sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Majina mengi yaliyoandikishwa ila watu ni wachache sana kwenye vituo vya kupigia kura

    Watu wamesusia uchaguzi ,uchaguzi umekosa radha people wako zao bize. Wasimamizi wanachati tu hakuna wapiga kura kama walivyotegemea. Niko hapa igoma kituo cha igoma sekondari asked ni aibu hakuna watu hata wanawake pia wamesusia na vitenge walipewa hahahahaha. Ngoja tuone matokeo maana...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Kumekucha, Leo Ndio Leo, Ndio Ile Siku Tuliyo Isubiria Sana, Japo Wako 17, Ni CCM, Ni Samia! Huu Ndio Ukweli Wenyewe!

    Wanabodi Hauchi, hauchi, hatimaye kumekucha, leo ndio leo, ile siku ya siku tuliyoisubiri sana kwa miaka 5. Ninachokifanya hapa ni kuwapatia tena jf, ile the jf advantage of being the first to know, kuwa japo kuna wagombea 17 wa urais, ukweli wa mambo, mgombea ni mmoja na chama ni kimoja, ni...
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Kwa tulioshuhudia chaguzi za vyama vingi toka 1995 hadi sasa Hali ya uchaguzi 2025 ni tulivu sana

    So far tuwapongeze wahusika wote wa maandalizi ya uchaguzi huu wa 2025. Kwa wale tulioshuhudia chaguzi kadhaa toka mfumo wa vyama vingi uanze hatuna budi kussma hali ni ya amani mno na yenye kuvutia watu wengi kupiga kura kwa utulivu. Shetani au wahujumu waliopambana kuzuia tukio hili muhimu...
  4. JamiiForums Tanzania Jamaa yangu huko Bongo ni CCM kindakindaki ila kwa Kenya husifia sana upinzani

    Huwa siwaelewi baadhi ya Watanzania, kuna huyu mshikaji huwa namuona anavyosifia CCM na ni mwanachama kindaki ndaki wa chama tawala, ila humkosi kwenye ufuatiliaji wa kila kinachofanywa na wapinzani Kenya, husifia sana na kushabikia matukio yote ya upinzani ikiwemo ukosoaji wa serikali na hata...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Kuna sehemu (hasa za uswazi) maandamano yakiwepo raia wataibiwa sana

    Raia wakiwa wanapanga namna ya kuandamana , wapi pa kuanzia, Panya road nao bila shaka watakuwa wamejipanga kuiba kwa kigezo cha maandamano. Umakini uwepo.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mafwele ana akili sana. Kavujisha audio mwenyewe ili wafanyakazi wa serikali waogope

    Nimesikiliza kwa ukaribu sana ile audio iliyovuja nimejiuliza yafuatayo? 1. Faida au hasara ya kuvuja ni nini ? Kwanza watu wakijua kuwa hata madoctor na wanajeshi wameshikwa itawafanya wengine wote kuwa waoga na wasijiunge na movement ya tarehe 29 2. Ingetakiwa isivuje wangeambiwa waweke cm...
  7. JamiiForums Tanzania Mapato ya tickets mechi ya jana ya simba ni shilingi 3000/..! Kweli mashabiki wa simba wanaipenda sana team yao

    Wakuu I salute you kinsmen Kuna team ilikuwa inasifiwa sana wanajisifia sana kuwa wao watalipa ticket na uwanja watajaza mapema tu saa 8 mchana unakuwa full Na semaji Lao likawajaza upepo kuwa ticket zimeshauzwa ni full house. Lakini jana kilichotokea ni bora wangefanya watu waingie bure tu...
  8. JamiiForums Tanzania Mwakani tutahondomola sana

    Kwa jinsi siasa za nchi hii sinavyoenda, mwakani patakua na njaa kuu, wanawake watapatikana kwa bei chee sana maana hata hela ya kula itawasumbua sanaaaaa. Yani mwakani kwa njaa itakayokuepo ukishindwa kua na wanawake zaidi ya watano utakua mzembe sanaaaaa Mwakani tutawabonda sanaaaaa Yani...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Jumuiya ya wanataaluma wa chuo kikuu cha Dar es salaam (UDASA) watoa tamko kali hali ya kiusalama nchini wagusia Utekaji

    Hii ndio inavyotakiwa sasa, licha mmekaa sana kimya inawezekana mmesukumwa kusema. Ila sio mbaya walau nanyi mmesema hali ilivyo nchi. ============ Ndugu, Watanzania Wote, Mabibi na Mabwana, UDASA ni Jumuiya ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Kama sehemu ya watanzania na...
  10. JamiiForums Tanzania Navutiwa sana na watu wenye sauti nzito (Deep Voice)

    Hello guys, Yaani leo acha niwape maua yao watu wenye sauti nzito, hawa watu ni special, wananifurahisha wakiongea, sichoki kuwasikiliza, imagine mtu mwenye sauti nzito akiongea akiwa ametoka kuamka au anataka kulala ile ana usingizi usingizi au awe anakwambia kitu sensitive sauti inavyotoka,🙌🏻...
  11. JamiiForums Tanzania Mi sina Mapenzi na Magari ya China, ila hii XPeng P7 inashawishi sana!

