sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ninatafuta rafiki wa kike Dodoma. Nimekuwa mpweke sana

    Mimi ni kijana wa makamo, nimehamishiwa Dodoma kikazi, sasa nimejikuta nipo huku camp nje kabisa ya mji, nimekuwa mpweke sana maana huku tupo midume mitupu mpaka, Na ninavyojiona si muda mrefu nitaanza kuchekacheka mwenyewe hovyo maana nimekosa huduma kwa muda mrefu(jocking) naomba mdada...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Bondia Twaha Kiduku

    Jana usiku nilishuhudia pambano baina ya Twaha Kiduku na Bondia kutoka DRC Congo. Kwa kweli Twaha alipambana kiume na akaweza kumshinda kwa alama(points). Kwa Tanzania ya sasa hakuna bondia anayeweza kupambana na Twaha na kuweza kumshinda. Tunaiomba Serikali yetu sikivu bondia kama Twaha...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Madaktari wanaziona Sana sehemu za Siri , haiwaathiri kweli hii?

    Madaktari wanaziona Sana sehemu za Siri. Hii aiathiri kweli nguvu zao zakiume?
  4. JamiiForums Tanzania Manaosubiri NATO kuingiza majeshi Ukraine katika mgogoro huu mtasubiri sana.

    Kwanza kabisa tukubali kuwa Urusi ni mwamba. Pia tukubali kuwa ni kweli hii ni operation maalumu kama Wanavyoiita wao Urusi. Ni kweli lengo la Urusi ni kuiodhiofisha kijeshi Ukraine na ni kweli Sasa Ukraine imedhoofika kabisa kijeshi kwa sababu kambi zake zote muhimu zimeharibiwa na miundimbinu...
  5. JamiiForums Tanzania Ni uzembe sana kwa mwanamme kulipia room (hoteli) usiku wa saa nane kisha uka CASHOUT asubuhi ya saa mbili

    Ni uzembe wa hali ya juu sana kwa mwanamme kumtamani mwanamke katika maeneo ya starehe, unamnunulia vinywaji, unaondoka nae lets say saa nane usiku unampeleka katika hoteli unalipia gharama zote halafu ikifika saa mbili ama tatu una CASH OUT. Huu ni ujinga na uzembe wa hali ya juu, kwangu...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa mambo kama haya Dada zangu mnajiharibia sana kisha baadaye mnatulaumu

    Huyu dada ni rafiki yangu kiasi flani maana tuliwahi kuwa karibu kipindi cha nyuma. Nmekuja kutana naye this time ana watoto watatu wana baba tofauti. Na hawa baba zao wote wamemwachia yeye watoto. So anahangaika nao sana. Nilipokutana naye tukaongea nilimwonea huruma sana.nikawaza how to help...
  7. JamiiForums Tanzania Mungu alitumia na anatumia nguvu nyingi sana kupambana na Ibilisi ila anafeli

    Kuna mambo mengine yanafikilisha sana, kuna movement kibao zimeanzishwa ili kumpiga vita Ibilisi ila cha kushangaza Ibilisi huyo bado yupo na anadunda vizuri tu. Ukiangalia movement ambazo Mungu ameanzisha ili aweze kujitangaza na kumpiga vita Ibilisi ni nyingi sana ukilinganisha na zile ambazo...
  8. JamiiForums Tanzania Hawa walituburudisha sana kipindi kile..

  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua daraja la Selander (Tanzanite), ataka liwekewe nembo ya Tanzanite sio Mwenge

    Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Agakhan - Upanga jijini Dar Es Salaam ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Samia Suluhu Hassan anazindua daraja la Selander (Tanzanite) na barabara unganishi leo tarehe 24 Machi 2022. === Rais...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Mrema kaona mbali sana, sisi tunapiga mayowe tu kwa kutojua siasa makini

    Mrema ni Mchaga makini sana. Anaweza kubalance biashara, maisha na siasa. Kwa kifupi Mrema ni mwanasiasa mfanyabiashara. Kila alifanyalo analiwekeza kwenye kupata. Pamoja na kuwa mpinzani Mrema ameendelea kutambulika na kila Serikali tangu Enzi za Mkapa wakati Chama chake kilikuwa kinakula...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mpaka kufikia Umri huu nimeishi kwa shida sana ndugu zangu, moyo wa mtu umebeba mengi sana

    Nakumbuka jinsi ambavyo mama alikuwa anatulazimisha kula vyakula mbalimbali na matunda kila wakati. Nilikuwa naona kero sana. asubuhi tu unaangalia menu ya breakfast imejaa hujui ule nini uache nini, ni buffet. Mimi kwa kweli nilikuwa naona kero. natamani kuishi maisha ya watu wengine unakuta...
  12. JamiiForums Tanzania Kuna Watanzania ni makatili sana na hawana upendo kabisa. Wanafurahia nini kuona dunia ikikosa amani?

