sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia anaongozwa na Magufuli anakusanya kodi kutekeleza Maono ya Magufuli, wanaobwabwaja wana akili ndogo sana

    Rais wa Tanzania anatekeleza miradi iliyoachwa na Magufuli kwa mfano kila mradi anaouzindua kwa Sasa ni mradi ulioachwa na Magufuli Fedha nyingi zinazokusanywa kwa Sasa zinaenda kuendeleza miradi mipya iliyoanzishwa na Magufuli na Rais Samia Hana mradi wowote mpya aliouanzisha bali anatekeleza...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kuisafisha CCM ili iliongoze taifa kwa ufanisi maana bado wapowapo sana

    Kwa namna upepo wa kisiasa unavyovuma hapa nchini inaonyesha wazi kwamba uwezekano wa wapinzani kuchukua nchi kwa miaka ya karibuni ni mdogo sana, ingawa sijasema haiwezekani ila dalili zinaonyesha kwamba hawana huo ubavu Kwa sababu zifuatazo: 1. Kubadilibadili hoja 2. Kuvurugana kama...
  3. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Simuelewi mama. Nina hasira sana

    Nillelewa na mama baada ya baba kufariki nikiwa mtoto mchanga. Kwa hali hiyo Nilisomeshwa na wasamaria wema. Nilipokuwa nasoma college nilikuwa nanjibana sana namtumia mama yangu 35% ya kila mkopo wa kujikimu, yaani boom. Nilifanya kazi za zege ili pesa nitakayolipwa nichanganye na kiasi cha...
  4. JamiiForums Tanzania Tusiwalaumu sana Adam na Eva

    Hiyo couple ya awali tusiilaumu sana kwa kula lile tunda!,laiti wasingekula wao naimani kabisa kuna mwamba huko na pisi kali yake wangekula tu!.. just jiangalie hata we mwenyewe na huyo partner wako tu msingekula kweli..😃 By the way alieanza kula ni eva akafata Adam unafikiri nini kama Adam...
  5. JamiiForums Tanzania CCM si wafalme, CCM ya akina NAPE ilichukiwa sana na wananchi watu walichaniwa nguo hadharani huyu Nape ni failed leader hana jipya

    CCM ya Nape ilikataliwa na wananchi wananchi walitengeneza uasi mkubwa ndani ya nchi yao walichukizwa sana na uonevu wa wa viongozi Hali hii imejirudia watu wananyanyasika watu wanateseka machinga wako kwenye Hali ngumu mfumko mkubwa wa bei kuwahi kutokea Tanzania hii Hali inatisha Sana...
  6. JamiiForums Tanzania "Mkishindwana achaneni kwa usalama" kauli ya kitoto na ya kinafiki sana hii

    Kuna binadamu ni wanafiki sana na wanapenda kufanya maigizo Kila kunapokua na issues za Wapenzi na mapenzi ambazo zimepelekea vifo. Ninaamini waumini wa statement hii "mkichokana achaneni kwa Amani" ni wale ambao wako na Wapenzi ambao hawajawahi kuwapenda, kujitoa, kuwalea, kuwasitiri n.k. Kwa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Excellent ni cha ovyo sana. Vijana mnaotaka kusoma Clinical Medicine hapo, msiende

    Hiki chuo cha excellent kwanza hata usipo-apply unashangaa umetumiwa meseji kwamba umechaguliwa hapo wakati hata ku-apply huku apply. Hiki chuo ukiingia kusoma hakuna kuhama ukiomba uhamisho kwanza wanakukatalia kisha wanakufutia usajili kwamba hawakutambui hivyo unaanza upya kabisa...
  8. JamiiForums Tanzania Nimeshangaa sana kuona mchezaji wa Wydad Casablanca anaitwa Allah

    Kumbe hili jina linaweza kutumiwa na muumini kama jina lake? Huyu ni mwenyeji wa Morocco. Na leo kwenye fainali namuona hapa. Muongozo tafadhali FaizaFoxy adriz Kisai
  9. M

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Kitanzania watauana sana kwa sababu ya kuingia kwenye ndoa kama fasheni. Ndoa ni mkataba mzito sio wa kuvamia hovyo

    Ni ngumu sana kwa karne hii iliyojaa kizazi cha nyoka kupaka mwanamke ambae ana utayari wa kukaa kwenye ndoa. Hii ina maana kuwa anakuwa tayari kuvuliwa chupi, kufanya usafi, kusaidia ndugu na jamaa za mume na kutii maagizo ya mume. Siku hizi wanawake wengi wanatafuta mahala pa kujificha na...
  10. JamiiForums Tanzania Wanawake wana siri nyingi sana

    Alhamdulillaah ALLAAH ALIPOTUAMBIA "... هُنَّ لِبَاسٌ لَّكُمۡ وَأَنتُمۡ لِبَاسٌ لَّهُنَّۗ... " "Wake zenu ni vazi lenu na ninyi ni vazi leo" Katika elimu ya TAFSIRI YA QURAN... Yanapotajwa mambo mawili yenye kufanana kwa pamoja... Lile lilitojwa mwanzo zaidi linakuwa lina NGUVU ZAIDI(lina ubora...
  11. JamiiForums Tanzania Nimeenda leo kanisani mhubiri akaniita "YESHURUNI" Nikalia Sana.