    Kutoka moyoni, napenda sana EV. Sana. Na ndio maana Tesla Model 3 au Model S zipo kwenye menu by 2028. Sasa kuna wapinzani wengi kutoka China wanakuja, mona wapo ni XPeng P7 ya 2025. Specifications zake ni za moto, battery 75 kWh na 92 kWh, range ya 700 km hadi 820 km, charging system 400 kW...
  12. JamiiForums Tanzania Kuwa makini sana na watu wanaokuomba hela mwisho wa mwezi

    Wakuu, siku hizi imekuwa kama fashion — mwisho wa mwezi watu fulani wanajitokeza ghafla kukutafuta, si kwa sababu wanakukumbuka, bali wanatafuta namna ya kukuomba hela kwa ujanja. Utagundua mtu anakutumia DM au WhatsApp baada ya miezi kadhaa bila mawasiliano, mazungumzo yanaanza kwa “bro...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Hamasa ya Wananchi Kushiriki uchaguzi na kumpigia Kura ya Ndio Rais Samia Ni kubwa sana Mitaani

    Ndugu zangu Watanzania, Hali ya hamasa ya wananchi mitaani katika kushiriki uchaguzi ni kubwa sana na kiu ya watanzania ipo juu sana katika kusubiri muda uwadie ili wajitokeze na kumiminika katika vituo vya kupigia kura kumchagua Rais Samia na wagombea wote wa CCM ngazi ya ubunge na udiwani...
  14. JamiiForums Tanzania WAFUATAO WAFUKUZWE YANGA SC HARAKA SANA

    Edmund john - anacheza kama kondoo Offen Chikola - sio level ya yanga Aziz adambwile - vivu,zembe , chawi Prince Dube- huyu apigwe kabla yakufukuzwa Mo doumbia _ mchezaji mvivu na mjinga Kocha mabedi - Hana uwezo wakuifundisha yanga Mwamnyeto - mchawi
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Watu Wanaona 29 OCT Mbali Sana

    Watu wana test mitambo kwanza.
  16. JamiiForums Tanzania Tukubaliane watanzania wana akili mbovu kuliko hata hao ccm kuwatetea ni kazi ngumu sana.

    GT Eti hawa wana akili timamu kweli. Bodaboda na machinga ni maabomu yaliyopakwa rangi ya nanasi na CCM.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Aliyejiriwa ni mtumwa aliyefungwa mdomo na mshahara au cheo, ni ajabu kuona mtu asiye na ajira wala uhakika wa kipato akiogopa kujitetea

    Ni tangu enzi za ukoloni ajira iliweza kutumika kama kifaa cha kuogopesha watu wasifungue mdomo. Mkoloni alifungua mashamba, viwanda, na miradi mingi sana, watu walilipwa mshahara waweze kujihudumia hata kama walipata kidogo, ambao hawakuwa na ajira nao waliweza kusurvive, enzi hizo mambo...
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Nitaumia sana kama mgombea urais Samia Suluhu akishinda na kutuongoza kwa miaka mitano ijayo

    Nimeamka na mawazo mengi sana juu yahombea huyu iwapo atshinda uchahuzi mkuu wa 2025 na kupata idhini yakutuongoza mpaka 2030 Nimekuwa nikisikiliza kampeni zake lakini zimekuwa hazina hoja wala mashiko SIONI NURU KABISA MUNGU IBARIKI TANZANIA
  19. JamiiForums Tanzania Ukiishi Dar, ni rahisi sana kua chizi!

    Ukiwa mkazi wa Dar, tenamwanaume, uchizi upo waziwazi. Hakuna siku isiyo na changamoto pro. Ngoja tuone.
  20. JamiiForums Tanzania Ushauri: CHADEMA fungueni kesi Haraka sana kumshtaki IGP aoneshe Heche Alipo kabla hawajamdhuru

    Kwa hali ilivyo huyu makamu mwenyekiti wa chadema anaweza kuuwawa. Kwasabau alichukuliwa katika viwanja vya mahakama na mpaka sasa hajafikishwa tarime ni vyema mkafungua shauri mahakamani Haraka sana .kwa hali ya sasa zikipita siku 2 au 3 wanaweza kumpoteza. Hali si nzuri Tena kwa sasa Poleni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…