    Nchi ina mijitu ina roho mbaya hii sijapata kuona. Watu wanauana huko Ukraine 🇺🇦, watu wanashangilia utadhani mechi ya mpira wa Mrs Simba na @mr Yanga. Hawa wanajiita team Ukraine 🇺🇦 wakiongozwa na Mkenya anayetamani sana kuwa Mtanzania MK254 , na pia kuna team Russia 🇷🇺 inayoongozwa na...
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania kuna uhaba mkubwa sana wa Competent Computer Scientist

    Kuna project tunafanya tumetafuta watu competent wa computer science hatujapata huwa najiuliza hao graduate wa kila siku wanaenda wapi? Ndo maana nimekuja elewa kwanin makampuni mengine yanaenda kutafuta watu nje ya nchi kwa Hali hii vijana wetu na mfumo wa elimu inabid uangaliwe sana
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Polisi wa Tanzania wanapenda sana kuweka watu mahabusu, kupeleka mahakamani na kujadili kuwafunga?

    Nimemsikiliza kamanda Mtafungwa akizungumzia kwamba Polisi awatatoza faini madreva wanaovunja sheria Bali watawakamata kuwaweka mahabusu na kuwapeleka mahakamani wafungwe. Najiuliza sheria ya usalama barabarani inasemaje? Kwa sababu ukisoma sheria utagundua makosa haya yanahitaji kifungo au ni...
  15. JamiiForums Tanzania Nimesikitika baada ya binti kufariki kwa kung'atwa na nyoka kwenye makalio

    Leo imekuwa siku ya majonzi sana. Nipo na wenzangu huku Porini Singida kwenye project moja hivi. Ni week sasa tupo huku na mademu kadhaa wakali ambao nao imebidi waje huku. Huku ni porini kweli kweli tunalala kwenye tents. Hakuna nyumba. Sasa demu mmoja aliamua kwenda kujisaidia haja kubwa...
  16. JamiiForums Tanzania Kikwete ni mmoja ya Marais ambao miaka Ijayo watoto wetu watatushangaa sana kuwa ilikuaje....

    Yaani akatumia pesa za wananchi maskini kukusanya maoni ya katiba. Yakapatikana. Akatumia mabilioni ya pesa za Maskini kuliitisha Bunge la Katiba....likakaa...wakalipana mapesa mengi. Kisha akavuruga mchakato. Akakaa pembeni akicheka mchezo aliofanya....watanzania ni wasahaulifu sana. Leo...
  17. JamiiForums Tanzania Nini siri ya mshahara kuwahi sana awamu hii ya 6?

    Toka ameingia madarakani mama Samia amekuwa na akiwahisha kulipa mishahara mapema sana. Kuna jamaa yangu yupo anafanya kazi "kwa wale jamaa zetu" wameingiziwa salary toka jana tarehe 21. Leo wife nae kaingiziwa mshahara yupo TAMISEMI. Nini siri ya serikali ya awamu ya sita kulipa mishahara...
  18. JamiiForums Tanzania Mchezaji wa NBC Premier League atakayewafanya akina Bangala, Aucho na Mayele watembelee 'Magongo' kwa Mechi zilizobakia ana Zawadi yangu Nono sana

    Niliwaamini akina Abdi Banda wa Mtibwa Sugar FC, Kelvin Yondan wa Geita Gold FC na huyu Bwege wa juzi Andrew Vicent wangenifanyia vyema hii Kazi yangu Maalum kumbe ndiyo Kwanza wakawa Wanawachekea tu mpaka hata Kuwazawadia Magoli ya Michongo na sasa hatukai kwa Amani hapa Mjini. Natamani mno...
  19. JamiiForums Tanzania Mnaposema Vijana Wajiajiri na hamtoi Elimu wala hamuwadhibiti ipasavyo mnategemea nini? Watavunjika na Watakufa sana tu

    Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, amesema kumekuwa na ongezeko la ajali za bodaboda, hali iliyosababisha ongezeko la wagonjwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), hivyo kuigharimu sekta ya afya. Amesema jumla ya wagonjwa wa ajali za bodaboda 10 hadi 15 kila siku hufikishwa MOI, huku kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Nafikiria tu: Concept Inayotumika kwenye ReactJS inafaa sana kuwa adopted kwenye game engines

    Hello bosses, nimetumia baadhi ya game engines lkn linapokuja swala la kubalance hivi vitu :- 1)Component Reusability, 2)Perfomance, 3)State management bado game engine nyingi sana zinafanya tradeoffs, yaan vinafavor baadhi ya hizo issue na kupuuzia nyngne. Hii inafanya ukute game linachukua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…