sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nimeipenda sana hii ramani ya hii nyumba

    Before sijaenda kuilipia niambieni mapungufu yake ? Ili yarekebishwe
  2. JamiiForums Tanzania WENYE KUFAHAMU KIINGEREZA MTUSAIDIE HAPA. Hili somo muhimu sana.

    https://vt.tiktok.com/ZS43Hah8U/
  3. JamiiForums Tanzania Leo asubuhi wazee niliokuwa nawaheshimu sana hapa Kijijini wamefanya jambo la hovyo sana; wameshindana kutangaza msiba. 🤔

    Wakuu, Leo asubuhi nimekaa juu ya jiwe lililoko nyuma ya nyumba yangu naota jua la saa nne. Ghafla nikaona Mzee mmoja anatokea upande wa mashariki (alikuwa anatembea taratibu), nikaangalia kusini nikamuona Mzee mwingine anakuja (huyu alikuwa amenikaribia). Yule Mzee aliyekuwa anatokea...
  4. JamiiForums Tanzania Chadema kitengo cha mawasiliano ya umma kinapwaya sana

    Hivi inaingia akilini kwamba mwenyekiti wenu yupo mahakamani kwa kesi kubwa kuliko zote nchini na mnapuyanga tu kuujulisha umma maendeleo ya kesi? Nini sasa kipo serious kwenu? Mnajua hisia wanazopata wananchi na wanachama wenu kufuatilia mwenyekiti anavyojitetea mahakamani? Na mnajua...
  5. 2

    JamiiForums Tanzania Nchimbi angesoma na kuzielewa sheria zifuatazo kwenye kitabu cha 48 laws of power kingemsaidia sana

    Sheria namba 1, 14, 18, 35, 38, na sheria namba 46 Never Outshine the Master Pose as a Friend, Work as a Spy Do Not Build Fortresses to Protect Yourself—Isolation Is Dangerous Master the Art of Timing Think as You Like, But Behave Like Others Never Appear Too Perfect
  6. JamiiForums Tanzania Haka kamchezo ka leo kamenichekesha sana!

    Pamoja na nia ya ku create image na kutengeneza diversion ya kesi ya TAL lakini kuna juhudi za uzuri wa mkakasi zinatengenezwa kuonesha hakuna mpasuko wala hawasigani Mdogo kaenda kumpa hi mstaafu! Hapa inaeleweka wazi kwanini imepangwa kuwa hivyo Mkubwa akapelekwa kuonana na wagalatia. Kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Ex mchezaji wa Yanga aingizwa mjini, atapeliwa NYUMBA na mbongo, kataa ndoa kichekoo, tusali sana wajameni

    Mwaka Fulani nikiwa Dar coco beach, nilibahatika KUMUONA Mukoko Tonombe akifanya mazoezi mepesi nadhani hicho ndio kilikua kipindi katoka majeruhi ya muda mrefu. Kwa pembeni yake alikuwepo mtoto mzuuri alikua ameshikilia viatu vya mukoko, mi nilidhani yule demu ni mkongo mwenzake kumbe la hasha...
  8. JamiiForums Tanzania Maboss wetu makazini, watunga sera na wadau wengine, mna nafasi kubwa ya kutuokoa sisi watumishi tusisitafie kwenye nyumba za serikali

    Mimi leo ndo napata majibu ya kwanini zamani tulikuwa tunaona watu wana-staff hawana nyumba Wala kiwanja licha ya kuwa walikuwa na vyeo vikubwa sana serikalin/private sectors. Baadhi ya Sababu za mtu kushindwa kujenga kipindi cha utumishi ni: • kuwa na boss asiyeamini kwenye uwekezaji wa...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Open University, haswa tunaosoma program ya Masters in Community Economics kuna changamoto kubwa sana

    Wanafunzi tunaosoma hiyo kozi tunapata changamoto sana yani kwanza wanachelewesha kusubmit kqzi kwa external kwa kudai kuwa ili kusubmit kuna malipo ya 150,000 kwa ajili ya kuandaa document ili iende kwa external nje ya ada ya CED project ambayo kiasi chake ni (1,680,000) kisha baada ya hapo...
  10. JamiiForums Tanzania Tutafakari sana kuhusu hiki anachokifikiria Masoud Kipanya

    MAPENDEKEZO YANGU: TUKITAKA KUJENGA UCHUMI WA UZALISHAJI, KUNA MAAMUZI MAGUMU LAZIMA TUANZE KUYAFANYA Kuna mambo ambayo naamini kabisa tukiamua kuyafanya kwa nia ya dhati yanaweza kubadilisha namna uchumi wetu unavyofanya kazi. Kwanza, tupange upya biashara zetu mijini. Hii tabia ya kila...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mji Umepoa Sana Weekend Hii

    Wazee wa Geti Jeusi hebu tupia kitu cha kutuchangamsha Mjini. Hizi mbanga za Simba na YANGA Sasa hivi Hazishitui tena...leteni vitu vipya tuchangamke Mjini
  12. JamiiForums Tanzania Leo nimepokea Upendo kutoka kwa mwanamke mwenye moyo wa pekee sana!

