sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mwisho wake ni hatari Sana

    Habari wana JF. Kumekuwa na Threads nyingi Sana zinazo husu masuala ya vita Kama Ukraine na Russia, Gaza na Israel n.k. hivi Sasa Kuna vita vinaendelea kati ya Israel na Iran nitaelezea kidogo nini naona katika vita hii. Kwanza kabisa naomba nielezee jambo moja ili iwe rahisi kunielewa ninapo...
  2. JamiiForums Tanzania Haya ni mambo madogo sana kwa wengine, ila kwangu ni magumu sana kiasi cha kushindwa kuyafanya au kushiriki kabisa

    1- Kwenda sokoni kununua bidhaa za nyumbani. Kwangu hili jambo nigum sana kwasababu nashindwa kufanya mamuzi sahihi. hii nibaada ya kundi kubwa la wafanya biashara mmoja baada ya mwingine kua kwenye tabiri yenye matarajio kwamba pesa yangu mimi mteja niyeye mwenye kustahiri kuipata kuliko...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini mikoa au wilaya ambayo waislamu ni wengi kuna ustaarabu mwingi sana? No vibaka,wizi,mauaji n.k

    Nimejiuliza sana Aisee sijui kwanini mikoa Mingi ambayo waislamu ni wengi imestaarabika sana kuzidi ile mikoa ambayo ni dini nyingine ndiyo wengi? Mikoa mingi ambayo waislamu ni wengi kuna vitendo vichache au hamna vya vibaka,wizi,ujambazi l,mauaji ya wanandoa au ndugu hamna kabisa Aisee na watu...
  4. JamiiForums Tanzania Inatosha sasa, huyu Mtoto wa mwisho anadeka sana

    Kwanza Muumba kawadekeza sana, licha ya wao kuwa watukutu haswa, kumkosea mara kadhaa lakini bado aliwakingia kifua na kuwarudishia miaka na mali zao zilizoliwa na nzige. Hapa alaumiwe aliye juu. Pili, baba yao Jacob alikuwa anashinda jikoni na mama yake, kazi aliyokuwa anaijua ni kudeka deka...
  5. JamiiForums Tanzania Wanawake poleni sana

    Nimejaribu kuwaza kama ingekuwa sisi wanaume ndio tunatolewa barua na ndio ingekuwa tunatongozwa, Afu ukute ni msichana fulani hivi mrefu si mrefu mfupi si mfupi yaani haeleweki afu ndio anakuja kwenu kuleta barua, Nimejaribu kufikiria ni msichana fulani hivi jirani yetu hapa ambaye kiufupi...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa Biashara ya Mbuzi imekuwa kama Pembe za Ndovu, baadhi ya mikoa ni ngumu sana kupata

    NRNE Wakuu habari za hapo juu. Inaonekana Tz sasa mazao yanayotokana na mifugo ya Mbuzi ni ngumu sana kupata. Mikoa kama Mbeya, Songea, Lindi, Mtwara, Dar es salaam ni nadra sana Inaonekana wafugaji wameacha kabisa kufuga hawa aanyama. Je kuna changamoto mpya kwenye hii industry? Au...
  7. JamiiForums Tanzania Napitia wakati mgumu sana kila ikifika siku ya kuzaliwa

    Wakuu hii sijui imekaaje yani kila ikifika miezi ya karibuni ya siku yangu ya kuzaliwa hali ya maisha inakuwa ngumu Sana. Hadi inafika siku ya kuzaliwa yenyewe najikuta hali ni tete hata hela ya kula inanishinda hali hiyo itaendelea hadi miezi ya mbele kidogo ndio inaanza kupotea na kuwa na...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Biashara fulani inalipa sana pale ukisimuliwa

    Wadau Kila mtu ashawai kusimuliwa biashara fulan na faida inayopatikana ila alipojaribu alikutana na moto wa hatari , Ugumu , kukata ela , kupoteza ramani kabisa. Naomba tuelezee hapa chini biashara gani uliwahi kuifanya ikakutokea pabaya 😅😅 ???
  9. JamiiForums Tanzania Duh, Waisraeli ni watu wenye akili sana – Tazama mahali wanapojificha wakati wa vita. Ni raha tupu!

    Katika dunia hii yenye vita visivyokoma, taifa la Israeli linaonekana liko juu sana kwa hekima, umakini, na maandalizi ya hali ya juu ya kujikinga na mashambulizi ya mabomu. Hili ni taifa dogo kijiografia, lakini lina hazina kubwa ya maarifa, ujasiri, na ubunifu wa hali ya juu. Unapoyaangalia...
  10. P

    JamiiForums Tanzania KERO Maji yanayotoka Tabora yana harufu kali sana za madawa. Wanazidisha sana madawa. (TUWASA) mtaleta madhara kwa watu

    Kuna baadhi ya maeneo mkoani tabora maji yanayotoka kwenye mfumo wa mabomba chini ya TUWASA yana harufu kali sana ya madawa. Hali hii ni tokea mwaka jana mwishoni hadi sasa. Harufu hiyo kero sana hasa pale unapoamua kuchemsha maji hayo ufanye yawe maji ya kunywa. Unakunywa maji yakiwa na harufu...
  11. JamiiForums Tanzania Huyu dada kanifedhehesha sana!

