sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Dunia ni ya ajabu sana

    As/aleikum wakuu Dunia ina mambo sana, kuna jamaa ametangaza kuuza nyumba yake kikawaida uku akimtegemea Mungu, imepita miaka ajaiuza, na nyumba ipo sehemu nzuri tu, akaona bora amtafuta mtaalamu anaemjua yeye, akaja akamfanyia ya uongo na kweli, akamuambia haidhidi wiki au mwez utaiuza, kwel...
  2. JamiiForums Tanzania Nimegundua Siku hizi vijana wadogowadogo ambao hawajasoma sana ila wanapata pesa mingi kwa ujuzi tu. Vijana waache kulialia

    Mambo yanaenda kasi sana. Ujuzi ndio kila kitu. 1: Dogo wa kwanza anatengemeza Website, Apps, Systems, na projects zake kama akipata connections ninza mamillioni. Kama haitoshi huwa anawafanyia projects wanafunzi wa mwaka wa mwisgo wa chuo. Huyu anajituma sana, huwa anaingia maktaba ya taifa...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunazidi kustarabika. Siku hizi ni ngumu sana kukuta watu wakipigana kama zamani, Tujipe hongera

    Uelekeo ni mzuri katika ustaarabu wa kuweza kuyasuluhisha mambo bila kupigana kama ilivyozoeleka zamani. Ni kupevuka kwa akili na kupenda amani kumefanya tuweze kutumia midomo bila silaha, ngumi, mateke, vibao, n.k. Nakumbuka hapo zamani kulikuwa na mambo ya ubabe wa kishamba sana, kigezo cha...
  4. JamiiForums Tanzania Kizazi cha watoto wa 2000s kinasikitisha sana katika kufuatilia mambo ya msingi

    Hiki kizazi cha watoto wa 2000s kama kinavyoitwa licha ya kwamba sio watoto ila imezoeleka kuitwa hivyo nami wacha nitumie hivyo ili kueleweka zaidi. Hiki kizazi kwa kweli kinasikitisha sana katika kujikita kufuatilia mambo ya msingi. Ni ngumu sana kutofautisha msomi wa chuo kikuu wa hiki...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Mtu unajirekodi chumbani ili iweje? Nina uhakika Aslay na Lukamba wameteswa sana kisaikolojia kusubiri kuziona dhambi zao zilizovuja

    Inasikitisha lakini ni funzo kwamba siri za chumbani ziishie chumbani Mnaojirekodi vyumbani video zenu hazipo salama kwa asilimia 100 kama mnavyojidanganya, Simu yako ikiibiwa inaweza kuwa unlocked kwa software, Umeenda kuprint pdf stationery wezi wa data wananyonya folder zima la camera...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna makabila yana mila na desturi ngumu sana

    Kabila la Hamer na desturi ngumu Kabila la hamer linalopatikana kusini mwa nchi ya Ethiopia ndilo kabila linalosifika kudumisha mila na desturi ya kuthibitisha uwezo wa mwanamke kuvumilia magumu kwenye ndoa! Inasemekana mwanaume kabla hajatoa mahari inabidi ampime mwanamke anayetaka kumuoa...
  7. JamiiForums Tanzania Sio siri huyu Mzigua90 ananichanganya sana

    Mimi ni mgeni humu, sijajua kama inaruhusiwa kutongoza ila kiukweli mimi huyu Mzigua90 ananichanganya sana. Najikuta natumia muda mwingi kumuwaza. Hakyanani tena.
  8. JamiiForums Tanzania Daaah, bodaboda bodaboda...inauma sana

    Unaweza jiuliza kwenye 'lane' hiyo alifata nini ila unaweza kosa majibu ya haraka.
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Wakuu nina hali mbaya sana, nisaidieni kazi au connection ya kazi. Naona kiza

    Habari zenu wakuu. Ni kijana mtanzania nina miaka 27. Kipindi ninachopitia kwa sasa kinanifanya kuwaza mambo mengi sana pasipo kupata majibu ya kueleweka. Hadi kufikia kuja humu basi ujue hali imekuwa sio hali. Najua hatufahamiani humu, lakini haimaanishi mtu hawezi kupata msaada. Napitia...
  10. JamiiForums Tanzania Ninafurahishwa sana na vita ya wenyewe kwa wenyewe mtandaoni baina ya makada wa CHADEMA. CCM itatawala kwa miaka mingi sana

    Ni jambo ambalo limenifanya nifurahie sana hii sikukuu ya Eid. Huko X (Twitter) kuna vita kali baina ya makada wa chama cha Mbowe. It's Fredy Justine against Ntobi & Martin Maranja. Vita ni kali sana. Ntobi na MMM wanaporomosha matusi mazito kwa kada mwenzao Fred ambapo Fred nae hajakaa kinyonge...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia anakumbatia viongozi na watendaji mafisadi?

