi kutoka Global Medicare kujadili namna ya kushirikiana katika kuitikia wito wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  5. Just Pray

    Enteromix: Chanjo ya saratani kutoka Urusi iliyofikia ufanisi wa asilimia 100 kwenye majaribio ya kitabibu

    Katika kile kinachoweza kuwa muujiza wa kuokoa na kuboresha maisha ya maelfu ya watu duniani, chanjo ya mRNA ya Urusi iitwayo Enteromix imeonesha ufanisi wa asilimia 100 na usalama katika majaribio ya kitabibu. Hii inaweza kuleta matumaini makubwa katika kupambana na saratani sugu na hata...
  6. Fbn

    Mazoea na Urafiki Usio na Mipaka Kwenye Biashara ni Saratani Inayoua Malengo Taratibu

    Katika ulimwengu wa biashara, kuna mambo madogo sana yanayoonekana kama ya kawaida—lakini yakiwa hayajadhibitiwa, huwa kama saratani ya kimya kimya. Moja ya mambo haya ni mazoea ya kupitiliza na urafiki usio na mipaka. Haya ni magonjwa ya ndani yanayoweza kuivuruga biashara yoyote, haijalishi...
  7. CM 1774858

    RECORD: Jumla ya Digital X-Ray Mpya 400, CT-Scans mpya 33, MRI mpya 9 na PET Scan moja kwaaji ya Saratani zimenunuliwa ndani ya miaka minne tu

    Rais Samia anunua Digital X-Ray Mpya 400, CT-Scans mpya 33, MRI mpya 9 na PET Scan kama msingi wa Dira2050. Rais Samia katika kuimarisha kwa upatikanaji wa dawa, vifaa, vifaa tiba, na vitendanishi ambapo upatikanaji wa dawa umeongezeka kutoka asilimia 73 hadi asilimia 86; kuongeza mitambo ya...
  8. DodomaTZ

    Taasisi ya Ocen Road yaeleza mchanganuo wa huduma ya Saratani wanavyotoa

    •Taasisi ya Saratani Ocean ni hospital ya taifa kwa utoaji huduma za saratani hapa Tanzania. •Huduma zinazotelewa zinajumuisha elimu ya afya, saratani,chanjo za saratani,uchunguzi wa awali ,vipimo,tiba, mafunzo na tafiti za saratani. •Taasisi inahudumia wagonjwa kutoka ndani ya nchi wa nje ya...
  9. JanguKamaJangu

    Takribani 20% ya Dawa za Saratani Afrika ni bandia

    Barani Afrika, dawa za saratani zimegundulika kuwa duni au bandia, hali inayomaanisha kuwa wagonjwa wanapewa dawa ambazo ama hazifanyi kazi au zinaweza hata kuwadhuru. Takwimu mpya zinaonyesha kuwa idadi kubwa ya watu huenda wanatumia dawa ambazo hazina viambato muhimu vinavyohitajika kuzuia au...
  10. Roving Journalist

    Burkina Faso na Tanzania kuimarisha uhusiano katika Huduma ya Saratani na huduma nyingine kiafya

    Taasisi ya Saratani Ocean Road, leo Mei 22, 2025 imepata ugeni wa kutembelewa na Dkt. Idrissa Traoré ambae ni mratibu wa Kitaifa wa Mpango wa Afya wa Rais wa Burkina Faso pamoja na ujumbe wake. Taarifaya Ocean Road imeeleza kuwepo kwa ziara hiyo ni juhudi na maono ya Dkt. Jakaya Kikwete wakati...
  11. Roving Journalist

    Dkt. Mollel: Tanzania tuna teknolojia inayoweza kuangalia Saratani inayoweza kujitokeza miaka 10 ijayo mwilini

    Mbunge wa Jimbo la Siha ambaye ni Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema Sekta ya Afya imepiga hatua kubwa nchini kutokana na maendeleo mbalimbali yaliyofanyika kutokana na uwekezaji uliofanywa na Serikali. Dkt. Godwin Mollel amesema Shilingi Trilioni 6.7 zilizotolewa na Serikali...
  12. Just Pray

    Aliyekuwa Rais wa Marekani Joe Biden akutwa na saratani ya Tezi dume

    Rais Biden akutwa na saratani ya tezi dume, imesambaa kwenye mifupa Rais wa zamani wa Marekani, Joe Biden (82) amegundulika kuwa na ugonjwa wa saratani ya tezi dume ambayo imesambaa hadi kwenye mifupa yake. Saratani ni ugonjwa ambao hutokea pindi ukuaji wa seli mwilini unapotokea katika namna...
  13. Nipe Maji

