sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Mnaotaka kushusha heshima ya Daktari hamtaweza

    Daktari yupo kwenye risk kubwa sana ya kupata HIV, maana daily anarukiwa na madamu damu ya watu lakini jitu hilo hilo likipona linashindwa hata kusema asante dokta. Madaktari wanashika sana vinyesi vya wake zenu labour na wanawasafisha bila kinyaa lakini wakishajifungua shukrani hamna. Mambo...
  2. JamiiForums Tanzania Mo ni kilaza wa mpira, amefanya maamuzi ya kijinga sana kumleta mzungu

    Ukiangalia hii Simba iliyocheza leo, hii mechi kwa kamanda Mgunda ilikuwa ni big (W). Unajua yule Mo amefanya lobbying kubwa sana kumuondoa Mgunda na kumleta hiyo mzee Brazil. Mwaka jana mwezi wa 12, Mo alipost hii tweet kule Twitter Baada ya kuona hii tweet na kuangalia Simba ilivokuwa ina...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Raja Casablanca itatembeza sana vichapo kwenye hili kundi la wakina Sawadogo kama timu zenyewe ndio hizi

    Awa Horoya kwakweli ni famba sana aina yao ya uchezaji sijaielewa kabisa, Ni timu ambayo kiwango chake kiko chini sana labda kama wanayo aina nyingine ya uchezaji ambayo awakuitumia leo, lakini kama ndio uchezaji wao uko hivi basi watakuja kukutana na 5 nyingine kutoka kwa Raja casablanca...
  4. JamiiForums Tanzania Usifanye haya Mambo unapodeal na mwanamke kama hutaki wakupande kichwani, kinyume na hapo mtalia sana Jamaa zangu!!

    Enyi Vijana wa kiume, ninachokiandika hapa, pengine mnaweza kukitafasiri mjuavyo, pengine mkasema hayana fomula!!. Kwa juu juu hata wanawake wenyewe hapa wanaweza kusema "Mwandishi sio Mwanaume Bora". Nawahakikishieni, hayo ni Maneno yao tuu lkn Moyoni ndivo wanataka waendeshwe. 👉Ni kosa...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Picha: Kama taifa tumepitia katika nyakati za ovyo Sana

  6. JamiiForums Tanzania Utafiti waonyesha wanaume wenye vipara wanawavutia sana wanawake kuliko wenye nywele

    Kuna vitu vingi humvutia mtu inapokuja swala la kumchagua mpenzi, siwezi taja sifa zote, kila mtu anasifa zake na vigezo vyake, ila ngoja tuongelee mvuto wa kipekee unaopatikana kwa wanaume wenye vipara. Nikiongelea vipara naongelea wale walio na vipara asili, achilia mbali wale wanaopenda...
  7. JamiiForums Tanzania Maisha magumu sana jamani

    Jamani huko mliko nyie wenzangu vipi? Huku naona kama kipa katoka, ngoma ngumu sana! Ile milo mitatu kwa siku imekua kwa mbinde sana, hebu fikiria yale mahitaji muhimu ya mwanadamu bado kwetu ni tatizo. Hatuli vizuri, hatuvai vizuri, na mbaya zaidi hatulali pazuri. Kuna kundi kubwa la watu...
  8. JamiiForums Tanzania Kama Feisal Salum angekuwa sio mtanzania, TFF isingeweka kiza kwenye suala lake. Akijichukulia ni Mzanzibari atapatiwa haki haraka

    Baada ya Tff kutoa hukumu yenye maneno matano tu "Feitoto "Ni mchezaji halali wa Yanga kimkataba" Kwenye press release na hukumu waliyomtumia bila kufafanua chochote kwenye mkataba Licha ya kuomba kila Mara nimegundua anaonewa kwasababu mbili kuu. Kwanza Ni mtanzania na Yuko chini ya Tff hivyo...
  9. JamiiForums Tanzania Mnaofananisha Simba na Yanga ligi za ndani na kimataifa mnakosea Sana. Hata viongozi wa hizi timu wanalijua Hilo.

    Ukilewa utaona tu kibwana shomari Ni sawa Mohamed Huseni. Au kishabiki Dickson job Ni sawa na Onyango au Yanick Bangala anacheza Kama Inonga. Au Aucho Ni Puten kabisa. Lkn tukumbushane tu. Malengo ya viongozi Yanga msimu huu yameshatimia. Kucheza makundi. Na viongozi hawazungumzii kabisa kwenda...
  10. JamiiForums Tanzania Dr. Mwaka ana akili kubwa sana na ana mjua Mungu

    Hello JF Kila mwanaume halisi ambaye ni kizazi halisi cha Adam na Hawa, walioishi bustani ya Eden na kupewa kila kitu na yenye kila kitu ndio wataelewa. Asante Dr Mwaka kuwa mcha Mungu, unajua maandiko, hekima na busara zako ni kubwa sana. Ishi na mwanamke at your own risk, a woman is an...
  11. JamiiForums Tanzania Phone4Sale Simu kali sana 128GB / 6GB RAM kwa 275,000 TU OFA!

