sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nyumba nzuri sana, ambazo ujenzi wake hutumia kontena

    Ni nyumba nzuri zinazoweza kujengwa popote pale, lakini zinapendeza zaidi zikijengwa katika mazingira pembeni mwa Miji bushes.
  2. U

    JamiiForums Tanzania Kiongozi Mkuu wa kikundi cha Hezbollah Naim Qassem leo jumatano Oktoba 30 kutoa hutuba nzito sana kwa Dunia, ni mara ya kwanza tangu achaguliwe

    LATEST UPDATES: Newly appointed Hezbollah leader vows to continue Nasrallah’s war against Israel By Gianluca Pacchiani Follow Today, 4:00 pm In his first address after his appointment as new Hezbollah leader, Naim Qassem says he intends to continue the “work program” of his predecessor...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Bagonza: KKKT ina Mkuu wa Kanisa mmoja tu, Dereva wawili hawawezi kuendesha gari moja kwa wakati mmoja

    KKKT Ina MKUU MMOJA TU Naona KKKT imepamba moto kutokana na matamshi ya mmoja wa Maaskofu wake. Kwa kimbelembele nilicho nacho naomba umma wa watanzania uelewe yafuatayo: 1. KKKT ina Mkuu mmoja tu. Dereva wawili hawawezi kuendesha gari moja kwa wakati mmoja. 2. KKKT hakuna cheo kinaitwa “Mkuu...
  4. JamiiForums Tanzania TCRA: Utapeli wa "Tuma kwa Namba Hii" umepungua sana nchini

    Akizungumza kupitia Power Breakfasta leo Oktoba 30, 2024, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma amesema "Kwenye utapeli kabla na baada ya zoezi la usajili wa laini za simu tofauti ipo kubwa sana. Ukiangalia ripoti ya Robo mwaka ya performance ya mawasiliano kwenye takwimu za mawasiliano...
  5. JamiiForums Tanzania Hii Toyota FJ Cruiser ya 2011 imekaa kibabe sana.

  6. JamiiForums Tanzania “No hurry in Africa” Neno ambalo mara kadhaa limepotezea muda watu wengi sana

    Mtu kuchelewa ndege ni jambo la kawaida Afrika, kuchelewa kwenye Interview ni kitu cha kawaida, kuchelewa kazini pia. Lakini pia kuchelewa kupata huduma muhimu pia ni jambo la kawaida. Hili ni neno limewahi kukucheleweshea kitu gani cha msingi?
  7. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni Ngumu sana kuwa na Pesa ndani ya umri huu (20-29)

    Najiuliza hasa ni nini kipo nyuma ya sayansi ya pesa na umri, naangalia na Kuona na naendelea kujiuliza Nini kipo nyuma hasa ya kupata mafanikio na umri. Vijana wengi Huwa wanaanza kutafuta pesa wakiwa na Miaka 18, lakini pia wengine huanza kutafuta pesa katika umri wa Miaka 22 akiwa Amemaliza...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Kenya wametufunika kwenye shughuli za kimaendeleo, Benjamin fernandez kijana wa kitanzania aliehamishia biashara zake Kenya na Kutajirika zaidi anena

    Tanzania ni nchi iliyobarikiwa utajiri mkubwa sana kwenye rasilimiali kuanzia ardhi nzuri ya kilimo, madini, vicutio vya asili, n.k. lakini bado tupo nyuma sana kimaendeleo, Kenya ni nchi ambayo ina rasilimali chache lakini wametufunika kwasababu wamewekeza zaidi kwenye watu (elimu, ujuzi) na...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanawake wa “Daslamu” wanajichubua sana?

    Wikiendi iliyoisha nilikuwa kwenye jiji lenye fujo daslam. Hili jiji kila mwanamke unaekutana nae anatumia mkorogo. Alaf wanatumia mikorogo bila kutumia sunscreen matokeo yake wanakuwa wekundu kama kitimoto. Daslam kwasasa ukikutana na mwanamke mweusi ujue una bahati. Naiomba serikali...
  10. JamiiForums Tanzania Japan: Kijiji chafurahia ujio wa mtoto wa kwanza baada ya miongo miwili

    Kijiji cha Ichinono nchini Japani, chenye wakazi chini ya 60, kimefurahia ujio wa mtoto wa kwanza baada ya miongo miwili, Kuranosuke Kato mwenye umri wa miaka miwili. Hiki ni mojawapo ya vijiji zaidi ya 20,000 nchini Japani ambavyo idadi kubwa ya wakazi ni wazee wenye umri wa miaka 65 na zaidi...
  11. JamiiForums Tanzania Wameahidi leo saa 10 watanisomea Albadiri. Ninasubiri kwa hamu kubwa sana

