sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ukristo ni Dini ya AMANI SANA, asikwambie mtu!

    Huu upande una raha sana asikwambie. ukikosea unasamehewa saba mara sabini.. unaingia kanisani Hata mara 1 kwa mwaka and no one cares.. Hakuna kufuatiliana hata ukibadili msimamo wako wa kidini na kwenda kwingine, ukirudi unapokelewa vizuri tu Mkristo kipindi cha mfungo hakuna purukushani za...
  2. JamiiForums Tanzania Asanteni sana Simba, Kwa sasa Yanga Presha ya kutwaa ligi kuu imeshuka, mmeupiga mwingi

    Sio siri Yanga tulikuwa na wasi wasi wa kaweza kulipambania kombe la ligi kuu baada ya kupoteza derby, yani tulikuwa tumepishana point 5 tu na Simba na mbaya zaidi sisi Yanga tulikuwa tuna mechi 3 ugenini ikiwemo ya wajela jela na Mbeya city. Kwa sasa pumzi imeshuka kidogo maana tunahitaji...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Hisia na tumbo vinapoitawala akili ni hatari sana kwa Taifa

    Habari wana JF Binafsi sina shaka na Uwezo wa Rais Samia katika kuongoza taifa. Tatizo liko wananchi na viongozi wa chini ambao ni washauri. 1. WANANCHI hawa hisia imetawala akili hivyo kuna baadhi hawataki kabisa kuona au kusikia mama Samia anafanikiwa na wengine wanapenda tu kusikia mabaya...
  4. JamiiForums Tanzania Mbunge: Nyama ya ng’ombe ni gharama sana Zanzibar, kilo moja Tsh. 13,000

    Mbunge wa Jimbo la Chaani – Zanzibar, Juma Usonge Hamad akichangia mada Bungeni akidai bei ya nyama ya ng’ombe kwa upande wa Zanzibar ni gharama na kuwa Kilogramu moja inauzwa kuanzia Tsh. 13,000 na kuendelea. Amesema “Wizara haijaamua kusamehe tozo ambazo zinatozwa kwa ng’ombe wanaopelekwa...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Geita ndio unaongoza kwa mauaji nchini, kuna haja Serikali iufanye kanda maalum

    Baada ya kuona habari ya vijana waliomuua mama yao jana kisha na wao kuuawa huko Geita Naona mkoa huu ndio unaoongoza kwa mauaji nchini Mikoa ya kanda ya ziwa imekua kinara wa mauaji nchini yanayosababishwa na ushirikina, tamaa za mali, wivu wa mapenzi na mengineyo nadhani sasa Serikali...
  6. JamiiForums Tanzania Spika Dkt. Tulia aomba jimbo la Mbeya Mjini kugawanywa

    Picha: Spika Dkt. Tulia Akson Spika wa Bunge, Tulia Ackson ni miongoni wa wabunge waliowasilisha maombi ya kugawa majimbo yao ili kuwa mawili kutokana na ukubwa na wingi wa watu. Taarifa hiyo imetolewa leo bungeni na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu Ummy...
  7. JamiiForums Tanzania Anadanga akiwa na mimba

    Kuna jirani yangu jana aliingia matatizoni na simu kuvunjwa vipande vipande, yaani sisi wanawake sijui tuna matatizo gani? Yaani unakuta mtu ana mimba halafu anafanya umalaya. Mumewe akiwa kazini yeye anafanya kutoka usiku na kwenda kwenye ushenzi wake. Anafanya kulichomekea tumbo lisionekana...
  8. JamiiForums Tanzania Wanawake wa uswazi wanaivuruga sana akili yangu. Nifanye nini kuikabili hali hii?

    Sio siri wakuu. Mpaka sasa nimeamua kuweka makazi yangu Uswazi. Familia nimeiacha ushuwani huko Wanawake hawa wamekuwa ni watu wa kujiachia sana. Yaani kumkutiliza anafua huku kanga nyepesi inapepea na kuacha kitumbua wazi huko nyuma, haoni ajabu. Ni sawa na mtu aliyekisusa kabisa Wanawake wa...
  9. JamiiForums Tanzania Napambana Tupambane

    Naamka asubuhi, sina hata buku shi ndala Cha kukila sijui, bora hata pa kulala Chumbani matandabui, mende wamefanya utawala Na mjomba panya haelewi, riziki yake hasara Eh kwachakwacha, nakwenda nakwenda Sijakubali kudoda hii ngoma haisambii Na ndoto za alinacha, sijapenda sijapenda Aliekupa...
  10. JamiiForums Tanzania Ni sawa anayedhaminiwa Mahakamani kulipia fomu ya dhamana?

