sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kazi yangu kukufungua fikra sehem ambazo huwa zinachukua ghalama kubwa kwenye ujenzi wa gholofa

    Kazi yangu kukufungua fikra sehem ambazo huwa zinachukua ghalama kubwa kwenye ujenzi wa gholofa 1. Msingi Imara Zaidi: - Ghorofa huhitaji msingi wenye nguvu zaidi (deep foundation) ili kubeba uzito mkubwa wa jengo. 2. Nguzo na Beams Zaidi: - Vifaa vya kuongeza uimara kama nguzo...
  2. JamiiForums Tanzania Kumbukizi ya kilichotekea uwanja wa mkapa baada ya mvua, Simba msilalamikea kuhamishiwa kucheza Zanzibar

    Kama mkijua wamesahauuu Huu upuuzi ukiwafanya CAF waseme final znz No kwa mkaapaaaa msahauuuu
  3. D

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Pascal Mayala: Mateso ya kumuuliza swali Magufuli. "Niliumizwa, Kampuni yangu ilitolewa Sabasaba, Mikataba ikavunjwa. Sijapona hadi leo"

    Mwandishi nguli, Paschal Mayala akielezea aliyopitia baada ya kumuuliza swali Rais Magufuli lenye sehemu mbili, swali hilo lilihoji mamlaka aliyotumia Rais Magufuli ya kukataza mihimili mingine ya Serikali kusafiri na kukataza mikutano ya kisiasa ilhali mikusanyiko na uhuru wa kutoa maoni...
  4. JamiiForums Tanzania Vijana wa Tanzania wana Maisha magumu sana, serikali iwe makini

    Picha inaongea jinsi ambavyo vijana hawana Nuru wala uhakika wa kesho yao.
  5. JamiiForums Tanzania Tafakari kwa makini sana kuhusu hili tukio

    Hii si picha ngeni miongoni mwetu.. Tumeshaiona mara nyingi tuu.. Tukasikitika kidogo kisha maisha yakasonga FIKIRIA HILI KWA TAFAKURI Simba hakumwona kamwe hakumuona mtoto… alichoona yeye ni mawindo.. lakini mtoto aliona kila kitu...! Katika maisha yasiyo na huruma ya...
  6. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA kama Chama cha Siasa mmefanya kosa kubwa sana kususia Uchaguzi

    Nawaambia mmefanya kosa kubwa sana kususia uchaguzi. Hili jaribio linaenda kuizika CHADEMA. Mlitakiwa kupambana mkiwa field au site. Huwezi kutatua matatizo kwa kuyakimbia.Ni uamuzi ambao hauko sahihi kwenye masuala ya siasa.
  7. JamiiForums Tanzania Serikali Imlinde huyu mtu wa Wivu Mkubwa sana. Wazungu wanaweza Mwiba

    Nimekuwa nikimsoma Bill Lugano jamaa ana madini sana. Sijashangaa kuona mataifa mbalimbali yanamtumia kukuza uchumi wao. Za ndani ni kuwa ndiye mshauri mkuu wa Serikali ya China, Russia na Marekani. Nashangaa serikali yetu inakumbatia akina Babu Tale, Musukuma, Mwigulu,Bashe inaacha huyu jamaa...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Juzi nilikuwa Serengeti, niliona jambo ambalo limenisikitisha sana na kunitoa machozi

    Serengeti kuna ile Hotel ya 5 star nadhani mna ifahamu sitaki taja jina maana najua hapo Jamaa zangu watataka nao wakalale so itakuwa nime ipromote na haitakuwa fair kwa hotels nyingine. Tulienda na Helkopta kuangalia wanyama. Kwa kweli nlitokwa na machozi. Niliona jinsi ambavyo...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Martha Karua ni nani?

    Kufuatia sekeseke la machafuko na mgogoro wa kisiasa mara baada ya uchaguzi, nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana mchakato wa majadiliano/makubaliano ya kurejesha amani nchini Kenya. Inasemekana Mh. Martha Karua aliingia kwenye malumbano personal na Mzee Annan na BWM mpaka ikafikia hatua ya...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Maisha wanayoishi wakazi wa Masaki, Mikocheni, Msasani ni Duni sana. Nimejisikia vibaya

    Nimepita haya maeneo mara chache nikiwa naangalia maisha ya wakazi wa haya maeneo. Inasikitisha sana. Ni maisha ya watu duni ambao wamekata tamaa kabisa ya maisha. Huwa nawaza sana kwa nini Serikali isibomoe hizi nyumba ambazo asilimia zaidi ya 80 ni za watu wa maisha ya hali ya chini kisha...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Gaming board of Tanzania wanaboa sana.

