sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuna foleni kali sana Ubungo flyover mida huu, saa nzima gari hazitembei

    Mimi nipo nyuma sana kwenye foleni, mliopo mbele huko kuna nini jamani?
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2022 umekuwa mwaka mgumu sana kuwahi kuushuhudia ndani ya miaka 40 iliyopita

    Gharma za bidhaa zilikuwa juu naona na mwaka huu bado zimeendelea kuwa juu. Bidhaa za muhimu sana zaidi ya mafuta zimekuwa bei ghali, CHAKULA. Sihitaji kutaja bei kwani kila anajione janga hili. Sasa najaribu kutafakari nini chakufanya ili hali hii isiendelee kuumiza watanzania hasa wa kipato...
  3. JamiiForums Tanzania Maajabu ya mwanamke mjamzito kuomba police wamwambie mume asimpige tena sababu anampenda sana, hii ni baada ya kupewa kipigo kizito!

    Mama mwenye ujauzito wa miezi minne Jamila Hamisi (34) mkazi wa mtaa wa Remtula kata ya Elerai Jijini Arusha, amedai amejeruhiwa macho yake kwa kupigwa ngumi za uso na mume wake baada ya kutokea mzozano kati yao desemba 27, 2022. Jamila ameliomba Jeshi la polisi mkoa wa Arusha limkanye mwanaume...
  4. JamiiForums Tanzania Kagame ni kiongozi mwenye nguvu sana! Na nguvu zake kuu ni uwezo wake wa kijasusi!

    Paul Kagame, rais wa Rwanda anayetunishiana misuli na Felix Tshisekedi wa Congo, wakitupiana maneno, ambayo yanaendelea kudhoofisha mahusiano ya majirani hao! Kwa haya yanayoendelea kubainika kuhusu utawala wa Rwanda ambayo sio mazuri kidiplomasia, lakini mimi yananidhihirishia kwamba nguvu na...
  5. JamiiForums Tanzania Jerry Slaa umetudharau sana wana Ukonga

    Katika makosa ambayo Chama Cha Mapinduzi chini ya aliyekuwa Mwenyekiti taifa mwaka 2020 iliyafanya ni kumpendekeza Jerry Slaa kuwa mbunge wa Ukonga. CCM ilijipa Certificate ya kukataliwa moja kwa moja na wana Ukonga kwa kutuletea huyu mbunge mwenye dharau, kiburi, majivuno na asiyejua wala...
  6. JamiiForums Tanzania Pisi zipo nyingi sana mtaani tafuta Moja ya uhakika tulia

    Yaani wanawake wapo wengi sana Kila Kona unakunana na mwanamke Tena sio mwanamke tu Bali ni mwanamke mrembo. Kwanini utembee na mke wa mtu? Yaani hakuna maumivu makali kama kuchapiwa mke wako amini hili. Trauma anayoipata mwanaume kisaikolojia ni mara mia apigwe risasi ya trako. Mkesha wa...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wetu wa mpira wanatumia ujinga wa mashabiki kama mtaji? Inaumiza sana

    Kumbe ni kweli Feisal amevunja mkataba Yanga ila viongozi wanatudanganya tu. Leo kupitia account yake ya insta amepost akiwa anafanya mazoezi na uongozi wake mpya. Nimeumia sana.
  8. JamiiForums Tanzania Huyu chawa anapenda kukinanga sana Chama chetu. Anaishi kwa uchawa usio na mashiko

    Ona sasa 👇
  9. JamiiForums Tanzania Ikiwa binadamu hana uwezo wa kutambua kinachoenda kumtokea dakika zijazo kwanini binadamu huyu huyu amekuwa mtu wa chuki sana?

    Mfano Leo tupo hai twachukiana Sana. Usoni twacheka hila ni rohoni vita vikali Sana. Nasema hivi kwanini mwaka 2013 mtoto wa Mama Mdogo ambaye alitabiriwa kuja kuwa Mwangaza wa Maisha na aliyeonekana Kama Nyota ya Familiya, na aliyekuwa anaweka bidii kwa masomo na kuipambania future yake...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hili kundi la Yanga mchekea sana, Timu hapo ni TP Mazembe tu nayo siku hizi imezembea

    CAF CONFEDERATION CUP 2022/2023 Group D: 1: TP Mazembe (RDC) 2: US Monastri (TUN 3: Young Africans S.C. (TAN) 4: Real Bamako (MLI) Sasa hapo timu inayojiita ya wananchi ishindwe yenyewe tu kuongoza kundi. Hakuna timu hapo, na hiyo TP Mazembe imebakiza jina tu, imezembea sana!! Timu kali za...
  11. JamiiForums Tanzania Heri ya Mwaka Mpya wapenzi wangu hapa JF, nawapenda sana

