sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Marekani imelaani sana kutekwa na kuteswa kwa wanaharakati wa Kenya na Uganda na baadae kutelekezwa. Wataka hatua zichukuliwe

    Mungu awabariki Wazungu wanatusaid8a sana kupamabana na hawa wakoloni weusi. Ukion hii ujue ni trela move kamili inaandaliwq,
  2. PreGE2025 Hii kauli "Kama washaharibu nchini kwao wasije nchini kwetu kutuharibia pia" Rais Samia alikosea sana

    Mda Mwingine hua najiuliza unayosema unayaelewa au vipi bibi? Ile kauli ya kusema kua "kama washaharibu Nchi kwao wasije Nchini kwetu kutuharibia pia" Inaonyesha Ubinafsi wa hali ya juu sana na inaharibu picha ya Tanzania ambayo ilikua imejengwa enzi na enzi. Mataifa Mengi yanayo tuheshimu...
  3. P

    Kwa thamani ya Tanzania niwafurahishe wakenya?, CHADEMA kuna mahali mnakosea sana

    Pamoja na kwamba ni uhuru na utandawazi lakini kwa hili hapana aisee, Anapodhalilika rais ni wewe na mimi na kila mtanzania anadhalilika, yaani watanzania wooote tunadhalilika ili tu flani awe rais awe chama flani ndio kitawale? Hapana kwa umoja wetu tupinge na kukemea hili, na tofauti zetu...
  4. W

    Tiba asili tusizibeze sana, Mdudu aliekuwa ananisumbua kwenye kidole kaacha jeuri ndani ya masaa manne tu

    Siku ya juzi na janausiku nilisumbuliwa na maumivu makali ya mdudu ndani ya kidole cha pete. Huyu mdudu anakusubiri umalize mishe zako, vile umetulia au umelala yeye ndio anaanza kazi yake, ni tafrani. Nimehangaika hospitalini, daktari kaniandikia dawa ila hakuna nafuu Siku ya leo nikawa...
  5. Duh! Huyu baba ni jeuri na katili sana. Tusaidiane kumkemea

    Huyu baba ana watoto wengi sana, lakini hajali kuwatunza. Anadai ana mapesa mengi na mali nyingi. Lakini watoto wake wakiugua hawaambii waende hospitali, badala yake anawahimiza waende kwa waganga wa kienyeji. Amewaajiri watoto wake wamsaidie kufanya kazi zake lakini ajabu hawapi mshahara...
  6. Nimeipenda sana hii picha kutoka The Chanzo. EBU TAZAMA!

  7. Wanaume tulioko kwenye Ndoa, Backup ni muhimu sana.

    Tahadhari: Si hamasishi watu kuchepuka. Wakuu, ili kuwa na ndoa imara na itakayodumu! Jitengenezee backup yako ya kupiga mambo pale ambapo nyumbani kwako mambo hayaendi sawa. Hii mbinu inasaidia sana. Binafsi nitafanya hivyo ili kunusuru ndoa yangu na kuimarisha familia. Few days ago...
  8. M

    kihistoria ndoa hazikuwa zinafungwa sababu ya love, bali sababu zinginezo, zama hizi ndoa zinavunjika sana sababu zinafungwa sababu ya kupendana

    Kwa kihistoria, ndoa ilikuwa suala la kibiashara kabisa. Katika maeneo ya kale ya Mesopotamia, Misri, na Uchina, ndoa zilipangwa ili kukuza utajiri wa familia, kupanua maeneo, na kuimarisha ushirikiano wa kisiasa. Miongoni mwa Wazulu wa kusini mwa Afrika, ndoa ilikuwa njia ya kuunda uhusiano...
  9. Bisho Ntongo namuona kwenye kona, inasikitisha sana, wametoboa mtumbwi sasa

    Hapumui vema, halali Usingizi ukaja, Kibubu kinapukutika kwa kasi sana, Mtungi wa maji unatoa sauti ya kukanyagwa juu na panya na sauti inaogofya sana kuna ishara hata maji hakuna Tena. Wale wale walotaka kutunyula burunji naye nao wameangalia pembeni Kama hawamuoni. Kilemba chawasha kichwani...
  10. Kuna waswahili wana matumizi potofu na hovyo sana ya neno "dhidi"

    Huwa nikawasikia wanasiasa wakizungumza kwa ujasiri sana serikali inapambana "dhidi" ya maendeleo ya raia wake, wananchi wana imani "dhidi" ya vyombo vya dola, raia wana ushirikiano mzuri "dhidi" ya serikali n.k Juzi nimemsikia gavana wa Arusha anasema wananchi wana imani "dhidi" ya jeshi lao...
  11. Kazi yangu kukufungua fikra sehem ambazo huwa zinachukua ghalama kubwa kwenye ujenzi wa gholofa

