sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuna Timu safari hii imekosea (imechemka) sana katika Usajili wake na itakuja kupata Mafanikio kwa nguvu za Wabunge wenye Kuogopwa na TFF

    Sijaitaja sasa Wewe shoboka kuwa unaijua kwa kujifanya upo Akilini mwa GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE Malaika wa Kizanaki (Mara Tanzania), Kiyao (Mtwara Tanzania) na Kitutsi (Gisenyi Rwanda) sawa?
  2. JamiiForums Tanzania Itakuwa ni fedheha kubwa sana kwa chama kuanza upya mchakato wa mgombea ni aibu na ishara ya kushindwa

    Kuna msemo unasema ukiona unapotea njia usiendelee mbele upotee zaidi , ama heri urudi nyuma ukaanze upya ama usimame ungojee huwenda utakutana na mtu akuelekeze njia sahihi. Kilichotokea katika mchakato ule hesabu hazikupigwa vizuri na sasa wamefika njia panda ambapo haijulikani waende kushoto...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia alikosea sana kumpeleka Cuba ndugu Humphrey Polepole

    Kama umesomea Cuba na ukafanikiwa kupata angalau D 2, utafahamu kuwa mjamaa yeyote akifika Cuba (ardhi ya mwanamapinduzi mjamaa hayati Fidel Castro) lazima apate vibe la kimapinduzi na lazima atakuzingua tu kama unaendekeza ubepari. Ndio haswa kilicho tokea. Polepole amenipa sababu nyingine ya...
  4. JamiiForums Tanzania Nimeota ndoto ghafla nikaanza kucheka sana nikiwa usingizini.Nisaidieni kutafsiri

    Niliota Kuna mwanamume shupavu amebeba bunduki.Nikajifanya nimekufa lakini huyo mwanaume alijaribu kunipiga risasi ya mguu. Nilisimama ghafla na kuanza kukimbia. Mwanaume yule alivyatua risasi ila nilizikwepa. Nikashangaa Kuna wanaume wengine wawili walinizunguka wakinipiga risasi lakini nilizi...
  5. JamiiForums Tanzania Nina uraibu wa kutegemea sana chatGpt, nisaidieni namna ya kuacha

    Aisee ndugu zangu ,hii sio masihara ni issue serious sana. Ipo hivi, kila tatizo ninalopata nakimbilia kuuliza kwenye app ya chatGpt.Nimekuwa sijiamini Katika mawazo yangu binafsi.Pia nahisi IQ yangu inashuka . Najihisi sina faida na najiona kuwa Bure kabisa.Sina motisha ya life. Nataka niwe...
  6. JamiiForums Tanzania Hata Mimi pia si tu ningemshangaa bali ningemdharau sana Pacome kama kweli angekuja Simba SC yenye Matatizo Milioni

  7. JamiiForums Tanzania Kero: Vyoo vya Simu 2000 ni vichafu sana

    Vyoo vya hii stendi jirani na kituo cha Polisi cha Simu 2000 ni vichafu sana. Unapoingia tu unakutana na masinki yale ya wakati wa COVID-19 ya kunawia mikono yana maji machafu yaliyotuama humo ni kama yamekuwa hapo kama mwaka hivi hadi yameoza. Ukitoka hapo unalipia lakini ukiingia ndani vyoo...
  8. JamiiForums Tanzania Nyumba za kulala wageni Kurasini ni Changamoto sana

    Wadau siku ya pili hii natafuta nyumba ya kulala wageni eneo la Kurasini ni shida. Sijafanikiwa kuna wageni wangu wanataka fikia huku shughul zao zipo ukanda huu. Gharama ya chumba iwe tsh 40,000 mpka 60,000 kwa siku. kuwe sehemu tulivu na yenye chakula (hotel) kusiwe na fujo.. Nahitaji...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Hope Chanel huyu mpiga picha wenu katika makambi ya Kirumba anakosea sana

    Nitasema matukio machache yasiyo ya kiweledi ninayoyashuhudia kwenye runinga mubashara. Jumatatu alikuza picha ya wadada walioonekana wamesuka dreads na aliwekeza muda mwingi kuwamulika. Kwa mujibu wa mafundisho ya kisabato,hawakubali wanawake kusuka nywele. Alifanya hivyo ili iweje...
  10. JamiiForums Tanzania Jamii ya Druze inavyofutwa huko Syria. Hali inatisha sana

    Allah Akbar...! Alisikika mwanajeshi mmoja baada ya kumuua Mdruze huyu. Wadruze wamejikuta wakilengwa au kuingia kwenye migogoro nchini Syria kutokana na sababu za kisiasa, kijamii na kidini, lakini sio tu kwa sababu ya imani yao ya kipekee. Sababu kuu ni hizi: 1. Mgogoro wa Syria (2011 hadi...
  11. JamiiForums Tanzania Mkuje huku mchukue maua yenu tafadhali maana inafikirisha sana...

