sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania TanzLII imekuwa kero sana siku hizi. Haifunguki

    tatizo ni nini? haifunguki ikifika kwenye kuhakiki you are not a bot! Kila sectors ni laana. sasa na hii imekuja kwenye laana .ya kuwa uselessness!
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi Halmashauri ya Kakonko wameambiwa wataliwa fedha nusu ya walizosaini

    Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko imesainisha ajira mpya kwa watumishi, huku kukiwa na malalamiko kwamba walioajiriwa wameelezwa kuwa watapokea nusu tu ya fedha walizosaini kwenye mikataba yao ya ajira.
  3. JamiiForums Tanzania Serikali inekana inautamani sana ugaidi maana sio kwa kesi hizi wanazo tupiwa hawa watu wawatu ambao hawajui hata majina ya bunduki.

    Serikali imeona njia pekee ya kupambana na upinzani ni kuwapa lesi za ugaidi na uhaini nadhani wana hamu sana na ugaidi wenyewe na inaonekana wanautamani sana
  4. JamiiForums Tanzania Sarakasi za usafiri wa umma Dar ni ishara tulivyo na viongozi wenye upeo mdogo sana.

    Duniani kote kwa wenye akili vyombo vya usafiri wa umma vinavyobeba watu wengi ndio huhamasishwa na kupewa kipaumbele kuingia katikati ya miji huku usafiri wa vyombo binafsi na vyenye kubeba watu wachache vikiwekewa vikwaza mbalimbali vya kimkati kama vile tozo maalumu za kuingia CBD (congestion...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Muhula wa Mwisho!Tujiulize kwanini Mama anapigana sana kuzuia katiba

    Muhula wa Mwisho!Tujiulize kwanini Mama anapigana sana kuzuia katiba. Ni kwasababu wakina Kikwete wanataka waweke watoto zao, yeye aweke mtombah wake ambaye ni waziri kwenye uongozi wa nchi akiondoka. Yaani sasa wamejisahau na kuona nchi kama ni yao na ubaya zaidi vyombo vya usalama vyote...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Tangu arudi kukalia kiti , amekuwa mshauri sana

    Kila akifungua kinywa chake yanatoka maneno ya Shari tupu. Vitisho, kejeli, malalamiko, manung'uniko nk. Hakuna tena neno la faraja kutoka kinywani mwake. Hivi ni dalili kuwa hana amani moyoni au ni tatizo la kisaikolojia?
  7. JamiiForums Tanzania Natamani kila raia angepata lenacapavir injection maana ni muhimu sana a weapon against HIV-1

  8. JamiiForums Tanzania Sikuona haya mabadiliko kabla , Nimeshangaa sana

    Jana usiku nilikuwa namsindikiza rafiki yangu Tabata Segerea, nikitokea Kijitonyama . Binafsi, ni miezi sita tangu nifike Tabata, na njia zangu za kawaida zilikuwa hazinipeleki upande huo. Lakini kila tulipokuwa tukikata kona, nilikuwa nashangaa kuona jinsi mji ulivyobadilika. Si ule mji...
  9. JamiiForums Tanzania Wanawake weupe wanagawa sana utamu kwa kigezo cha UZURI 🫣.

    Yaani mwanamke mweupe akisifiwa tu yy mzuri.unaweza mla hata bure. Ni tofauti sana na wanawake weusi. Mara nyingi huchukuliwa kama sio warembo. Na hasa hawa wadada wa KIRANGI ,ndo wanagawa sana kama njugu. Yuko radhi kumtumuku mume.wa ndugu yake papa. Eee..niongeze sauti au nipunguze...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Roho imeniuma Sana, unahangaika kuhonga Mwanamke wewe unatumia Samsung yeye anatumia iPhone 16 promax

    Imeniuma sana. Huyu bi dada kila siku kunipiga vizinga, kuomba omba unajitia ana njaa Kali Sana, hata Kodi namlipia Mimi, kila siku hata nauli ya kwenda Chuo ananiomba, najibana kadiri niwezavyo ili nimrudhishe.. Siku zote naona anatumia iPhone ila sijui anatumia toleo lipi. Leo ndio nagundua...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania tuko hivi? Ni laana gani?