    Kazi yangu kukufungua fikra sehem ambazo huwa zinachukua ghalama kubwa kwenye ujenzi wa gholofa 1. Msingi Imara Zaidi: - Ghorofa huhitaji msingi wenye nguvu zaidi (deep foundation) ili kubeba uzito mkubwa wa jengo. 2. Nguzo na Beams Zaidi: - Vifaa vya kuongeza uimara kama nguzo...
  12. Kumbukizi ya kilichotekea uwanja wa mkapa baada ya mvua, Simba msilalamikea kuhamishiwa kucheza Zanzibar

    Kama mkijua wamesahauuu Huu upuuzi ukiwafanya CAF waseme final znz No kwa mkaapaaaa msahauuuu
  13. D

    PreGE2025 Pascal Mayala: Mateso ya kumuuliza swali Magufuli. "Niliumizwa, Kampuni yangu ilitolewa Sabasaba, Mikataba ikavunjwa. Sijapona hadi leo"

    Mwandishi nguli, Paschal Mayala akielezea aliyopitia baada ya kumuuliza swali Rais Magufuli lenye sehemu mbili, swali hilo lilihoji mamlaka aliyotumia Rais Magufuli ya kukataza mihimili mingine ya Serikali kusafiri na kukataza mikutano ya kisiasa ilhali mikusanyiko na uhuru wa kutoa maoni...
  14. Vijana wa Tanzania wana Maisha magumu sana, serikali iwe makini

    Picha inaongea jinsi ambavyo vijana hawana Nuru wala uhakika wa kesho yao.
  15. Tafakari kwa makini sana kuhusu hili tukio

    Hii si picha ngeni miongoni mwetu.. Tumeshaiona mara nyingi tuu.. Tukasikitika kidogo kisha maisha yakasonga FIKIRIA HILI KWA TAFAKURI Simba hakumwona kamwe hakumuona mtoto… alichoona yeye ni mawindo.. lakini mtoto aliona kila kitu...! Katika maisha yasiyo na huruma ya...
  16. A

    PreGE2025 CHADEMA kama Chama cha Siasa mmefanya kosa kubwa sana kususia Uchaguzi

    Nawaambia mmefanya kosa kubwa sana kususia uchaguzi. Hili jaribio linaenda kuizika CHADEMA. Mlitakiwa kupambana mkiwa field au site. Huwezi kutatua matatizo kwa kuyakimbia.Ni uamuzi ambao hauko sahihi kwenye masuala ya siasa.
  17. Serikali Imlinde huyu mtu wa Wivu Mkubwa sana. Wazungu wanaweza Mwiba

    Nimekuwa nikimsoma Bill Lugano jamaa ana madini sana. Sijashangaa kuona mataifa mbalimbali yanamtumia kukuza uchumi wao. Za ndani ni kuwa ndiye mshauri mkuu wa Serikali ya China, Russia na Marekani. Nashangaa serikali yetu inakumbatia akina Babu Tale, Musukuma, Mwigulu,Bashe inaacha huyu jamaa...
  18. B

    Juzi nilikuwa Serengeti, niliona jambo ambalo limenisikitisha sana na kunitoa machozi

    Serengeti kuna ile Hotel ya 5 star nadhani mna ifahamu sitaki taja jina maana najua hapo Jamaa zangu watataka nao wakalale so itakuwa nime ipromote na haitakuwa fair kwa hotels nyingine. Tulienda na Helkopta kuangalia wanyama. Kwa kweli nlitokwa na machozi. Niliona jinsi ambavyo...
  19. K

    Martha Karua ni nani?

    Kufuatia sekeseke la machafuko na mgogoro wa kisiasa mara baada ya uchaguzi, nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana mchakato wa majadiliano/makubaliano ya kurejesha amani nchini Kenya. Inasemekana Mh. Martha Karua aliingia kwenye malumbano personal na Mzee Annan na BWM mpaka ikafikia hatua ya...
  20. B

    Maisha wanayoishi wakazi wa Masaki, Mikocheni, Msasani ni Duni sana. Nimejisikia vibaya

    Nimepita haya maeneo mara chache nikiwa naangalia maisha ya wakazi wa haya maeneo. Inasikitisha sana. Ni maisha ya watu duni ambao wamekata tamaa kabisa ya maisha. Huwa nawaza sana kwa nini Serikali isibomoe hizi nyumba ambazo asilimia zaidi ya 80 ni za watu wa maisha ya hali ya chini kisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…