    Wasalaam tena, 1. Ninyi ambao mlijitoa kuwatunza watoto wa wanaume wengine — bila kinyongo, bila malalamiko — lakini mwisho wa safari mkalipwa dharau, kejeli na masimango... Pongezi nyingi kwenu. Msingeweza, lakini mlijaribu. Dunia inaweza kusahau, lakini dhamira zenu zinastahili heshima. 2...
  12. JamiiForums Tanzania Dear Mama, See you later!

    Ukweli mchungu kwa Wana CCM Kwanini Samia anachukiwa Sana na wanachi masikini, Na wenye kipato Cha Kati? Ambao population yao ni zaidi ya milioni 60 nchini? Wastani wa wapiga kura 30milion. Sababu ni kwamba Samia baada ya kuingia madarakani alitaka kutumika na watu fulani fulani na sio umma...
  13. JamiiForums Tanzania Janga la P.I.D linatesa sana wadada sasa hivi, poleni sana Warembo

    Ni maambukizi ya viungo vya uzazi vya mwanamke, kwa kawaida huhusisha uterasi, mirija ya uzazi, au ovari. Mara nyingi husababishwa na bakteria ya zinaa, bakteria wengine, UTI iliokomaa na complications wakati wa kuzaa. Wadada wengi wanalia sana na hii issue kwa maana wengi wao wanakuja...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Diamond kalikejeli eneo la Mtoni Mtongani akijisahau ni National Icon Artist mweny mashabiki maenei mbalimbali, hakutakiwa kupadhihaki

    Wengine tuna Ndugu, Jamaa na Marafiki wanaoishi huko Hata wana Jamii Forums maarufu kina Lucas Mwashambwa GENTAMYCINE Ritz kipara kipya Tlaatlaah wanakujua, wana ndugu zao, wanaishi au waliwahi kuishi.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Stori gani ya wizi au wezi uliwahi isikia au kuhishuhudia ukacheka sana

    Naam habari za muda huu ndugu zangu. Msinichoshe nisiwachoshe niende moja kwa moja kwenye kisa changu. Mwaka 2018 mtaani kwetu kuna mtu alikua na duka anauza vitu vingi sana na alikua kalikata mara mbili, Upande mmoja alikua anauza vitu vya electronic pale kulikua na mafridge, TV nk, na upande...
  16. JamiiForums Tanzania Neno 'sina' ni muhimu sana

    Utaratibu wangu mimi ni huwa sikopi kwa mtu, wala kukopeshwa na mtu,kwa sababu huwa inapelekea urafiki kufa kabisa huko mbeleni,mimi huwa nanuna na mambo yangu mpka natatua changamoto zangu mwenyewe Neno sina linamaliza kabisa utata japo huonekana kuwa ni lakikatiri sana unapomjibu mtu...
  17. JamiiForums Tanzania Huu msemo wa kusema kutoa ni Moyo na si utajiri umekaa kitapeli na kihuni sana

    Wakuu hii kauli imekaa kitapeli sana eti kutoa ni Moyo na si utajiri!? How? Imagine umechapisha kadi za ufadhiri na kianzio umepanga Single iwe 150k Double 280k Halafu mwishoni unaandika maneno ya kitapeli eti kutoa ni Moyo Wala si utajiri. Tuambizane hapa ukweli ni masikini yupi anaweza...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Sikuwahi kumpenda Lusinde lakini kama alifanya vile, alisaidia sana Chama chetu

    Kumbe jamaa aliwahi kuwa mkweli kusimamia utaratibu akatoswa mbaya. Huwa wanasema huyu jamaa sio msomi lakini kwa hilo amekuwa zaidi ya wasomi. Viva Lusinde Viva! Viva Kibajaj Viva!
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mkandarasi wa Daraja la Mkuyuni anashindwa kumwaga maji, vumbi linatutesa sana

    Hivi huyu mkandarasi anayejenga Daraja la Mkuyuni hapa Mwanza anakuwa na shida gani ya kutomwaga maji kwenye barabara ya muda. Unakuta inaweza kuchukua mpaka siku mbili Watu tunateseka na vumbi hii, kwanza watumiaji wa vyombo ni hatari kwao kwa kuwa vumbi likiwa jingi ni vigumu kuona...
  20. JamiiForums Tanzania Watanzania wamechoka, usisubiri mambo yaharibike sana

    Kwenye page ya Instagram ya miss world Baada tu ya kupost picha ya pamoja akiwa na Rais Samia huko visiwani na hizi ni baadhi tu ya comment alizoshushiwa mlimbwende huyo. Nadhani akitafuta tafsiri sahihi ya comments hizo atajilaumu sana kuja Tz. My Take; Uongozi ni kukubalika Kwa wale...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…