sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Japan: Kijiji chafurahia ujio wa mtoto wa kwanza baada ya miongo miwili

    Kijiji cha Ichinono nchini Japani, chenye wakazi chini ya 60, kimefurahia ujio wa mtoto wa kwanza baada ya miongo miwili, Kuranosuke Kato mwenye umri wa miaka miwili. Hiki ni mojawapo ya vijiji zaidi ya 20,000 nchini Japani ambavyo idadi kubwa ya wakazi ni wazee wenye umri wa miaka 65 na zaidi...
  2. JamiiForums Tanzania Wameahidi leo saa 10 watanisomea Albadiri. Ninasubiri kwa hamu kubwa sana

    Kwema wakuu, tukiwa katika kijiwe chetu cha kahawa, baada ya kuhoji masuala fulani kuhusu mtu fulani anaye heshimika sana kwenye dini, sikupata majibu ila watu walikasirika sana na wakaapa kuwa leo saa 10 watanisomea albadiri na sitaiona kesho. Kwakweli nilifurahi sana nikawaambia kama kuna...
  3. JamiiForums Tanzania Dunia inakwenda kasi sana

    Nimekutana na hii picha inayoonesha barua kutoka kwa mtoto wa kike kwenda kwa mtoto wa kiume! Nimecheka sana! Ila ndo maisha tu.
  4. JamiiForums Tanzania Sheikh Kishki yupo sahihi ila huyu Bwana Mdogo Shareef Firdaus ana nyota kubwa sana

    Kaka angu sheikh Kishki upo sahihi sana kuhusu sakata la huyu Bwana mdogo " Abdul Dunya" almaarufu " Shareef Firdaus". Dogo ana karama sana ana nyota sana na anakubalika sana. Bora umpotezee tu. Raia mitaani jijini Darusalama wanamkubali ile kinomanoma. Kwa Raia mitaani, Kishki vs Shareef...
  5. JamiiForums Tanzania Ila Yanga SC mnajua sana 'Kutukoga' wana Simba SC na hivi Mnatufunga mnavyotaka kila Derby mbona tutawakomeni

    Kuna Jezi zao kadhaa wamezichapisha zimendikwa UBAYA UBWEGE KIJILI 1:0. Yaani nimejikuta Ninacheka sana tu!!!!!
  6. JamiiForums Tanzania Israel akili nyingi sana. Walianza kwanza na kuwachapa majirani. Walianza kupiga mbwa kisha wakaenda kumpiga mwenye Mbwa.

    Nlisema siku ile kuwa kile kimya cha Israel ni kibaya kuliko kujibu kwake kwa haraka.nikamwambia mtu mmoja humu Ritz na ile ID yake nyingine na madogo Adiosamigo na Webabu kuwa waombee Israel ajibu kwa haraka. Itakuwa afadhali. Nliwaambia kukaa kimya kwa Israel baada ya kuchokozwa ni kubaya...
  7. JamiiForums Tanzania Ni kitu kibaya sana tena sana kuiweka serikali rehani kwa matajiri na wafanya biashara

    Nadhani mnakikumbuka kisa cha mgiriki aliye sema serikali yote kaiweka mfukoni wakati wa utawala wa Mwl nyerere, Matokeo ya jambo hilo ni nchi kukithiri kwa Rushwa,ubadhirifu wa mali za umma,dili chafu , madawa ya kulevya ,utekaji na mauaji ambayo wakati mwingine yanaweza yakawa si utekaji au...
  8. JamiiForums Tanzania Watu wanasukuma Magari ya bei mbaya sana hapa DSM inaonekana nchi imeshafnguliwa tayari.

    Nchi imefunguliwa kimya kimya inavyoonekana maana watu wanasukuma vyuma vya bei mbaya sana . Kiukweli hapa DSM watu wanasukuma magari ya bei mbaya hatari.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Chadema acheni maisha ya kifahari chama bado ni Maskini sana

    Chadema jaribuni kupunguza matumizi ya anasa ili mjenge chama; 1: Mikutano ya kamati kuu inafanyika kwenye hotel zenye hadhi ya nyota tano. 2: Viongozi wakuu kutembelea magari ya anasa. 3: Kipngozi mkuu kuomba michango watanzania ili anunue gari ya anasa 4:Viongozi wa chama kukesho mitandaoni...
  10. JamiiForums Tanzania UREMBO, UTANASHATI NA USAFI WA KINA KATIKA MAPENZI IWE NI LAZIMA SIO KWA NJE TU, BALI NI MUHIMU SANA KWA NDANI PIA, NA INAPENDEZA ZAIDI.