    Nianze kusema kwamba kuna wanawake wanajua kupenda na huu sio uongo. Binti nilipomsogelea na kuzungumza nae akacheka sana kisha ndani ya maongezi yetu ya dakika zisizozidi 10 akanifanyia jambo moja la upendo wa pekee sana. Wanawake wote wenye upendo wa Agape muishi miaka mingi.
  13. JamiiForums Tanzania Zemanga soze kashakuja sana bongo hapa na timu tofauti tofauti na hajawahi kupoa

    Miaka 33 mpka sasa lakini leo Karudisha viungo wote darasani, kaanza ngoma kakimbia kaja DAMARO kakimbi kaja DUKE, MUDA, na CASSEMIRO hao wataenda kulala na viatu mtaalamu alizima kelele mjini
  14. JamiiForums Tanzania Ni suala baya sana kama taifa, utekaji na kupoteza uhai wa raia siyo suruhu ya matatizo ya taifa letu

    Unamteka mtu na kumpoteza. Familia na ukoo mzima wanaumia. Jamii inayomzunguka inaumia na kutengeneza kidonda ambacho hakiponi. Watu wanajawa na chuki. Wanawaza kulipa kisasi kwa kupoteza wapendwa wao. Watalipa vipi visasi? Hapa ndipo tunazalisha tatizo kubwa amabalo ni jipu ambalo haliwezi...
  15. JamiiForums Tanzania Leo kwa kiasi fulani hapa JF pamepoa sana

    Tokea asubuhi kuna kaubaridi fulani hivi . Mwanzo nilijua mambo ya ibada jumapili leo. Mchana hola. Jioni hola Au labda yanga day ? Lakini inaweza kuwa watu wako aut a wenzi wao.
  16. L

    JamiiForums Tanzania Itatuchukua Miaka Mingi saana Kumpata Rais Mchapakazi Aina ya Samia Anayeshinda na Kukesha Akifanya Kazi. Maisha Yake Ni Sadaka Kwa Taifa letu

    Ndugu zangu Watanzania, Anachofanya na kukifanya Rais Wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kwa Sasa ni Zaidi ya Uwajibikaji ,Ni Zaidi ya Kujitolea, ni zaidi ya kutimiza Majukumu yake ,ni zaidi ya kutimiza matakwa ya kisheria na kikatiba ,ni zaidi ya kutumikia nafasi ya...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Hivi Dudu Baya anaalikwa kwanini?!!! Yanga mmenikera sana

    Limeshaharibu tayari. Vinyimbo vyenyewe viwili tu visivyo na maana yoyote halafu mnaliita kuja kuishia kuleta mambo ya kijinga tu.
  18. K

    JamiiForums Tanzania Ukanda pwani kuoa na kuacha ni kama kumsukuma mlevi. Yaani mwanamke anaachika nakuolewa hata mara tano, kwao kawaida sana

    Wadau myimwike, Nimefanya kazi baadhi ya sehemu za pwani, wakati wadau humu wanazungumzia kuoa au kutoa kuoa singo maza Wenzetu pwani hawana stori hizo. Kuoa rahisi kuachana ni rahisi pia hawana mambo mengi. Hao masingo maza wanaolewa kila siku na wanaachika Kila siku. Kumkuta mwanamke...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KAHAMA NI MJI WA HOVYO SANA.

    Kahama ni mji unaosifiwa sana na watu washamba ambao hawajatembea miji ya wenzetu ambao wanatumia rasilimali zao vizuri kupendezesha miji yao. Siku nilipofika kahama nikawa najiuliza hizi sifa zinazomiminwa kuwa kahama ni mji mzuri kwa nini mimi sizioni.Ukianzia miundombinu ya barabara ni...
  20. JamiiForums Tanzania Kumbe Zanzibar hawana mchango wowote kwenye pato la Taifa. Inaumiza sana.

    https://sw.wikipedia.org/wiki/Orodha_ya_mikoa_ya_Tanzania_kwa_Pato_la_Taifa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…