    NIMEENDE LEO KANISANI MHUBIRI AKANIITA "YESHURUNI" NIKALIA SANA. Anaandika Robert HERIEL Yule Shahidi, Ole wangu Mimi ikiwa nimekuwa Yeshuruni, nitatengwa na Mkono wangu utatupiliwa mbali, ingawa najua wengi wenu hamumjui huyo Yeshuruni ni Nani. Leo nikalisogelea lango la Kanisa ikiwa ni muda...
  12. JamiiForums Tanzania The state: Hakikisheni kwenye Katiba Mpya, mishahara na posho za kwenye siasa zinapunguzwa Sana na kuelekezwa kwenye miradi ya umma

    Wakuu Binafsi sielewi ni nani HASA alieamua kuwa kazi ya siasa ndio iwe na malipo na posho kubwa sana kuliko taaluma nyingine yeyote hapa nchini. Wataalamu wa taaluma mbali mbali wameacha kada zao na kukimbilia siasa kuliko kujikita kwenye taaluma zao na kutuhudumia wananchi! maprofesa wa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Wanaume, zingatieni sana jibu la kwanza mnalopewa mnapotongoza ili kumpata mwenye mapenzi ya dhati

    Unapomfukuzia mwanamke kuwa makini sana na jibu lake la kwanza kutolewa kinywani mwake. Ukikataliwa, ukipewa excuse, ukiambiwa "mimi sikupendi", ukiambiwa "shika adabu yako", ukiambiwa "aku mm nina mtu wangu" ama jibu lolote linalofanana na hayo LIHESHIMU. Ukikomaa utakuwa na mpenzi ama mke...
  14. JamiiForums Tanzania Ujana haudumu, kuchora tattoo kunaweza kukugharimu sana maisha yako ukubwani

    Huwa nawaonea huruma sana vijana wadogo wanaochora tattoo kuona ni ujanja ama kufuata mkumbo... kwa nchi kama ulaya na marekani tattoo sio shida hata kidogo, ila kwa hapa bongo hali ni tofauti kabisa. kwa mitazamo ya jamii zetu, mtu akisha chora tatoo basi heshima yake inapungua pakubwa mno...
  15. JamiiForums Tanzania Mapenzi bila drama hayaendi?

    Mimi sikuwa najali sijui nani kamtafuta mwenzake, mi nikisikia nimemmis nampigia tu, i don't care who call first or often. Sasa ikafika hatua ukimwambia 'i love you' anasema sawa. Nikaona sio shida nikaanza ku "balance shobo" sasa anaanza kulalamika kua simpendi. Hivi mapenzo bila drama hayaendi?
  16. JamiiForums Tanzania Sasa tunaweza kukubaliana kuwa; aina ya siasa anayoifanya Rais Samia ni ya kiwango cha juu sana ambapo ni nadra sana kuiona Afrika

    Rais Mama Samia ni mtu anayeamini kwenye siasa za ushawishi badala ya kutumia maguvu ‘Unnecessarily’. Ni mtu anayeamini kwenye utu na muadilifu kweli kweli. Falsafa yake hii, humfanya asiwe anaangalia tu matokeo ya mwisho ya michakato, bali pia uhalali wa michakato yenyewe na kutumia busara ya...
  17. JamiiForums Tanzania Hongera sana TAKUKURURU Wilaya ya Rungwe kama ni kweli

    Hamjachukua muda mrefu kuchukua hatua baada ya kusikia malalamiko ya baadhi ya wananchi MBEYA RUNGWE kata ya IKUTI PALE BUTONGA. Walau wenda viongozi wa kata na kijiji IKUTI RUNGWE wataamka na kutambua huu sio wakati wa kutishana bali uwajibikaji. Japo mkimaliza uchunguzi wenu kuna waamuzi...
  18. JamiiForums Tanzania Ajira ambayo Ina faida Sana japo ni Jambo jipya DEALNO1. Welcome

    Napenda kushiriki nanyi kuhusu deal no1. Ni online part time job ambayo inalipa Sana lkn issue hii ni mpya haikuwepo. Unakuwa wakala wa ku2ma orders online na kulipwa commission hapohapo ipo since 2017 japo kibongo imekuja sio mda. Capital ni kuanzia Dolla 10. Kiasi Cha kawaida sana...
  19. JamiiForums Tanzania Mifumo ya malipo Tanzania inaongeza watu kuwa wavivu makazini

    Mtu anaenda safari analipwa 250000 kwa siku lakini mtu anayekesha na kazi mahali fulani analipwa chini ya 60000. Kwa hiyo mtu anayesafiri sana ndo anafanya kazi na sijui serikali ya mama samia imechukua kigezo gani. Kwa kweli hili halijakaa sawa maana linaendekeza nchi kuwa na wavivu...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Vyuo Vikuu Binafsi vinalipa mishahara midogo sana

    Kichwa cha habari chahusika. Vyuo vikuu binafsi nchi hii ambavyo vingi vinamilikiwa na taasisi za dini wanalipa wahadhiri wao mishahara midogo sana. Huwezi amini mishahara ni midogo kuliko hata walimu wa shule za sekondari. Kwa mfano Mhadhiri msaidizi analipwa Tsh Milioni moja kabla ya makato...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…