    Sina maneno mengi. Mapenz yangu kwenu ni ya kutoka moyoni mwangu. Mwaka huu 2023 na ukawe faraja kwenu. Pale kwenye tumaini na Mungu aweke tumaini pale penye Nia Mungu akaihuishe iwe na itendeke.
  12. JamiiForums Tanzania Elimu kwa dada zetu: Msibweteke na pesa za Waarabu wanaonunua ngono, wapo wenye 'fetish' ya kutesa, kuharibu maumbile na kudhalilisha

    Fetish ni kitendo ambacho kinamuongezea mtu raha kwenye sex, kwa hawa wengi kwa nchi walizotokea fetish zao huwa ni mtungo wa kumchangia binti moja huku wakimuingilia zamu zamu kinyume na maumbile (0717), na hiki ndicho wanacho fanya hata kwa dada zetu. Target zao huwa ni mabinti ambao nado...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Qatar ilipata utajiri kutokana na gesi. Kwanini Tanzania ilizuia miradi ya gesi?

    Leo hii Tanzania tungekuwa tunauza gesi yetu Ulaya kwa bei ya juuu baada ya Urusi kususiwa.😭😭 Tazama hiyo ni nchi ya Qatar Kabla ya kugundua gesi mwaka 2002 uchumi wao ulikuwa dola bilioni 19 tu, baada ya kugundua gesi uchumi wao leo ni dola bilioni 220. Hii imeniuma sana kwa kuwa Magufuli...
  14. JamiiForums Tanzania Utabiri, 2023 utakuwa mwaka mgumu sana kwa CCM

    Ndio hivyo, 2023 Itakua ngumu sana kwa wanazi wa CCM! Kuna ambao watakubali kubadilika Ili waendelee kula, Kuna kundi litaibuka kimya kimya likijiandaa kuweka mizizi, Kuna Viongozi wa CCM watapandishwa Kwa Pilato. Utakua mwaka wenye machungu sana kwa CCM na mara nyingi watajitokeza hadharani...
  15. JamiiForums Tanzania Kuna malaya wengi sana kanda ya ziwa, mnaokuja huku chukueni tahadhari

    Salam. Kwa uzoefu nilioupitia baada ya kuzurura Nyanda za juu kusini, Kaskazini, Dar, Zanzibar na sasa nipo Kanda ya ziwa basi Nina haya ya kusema . Hii Kanda Malaya wapo wengi mno na madanguro yapo Hadi vijijin. Mikoa ya Mwanza na Geita umalaya NI biashara ambayo ni Kama imerasimishwq...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Nimeumia sana kuona mke wa mtu anazini ndani ya usafiri wa umma, tena akiwa na mtoto mdogo

    Habari zenu ndugu zangu? binafsi namshukuru huyu MUNGU kwa uzima. Ni jana tu siku ya alhamisi nikiwa natokea Dar kwenda Moshi mjini nikipanda gari ya umma (nikumbushie kidogo sio kila siku binafsi tu). Mida ya saa 4 hivi asubuhi nilifika stendi ya mabasi MAGUFULI pale mbezi nikijua kabisa...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Amenisadia sana, lakini nataka nimuache niolewe na HB. Namuachaje kiustaarabu?

    Jamaa ni husband material lkn siyo photogenic hata kumpost nashindwa. Kiumri kanizidi miaka 5 tu lkn ana mambo ya kizamani sana maana amekaa kipori pori. The guy kajipanga kimaisha yuko vizuri, lkn huo muonekano usiopendeza kwenye picha unaninyima raha. Kanifanyia makubwa sana hapa mjini...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Adhabu ya kuchomeka milele kwenye ziwa la moto, mbona naona ni kubwa sana kuliko? Majini mliopo humu mnaionaje?

    Najiuliza sana hili fundisho lililopo Kwenye uislamu na ukristo la wenye dhambi kuchomwa milele kwenye moto wa jehanum, logically haliingii akilini. Kwasababu 1)Mungu anajua kila kitu, kama kabla ya kutuumba alijua kuwa baadhi ya binadamu na viumbe ntakaoumba wataniasi na ntawapeleka kwenye...
  19. JamiiForums Tanzania Mambo ambayo kijana wa sasa unatakiwa kuwa makini nayo sana

    1. Epuka na ujitoe kabisa kutoka katika Kundi la watu wenye mitazamo hafifu juu ya maisha yao. 2. Acha kuwa king'ang'anizi kwa wale waliokutenga katika maisha yako. 3. Kuwa mtu wa haki na upendo hata kwa watu usiowajua. 4. Kuwa mtu wa heshima na upendo kwa kila mtu. 5. Kubali kuishi na watu...
  20. JamiiForums Tanzania Mbona mama huwa anachelewa Sana kutoa salami za rambirambi?

    Rais kwa kuwa ni rais namba moja, inabidi awe wa kwanza kutuma hizi rambirambi, sio kwa ubaya.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…