    Mwigulu nchemba amebaki kumsifia tu kisa anaipa mipesa kila siku ya kununulia Magali yake ya ester. Juzi tu amenunua mabasi mapya 50.
  12. JamiiForums Tanzania Kama tungeuza sana bidhaa nje ya nchi tungepata dola nyingi sana, sarafu yetu ingeimarika kuliko ya Kenya

    Leo nitaandika kama shairi tu labda nitaeleweka. Sijasomea uchumi kokote Nimewaza mwenyewe tu juu ya sarafu yetu Sarafu yetu inaporomoka. Hatuuzi nje. Hatupati dolla nyingi. Matokeo yake dolla inakosekana sokoni. Matokeo yake ili tuipate dolla inabidi tutumie shillingi nyingi. Matokeo yake ya...
  13. JamiiForums Tanzania Nimesikitishwa, huzunishwa na kufadhaishwa na uongo wa Kamati ya PAC! Escrow sio fedha za umma!

    Wanabodi, Kwa waliosoma fasihi, kitabu cha "An Enemy of the People" by Henrik Ibsen mnaweza kuniita mimi Paskali kuwa ni "an enemy of the people!", Ibsen anasema, the strongest man on earth is the man who can stand alone!", hivyo na mimi, katika jambo ambalo nina uhakika nalo na ninaamini ni...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania inapaswa kuilinda sana nch ya Burundi

    MPANGO WA RWANDA KUITAWALA BURUNDI ILI KUINGIA KONGO KUPITIA ZIWA TANGANYIKA NA NAFASI YA SERIKALI YA TANZANIA KATIKA MEDALI ZA UJASUSI NA INTELIJENSIA UKANDA WA ZIWA TANGANYIKA BY LUGETE MUSSA LUGETE. "Ndugu Mheshimiwa Rais tunapaswa kuilinda Burundi kwa hali na mali ili isiangukie mikononi...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Uliambiwa kauli gani na mtu wako wa karibu ikakufanya uhamaki?

    Katika maisha yetu ya kila siku, kwa kujua au bila kujua inaweza kutokea mwenza/mpenzi wako, au rafiki au ndugu akatoa maneno kwako au kauli kwako (Huenda bila kukusudia) lakini ukajikuta kauli hiyo imekukera sana na kukusababishia hamaki na kuleta sintofahamu kati yenu. Wakati mwingine...
  16. JamiiForums Tanzania Wazee tujuzane codes maana Kuna watu wanapiga sana simu

    Wasalaaaaaam........ Wataalam Kuna zile code ambazo ukiweka kwenye laini mtu akikupigia hakupati hewani ila Kwa mesej mnachati vizuri tu na unapata taarifa muda huo huo kuwa flani alikutafuta hewani hajakupata Kwa hiyo ni uamuz wako umpigie au laa. Ila wewe ukimpigia unampata hewani ila...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini sisi binadamu tukipata mafanikio kidogo tunavimba sana?

    Habari za asubuhi wana JF poleni na majukumu ya kutafuta mkate wa kila siku ilimradi njia ya kwenda msalani isiote nyasi. Husika kwenye mada iliopo hapo juu sijui ni kwanini sisi binadamu hasa tuliotokea maisha magumu yaani mtu kanunua gari tu, kajenga nyumba au kapata kazi basi ni vurugu huko...
  18. JamiiForums Tanzania Navutiwa sana na simulizi za uhalisia wa maisha, msimuliaji akiwa mhusika

    Binafsi huwa ninapenda sana simulizi ambazo zina uhalisia wa maisha ya kila siku tunayoishi hususan kwetu sisi wapambanaji na watafutaji wa kila siku. Yaani simulizi ambazo msimuliaji ndiye mhusika na anasimulia kuhusu experience yake katika jambo au mambo fulani sanasana masuala ya utafutaji...
  19. JamiiForums Tanzania Ukitaka kwenda mbali nenda peke Yako ukitaka kwenda mbali sana nenda na wengine

    Wakuu kichwa Cha habari kinajieleza vizuri ,wote tumeona yaliyotokea ijumaa ambapo team zetu pendwa ziliondolewa katika cafcl Ukweli ni kwamba hakuna vibe zuri kama la cafcc na Cafcl Sasa tumelikosa huku tukiwaangalia wengine wakisonga mbele Kwa Sasa ni wito wangu kwa Yanga na Simba linapokuja...
  20. JamiiForums Tanzania Wanaume mnakera sana

    Wanaume mnakera sana. Yani mtu anajua kabisa mwezi huu hajatuma hela ya matumizi Alaf anajikausha, unamkumbusha kwenye text mkiwa mnachat yeye anajibu sms nyingine hiyo anajifanya hajaiona unamtumia tena as a reminder anajibu oh I remember I will send . Anajikausha mpaka siku inaisha. Ivi mna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…