    Ila aisee kwanini sisi watanzania tuko hivi? Ni laana gani tuliyo nayo sisi? Katika pita pita mitandaoni nimejikuta nashangaa why! Watu wana make fun of juma jux. Ndo hao hao walomcheka akiwa haijawa na ndoa, ila leo kaingia kwenye ndo kawa kituko tena? Hii ndo sababu watu hawakai kwenye ndoa...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Kama unasumbuliwa na aina hii ya vipele nyuma ya shingo/kisogoni ipo dawa rahisi sana

    Mimi ni Moja ya watu waliohangaika sana na hivi vipele/vidonda kwa mda mrefu sana. Nimetumia Kila dawa za kienyeji mpaka sindano nimechoma ila hola sikupona. Ila nilivyogundua huu mchanganyiko wa dawa 2 vidonda vilikauka haraka ndani ya siku nne tu za mwazoni now niko kabisa . Dawa hii...
  13. JamiiForums Tanzania Maisha yamebadilika sana, siku hizi mguu wa kutoka unafanana na mguu wa kubaki ndani

    Kuna ngoma ya Mulla Obo – Box One, kuna line anasema: “Mguu wa kutoka haufananishwi na wa kubaki ndani.” Kwa mazingira ya zamani, hii line ilikuwa na maana kubwa sana. Dunia ilikuwa bado haijawa interconnected kama ilivyo leo. Karibu kila kitu kilihitaji uwe physically present. Kama unataka...
  14. JamiiForums Tanzania Hatukuwa tofauti sana na Singapore; kwanini Nyerere aliamua kujirundikia madaraka ya Urais ikawa kama ufalme?

    Wakati tunakabidhiwa uhuru 1961 hatukuwa na huu mfumo wa siasa na utawala kama tulionao sasa wa Rais kuhodhi madaraka makubwa kupitiliza. Tulikuwa na mfumo wa kibunge naweza kusema hivyo kama uliokuwepo Singapore ambao hupo mpaka sasa na hapa Waziri mkuu wa zamani wa Singapore Lee Hsien Loong...
  15. V

    JamiiForums Tanzania Huu ni WIMBO unaofikirisha sana

    Ndiyo! https://youtu.be/iFJQg-nolgY?si=YKmiyutZc7VjSkJw
  16. JamiiForums Tanzania Mdogo wangu Eeh! Kuoa mwanamke ambaye familia yake imekuzidi kila kitu ni mtihani sana. Usithubutu!

    Yaani ukitaka kuishi kwenye stress kwenye ndoa oa mwanamke ambaye kwao mambo safi wamekuzidi kila kitu sio elimu, sio mali sio imani utajuta tu ni suala la muda joto la ndoa likishaanza kupanda utatamani ufe upotee tu maana sio kwa dharau na kejeli utakazozipata. Leo nimeitwa kwenye kikao...
  17. JamiiForums Tanzania Biashara ya madawa ya kulevya aina ya pombe inafaida sana kwa serikali.

    Miaka ya 1800 katikati mskaburu wa Afrika Kusini waliunda taifa lao la Orange Free State. Wakakaa na kupanga mikakati ya nchi. Wakaona moja ya njia ya uhakika kupata pesa ni kupitia kodi kwenye pombe. Pombe ni madawa ya kulevya yenye faida sana. Basi wakapiga marufuku import ya pombe ili...
  18. JamiiForums Tanzania Kipa atatupa sare nyingi sana, kwa huyu straika ni bora Mstaafu John Bocco arudishwe tena kikosini

    Simba ina watu kama si wajuaji kupitiliza basi ni wazembe sana... kuna vitu kwenye mpira vinaonekana wazi na havihitaji kuwa na degree ya sayansi ya mpira wala kuwa kocha. Msimu wa 2024/25 wakati unatamatika kipindi kile kila mtu aliona kuwa genge la Mutale na nduguze kwenye safu ya kiungo...
  19. JamiiForums Tanzania Wanasiasa wachache sana Wana Conviction,wengi siasa ni kutaka vyeo na kuganga njaa!

    Ukiuliza Wanasias wengi,Vyama vyote, Kipi unakisimamia Moyoni Mwako? Jambo gani umeweza kulisimamia kama Mwanasiasa katika Maisha yako bila kuyumba utakosa majibu! Ukisikia wanasiasa wanaongea vitu kinyume,lakini vinavyobeba Maslahi yao! Ili waonekane Machawa wapate teuzi. Wanayosema...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi amewazoesha vibaya sana huu msemo huu wa kijinga CHADEMA na imewakaa kichwani

    Kumekuwa na kasumba kwamba kila jambo linaloonekana kutrending ambalo halitokani na siasa Mange Kimambi amekuwa akisema Serikali ndio wamebuni huo mpango hili ni lakishamba na kijinga na hii kauli ninaiona kwa katibu mkuu wa CHADEMA John Heche akiingilia mambo ya mpira kwamba yanatumika ili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…