    Marashi ya kujipulizia sio muhimu sana, na yanazidisha kero na usumbufu yakichanganyika na uchafu mkiwa katika faragha. Kujisafisha vizuri zaidi kwenye mikunjo ni muhimu zaidi na inapendeza zaidi. Mpenzi akichojoa mavazi yake, marashi husalia kwenye nguo zake, akiwa yeye sasa kama alivyozaliwa...
  11. JamiiForums Tanzania Wanaume wa kiafrika ni dhaifu sana mbele ya wanawake.

    Wanaume wa kiafrika ni dhaifu Sana mbele za wanawake. Kupitia udhaifu huu wameharibu Kazi zao zilizokuwa zinawasaidia kuendesha maisha na kuwapa heshima. Udhaifu huu umewafanya wameharibu ndoa zao zilizofungwa Kwa gharama kubwa ya pesa na sala na mizimu. Pia kupitia udhaifu huu umesababisha...
  12. JamiiForums Tanzania Hiki kizazi mnaharibu sana Kiswahili "KUHEMEA" ndio maana yake nini?

    Yaani nakutana na mfanyakazi wangu mmoja leo namuuliza ulikuwa wapi time niliyokuwa nakutafuta ananiambia boss nilitoka kuhemea nikamuuliza kuhemea ndio maana yake nini maana tayari kichwani nilishawaza mambo ya hovyo akaniambia kuhemea ni kwenda kununua mahitaji ya nyumbani yaani sikumuelewa...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini wanaume wanaotoka hii mikoa ni wambea sana?

    Wakuu Kuna kautafiti kasiko rasmi nimekafanya,nimegundua wanaume kutoka hii mikoa ni wambea sana hasa maofisini. 1.Dar es salaam 2.Pwani 3.Morogoro 4.Iringa 5.Mbeya 6.Mtwara 7.Lindi 8.Tanga 9.Singida 10.Tabora
  14. JamiiForums Tanzania Jamaa kimya sana toka Aoe, yupo wapi?

    Ben!
  15. JamiiForums Tanzania Mtoto analia sana na haongezeki uzito

    Habari za muda Wana jf Poleni na hongereni kwa pilika za kutafuta mkate Nina kuja kwenu nikiwa na changamoto ya mtoto Nina mtoto WA kike ana miezi 9 Tangu azaliwe analia muda wote hata akinyonya bado analia tu muda mwingine anakuwa halii Ila anatoa sauti ya malalamiko hanyamazi kabisa...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Ujio wa SGR umekuwa nafuu sana kwa wasafiri wa Dar,Mwanza, Arusha, Singida na Iringa

    Kwa sasa watu wengi sana wanaosafiri kutoka DAR - MZA wanapanda SGR kutoka DAR - DOM kwa masaa manne na wakishuka tu wanapanda gari za mwanza ambapo masaa 13 upo mza. MABUS YA DOM - MZA yanafursa hii kwa sasa pia abiria wanaoenda DAR IRINGA mtu anapanda zake SGR mpaka DOM then anakwea bus la...
  17. JamiiForums Tanzania Ukioa mwanamke amekuzidi IQ utapata tabu sana

    Changamoto yao kubwa ni ujuaji mwingi hutoeza kumchit asijue, udanganyifu wowote ule unagonga mwamba Yani ni full mabishano. Ukiwa na Mali utapigwa bila kujua.
  18. JamiiForums Tanzania Ipi siri ya Wayahudi kuwa na akili sana?

    Ni ukweli usiobishaniwa kwamba Wayahudi ni watu wenye akili sana katika dunia hii, na hii hapa ni mifano michache tu ila wako maelfu, Albert Einstein-Relativity(E=mc^2) Neils Bohr- Nuclear, Oppenheimer-bomu la atomic, Edward Teller-bomu la Hydrogen Karl Marx- Nadharia ya Ujamaa, Boris...
  19. JamiiForums Tanzania Una mtazamo gani juu ya mtu ambaye anataka kuwaridhisha sana wengine ili apendwa na watu wasimtenge?

    Jamaa poa sana ni mtu ambaye anataka kuwaridhisha sana wengine ili apate kupendwa na watu wasimtenge, lakini je ni sahihi kwa mwanaume kuwa "mtu poa sana"? Leo acha nikupe kisa cha 'JJ' jamaa poa sana na mke wake 'HH' JJ alitoa kipande cha karatasi mfukoni mwake na akaanza kukifungua...
  20. JamiiForums Tanzania Hongera sana Dr. Rose Muhando

    Comment ziwe fupi fupi! 😃
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…