    Kuna sheria au utaratibu unaotaka mtu anayedhaminiwa mahakamani kulipa hela ya fomu ya dhamana tena kwa watuhumiwa wote.? Huyo aliyesema mahakama ya mwanzo songea.
  11. JamiiForums Tanzania Ngozi yangu huwa imekunjamana Sana

    Mimi ni mwanaume nina umri wa miaka 29 huwa nasumbuliwa na tatizo la ngozi imefubaa imekujamana sana. Niliwahi sikia punyeto ndio inafanya iwe hivyo sijui labda hilo ndio tatizo maana sasa hivi naonekana kama mzee wa miaka 70. Sijui nifanyaje kurudisha ngozi yangu sawa iende na sawa.
  12. JamiiForums Tanzania Nimecheka sana Leo kama ni mazuri

    Mimi kiukweli na mahusiano ya watu wawili yaani na wachumba wawili ila nilivutiwa na bwana mmoja hivi basi tukaanza text za hapa na pale . Sikujua kama ameoa . Hadi hiyo siku mke wake alivyonipigia sim Sasa kunasiku mke wake akaona zile text zangu Kwa bwana Ake akanipigia nakuniuliza mie nani...
  13. JamiiForums Tanzania Taarifa za uongo kutoka BBC

    Jioni hii nilikuwa nasikiliza habari za dira ya dunia nimemsikia muandishi wa habari David Nkya, akisema yupo kambi la wakimbizi la Mtendeli iliyopo Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma Kwanza hilo kambi halipo, tulilifunga miaka mitatu iliyopita. Akaongeza uongo wake kuwa Tanzania ina makambi...
  14. JamiiForums Tanzania Wazee wa zamani walikuwa na tabia na matendo mabaya na ya ajabu sana

    Habari wakuu,hamjambo? Njlikua na jamaa yangu akinisimulia jambo nikafikiria Sana kuhusu hawa wazee wetu kwa matukio yao Kama ifuatavyo.. Wengine wao walikua na tabia ya kujihusisha kimapenzi na wajukuu,watoto na ndugu wa karibu,kwanini nasema hivyo? Kuna kijana wa kike mdogo na msumbufu...
  15. JamiiForums Tanzania Kilimo kinalipa Sana if and only if tukiweka Bidii na ufatiliaji wa karibu

    Salaam, Bila shaka ninyi wote ni wazima wa Afya. Nimekuwa mdau lakn pia mkulima kwa muda mrefu Sana, nimekuwa nikiona ups and downs katika Kilimo na hii imenipa Kujifunza mengi ikiwemo makosa yanayofanyika mara kibao katika Kilimo. Najua fika wapo vijana au wadau wengi Sana ambao Wana Mahaba na...
  16. JamiiForums Tanzania Simba ni timu kubwa sana Yanga wasubiri

    Check hao wafutiliaji wa michezo ya Simba na Yanga kimataifa Yanga anajaribu kujilijganisha na Simba lakini bado sana nasema bado sana. Huo ndo ukweli wenyewe, huwezi kuwa na timu Bora kimataifa yenye mfungaji mmoja kazeni boot. Mapovu ruksa mvimbe mpasuke na mwiko wenu huko nyuma
  17. JamiiForums Tanzania Nini hasa kinasababisha baadhi ya Makalio ya Dada zetu 'Kudundadunda' sana Kama 'Kitenesi' wakiwa Wanatembea?

    Kuna Mmoja nimepishana nae Stendi ya Makumbusho nikitaka kupanda Gari za Mbagala Rangi Tatu na kwa jinsi yalivyonivutia yalivyokuwa yanatikisika Kiushawishi wa Tendo Pendwa la Kibaiolojia nimejikura nimeghairi kwenda huko Mbagala Rangi Tatu na sasa nimepanda Basi alilopanda Yete la Mbweni ili tu...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Nimefedheheka sana na kuamua kuzima Runinga. Yaani walimu wanatumika kisiasa kumpigia kampeni Rais Samia 2025! Huku wamejaa dhiki

    Ina maana wanaridhika kudhurula na vishikwambi mitaani na kubeti huku wakitazama ngono? Kwa nini wanashindwa kutanguliza maslahi yao mbele bali wanakuwa kama mabumunda. Eti tayari wameshampitisha Samia 2025. This non sense. Maslahi duni na mnataabika. Mshahara ukitoka tu baada ya wiki hamna kitu
  19. JamiiForums Tanzania Tuwaombee mashabiki wa Simba, kwa sasa wanapita katika kipindi kigumu sana

    Diagnosis iko hivi; Stress level iko juu Wana msongo mkubwa wa mawazo Hasira kali iliyo changanyika na njaa kali; and Kujinyonga ni most natural and probable consequence. Mungu awafanyie wepesi.
  20. JamiiForums Tanzania Grants ni pombe ambayo inapendwa sana. Kuna nini nyuma ya pazia?

    Hii drink Ikiwa unatafuta scotch ambayo itavutia hamu yako, Grant inaweza kuwa maarufu sana. Hata hivyo, ikiwa unahitaji tu whisky ili kufanya usiku wako wa majira ya baridi kufurahisha zaidi, Grant's ni nafuu, ni rahisi kunywa, na ni tamu isiyopingika.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…