    Jana ameufanya uanaume wangu uwe mnyonge sana mbele yake!, na hapa sasahivi najiuliza huu ujasiri ni wakwake pekee ama kuna wengine pia mpo kama yeye!..? Ni mdada fulani hivi mweupe, figure no 8 huku nyuma baraka zipo na mbele pia zipo, kiufupi ni mzuri kama malaika!. Ikiwa ni mida ya saa mbili...
  12. JamiiForums Tanzania Msaada, ninahitaji sana kuonana na hawa members. Wananifikirisha sana na kunipa mtanzuko wa moyo

    Komeo Lachuma - huyu jamaa ni moja ya members watata sana na huwa simwelewi atakuwa mtu wa namna gani. Hakuna siku itapita hajagombana na mtu, hajaonesha ubabe na hajachokoza mtu. Nahitaji kuonana naye nimfanye kama case study katika suala la personality. Je atakuwa ni mtu wa namna gani kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna siti ndani ya basi ukikaa uwezekano wa kufa ikitokea ajali ni mdogo sana. Makinika

    Hesabu hazidanganyi. Nenda mtandaoni angalia ajali mbalimbali, angalia ajali zinasababishwa na nini, na ajali zinazoua kwa wingi ni za namna gani. •Ajali za kugongana gari uso kwa uso wahanga ni dereva na abiria wa siti za mbele. •Ajali za dereva kukosa balance mara nyingi dereva huipindua...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa hili nawapongeza sana JWTZ, japo ninasikitika pia kuwa mmechelewa mno Kulishtukia

    Na nimefurahi zaidi mliposema kuwa mmeshawabaini hao Viongozi Serikalini wanaofanya hii DHAMBI KUU YA KIKATIBA YA USALAMA WA TAIFA LETU na nawaomba muanze na Watatu wenye hii tabia mmoja anatokea Singida, mwingine Dodoma, mwingine Kagera na mwingine Pwani bila ya kumsahau na yule Mzoefu ambaye...
  15. JamiiForums Tanzania Wakuu, kati ufaulu wa Written interview na Oral Interview ipi Wana consider sana wakati wa placement prioritization?

    Naomba kueleweshwa, Wakuu, kati ufaulu wa Written interview na Oral Interview ipi Wana consider sana wakati wa placement prioritization? Ni saa 00:26 usiku, Sina usingizi, nina wasiwasi mkubwa sana wakuu maana nilifanya vizuri kwenye written interview ila Sina uhakika na Oral Interview. Oral...
  16. JamiiForums Tanzania Ategemee kupingwa sana awamu yake inayofuata

    Ikitokea ameingia madarakani awamu ijayo basi ategemee kupingwa sana hata na wanakijani wenzake maana hapo watu hawatakuwa na wanachokitaka (mfano teuzi) kwa sasa watu wanajifanya hawaoni madudu yake kwa sababu wanajua atarudi tena na atakuwa na muda mrefu hivyo watakosa teuzi na kupingwa...
  17. JamiiForums Tanzania Azam wafanya maisha kigamboni kuwa mepesi sana

    Hongera sana kwa wizara husika na mwekezaji azam yaani umefanya maisha kigamboni kuwa mepesi sana tulipitia kipindi kigumu sana nahisi sasa ni wakati wa BRT kuangalia hili la uwekazaji wa azam waliofanga hapa kigamboni mtu unasikia Ata raha sasa kuishi kigamboni BRT ebu fanyeni tathmini...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Nimegundua raisi wetu ana hasira sana, anafoka na kujibizana na hata vitu vidogo na kutengeneza mipasho badala ya kukaa kimya

    Nimekuwa nikitafakari juu ya hotuba na kauli mbalimbali za raisi wetu, ambaye ndio kiongozi wa juu kabisa nchini, na kugundua ana hasira sana. Anachukizwa hata na vitu vidogo vidogo ambavyo anapaswa kuvipuuzia na kutovijibu au kuvifanyia malumbano. Ana silka ya kumwagia petroli kwenye mambo...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanawake wa maofisini ni mtihani

    Baadhi sio wote, wanapokuwa ofisini wanajifanya hawana wapenzi au wapo kwenye mapenzi yanayopumulia machine, kana kwamba wanahitaji faraja. Ofisini hapa Kuna dada nilimkuta, najua ana mpenzi wake na kutwa wana postiana status, nika test kumtania/kimasihara ili ku prove anachosema Xi Jinping...
  20. JamiiForums Tanzania Nikimsikia Samia akizungumzia uchumi. Natabasamu nawapongeza watanzania sana

    Faida anayoiona ya kahawa ni kufanyia scrubbing. Siku hiyo hiki ndo kipengele aliweza kukielezea vizuri zaidi na kwa muda mrefu. 🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭 Nyie Watanzania mkiendelea na akili hizi hamtaendelea kamwe.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…