    Hii ofa sio ya kukupita karibu ujipatie Sharp Aquos Zero (Japan Brand) ni mtumba kutoka USA kwa ofa ya 275,000 Tu, hii unapta simu pamoja na USB- Type C charger. 0764081567 Free delivery in Dar es salaam
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania ugonjwa ni mtaji wa kuomba inatia huruma sana

    Yaani inasikitisha sana sana kwa baadhi ya wananchi kufanya ugonjwa ni mtaji wa kuomba na kupata ridhiki ... Yaani unakuta mtu ana kidonda au mguu kivimba sijui au tumbo limevimba basi ndio inakuwa mtaji wake tena kuingia barabarani na kuomba hii sio sawa kabisa
  13. JamiiForums Tanzania Naomba mwenye kuweza kusaidia, asaidie hii jamii, kobe ni wasumbufu sana

    Nimesoma mahali kuna mchina kakamatwa kwa kukutwa na kobe watano anaowatumia kama kitoweo. Wilayani butiama mkoa wa mara kuna mtu alishtakiwa kwa kukutwa na kobe. Ukweli ni kwamba wilayani humo viumbe hao wako wengi sana na wanaharibu mazao hasa majani ya maharage na kunde. Kama kuna mwekezaji...
  14. JamiiForums Tanzania Kama huna nyota ya mapenzi/mahusiano utateseka sana

    Kama huna nyota na wanawake na huna hela mapenzi yatakutesa sana, sababu kuna watu wana nyota na wanawake mara nyingi hawatumii nguvu kubwa sana kuwapata wanawake, nielewekwe wanakataliwa ila sio kama wale wanaume ambao hawana nyota kabisa Ukiwa na nyota plus una hela utakua mfano wa king...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Kimahusiano, naona kama miaka ijayo tutakuja kutengeneza kizazi cha ajabu sana

    Ninaposoma comments za watu humu mtandaoni especially wanaume na nkiona na hali ilivyo mtaani, sipati picha kwa mfano Mungu akiiacha hii dunia iendelee miaka 500 mbele, taasisi ya ndoa itakuwa na hali gani.. Inaanza taratibu kama utani, wanaume wengi wanaanza kampeni ya kupinga ndoa, hata...
  16. JamiiForums Tanzania Wanawake waislam wanaheshimu sana wapenzi wao

    Wasalaam JF Nimekoshwa sana na hulka na tabia ya wanawake waislam, wadada, wamama na mabinti ama kweli kama dini imewapa maarifa mema sana, mna heshima, mnajua kujishusha, kuomba radhi hamchoki, unyenyekevu na utii, heshima, adabu, usikivu pia hadi raha. Mungu awatie nguvu mshichoke wala...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kupata qaswida ya Al Madrasat Raufu Rahim inaitwa Zawadi

    Habari nilikua naomba msaada wakupata qaswida ya Al Madrasat Raufu Rahim inaitwa zawadi nimeangaika sana YouTube sijapata naomba mwenye nayo anitumie 0693620048 wsp
  18. JamiiForums Tanzania DR. Mwaka amesoma CUBA hongera sana kaka

    wasomi wote wa Cuba tuonane hapa Yule mwanamke alijipanga maana nimeona tamaa za wazi kisa kale kajumba ndio analeta vilio na unafiki mitandaoni salute kwa wasomi wa CUBA .
  19. S

    JamiiForums Tanzania Zanzibar insurance mjitafakari sana, nimetokea kuwachukia mno!

    Moja kwa moja niende kwenye hoja kuu Na bila kupepesa maneno nalitaja kabisa shirika husika...ZANZIBAR INSURANCE ni zaidi ya wasumbusu Tena nadiriki kabisa kuwaita matapeli wakubwa msiojua thamani ya mteja wenu Sasa ni nini maana au faida ya kuikatia gari bima ya Comprehensive? Yaaan nipate...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri Mwigulu kuwa makini sana kwenye mawasiliano

    Bashe ndiye waziri anayeongoza kwa kuwa na mawasiliano mazuri lakini Mwigulu mwana Ilboru mwenzangu nampa nafasi ya mwisho. Mwigulu ndugu yangu hii serikali ni ya viongozi wapole na wataratibu sana hasa Raisi Samia na Makamu wake. Makamu wake ambaye alikuwa waziri kama wewe na nafasi hiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…