sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania unafanya kazi na nani inahusika sana kwenye utaftaji

    leo nina furaha sana , nimepiga hela nzuri sana na aliyechangia nipigie hii pesa ni mfanyakazi wangu tena , tena ana umri mdogo ukilinganisha na watu wote ninaofanya nao kazi , i think nimpe vyeo awe msaidiz wangu tu...
  2. JamiiForums Tanzania Kuiba Trillion 2 halafu kesho yake unamwambia mtu lipa kodi kwa maendeleo ya taifa ni matusi, hii inauma sana

    Kuna wakati leo nimekaa natafakari sana jinsi tunavyobanwa katika kila angle ili tulipe kodi, hasa hasa hili suala la tozo za miamala, linaumiza sana. Halafu unakuja kuambiwa watu wanaiba pesa tulizolipa kodi, nasikia kuna hadi trillion 2 zimelambwa. Hapa nimetoka kutuma pesa haifiki hata laki...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ivona kamuntu yupo vema sana

    Niseme tu kuwa huyu mtangazaji napenda haiba yake. Mbali na muonekano wake mzuri lakini ana sauti na uongeaji wa kipekee sana. Ana personality very unique na ukimfuatilia anavyo soma habari au kufanya mahojiano utagundua pia Kichwani yupo Smart sana. Huyu ni mtangazaji wa pili zao la Star...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini Madelu hashurutishwi kujiuzulu haraka

    Kwema wabunge wa bunge la Tanzania naomba kufahamu Ndugai alipo sema tutapigwa mnada mlitaka ajiuzulu lakini Mwigulu Madelu mpo kimya huu sio unafiki?
  5. JamiiForums Tanzania Ninashangaa sana wanaojaribu kuilinganisha Yanga sc na vilabu vingine Tanzania

    Mara nyingi huwa ninaona watu wakijaribu kulinganisha vilabu hivi viwili vya Yanga na Simba, Ila kiuhalisia vilabu hivi vinatofautiana sana kiumri,mafanikio na hata kihistoria. 1.Kiumri Yanga ilianzishwa February 11, 1935, Mwaka mmoja kabla ya kuanzishwa Simba Sc, kwa hiyo kiumri ni wazi Yanga...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Hongereni sana wafanyabiashara wa Kariakoo na nchi nzima, mmetuonesha njia Watanzania

    Watu wengi wana dhana potofu kuwa wafanyabiashara ni vilaza, wahuni, watu wasiojitambua, hawajui sheria wala kujieleza. Kinyume na dhana hii potofu wafanyabiashara mmeonesha weledi mkubwa (professionalism) kwa jinsi mlivyowasilisha na kudai ufumbuzi wa kero zenu mbele ya serikali. Mmekuwa wazi...
  7. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam watu tupo busy pia tupo stressed sana. Kilichofanyika ni ishara ya kutujali

    Inafahamika vyema, Dar es salaam ni miongoni mwa miji yenye hekaheka sana hapa Afrika. Kila wakati, watu tunajihisi tupo nyuma ya muda au tunadaiwa kitu, hivyo kutupelejea kila wakati tuwe mbiombio. Dar mambo ni mengi lakini kinachofanyika hakionekani, pia faida haionekani. Kwa kifupi tupo...
  8. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Kariakoo: Askari 'Mpemba' ametusumbua sana

    Akiwasilisha kero kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, mmoja wa Wafanyabiashara amesema, "Kuna Askari anaitwa Mpemba hapo Kamata amenipelekesha sana, pia kuna mwingine mweusi yuko hapohapo wanatupelekesha sana. Inashangaza sana Askari wanakusumbua kama vile TRA hadi unajiuliza kazi ya TRA inafanywa...
  9. JamiiForums Tanzania Data usage Monitor, Mali bila daftari hupotea bila habari. Nimepata software nzuri sana ya kufatilia matumizi ya data kwenye pc, nami nawashirikisha

    Hasa kwetu tunaotumia vifurushi vya kupima kwa ndonya vyenye kikomo cha GB, Hivyo kwetu GB hizo ni mali. Binafsi kwenye Pc nimeipata hii software ya Net Traffic, ni kasoftware kadogo tu kana KB kadhaa ila kazi yake iko poa. naweza kuangalia kiasi cha data nachokitumia live, kwa saa, kwa siku...
  10. JamiiForums Tanzania SOLD: Crown Athlete kali sana

    PRICE/BEI:14.8M TOYOTA CROWN ATHLETE YEAR: 2004 ENGINE CAPACITY: 2490Cc ENGINE CODE: KILOMETER: 82,000 AUTOMATIC TRANSMISSION COLOUR:SILVER SPORTS RIMS,MUSIC SYSTEAM,NEW TYRES
  11. JamiiForums Tanzania Wapo wachache sana wenye UZURI na AKILI kwa pamoja