    PreGE2025 Wananchi zaidi ya 900 wapatiwa huduma za uchunguzi na matibabu ya ugonjwa wa saratani bila malipo Peramiho

    Wananchi zaidi ya 900 wamepatiwa huduma za uchunguzi na matibabu ya ugonjwa wa saratani bila malipo katika Hospitali ya MT. Joseph Peramiho, huduma ambazo kutolewa na madaktari bingwa wa magonjwa ya saratani kutoka Taasisi ya Saratani Ocean Road kwa muda wa siku nne (4). Waziri wa Afya Mhe...
  14. Stephano Mgendanyi

    Serikali Yataja Saratani Tano Zinazosumbua Wananchi Kanda ya Ziwa, Mbunge Kabula Shitobela Ahoji Bungeni

    SERIKALI YATAJA SARATANI TANO ZINAZOSUMBUA WANANCHI KANDA YA ZIWA, MBUNGE KABULA SHITOBELA AHOJI BUNGENI Serikali imetaja aina tano za saratani zinazoongoza Kanda ya Ziwa ambazo ni ya kibofu cha mkojo, mji wa uzazi wa uzazi, damu, macho na figo. Naibu Waziri wa Afya, Dk Godwin Mollel...
  15. JanguKamaJangu

    Serikali yabaini Saratani zinazoongoza Kanda ya Ziwa ni Kibofu cha Mkojo, Mji wa Uzazi wa Kina mama, Damu, macho na figo

    Mbunge wa Jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema Serikali imefanya utafiti wa kina nchi nzima kuhusu saratani na imebaini kuwa upande wa Kanda ya Ziwa saratani zinazoongoza ni ya Kibofu cha Mkojo, Mji wa Uzazi Kina mama, Damu, macho na figo. Ameeleza kuwa visababishi...
  16. Just Pray

    PreGE2025 Serikali imekamilisha ujenzi wa jengo la tiba mionzi ya Saratani KCMC kwa bilioni 5

    Wakuu Wizara ya Afya imewekeza Sh5 bilioni katika ujenzi wa jengo jipya la tiba mionzi katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini (KCMC) pamoja na ununuzi wa vifaa tiba vya kisasa. Hatua hii inalenga kuboresha huduma za matibabu ya saratani kwa wakazi wa Kanda ya Kaskazini na maeneo...
  17. Nomadiq

    Je, ni kweli kwamba sodium benzoate inasababisha saratani ya damu?

    Habarini Nauliza kama ni kweli kiambata(ingredient) sodium benzoate kilichomo kwenye vipodozi,vyakula na vinywaji hasa soda na energy drinks, kinasababisha saratani ya damu? =============== Moderator Active Naomba title isomeke "Je, ni kweli soda na vinjwaji vya energy vinasababisha saratani?"
  18. W

    Taarifa gani umewahi kusikia kuhusu Saratani ikakupa shaka?

    Kila mwaka Februari 04 huwa ni siku ya kuadhimisha saratani duniani kwa lengo la kutoa elimu, takwimu na uelewa kuhusu Saratani. Na kwa takwimu za mwaka 2024 zimeonesha kuwa bara la Asia ndo linaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya waangaa wa Saratani ya shingo ya kizazi SARATANI NI NINI Miili...
  19. Dalton elijah

    Sumu kuvu inavyosababisha Saratani ya ini

    Mahindi na karanga ni mojawapo ya mazao muhimu ya chakula. Mazao hayo huweza kushambuliwa na fangasi wanaozalisha sumukuvu ambayo huathiri usalama wa chakula. Sumukuvu ni nini? Sumukuvu ni sumu zinazotokana na aina ya ukungu (fangasi) unaoota zaidi kwenye mazao kama mahindi na karanga. Jinsi...
  20. Suley2019

    Urusi yatangaza kugundua chanjo ya saratani, kuigawa bure

    Wizara ya Afya ya Urusi imetangaza kuwa imegundua chanjo dhidi ya saratani ambayo itatolewa bure kwa wagonjwa na inatarajiwa kuanza kutumika rasmi mwaka 2025. Andrey Kaprin, Mkuu wa Kituo cha Utafiti wa Tiba ya Mionzi cha Wizara ya Afya nchini Urusi, alisema chanjo hiyo itazinduliwa mwanzoni...
Back
Top Bottom