    Hawa jamaa ukisikia kimeo ndo hawa yani,watu wamepiga oral tangu tarehe 16 April,ila cha kushangaza mpaka leo yenyewe hayajawajulisha wahusika kama wamepata au not. Hawa watu ukiwatizama wana changamoto nyingi unaweza kusema wanatengeneza mazingira ya kupachika watu wao.mifano ni hii. 1...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania kunafurahisha sana

    Habari zenu waungwana?? Kuna jambo limenifanya Leo nicheke sana.jambo lenyewe ni hili na nimeweka hapa hatua za kufuata... Azizi andambile alitolewa kwa mkopo kwenda yanga African,ambapo awali akitokeafountain gate,utata umezika kwa kipindi sasa tunaelekea mwisho mwa ligi au mwisho mwa msimu...
  13. JamiiForums Tanzania Magori ndie Mtu kawaharibia sana Simba kwenye issue ya CAF,hamkumkanya huko nyuma mlikua mnamshangili sana leo kawaponza

    Kama unakili Timamu tu utanielewa huyu Mzee akili sijui hua anazitumia wapi? Nina matukio ma 4 saiv ya kudhihirisha ujinga wake. 1.Nani anakumbuka swala la Derby ile ya Chuma 5? Mzeee alisema kuna Rushwa kelele kibao hadi akaenda mbqli kusema kuna wachezaji wakubwa ndani ya simba...
  14. JamiiForums Tanzania Kuna watu wapo humu heti wanatutisha "Tundu Lissu hatoki" unajua nimeshangaa sana na wana uwezo mdogo sana wa ufahamu

    Kuna watu wapo humu heti wanatutisha "tundu lissu hatoki" mnatoa tu maneno yenu bure unajua nimeshangaa sana na wanauwezo mdogo sana wa ufahamu inasikitisha. Nimesikitishwa kwa hilo kwasababu yoyote anayeshabikia mtu asiye na hatia na kumsingizia mambo ya uongo huku yeye ndio mbaya muuwaji...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa Tanzania mlikosea sana kumuweka Mwanasiasa kuongoza chama chenu Cha Wanasheria

    TLS haikuchagua Rais mwanasheria kwa maslahi ya wanasheria na kada ya Sheria, Bali walimchagua Mwanasiasa kwenda kupigania maslahi ya siasa kupitia TLS Leo hii tunapoongea mawakili wengi nchini wana shida kibao. Wapo mawakili wengi tu haswa wanaoanza wanaohitaji kusaidiwa zaidi kusimama kikazi...
  16. X

    JamiiForums Tanzania Hivi wenzetu mnaoweka status WhatsApp mnafaidika nini? Mna utoto mwingi sana

    Hii kitu imenishinda kabisa. Kitu hunishangaza ni kuona mwanaume anaweka status, ile huduma imekaa kikike sana. Tena kwa mabinti wa seco labda na vyuo. Wanawake imekuwa kama sehemu ya kupigana vijembe na hata midume nayo imeanza hizo pigo za kike. Show off za kijinga jinga zimejaa kwenye...
  17. JamiiForums Tanzania Inawezekana hii habari ilimkasirisha sana Rais Samia!

    Hata ungekuwa wewe!
  18. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ni Fimbo ya Musa kwenye kulikomboa taifa teule la TZ

    Guys , tumuheshimu sana tundu Lissu. Jamaa UPINZANI wake anamaanisha… and for sure APEWE HESHIMA….wengi hatuwezi ijapokuwa tunataka mabadiliko…. It is wothless kuwa na UPINZANI wa bahasha za kaki huku watu wanakufa na kutekwa in a serious note . Mtu kama Ben Saanane ndio mazima….hatujapewa...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Mtanzania mbaya sana awamu hii ya Sita

    Ni yule aliye karibu na Rais wetu mpendwa na anasikilizwa na Rais na kumshauri kutochukua hatua au kuacha kutoa mwongozo wa kiutawala kwa haya yanaendelea. Ni kweli ushindi ni tayari kwa CCM mpaka sasa. Lakini majuto yake ni Mjukuu. Nina uhakika Mwenyezi Mungu atamlinda na kumweka sana Rais...
  20. JamiiForums Tanzania G55 ninalo swali muhimu sana kwenu mlijibu, nalo ni moja tu.

    Aliyewahi kuwa mgombea urais na kufanikiwa kushinda uchaguzi mihula miwili yenye jumla ya miaka 10 alisema kwa mdomo wake kuwa CCM haijawahi kushinda uchaguzi huku naye ni mnufaika wa irais bila ushindi na CCM ilitishia kumfukuza uanachama lakini ikashindwa kumfukuza. Swali kwenu, nyie msiotaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…