    Anza kwanza kutazama kwa makini uwezo wake wa kuwwa mke na kuwa Mama wa Watoto wako. Usikimbilie kutazama makalio na figa tu Ndoa ni zaidi ya hayo. Umbo lake halisaidii chochote kwenye future yako.
  12. JamiiForums Tanzania VIDEO HII IMENISIKITISHA SANA , IPO YOUTUBE JUST FLOW THERE as titled..., NA SIO PROPAGANDA

    Innocent men , are sent to die on their on !! , Some of them living miserable life on trenches just waiting for their fate dah soooo sad Just look his face , his face looks like your father sema , rangi tuuu
  13. JamiiForums Tanzania Hili la Halima limenihuzunisha sana. Ina maana Dar na Mikoani kote tumekwa kiasi hiki?

    Inaumiza sana. Yaani hizi tambo zetu humu JF n.k si wa Mikoani wala Dar ambao wamefanikiwa. Sisi tunadharaulika. Yaani tuna wagegeda akina sijui nini flower wana mastress kibao tunaacha watu wa maana huko wanalalamika wapo single na hawajawahi pewa Mimba. Halima mpaka leo ni single na hana...
  14. JamiiForums Tanzania Uzi gani una-trend hapa Jamii Forums lakini haukuvutii?

    Mimi ni huu uzi wa wazee wenzangu njooni tuweke mikeka Sielewi wanachojadili maana kila nikifungua nakuta ni maumivu tu watu wanasema kesho lazma tumle muhindi. Sijaelewa kwanini uzi unatrend sana lakini mazungumzo mengi kule ni ya majonzi. Uzi mwingine una-trend ila sijawahi kuulewa ni ule...
  15. JamiiForums Tanzania Wauguzi wanafanya kazi kubwa sana

    Kazi ya uuguzi ni ngumu sana Wauguzi waongezewe mshahara Nawasilisha
  16. N

    JamiiForums Tanzania Cocacola ya Ulaya ladha yake ni tofauti na za kwetu? Na iphone zao hazina line?

    1. Kwanini soda za pepsi na cocacola kule Majuu Yani Ulaya (sijajua kama ni nchi zote) eti ladha yake ni tofauti na za kwetu hapa bongo 2. Kwanini pia iPhone za hapa Bongo eti pia ni tofauti na za majuu ( kwao eti hazina sehemu ya kuwekea Laini😲) 3. Pia tekno za kwetu ni tofauti na za kwao...
  17. JamiiForums Tanzania Tuachane na yote. Hili suala ni la muhimu sana kujiuliza.

    Tuachane na issues nyingine nk. Nakuuliza mdada wa JF. Kama nawe umewahi tuliza makalio yako ukapata muda wa kutafakari jambo hili. Kwa mfano Usipoolewa. Umejipangaje?
  18. JamiiForums Tanzania Case Study: Ni nadra sana kukuta kijana wa kiislam hajaoa lakini inazidi kuwa kawaida kumkuta kijana wa kikristo anakwepa ndoa, Nini chanzo ?

    Na hapa nazungumzia hasa vijana wa chini ya miaka 30 ambao ni umri uliozoeleka kwa kijana kuoa na kupata mtoto ndani ya ndoa. Nikiangalia niliohitimu nao chuo degree, rika letu kwa sasa ni miaka 32 hadi 33, vijana wote wa kiislam walishaoa mapema kabla hawajavuka miaka 28, huku kwa wakristo...
  19. JamiiForums Tanzania Status za WhatsApp zinakera Sana. Sitakuja kufungua ng'o!

    Kiuhalisia huku ni kupotezeana mb zetu bureee. Yaani unaona mtu kaweka picha 87. Kutangaza biashara sio mbaya lkn ili uweke kwenye status na mvuto na desire kwa walengwa. Nimekuja kuona ni mpuuz pekee ataendelea kufumgua Kila status ya contact za Whatsapp friend and co. Nimekuja kuona kwamba...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee: Wapinzani tunapigana mishale sana ndio maana hatuaminiki kwa wananchi

    Akihojiwa leo na kituo cha redio kuhusu changamoto za upinzani amesema kwamba wapinzani nchini wana changamoto nyingi sana zinazowakosesha kuaminika kwa wananchi licha ya wananchi kuichoka ccm. Amesema wananchi wanshindwa kutuelewa kozi hatuna sera mbadala ukiacha suala la katiba ambalo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…