    Kwema wakuu, tukiwa katika kijiwe chetu cha kahawa, baada ya kuhoji masuala fulani kuhusu mtu fulani anaye heshimika sana kwenye dini, sikupata majibu ila watu walikasirika sana na wakaapa kuwa leo saa 10 watanisomea albadiri na sitaiona kesho. Kwakweli nilifurahi sana nikawaambia kama kuna...
  12. JamiiForums Tanzania Dunia inakwenda kasi sana

    Nimekutana na hii picha inayoonesha barua kutoka kwa mtoto wa kike kwenda kwa mtoto wa kiume! Nimecheka sana! Ila ndo maisha tu.
  13. JamiiForums Tanzania Sheikh Kishki yupo sahihi ila huyu Bwana Mdogo Shareef Firdaus ana nyota kubwa sana

    Kaka angu sheikh Kishki upo sahihi sana kuhusu sakata la huyu Bwana mdogo " Abdul Dunya" almaarufu " Shareef Firdaus". Dogo ana karama sana ana nyota sana na anakubalika sana. Bora umpotezee tu. Raia mitaani jijini Darusalama wanamkubali ile kinomanoma. Kwa Raia mitaani, Kishki vs Shareef...
  14. JamiiForums Tanzania Ila Yanga SC mnajua sana 'Kutukoga' wana Simba SC na hivi Mnatufunga mnavyotaka kila Derby mbona tutawakomeni

    Kuna Jezi zao kadhaa wamezichapisha zimendikwa UBAYA UBWEGE KIJILI 1:0. Yaani nimejikuta Ninacheka sana tu!!!!!
  15. JamiiForums Tanzania Israel akili nyingi sana. Walianza kwanza na kuwachapa majirani. Walianza kupiga mbwa kisha wakaenda kumpiga mwenye Mbwa.

    Nlisema siku ile kuwa kile kimya cha Israel ni kibaya kuliko kujibu kwake kwa haraka.nikamwambia mtu mmoja humu Ritz na ile ID yake nyingine na madogo Adiosamigo na Webabu kuwa waombee Israel ajibu kwa haraka. Itakuwa afadhali. Nliwaambia kukaa kimya kwa Israel baada ya kuchokozwa ni kubaya...
  16. JamiiForums Tanzania Ni kitu kibaya sana tena sana kuiweka serikali rehani kwa matajiri na wafanya biashara

    Nadhani mnakikumbuka kisa cha mgiriki aliye sema serikali yote kaiweka mfukoni wakati wa utawala wa Mwl nyerere, Matokeo ya jambo hilo ni nchi kukithiri kwa Rushwa,ubadhirifu wa mali za umma,dili chafu , madawa ya kulevya ,utekaji na mauaji ambayo wakati mwingine yanaweza yakawa si utekaji au...
  17. JamiiForums Tanzania Watu wanasukuma Magari ya bei mbaya sana hapa DSM inaonekana nchi imeshafnguliwa tayari.

    Nchi imefunguliwa kimya kimya inavyoonekana maana watu wanasukuma vyuma vya bei mbaya sana . Kiukweli hapa DSM watu wanasukuma magari ya bei mbaya hatari.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Chadema acheni maisha ya kifahari chama bado ni Maskini sana

    Chadema jaribuni kupunguza matumizi ya anasa ili mjenge chama; 1: Mikutano ya kamati kuu inafanyika kwenye hotel zenye hadhi ya nyota tano. 2: Viongozi wakuu kutembelea magari ya anasa. 3: Kipngozi mkuu kuomba michango watanzania ili anunue gari ya anasa 4:Viongozi wa chama kukesho mitandaoni...
  19. JamiiForums Tanzania UREMBO, UTANASHATI NA USAFI WA KINA KATIKA MAPENZI IWE NI LAZIMA SIO KWA NJE TU, BALI NI MUHIMU SANA KWA NDANI PIA, NA INAPENDEZA ZAIDI.

    Marashi ya kujipulizia sio muhimu sana, na yanazidisha kero na usumbufu yakichanganyika na uchafu mkiwa katika faragha. Kujisafisha vizuri zaidi kwenye mikunjo ni muhimu zaidi na inapendeza zaidi. Mpenzi akichojoa mavazi yake, marashi husalia kwenye nguo zake, akiwa yeye sasa kama alivyozaliwa...
  20. JamiiForums Tanzania Wanaume wa kiafrika ni dhaifu sana mbele ya wanawake.

    Wanaume wa kiafrika ni dhaifu Sana mbele za wanawake. Kupitia udhaifu huu wameharibu Kazi zao zilizokuwa zinawasaidia kuendesha maisha na kuwapa heshima. Udhaifu huu umewafanya wameharibu ndoa zao zilizofungwa Kwa gharama kubwa ya pesa na sala na mizimu. Pia kupitia udhaifu huu umesababisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…